Leo 11th May 2021 mapema asubuhi Omary AKA Marioo ameondoka Johannesburg, South Africa, Olive Tambo International Airport kurudi nyumbani Tanzania. Kwa muda aliokuwa hapa Johannesburg, niligundua Marioo yupo very humble and down to earth. Kiukweli Marioo ni mwepesi sana wa kuelewa mambo mapya.
@pacifiquerema23475 жыл бұрын
Napenda sana njisi millard anafanya, anauliza swali alafu anakuaca unaongeya,tofauti sana nawatangazaji wengi wakibongo mbwembwe nyingi hazifai. Big up bro
@mwamengele5 жыл бұрын
technique za ma psychiatrist hizo, wanakusikiliza tu unafunguka mwenyewe
@bibiejuma75235 жыл бұрын
Dah kweli maisha ni safari ndefu mndenge mwenzangu
@jonathanibrahim14805 жыл бұрын
Pacifique Rema vgj
@elizabethswai93194 жыл бұрын
Sanatuuu
@lucyhusein40433 жыл бұрын
Marioo kumbe hensm!?
@mastaplan835 жыл бұрын
Millard Ayo you are very experienced presenter i love how you are composed and give your interviewee time to xplain.
@careenchazy94715 жыл бұрын
wanao mkubali marioo tujuane dondosha like na kibao chake kikali ( inatosha)big up marioo 👊👊👊
@MaryamMaryam-me8wg5 жыл бұрын
Yuko poa sn
@ariyuabbakari73015 жыл бұрын
Mie siomshabiki Sana wamziki hira nirisikiriza mziki wako hinatosha kweri hurikuwa humejipanga vizuri henderea kukaza buti mungu atakujibu
I love vile Marioo his talking,Yuko very humble, much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪.Marioo usibadilike endelea kuwa mnyenyekevu wakenya tunakukubali
@alexmdatch5322 жыл бұрын
Mm sijakuelewa
@felistafelista7088 Жыл бұрын
@@alexmdatch532 kwaiyo afanyeje kama ujaelewa 😏
@sashoright82132 жыл бұрын
Uber ni producer mzuri Sanaa ametoa wengi Sanaa na beat zake nzur congratulations mburahat wanatoa watu wengii maarufu ad na queen video marioo we ni msaniii Bora mnooo na utafika mbali ata Kama unaimba kiswahili akija msaniii was nje we imba kiswahil na kinasikilizwaa kokotee watu tunapenda nyimbo za kikorea tukitzama tamthilia zao na wao wasioolewa watapenda tuu songesha,na kufeli shule sio kufel maisha mie nmesoma ad chuo lkn. Natgmea biashara kwa Sasa sjawah kukata tamaa kwnye kutafta much love#Mario
@aishalibondo67455 жыл бұрын
km unapenda ngoma ya raha km mm gonga like tuende sawa
@mussamarsely72505 жыл бұрын
Naikubar sana yani IPO kwenye sitor yangu ya msisha
@azizaramadhan91774 жыл бұрын
Ninoma anajua
@said306nyatu94 жыл бұрын
Usimdharau usiomjuwa nandy. Acha roho mbaya
@asnahmassawe93532 жыл бұрын
naikubali sana ngoma ya raha
@ally.abdullah.86995 жыл бұрын
kumbe Hawa wandengereko wanna vipaji Sana big up Sana kwa wandengereko km nawew no mndengereko gonga like. usiwaze
@omarisalum36995 жыл бұрын
Ally. Abdullah. mbosso
@allyamir71625 жыл бұрын
Siwandengeleko tunajivunia samata malioo na Mimi nakuja kuwa bilionea nimetajwa kwenye jalida la fobss
@meedaafarai96775 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi .pole sana.
