MAREKANI ndio ilio iruhusu IRAN ishambulie ISRAEL - DJ SMA

  Рет қаралды 57,203

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 566
@zayumar2955
@zayumar2955 5 ай бұрын
Pole sana DJ Smaa Allah akupe shufaaa ili uendelee kutusanua sisi wa dunia ya 3😅 ❤❤❤
@mikokotv
@mikokotv 5 ай бұрын
Poleh sana brother. Napendekeza walau wadau 500 tujitokeze tuchangie Tsh 10,000 for DJ Sma manake amekuwa na mambo mengi na hamasa kubwa kwetu sote. Naomba kusisitiza kuwa ni wengi tumekuwa tunamwangalia na kumfuatilia hivyo vyema tumjali kama ambavyo amekuwa anatujali. Mie nishachangia ya kwangu ww je!?
@aminaali792
@aminaali792 5 ай бұрын
Pole sana Dj smaa Allah atakufajaalia quick Shifaa Yaa Rabbi🤲🏼And asante sana kwa hii nilikuwa naisubiria lwa hamu logic and facts zako Allah walinde All Muslims countries and Allah amshinde myahudi Ameeen 🤲🏼🤍much love from Uk 🇬🇧😍
@MuzafarSaid-k8w
@MuzafarSaid-k8w 5 ай бұрын
Pole DJ smaa..na Mungu akufungulie zaidi wewe mchambuzi genenious Sana ubongo wako una hatari.sasa kuhusu hili la Iran na israil ndo nimekaa sawa Sasa.
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 4 ай бұрын
Ndugu nilazima wamkatae YESU ilisisi tumpokee, ndio maana Yesu alisema nimekuja kwa walio wangu,ila wamenikataa, ayo yalishaandikwa na yalishatabiriwa, wew unazani wangemkubali sisi tungepataje uwokovu, sisi wa mataifa, na ilikuwa lazma ili asulubiwe, ateswe, kajifunze maandiko, ndio uje useme unayo yasema
@ThomasCornel-zy7sc
@ThomasCornel-zy7sc 4 ай бұрын
We siku ukijitambua utaacha
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 5 ай бұрын
Mungu Akufanyie wepesi upone haraka djsma
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 5 ай бұрын
Dua alafu mtumie ata mia utakua umetisha
@AmisoMuyohira
@AmisoMuyohira 5 ай бұрын
From burundii bujumburaaa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 pole sana simba wa sautii nzuri na ucambuziii wa akiiliii salut
@evancemichael5489
@evancemichael5489 5 ай бұрын
Pole Sana kwa tatizo la kiafya. Nimefurahi umewaambia ukweli kuwa Israel sio Taifa teule la Mungu. Na wanaupinga ukristo kwa nguvu zao zote.
@angelitapaulo
@angelitapaulo 4 ай бұрын
Israeli ni taifa teule la MUNGU hajalishi wewe unalionaje au unalichukuliaje, nikumbushe Israeli ilianza kupigana vita zamani, mfalme Daudi, tafuta Habari zake, nikumbushe Israeli kwenye vita hawezi kupoa na fainal inajulikana, msikitini lazima ubolewe kupisha ujenzi wa hekalu la MUNGU
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 5 ай бұрын
Pole sana bingwa, Mungu ni mwema afya yako itaimarika ameni🙏
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 5 ай бұрын
Pole sana Dj Smaa Mwenyezi Mungu akupe afya njema
@homecraft227
@homecraft227 5 ай бұрын
Pole sana kaka, Mimi pia nilishaliona Hilo, marekani mjanja sana, yaan hapo anataka ku control both parties.Ila kuhusu mambo ya imani achana nayo maana wew uko shallow sana huko,ongelea kisiasa,kiuchumi na mengine.Suala la imani liko deep sana
@juliusnyerere5393
@juliusnyerere5393 5 ай бұрын
Pole Sana mkuu Allah atakuponya mkuu. Kwa uwezo wake tuombe Mungu mwenye moja na moja huwa mbili tumchangie mwenzetu. Hata Kama Huna Sasa basi weka nia tu kwamba nikipata nitamchangia basi Allah atakulipa kutokana na nia yako umepata unatoa hukupata basi Allah ndio ajuae inshallah kheri
@hassanihamidu8546
@hassanihamidu8546 5 ай бұрын
Smaa nenda mazese kunakituo kinaitwa bakhesa kunasoko pale kanunue kunadawa ukifika wambie unataka dawa yakulendemka itakusaidia sana
@djsma255
@djsma255 5 ай бұрын
Asante
@KhamisiOmar-v3h
@KhamisiOmar-v3h 5 ай бұрын
Okey kaka mungu akufanyie wepesi upate afya na hayo maradhi yakuondokee.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
Walkum salamu dj sma. Pole sana. Mungu akufanyiye wepes inshaallh upone haraka 🙏
@homecraft227
@homecraft227 5 ай бұрын
Israel haijaanza kutengwa leo miaka hii na yote hayo walivishinda,wajaa Mungu kawapendelea sana,na wameshika uchumi wa dunia,.rejea kwenye issue na Anti semitism.
