Mungu akawashughulikie wote wenye nia mbaya na Taifa letu🇹🇿 i pray for my lovely nation Tanzania
@johnsonmariera35033 жыл бұрын
Pastor kindly I humbled u too pray for me
@carrenchigulu57123 жыл бұрын
Mimi si mtanzania lakini niko pamoja nanyi kwa maombi na mtashinda vita katika jina la Yesu nafsi yangu inalia sana sana niko na huzini moyoni kwa imani Mungu amejibu amen
@esthermanupa33403 жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@athanasekagisye29063 жыл бұрын
Ndiyo mungu abawezeshe
@catherinenicola37103 жыл бұрын
Amen zidi kutuombea kwa kweli Mungu akiwa upande wetu ni Nani awezaye kutuharibu
@deograciakashaigili59733 жыл бұрын
Ameeeen Ndugu yetu. TUOMBEE SANA SANA KWA MUNGU WATANZANIA!!!
@isaacshauri48283 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tunaomba amani kwa ajili ya Tanzania, Mungu mbariki nabii Rolinga uliyemwinua katika taifa letu
@carolineauma84643 жыл бұрын
Ameeeeeen 🙏🙏🙏
@neemaprecious23083 жыл бұрын
Very true Man of God,,na huo ndo ukweli kabisaaa,,,tuko pamoja 🇹🇿 kusudi la Mungu litacmama milele 🇹🇿🙏🙏
@narcissusmakenge47103 жыл бұрын
Wenye nia mbaya washindwe kwa jina la YESU KRISTO mwana wa Mungu aliye hai. Amen
@yustergeorge8943 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki prophet Rolinga aendelee kunena saw na mapenzi yako Amen
@registakimario56613 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu.Naomba uniombee mafanikio ktk mitihani yangu mwez huu wa tano.
@marthandirangu60793 жыл бұрын
Niombee na jamii yangu mtumishi wa Mungu. Mimi ni mfuanzi wako kutoka nchi jirani ya Kenya
@rosekieti79023 жыл бұрын
God help Tanzania na huyu mungu wa prophet akutane na Watoto wangu wabafilike wamupende Mungu zaidi na discipline zap zimpendenze Mungu peke. Pray for my business
@leonardnzigo24373 жыл бұрын
Tuombe sana Mungu..Mungu anafunua mengi sana...izi safari na mialiko tunaanza kuziona leo tarehe 6/5/2021
@renathamartin62723 жыл бұрын
Amen Amen Servant of God! Kweli tuombe na Mungu atatuvusha. Ni kweli tunamuhitaji Mungu zaidi kama pia alivyo tusisitiza Magufuli wetu. Mungu akubariki zaidi mtumishi.
@sallygrace14953 жыл бұрын
Thank you man of God It's true man of God, let we pray for Tanzania 🇹🇿
@juliegaturuku8373 жыл бұрын
Yes pray Tz pray, ooh your nation needs God even as ours Kenya need Him the more.
@rehemakaijage13643 жыл бұрын
Amen, NALIFUNIKA TAIFA LA TANZANIA KWA DAMU YA YESU
@juliethhope72813 жыл бұрын
AMEN
@neemaprecious23083 жыл бұрын
Amen 🙏
@jackyjahamfi20703 жыл бұрын
Amen
@veronicananyaro55123 жыл бұрын
MUNGU TUSAIDIE TANZANIA TUWE WAOMBAJI TUACHE MZAHA
@markiboy37473 жыл бұрын
Ameeen
@gabrieldenicc45023 жыл бұрын
Ahsante Mchungaji ,Nashukuru kwa Unabii tusaidie tupone ,nakushukuru kwa macho ya rohoni!!
@ernestmasanja25893 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa maombi yenye nguvu ya Mungu na upako wa nguvu umeshuka Ameeen
@siminyamberwa79703 жыл бұрын
Amen Mtumishi, Mungu asimame juu ya Taifa letu.