@devotamruma34595 жыл бұрын
i have being waiting this interview for so long
@lamecksmernest96515 жыл бұрын
Daaaah ama kweli no sweet without sweat## mungu mubarike MARIOO## mungu mubarik Millard ayoo
@elchapo91255 жыл бұрын
Bonge la interview God bless you Mariooo Tonga like Kama umeikubali
@andrewmwita1195 жыл бұрын
Hongera sana Dogo marioo napenda sana kazi zako Dogo unafanya vizuri,kaza boti cha mhimu wapenda washabiki wote wabaya na wazuri
@marsgenesis72005 жыл бұрын
The guy is humble na kwenye suala la mkorogo sidhani kama anatumia ila ni kwamba ana chunusi zinazomsumbua na karibia dawa zote za chunusi huwa zinang'arisha ili kutoa makovu
@sakayonsakihunga34965 жыл бұрын
Ukosawa maranyingi dawa zakuondoa chunusi hua zina ng'arisha
@saudakayela54394 жыл бұрын
Mars Genesis nikweri sikupingi
@saididd31214 жыл бұрын
Kw
@rizikijaha33904 жыл бұрын
Hizi chunusi hataree
@celestinekhivali58244 жыл бұрын
Aki watu wabaya kumsema marioo vibaya,leo ndio nawatch hii interview but uso kuharibika Ni kawaida si must iwe mikorogo tu,alisema ajawai tumia mikorogo Mimi namuamuni wale wa kusema waseme tu,
@m-jay28405 жыл бұрын
Aki his so humble You can read he has a ver good personality honest guy
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
You can say that again my dear, more than a hamble
@michaelsamson96635 жыл бұрын
Kama na wewe umepitia misoto kama ya MARIOO angusha like yako apa.
@gowithmesafaris5 жыл бұрын
Daah! Jamaa kanigusa sana yani kapitia magumu kama yangu
@michaelsamson96635 жыл бұрын
Isaya Paul katugusa weng sana
@ibrahimrassi78355 жыл бұрын
na kubari sanaa
@ibuninkwaje31915 жыл бұрын
Yani kama kakopi ya kwangu yani tofauti ndogo yeye msani nami nakipaji cha uchekeshaji
@jafetfelix63625 жыл бұрын
Mungu amuongoze na kumuongezea maarifa Amen
@samirayussuf2804 жыл бұрын
Love you so much marioo unasautinziri Masha Allah bless nakukubali mno pigakazi brother ❤️💯
@punchlinetz5 жыл бұрын
Hii ni interview ya kwanza naiona kwa Millard ambayo kimsingi Millard hana kaz kubwa 😁😃, Marioo anajieleza vzr sana...he's 4 real..
@salomewandya72572 жыл бұрын
Saana yaan anampa nafasi ya kuongea
@faridamjungu10285 жыл бұрын
Duh! Pole sana mdg Wang, kaza buti mafanikio utayaona in shaa Allah
@alexmurithi13275 жыл бұрын
Brother Marioo, Mimi shabiki wako Sana kutoka Kenya. Wimbo wako wa inatosha uko juu saaana
@azizaramadhan91774 жыл бұрын
Tutambuane kwetunimombasa likoni
@twerkworld60494 жыл бұрын
@@azizaramadhan9177 hy
@fatumafey92565 жыл бұрын
Marioo kiboko nampenda mpaka naumwa love you 😘
@mathewtheodorynikweli57512 жыл бұрын
Kwahiyo Mimi au basi😂😂😂😂🤓🤓
@SelphahDelphine6 ай бұрын
Marioo napenda sana nyimbo zake ..Yuko on top sana mm nipo Kenya
@SelphahDelphine6 ай бұрын
Nyimbo zake zote Niko nazo ...pia nafuatilia sana...nampenda sana haswa sauti yake anapoimba
@Views-mf8ir3 жыл бұрын
Msanii wangu Bora 2021 .. He is real dil in town ..