@Ufalme1
@Ufalme1 5 ай бұрын
Na ikumbukwe kuwa Udhaifu wa Israel siku zote unapatikana tu pale wanapomsahau Mungu wetu, Ila Israel katika uwepo wa Mungu ni taifa la kuogopwa duniani.
@YohanaYoramu-nl6bw
@YohanaYoramu-nl6bw 5 ай бұрын
Hakika kaka
@izzahboe1442
@izzahboe1442 5 ай бұрын
Acha ushamba Mungu ndo alisema wawe wagonvi
@angelitapaulo
@angelitapaulo 4 ай бұрын
Hapana kaka kumbuka vita hii iko katika Biblia, pia kumbuka mto flat ulishakauka maji tangu 2021,ili kupitisha majeshi ya kaskazini na kusini, kupigana vita, na hii vita inakuwa na mpango wa shetani kupunguza idadi ya watu kwa hiyo vita itaanza taratibu kisha watu wote dunian wataungana kupigana na Israeli, na hii ndio ile vita ya HARMAGEDON katika Biblia, na mwisho Israeli itashinda hii vita kwa kuwa wanapenda nguvu yq ki MUNGU kisha msikitini utabomolewa hekalu la MUNGU litajengwa hii nadhani hata waislam wanajua kwamba lazima msikiti ubolewe hiyo iko wazi,
@hemedmtunguja9788
@hemedmtunguja9788 4 ай бұрын
Wafiranaji tu israel
@mshengeli
@mshengeli 5 ай бұрын
Allah will heal you inshaallah Dj SMA
@andreadaniel214
@andreadaniel214 5 ай бұрын
Pole sana DJ smaa.. Mungu hatakusahidia.. From🇰🇪.
@chachamturi259
@chachamturi259 5 ай бұрын
Alafu broo jaribu kutafsili, wengine hatujuilugha
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 5 ай бұрын
Pole sana kaka, Allah(SWT) atakuwafu.
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 5 ай бұрын
Pole sana Dj Sma Mwenyezi Mungu atakufanyia Tahafif
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 5 ай бұрын
Welcome back dj sma nilikuwa nasubili madini yako yenye uhakika nipate kujiridhisha kazi nzuri bro 👏
@chachamturi259
@chachamturi259 5 ай бұрын
Kwani kaka tukkichangia ten ten vip broo spoa. Dahh!! Poolesana kaka Nitafanya jumbo ndugu yangu. Nakupenda sana broo utapona sawa???.
@djsma255
@djsma255 5 ай бұрын
Chochote kinappkelewa
@hamzamasaga5612
@hamzamasaga5612 5 ай бұрын
Pole , mungu akupe tahafifu !
@saidmwakugomba3623
@saidmwakugomba3623 5 ай бұрын
Quick recovery broo, utakua sawa InshaAllah
@thamani5842
@thamani5842 5 ай бұрын
ALLAH akupe shifaa kaka
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 5 ай бұрын
Pole sana Dj Sma daaah! haukuwa online kitambo sana hili tatizo limekuwa kubwa sana mtaani la Spinal cord
@cheedsure3237
@cheedsure3237 5 ай бұрын
Pole sana dj smaa ALLAH atkusaidiaa
@mustaphamatelefone-lc9pr
@mustaphamatelefone-lc9pr 5 ай бұрын
From in Mozambique 🇲🇿 pole sana dj allah akuponye
@l.m.a.7570
@l.m.a.7570 5 ай бұрын
Pole sana dj sma kuna watu hawaelewi kuwa wakristo wlioko jerusalem ni waarabu ambao ni wapelistina sio wayahudi wayahudi hawataki kusikia kuhusu yesu ila wanawatukana waarabu hawajui kanis za jerusalem inasaliwa kiarabu nasiyo kiyahudi utawasikiya tuko na israel kuna wasiria wakristo wairak wakristo walebanees wajordan lakini hakuna myahudi mkristo dj sma ebu wajulishe siku moja
@abdallahsavonge5113
@abdallahsavonge5113 5 ай бұрын
Pole sana al Habiib. Labasa taharun in shaa Allah. Allah atakujaalia shufaa ndugiangu.