@kwamofitvonline71923 жыл бұрын
Ama kweli mjinga hauwezi kummwelewesha
@kwamofitvonline71923 жыл бұрын
Get lost nigga
@bendettahmuthangya7703 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu, tukumbuke sisi wanjane tulioachwa na tunateswa na mashemenji na kupokonywa Mali yetu, watoto wetu wataenda wapi tukumbuke
@eunicekamamaa24373 жыл бұрын
Endelea kumuamin mungu
@saimonswilla43683 жыл бұрын
Mtushi was mungu Seema auliogzwa na mungu Kama hya mungu akutamalakie
@mukongachulleson20523 жыл бұрын
Amina Mungu akubariki USIOGOPE Bwana akikwambia useme SEMA
@mabalanyerere1541 Жыл бұрын
Wewe ulisomea Sana usikofu mungu akubariki sana na bandar yetu uiombee siuzwe
@eyumededu29483 жыл бұрын
I pray for my country Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika Naipenda nchi yangu nitaiombea daima
@abelbehumble2553 жыл бұрын
Amen
@sallygrace14953 жыл бұрын
Amen
@winfridathomas77103 жыл бұрын
Amen
@deborahmugagi53843 жыл бұрын
Amina
@emmymtui51873 жыл бұрын
Ameen.
@johnkahekwa89623 жыл бұрын
Nami naongeza inchi yangu ya Congo Mwenyezi atukumbuke vita kuisha. Toka baziri wa kwanza Lumumba hadi Léo Congo ni mauwaji tu. Amen
@greatimaginations43353 жыл бұрын
Nchi yenu ikikombolewa, Africa nzima inakombolewa
@salhamohamed13583 жыл бұрын
Huyu Sasa anaejifanya Nabii na wakati unanii hakuna tena jitabirie wewe mambo yako sisi tunamuamini mungu tu kwenda zako huko anaeyajua mambo ya kesho ni mungu tu
@alimambabazi36663 жыл бұрын
Agree with you and and the CITIZENS of TANZANIA 🇹🇿 in the name of Jesus Christ Almighty
@hadijamlokakuzenza21463 жыл бұрын
Nabarikiwa na maombi asante mungu kwa mpakwa mafuta wako,meenyezi mungu sikia maombi na kilio chetu
@neemasamweli42433 жыл бұрын
Mungu ilinde Tanzania yetu, tupe amani tele Mungu wetu
@winniealbert55303 жыл бұрын
Ameen Ameen. Halleluja Halleluja Halleluja in JESES NAME AND POWER. Prais our LORD Always 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@cartaskaguo74643 жыл бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA 🧎♀️🧎♀️🙏🙏
@delvinesereti71253 жыл бұрын
Mungu unikumbuke,,, kumbuka pia familia yangu, marafiki madui na nchi yetu ya kenya
@deborahmugagi53843 жыл бұрын
Aminaa
@Mrm843 жыл бұрын
Amen
@sitellamatni68783 жыл бұрын
Ameni hataleo yuko kenya jamani tutapona kweli ? Mangufuli wangu jamani namkumbuka Sana daaah😱😱😱💔💔💔💔🙏🙏🙏
@faithnyaboke4993 жыл бұрын
Mungu ilinde Tanzania 🇹🇿pia sisi Kenya 🇰🇪uikumbuke papa wetu 🙏🙏🙏
@happymbuba76343 жыл бұрын
Amina
@kakakakabeka6243 жыл бұрын
Mungu akubariki na biii wangu.
@immaculatekasuga33773 жыл бұрын
Yes my dear man of God, we saw them already GOD ALMIGHTY IS POWERFUL, than their opinion, ler us pray to be brave as Tanzanian National,yes indeed.