@tiktokTviral5 жыл бұрын
A Very Talented humbleGuy 🎤#Mario👑🎶 kp it up jooh..🔝
@ayshaaysha77862 жыл бұрын
Mario
@salomewandya72572 жыл бұрын
Hongera Marioo umepambana sana👏👏👏
@deusdedithmanugulilo19805 жыл бұрын
MIllard hii inageuka kuwa moja kati ya interview bora kabisa kuwahi kufanywa na wewe, Si kwa sababu wewe ni presenter bora lakini kwa sababu ya uwezo binafsi wa kujieleza wa Marioo. In this interview you had a total relaxation since the guy knew how to tell the tale. Natamani ningemshauri kitu lakini kwakuwa sina ukaribu nae basi please only share the remaining part of this interview
@slayingtee60445 жыл бұрын
True
@michaelbwoma27605 жыл бұрын
Kma unafatilia hizi online Tv na interviews zao, this interview ina best techniques Millard anauliza na anasikiliza na anazalisha swali zuri sana
@benajra33745 жыл бұрын
Kama naww umelelewa na mama to gonga like apa
@shozylamparboom83935 жыл бұрын
Keep it up... U made it... Inatoooshaaaaa... Bonge la kaziii #marioo
@lovesamson29394 жыл бұрын
Story yako ya upande wa baba tunafanana Ila usikate tamaa unafanya mziki mzr nakukubali sana Mungu akupemaisha malefu💪💪💪❤❤❤❤❤
@yusuphharuna14765 жыл бұрын
Baba yangu aliashaniambia usitegemee ndugu yako yoyote kukusaidia mwanao ktk maisha
@patrickyohanna51205 жыл бұрын
Mchizi kanikumbusha mbali saana enzi nasoma halafu mimi ndoo fundi wa shule na kukarabati matlanga ya wanafunzi wenzangu
@salomewandya72572 жыл бұрын
Ni kweli
@aminaniyonsenga19465 жыл бұрын
I hope there is part two. This interview is really good.
@jofreymatati93325 жыл бұрын
watu wanahustle 4real
@aishakopose267 ай бұрын
Mario wewe nikijana watofauti sana mungu akupe Kila hitaji lamoyo wako ufike unapo pataka Amina🙏
@kakagranto1355 жыл бұрын
Very nice interview big Ayo good job, Marioo very inspiring ma Main
@paulgodwini29105 жыл бұрын
Bonge LA interview big up marioo
@kassimramadhani795 жыл бұрын
Kama unamkubal mariooo dondxha like hapa🔥🔥🔥
@moseshandsam18652 жыл бұрын
Mario best artist all tyms nice interview
@husnahkidula40094 жыл бұрын
Touching story 😢😢but we love you 💕
@josephmlelwa31754 жыл бұрын
Ndo inavyo takiwa,katika kupambana, maisha ndo yalivyo, big up ni story ya ukweli kibongo. Good.
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Wamama tuna pitia mengi kwenye kulea, mungu atufanyie wepesi
@fatmahamid642 жыл бұрын
Amin
@subiraally67112 жыл бұрын
Hongera Marioo
@saidahj25435 жыл бұрын
Aki watu hutoka mbali for real...God has good plan for you Marioo
@peacebrowntz39495 жыл бұрын
Saidah licious kwel umenena
@hawaseif93054 жыл бұрын
Millard ayo mtangazaji mzuri sana unajua kuhoji vzr 🙌🏿👏🏿
@wemambonde93635 жыл бұрын
Kaza mdogo wangu wa shule moja kijiji kimoja acha tu umenikumbusha mbali Sana kibiti moja ndo home
@Jc-wl6yf5 жыл бұрын
Unajua kujieleza marioo...Mungu akupeleke viwango vingine zaidi
@bongobytheway1035 жыл бұрын
dah nimeipnda story yako broda marioo ur fire since day one
@monicajulius9055 жыл бұрын
tuanapenda Sana kazi zako,ila kama unatumia mkorogo acha kabisa
@umikram67555 жыл бұрын
Haaaahaaaa
@roseignace48105 жыл бұрын
hahahaha kweli kabisa umenuna dada
@salomeally61455 жыл бұрын
Monica Julius mbona mpaka mwilini mweupe muone mikono
@hamadharerimana81875 жыл бұрын
no nahisi iyo ni skin condition(matatizo ya ngozi}
@wazirikhamisi48284 жыл бұрын
Monica Julius HAO wanatumia sikrabu
@mwana45993 жыл бұрын
He is very intelligent.