@kilimohub580
@kilimohub580 5 ай бұрын
Dj sma pole sana. Tafadhali hii analysis ya DAJAL tunaomba uiongelee brotha
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 5 ай бұрын
Pole sana kwa kuugua. Lakini kunajambo ningependa ulijue pia.Ni kweli Israel inapata support kutoka Marekani na uingereza kwa sababu ndo wengi wao wanashikilia uslchumi wa nchi hizo.wakati mwingine huwezi kuwatenganisha nao abadani. Pili hata wao hezbollah,Hamas na Iran wanapata support kutoka kwenye nchi zingine kama Urusi na Uchina. Kwahiyo kukufungua zaidi ni lazima uchambuzi wako uwe real na ubalance.
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 5 ай бұрын
Pole sana Allah atakufanyia wepesi upone
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 5 ай бұрын
Pole ndugu yangu dj sm mungu atakupa wepesi utapona kazi
@trendz_2548
@trendz_2548 5 ай бұрын
Pole sana ndugu supports tutatoa. Huwa unafanya kazi nzuri sana. Love tokea Kenya
@emmanuelkamoli8215
@emmanuelkamoli8215 5 ай бұрын
Yesu akuponye.KWA UPANDE WAKO MM NIPO KINYUME NA WEWE MAREKANI HAWEZI KUMTUMA IRAN AISHAMBULIE ISRAEL HAIWEZEKAN KUTOKANA NA MIZOZO ILIYOPO DUNIANI
@Uwezohussein-me2gp
@Uwezohussein-me2gp 5 ай бұрын
Hujamuelewa, elewa kwnz ndugu acha mihemko
@RashidFarid-y7o
@RashidFarid-y7o 5 ай бұрын
Tuko Lubumbashi endelea kufunua ubongo wa watu ❤
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 5 ай бұрын
Pole sana, gwiji wa uchambuzi Mungu atakusaidia.
@Del_busi5
@Del_busi5 5 ай бұрын
Huyu jamaa Ni gwiji kabisa
@allahisone6386
@allahisone6386 5 ай бұрын
MUUMBA AMPONYEE
@HashimuHashboy-bo2wl
@HashimuHashboy-bo2wl 5 ай бұрын
Usihofu but ukweli wa kaz yako nikuse. Ma ambao hautakiwi truth very expensive than true,nn hatma ya lowasa ukweli wake alitolewa kafara na almekufa kama mbwaa aliegomgwa na gari ukweli unaumiza sana but ishi nao coz ulinzi wako uko na mungu
@KilembeSamson
@KilembeSamson 5 ай бұрын
Hata kama wanamkataa Yesu Bado ni taifa teule la Mungu.
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 5 ай бұрын
sidhani , ongelea "spiritual" Israel sio hii ya Kina Netanyahu
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 5 ай бұрын
Unajua Wewe taifa teule ila wayahudi wahawataki ata kuona bibilia au kanisa ndani mwake ndo maana pale Israel ata wakristo WA kweli wanishi Kwa shida
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 5 ай бұрын
@@sbboymkaliofficial9108 Taifa teule kwa vipi , unahitaji kuuliza maswali magumu , ili uwe Taifa teule MUNGU anahitaji wewe ufanye nini ?, hii Israel ya Netanyahu inafanya hivyo ?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 5 ай бұрын
Umeongea sahihi sana sana.Ni kweli kabisa hata kama walimkataa yesu au bado wana mkataa yesu lakini bado hili litabali kuwa Taifa teule la Mungu.Wao wamewekeana ahadi na Mungu.Hili bado ni Taifa la Mungu.
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 5 ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz wala msiwaze mioyoni mwenu kwamba, Tunaye baba, ndiye Ibrahimu; kwa maana nawaambia ya kwamba Mungu aweza katika mawe haya kumwinulia Ibrahimu watoto. Mat 3:9
@JeremiahElfadhili
@JeremiahElfadhili 5 ай бұрын
Yesu anaponya bure! Njoo kwa Yesu utapona!