@gracemoruri35753 жыл бұрын
Haleluya,asifuwe mungu mwokozi
@milkamusa58373 жыл бұрын
God you have a habit to use the humble. Visit Tanzania and make your throne here. God destroy Tanzania's enemies and confuse their plans... Consume them with your fire oh Lion of Judah for the glory of Your Mighty name above all... Bless and protect Tanzania. Bless and protect those nations that wish her well and curse them all that curse her. In the name of Jesus Christ our savior.. Amen and amen. Thank you for answered prayers 🙏
@greatimaginations43353 жыл бұрын
AMEN MUNGU ANATULINDA NA DAMU YAKE YA THAMANI....Shetani hatapata nafasi.... HALLELUJAH
@vallerinejesse22993 жыл бұрын
Ni kweli maana kondoo weshaanza kutawanyika. Hata siku 40 bado lakini wanavyomshutumu na kumdhihaki JPM ni Mungu awasamehe.!! Maana tunaompenda jpm matendo ya kazi zake ni wengi kuliko team kigogo @ msata one
@yustergeorge8943 жыл бұрын
Fact kbx yan JPM alikuwa anafanya kaz peke akee,,cjaona mtu alokuwa anafanya kaz na JPM
@jordanclassic78493 жыл бұрын
@@yustergeorge894 hakika
@eliyajoseph68623 жыл бұрын
@@yustergeorge894 kweli kabisa, wengi walikuwa wanafiki tu
@yustergeorge8943 жыл бұрын
Kabisa yan hawana hata aibu aseee,,yan had sometimes unajiuliza kwan wakat vitu alivyofanya JPM hawakuwepo au na wengine ndo walikuwa ma suppotor sas mda huo..sahv xx daaah offcoz inackitisha right Mungu angempa baba yetu hata dakka ya kuyaona haya hakika angehicndoto
@juliethhope72813 жыл бұрын
Inaumiza sana
@stanleyfavoured30983 жыл бұрын
Mungu, Abariki Tanzania, Amani na Utulivu Uta wale. Oh! God direct the President Mama Samia s and all Leaders Kuongoza taifa hii , in Jesus Name. Peace! Peace!peace in Tanzania.
@marygregory75663 жыл бұрын
God pls have mercy on our nation..kwakua Mungu ulisema upo pamoja nasi ktk mipango yetu kabla ya kuomba wewe baba utajibu Tena ukasema Kila aliitiae jina la Bwana ataokolewa...ndo leo tunaliitia jina lako baba etu na Mungu wetu ...usituache mawindo ya adui...na adui zetu wasitucheke kwakua tumekutegemea wewe Mungu.
@lazackbrown16453 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa maono Mtumishi wa Mungu Tusipoomba Tanzania tunaenda kuelekea pabaya mno ,
@killylevenson3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha Marefu Nabii
@jeannedarc66563 жыл бұрын
Amen ,Mungu aepushe TZ na maovu
@calvinkimaro37763 жыл бұрын
Mungu atulinde..YESU KRISTO atawale TANZANIA. AMEN
@victormathias23393 жыл бұрын
Naomba mungu nipate kazi miezi 7 Sasa toka nimekosa kazi
@margarethorgenes48743 жыл бұрын
Ahsante mtumishi. Wasipokuelewa tena wasijekusema kuwa kwa nini hukusema.
@stellakarwirwa76603 жыл бұрын
Mungu sikia maombi ya waTanzania wote na kuwa kiongozi wao. Tukumbuke pia waKenya. In Jesus Holy Name
@greatimaginations43353 жыл бұрын
Amen
@elesiameshaki21713 жыл бұрын
MUNGU tetea Tanzania 🇹🇿🇹🇿 Kenya na nchi zote za Afrika Mashariki🙏🙏
@elinekifumu19913 жыл бұрын
Mungu wetu utulinde
@princechonya91483 жыл бұрын
May God Our Lord, Stand tall, protecting our country, and his true servant
@wasandazabron25233 жыл бұрын
Mungu bariki Tanzania na viongozi wake amina
@japhetmagesa50543 жыл бұрын
Mungu bariki tz
@roselynestua70953 жыл бұрын
Amen amen prophet omega ministry thanks to pray Kenya God corve Kenya in Jesus christ
@jeriothnyanjugu95693 жыл бұрын
Yes. It is true. Tell her not to listen to those neighbours. Wanamshimbia shimo. Pray for God to give her wisdom.