@raphaelmkumbovalane17105 жыл бұрын
Marioo ni fundi wa muziki sana yaani akiimba anatulia sana
@sangijamadukwa14865 жыл бұрын
Dah! Baba ako kafariki Mwaka mmoja na wangu! R.I.P baba
@Gospo_beats3 жыл бұрын
Sad deathday
@mosesmahinya96542 жыл бұрын
Marioo is a genius of bongo flavour
@meshackkangwe77445 жыл бұрын
Marioo💪💪💪💪 nakukubali sana nataman siku tukutane nikupe kitu💥💥💥💥👊👊👊👊🤔
@jacquelinemtei80584 жыл бұрын
Unafanya vizur sana marioo love u
@dkensmopainvevo36835 жыл бұрын
Daaa! Marioo hatimae ndoto yako ilitimia 🔥🔥🔥
@ninadelina75765 жыл бұрын
Allahmdhulilah🤲
@ellybissack82845 жыл бұрын
big up marioo mwanzo mgumu ndio km hv so ebu Fanya kitu na Nandy
@salomewandya72572 жыл бұрын
🙏🙏
@michaelbwoma27605 жыл бұрын
Daah maisha haya Marioo hajui CPU hahahahaha natania he is so humble nachelea kusema Dogo huyo ataichukua bongoflavor
@clianmichael74725 жыл бұрын
Michael Bwoma central procesing unit
@Jowelia11 ай бұрын
Marioo kama Marioo nampenda sana he is a good story teller❤😅😅
@salummwakatughu Жыл бұрын
Sanaaaaaa nakubari sana uwimbaji wako keep it up
@prince708635 жыл бұрын
Never gave up ... Mungu akikupa nafas onesha juhudi .. Ukiwa star usiwe kiburi maisha hayana wenyewe
@mbalakasulutani29425 жыл бұрын
Kujieleza ni shida wewe
@godwinegacharo90015 жыл бұрын
Huyu ndo msanii bora 2019 kwa maoni yangu
@ramadramad80504 жыл бұрын
Mond
@rayshikeli15774 жыл бұрын
Eeeh birthday ya Marioo inaendana na ya mwanangu Ashraf🙌🙌🙌big up sanaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nazgonke69184 жыл бұрын
Kama unapenda wimbo inatosha wa marioo gonga like hapa tumsupport👇
@ninadelina75765 жыл бұрын
Inshallah nakuombea kakangu utafika mbali inshallah nq ushafika mbali pia mie shabiki wako wanguvu Ilee nyimbo yako inatosha Masha Allah 💃💗
@sangijamadukwa14865 жыл бұрын
Dah! Yan lifestyles ya Maisha ya baba ako iko sawa kabsa na ya mzee Wang, japo mm wadogo zake yan baba wadogo zangu wamenpga kampan sana
@glorytarimo97305 жыл бұрын
Namkubali sanaaa marioooo 💖💖💖💖💖
@scollapatric83424 жыл бұрын
Aiseee mungu nimwema sana hongera marioo
@jameslaizer98414 жыл бұрын
I like this Story
@godwinegacharo90015 жыл бұрын
Msanii bora wa mwaka hapa Bongo. Ana ngoma Kali so kitotoooo
@lindaziti75454 жыл бұрын
Marioo napenda nyimbo zako uko vizuri sana
@jenifferfalnadesseaus56714 жыл бұрын
Nampenda sana marioo😢😢😢😢😢
@nestorykuringe91945 жыл бұрын
Km na wewe una tamani Interview indele km mm ninvyo taman gonga like hapa...
@emmanuelmahumbi35965 жыл бұрын
La msingi sana Marioo ajielimishe, pia ajaribu kutengeneza njia nyepesi kwa wanaochipukia kuepuka vikwazo alivyopitia yeye. Keep it up
@feidhabakari2614 жыл бұрын
Anaongea kwa hekima Sana nime penda 💯❤️
@mwalimmwalim63363 жыл бұрын
For the past two weeks, I have been teaching and sharpening Omary's English here in Rosebank, Johannesburg - South Africa. He has a very good power of reasoning, a surperb capacity, flexible to cooperate with and he's a quicker Learner.
@paulinemichael46582 жыл бұрын
Nmpendaa snaa yaan wee n motoo
@anithawimbe15645 жыл бұрын
Nampenda tu Millard uulizaji wake Wa maswali anakuuliza halafu anakuacha ujielezee Wengine Hata hujaelezea vizuri kashakuuliza lingine Hata hujamaliza lingine wanambwembwe nyingi Kama wauza kahawa ila Millard yuko vizuri
@anastaziaquenberth94435 жыл бұрын
Me nakukubali marioo
@monicajulius9055 жыл бұрын
part 2 plz
@harryvice775 жыл бұрын
Apo kwenye kuskilizana kanikumbusha mbali sanah
@eliaslaiser84255 жыл бұрын
Daah jamani tuangalie na aina ya vitu tunavyopaka usoni kama umemwona marioooo kwa uso sey yeeeeeh!!!