@Dawdysomwe
@Dawdysomwe 5 ай бұрын
Kwan yesu ni daktari au😢
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 5 ай бұрын
Pole sana nakuombea Mungu akuponyeshe hayo maradhi yako ya uti wa mgongo
@selemanijuma2378
@selemanijuma2378 5 ай бұрын
Pole sana Allah atakujalia SHIFAA inshallah,
@canisiusibrahim9856
@canisiusibrahim9856 5 ай бұрын
Pole chief tukipata tutashow love
@bahatihassan7492
@bahatihassan7492 5 ай бұрын
Mungu akuponye nakupenda kwa ajili ya Allah
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy 5 ай бұрын
Allah akufanyie wepes. Ameen
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 ай бұрын
Mwe jamani pole sana kaka yangu mungu akuponye ni changamoto za dunia
@JackilineAbeid
@JackilineAbeid 5 ай бұрын
Pole sana 😢 utapona inshallah
@JumseMSTAARABU
@JumseMSTAARABU 5 ай бұрын
Pole bro namwomba Mungu akuponye inshaallah
@ShehaHaji-k8t
@ShehaHaji-k8t 5 ай бұрын
Pole sna Tanzania one IT man makofi kwko jembe tupo pamoja kichwa chenye upara hakikosi busara
@Lyagunga
@Lyagunga 5 ай бұрын
Pole sana. Mungu atakusaidia na utapona.
@issaibrahim4465
@issaibrahim4465 4 ай бұрын
Pole sana ndugu. MUNGU akuponye
@HassanMwakilesho
@HassanMwakilesho 5 ай бұрын
Pole bro Allah atakuongoza Kwa kila jambo
@tolbartkishamba3772
@tolbartkishamba3772 5 ай бұрын
Hypo kaka unatudanganya hivi unaijua ramani yamashariki ya Kati achakutudanganya
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 5 ай бұрын
Tupe riporti Yako wewe ya kweli basi chaap tunakusubir hapa
@RahmaHussein-xh4hy
@RahmaHussein-xh4hy 5 ай бұрын
Allaah Akuafu Akupe Afya njema
@JohnJonas-b6e
@JohnJonas-b6e 5 ай бұрын
Pole sana brother Mungu akujalie Kaka 🙏
@maulidrehani
@maulidrehani 5 ай бұрын
Tulikumis kaka pole sana mungu atakusaidia bro
@youngdizzyfl
@youngdizzyfl 5 ай бұрын
Dj pele sana mungu yupo nww atakufanyia wepesi utapona.
@ShemkandeShemkande
@ShemkandeShemkande 5 ай бұрын
Pole sana kaka
@JuliusAnaeli-ke7qt
@JuliusAnaeli-ke7qt 5 ай бұрын
Dj Sma,Untouchable
@PcgtMsalato
@PcgtMsalato 5 ай бұрын
Unaonekana Kama unajua kumbe hujui Kitu. Upo kwenye Ushabiki wa Kidini. Ukristo wenyewe hujui. Dili na Uislam unaoujua achana na Ukristo
@hijazhija316
@hijazhija316 4 ай бұрын
Kichwa kigumu
@znzmawaidh8702
@znzmawaidh8702 5 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi inshallah
@amosstimamaroba1054
@amosstimamaroba1054 5 ай бұрын
Duh tunakumis bro pole sana aisee tunakuombea sana
@gmai446
@gmai446 5 ай бұрын
Pole Sana upone insha, llah Ila kwenye uchambuzi ume bugi
@matanohassan9667
@matanohassan9667 5 ай бұрын
Allah akuhifadhi Na akupe shifaa
@SamweliJacob-bm2ij
@SamweliJacob-bm2ij 3 ай бұрын
da pole sana nduguyangu pole
@SaadaMasoud-r9e
@SaadaMasoud-r9e 5 ай бұрын
Pole sana Mungu Atakusaidia
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 5 ай бұрын
Inshallah Allah akufanyie wepesi upone
@bensonmakundi
@bensonmakundi 5 ай бұрын
Ndugu yangu kunakitu unamiss na hii nikuwa shabiki wa Irani moja kwa moja
@AliDulla
@AliDulla 5 ай бұрын
Pole sana kaka tuta support Allah atakuponesha
@DavidBoikamba
@DavidBoikamba 4 ай бұрын
izlael Wanam Tegemea Mungu Marekani Waonani
@godwinmandary5116
@godwinmandary5116 5 ай бұрын
Pole mkuu Mungu akulinde
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 5 ай бұрын
DAA pole quick recover,sisi wakenya tutachanga vpii ,naezatuma katika njia y M-pesa?
@josephangelo3999
@josephangelo3999 5 ай бұрын
Babylon are not good be careful brother, we love u
@dastanisalingo8993
@dastanisalingo8993 4 ай бұрын
Israel kutomwami Yesu hakufuti hali ya Israel kuwa taifa teule.