@adelakonzo44643 жыл бұрын
¹1
@vickykwimbere99043 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania Mungu mpe ujasiri Rais wetu mama Samiha Suluhu. Nabii Mungu aendelee kukuongoza!
Amen sana Kwa ombi Hilo, Umenena ukweli juu ya hilo
@elnestinamgeni52323 жыл бұрын
Ee Mungu tuepushe na haya katika Tanzania yetu, katika jina la Yesu kristo
@pendodavid50263 жыл бұрын
Mungu sikia maombi na kilio ya sisi watanzania
@stanleyjohn34423 жыл бұрын
Ni kweli mtumish ubarikiwe sana
@chikubundara57613 жыл бұрын
Mungu ibarki Tanzania
@euronocenta34113 жыл бұрын
Kwa Mtu anaeomba saaan ataelewa nini Anamaanisha ...na sio KUHUKUMU ......be blessed alote pastor 🙏we heard we will pray🙏
@florajoseph27863 жыл бұрын
Amina
@roselynestua70953 жыл бұрын
Glory to God he save us save uo nation
@fammybaby58823 жыл бұрын
Oooh my god... Tusaidie sis watanzania 🙏
@mashackmatheka99213 жыл бұрын
I like this preaching 👍
@cellinamgale13613 жыл бұрын
Washindwe kwa jina la yesu Mungu mlinde Rais wetu mama Samia maadui wa Tanzania washindwe na wateketee
@mavictorious1473 жыл бұрын
Remember our Kenya too😔😔😔
@loisenjoroge54303 жыл бұрын
Watanzania wenczangu, zaburi 33:10-11 Nakubaliana na Nabii, kila mwaliko wa adui usiingie nchini vile uliingia Kwa jirani.
@tabithakigongo78013 жыл бұрын
Amina.. hakuna kitachofanikiwa.. MUNGU WETU ANANGUVU
@glorykimonge86293 жыл бұрын
Mungu yupo na Aimidiwe Milele
@sintameinagol69113 жыл бұрын
I need deliverance man of God
@elishamhana66933 жыл бұрын
Unanena maneno mazuri Sana kwa taifa do kinachoendelea sasa HV
@bernardoleonard73313 жыл бұрын
Tushaanza kuwaonw na tunawaona Washindwe kwa jina la Baba Mungu wetu wa Mbinguni Muumba wa Taifa hili letu zuri la Tanzania
@aidafungo2383 жыл бұрын
Ni kwel kabisa kuna vitu vishaanza kuchange kabisa...We need God intevention
@amadonilongolongo44803 жыл бұрын
Amin
@grace.mtibwapigahaosimbayo45863 жыл бұрын
Naifunika Tanzania kwa Damuya Yesu.
@damarismatheka23083 жыл бұрын
A very big Amen,, 🇰🇪
@salamaumulisa61123 жыл бұрын
Amen 🙏... Asante Baba yetu kwa yote 🙏👏
@rosepatrick17773 жыл бұрын
Amina!
@pastorjully36573 жыл бұрын
Kwa jina la Yesu hawataweza kumpindua hata wafanyeje
@shikomkenya38603 жыл бұрын
My God n my Father dont allow the devil to lead Tanzania. Protect TZ n KENYA
@alimambabazi36663 жыл бұрын
We pray for peace and justice ⚖️ for the Nation of TANZANIA 🇹🇿🌹 and salivation for the Leaders of the Government of TANZANIA 🇹🇿 in the name of Jesus Christ Almighty Hallelujah 🙌🙌🙌🇺🇸🕊️⚖️