@noahchepe80365 жыл бұрын
Haha
@risperladee57184 жыл бұрын
He is humble..
@savanny_music2 жыл бұрын
Vipi Marioo ningependa utumie huo ujuzi wa kutengeza tangi ya kubeba mafuta kuzindua kiwanda chako..kama kuekeza kutoka kwa pesa za mziki...
@samirnaty87745 жыл бұрын
Big up millardayo bonge la interview tupachikie ya mwisho wake
@rahmaomary10435 жыл бұрын
Nc
@peterzjohn62605 жыл бұрын
Daaah nmepend xn hii interview, post part two bac Millard
@leonardbenjamen46944 жыл бұрын
Komaa tyyu brother kutoboa kupo
@seniroya78345 жыл бұрын
Marioo kiboko top 20 ameishusha hata kadogo ya kiba.saiz anatamba na wauwe ndio namb moja top 20 😂😂😂😂
@ramadhanimrisho8335 жыл бұрын
Nakukubali sana marioo zaidi ya sana kwanza unajua kutoa story ikaeleweka
@jumamkali3755 жыл бұрын
Rea life ya vijana wengi wa kibongo
@michaelsamson96635 жыл бұрын
Ata mimi nmeishi maisha ya msoto sana
@malafyaletistar76135 жыл бұрын
maisha ya mafanikio huwa yana safari ndefu sana
@lizzygabriel96015 жыл бұрын
😀😀 eti sauti ya nandy nilitamba nayo,ila Nampenda Sana huyo Kaka yupo real
@dogosailymusic23714 жыл бұрын
Kikweli maisha juudi zako kama unamkubali marioo angusha like chini
@mohamedabdallah75265 жыл бұрын
Interview imetulia 👊🏿
@fkingomar90774 жыл бұрын
God bless my name Omar aka marioo mungu akuekee sana my name tunaiuwanawewe Hadi kufakwetu shahidi mungu tunakusapoti kwa kilanjia Somo yangu mungu akulinde sana achana nawasiokupenda elewakizuri lazima kipendwe nahatawasiokupenda ndiochanzo chakufanya uwape ngoma kalizaidi ili wajue jina ni Omar kipajiunacho Somo keep it up somo
@خسنموس5 жыл бұрын
Safi sana interview nzr
@deboramatpapaztv5 жыл бұрын
Shilawadu wametoa sapoti sana aisee...I wish afikie level ya akina dai
@mcjayz86865 жыл бұрын
Nandy aaaaah ebwana nouma nimeipenda
@irenesluiter44965 жыл бұрын
Jaman acheni kumlaumu anajieleza sanaa.. C kila mtu kaubwa kujua sanaa anajifunza pia .bora anajieleza angesema no cment si balaa lingne loop na kwenye ukweli uongo hujitenga yanii namaanisha uso unaonyesh ada anaijua ila hawez kiri kam hakupenda shule kam alivyoyapenda na kwasababu maisha ya mtaa.. WA baba kweny familia (mnatutesea watoto sanaa) mie nimeteseka pia... Na kam anajichubua umri jamanii jamanii ataacha mbna mondi kapta kweny mkorogo na wengne Kibaoo... Jiachie baba jielezee jimwae mwae na iyo inayokuja Millard mpnz uckatee kate
waoohhh..Really..nimehakikisha interview yote naisikiliza..Marioo kwel Uko na kipaji na Mungu akufanyie njia maana upo vizur sana
@shaibhamisi62355 жыл бұрын
Mario we ni Mnyama moja Mdogo sana lakin kumbe watu hawajui tu kumbe MTU moja MKUBWA sana zaid y sana yan MTU MKUBWA San ila we MTU mzito sana katka mziki t nakupisha m man nakukubali xan
@g-spack4 жыл бұрын
Big up marioo men your an inspiration to many youth not only east Africa but africa yote,,talent and hard work pays...God guide u men...God has given u da gift for reason make a change never give up hommy.. big up ..am G +254
@godigaspatv61465 жыл бұрын
Part two iko wap ayo tv
@noahchepe80365 жыл бұрын
Mziki mzuri sana anafanya dg!!!
@tabithamuluki9342 жыл бұрын
I like this 👌
@Rafikionlinetv2 жыл бұрын
Naomba kuamkia kesho muwe mumeiweka sehemu ya pili staki ujinga kabisa🤔🙌🙌