@dorahbenard1837
@dorahbenard1837 5 ай бұрын
Aah..pole JD sma mungu akupe kupona haraka 😢
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 5 ай бұрын
M'mungu atakufanyia wepesi inshaAllah
@raymrash
@raymrash 5 ай бұрын
Pole Mungu akuponye kaka 🙌
@AliyKijangwa
@AliyKijangwa 5 ай бұрын
Pole xna brw Mungu akusaidie
@deathrow8004
@deathrow8004 5 ай бұрын
Allah akupe shufaa ndugu yangu
@SaidyMwajeka-tr7oj
@SaidyMwajeka-tr7oj 5 ай бұрын
Nice mkuu wa wachambuzi🎉 get well soon
@faridayendayenda2953
@faridayendayenda2953 5 ай бұрын
Pole sana dj smaa
@BalutiShabani
@BalutiShabani 5 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu
@modekaijames
@modekaijames 5 ай бұрын
Pole sana kaka Mungu akusaidie
@danielikonyeeki254
@danielikonyeeki254 5 ай бұрын
Pole sana
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 5 ай бұрын
Wacha ifanye vile yataka iyo Israel kama ndo ina uwezo twaingoja mm niko na Iran bro
@KhajjFundi-ij2dq
@KhajjFundi-ij2dq 5 ай бұрын
Pole sana kaka
@aivodanielchengula4929
@aivodanielchengula4929 4 ай бұрын
Angalao huwa unapenda kuongezewa mambo. Waisraeli walikataliwa na Mungu toka mwa 607 kabla ya kuwepo kw Christo wakati ambapo wanavamiwa na kutekwa na Babiloni(Irac ya sasa). Sababu ya pili toka wamevamiwa na Nebkadneza Israel hawakuongozwa tena na mfalme aliechaguliwa na Mungu. Bilia inasiri hizo, (2Nyakati sura ya 36) kitabu hicho kitaonyesha jinsi walivyofikia mwisho wao wa kuitwa taifa teule. Na kutoka hapo siasa ilitawala
@harrsmgaya8141
@harrsmgaya8141 5 ай бұрын
Pole sana DJ sma!!
@douglasjohn8892
@douglasjohn8892 5 ай бұрын
Pole sana kamanda tupe namba tuchangie hata Hela ya maji baridi
@richshayo4924
@richshayo4924 5 ай бұрын
Cheki pia Fatty liver pole mno bro angalia pia diet achanana na any grain
@kuryatvfilm1161
@kuryatvfilm1161 5 ай бұрын
Lazima ajibu hapo mungu yupo Na Israel marekani ni mwanadamu acha uongo
@pvoiceofficialtv7630
@pvoiceofficialtv7630 5 ай бұрын
ili mueka wewe
@hubman6780
@hubman6780 5 ай бұрын
DJ SMA na Kwa faida ya wengine Unachoumwa through spinal cord kupress nerves husababisha maumivu makali. Sasa kama ni mtu unaekaa Kwa muda mrefu sana unatakiwa kuchagua aina ya mkao,usiweke waleti mfukoni.Mwisho chagua poise ya kukaa Kwa style ya mwanamke akaavyo kwenye kiti.Nenda mazoezi yanayotumia kifaa cha umeme Kwa physiotherapy.Hospital Hight tech Upanga watakusaidia
@jumaabdalla824
@jumaabdalla824 5 ай бұрын
Pole sana mungu atakujaalia uzima
@anthonmoses1200
@anthonmoses1200 5 ай бұрын
Pole boss
@sonnyr1899
@sonnyr1899 5 ай бұрын
Pole dj Smart
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 5 ай бұрын
Pole sana dj sma
@amlikejames646
@amlikejames646 5 ай бұрын
Pole mzee
@hawa6052
@hawa6052 5 ай бұрын
Allah akupe shifaa
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 5 ай бұрын
Sio kweli kabisa kumbuka kupata taarifa kutoka kwa adui yako inategeme ubora wako wa kudukua taarifa iran alitoa taarifa kwamba atashambulia lengo lake sio kuua watu wasio na hatia kama magaidi wa magharibi yey iran ametaka kuwatia adabu watumwa wa kiyahudi
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 9 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
لماذا تحريرها كلها ممكن؟ - بودكاست مع تميم
3:46:56
Quantum Technologies - from research to reality
2:02:35
The Foundation for Science and Technology
Рет қаралды 986
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН