Marioo - Asante (Official Lyrics Music Video)

  Рет қаралды 878,419

MariooOfficial

MariooOfficial

8 ай бұрын

Official Lyrics Music Video Marioo performing {Asante} Producer by Sky (C)2023 exclusively licensed Under (Bad Nation). The Music Video was shot at Dares salaam, Tanzania Director By Joma
Stream/Download Click here : africori.to/asante
Connect Digital Technician : Michael Charles Chali
/ digital_tanzania
Connect with Marioo (Badnation) on Social Media:
/ marioo_tz
/ marioo_bad
/ tz_marioo
open.spotify.com/artist/4ZTqT...
/ artist .
/ thisismarioo
#Asante #Marioo
@2023 Marioo All rights reserved
Music in this video
Learn more
Song
Asante
Artist
Marioo
Licensed to KZbin

Пікірлер: 2 300
@MariooOfficialMusic
@MariooOfficialMusic
I'm here (Chart with me)
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408
Nimeirudia mara zaidi ya 15 hadi nimefanya watu wengine kuiulizia ni nani? Ila napata vibe kana kwamba vile nyimbo imetoka muda mrefu vile kumbe nyimbo ndio kwanza ina siku moja ,kama umeielewa kama Mimi gonga like zifike kumi au zaidi nione ukubwa wa familia ya upendo
@tinnylibrary8763
@tinnylibrary8763
Nani kama marioo mpee like zake apa
@neemamabiki3923
@neemamabiki3923
Hawa ndio wasanii tunaowataka congratulations brother,wimbo wa maana kabisa.
@charitykyalo7518
@charitykyalo7518
2024 tunavuka na hii ngoma...asante baba kwa kila kitu😭😭
@lawboymaker2999
@lawboymaker2999
Wa kwanza like zenu❤❤❤
@chummakeup77
@chummakeup77
Asante MUNGU kwa nafasi nyingne 🙏🏼Asante kwa wakati huuu asante cha maumvu😢kwa furaha🙏🏼kwa kunipa maadui na wanafki ili nijifunze asante
@justinemagige1439
@justinemagige1439
Asante kwa kila leo, ipi sababu ya mimi kutembea mpaka leo,ipi sababu ya mimi kuiona hii leo,ipi sababu ya mimi kuongea mpaka leo??we ndio sababu ya mimi nadunda mpaka leo! Nikukumbe kwenye raha sio nikiumwa tu ama nikiwa nashida tu! Kama nina miguu miwili umenipa mikono miwili hapa nilipo na macho naona! Mimi ni nani nisiyeweza hata kushuru mimi ni nani nisiwe na shukurani ooooh asanteeee ooooh asanteeee asante baba asantee kwa kila leooooo...25/02/2024🙏❤
@user-sr6ow5ne6j
@user-sr6ow5ne6j
Nice song kweli Mungu wetu ni mwema sanaaaa 💗💯
@ElizaDanniel
@ElizaDanniel
asante kwa wema wako my God
@GoldenchipsChips
@GoldenchipsChips
Wimbo zenye roho na uhai wa milele ndio kama hizi ❤daah safi sana ukae kwa misingi hiyo
@cynthiambesa4350
@cynthiambesa4350
Whoooosh! Asante Baba! Asante kwa kila jambo. I can testify God has been good to me ❤ I am grateful
@Innocent635-Tv
@Innocent635-Tv
Brother nyimbo zote unazo towa zinakuwa hit song lyrics❤❤
@ShantelLarissa
@ShantelLarissa
I just found myself crying and praying 😭😭😭,asante Baba kwa Kila ktu n weng walshndwa
@havilahangie1804
@havilahangie1804
I am blessed by this song @MariooOfficialMusic
@RamadanPaul
@RamadanPaul
Much love from Makkah (Saud Arabia 🇸🇦), I love my country Tanzania 🇹🇿.
@user-tu7tl6lm8e
@user-tu7tl6lm8e
My whole family just wakes up singing Marioo 😂much loveee❤❤❤
@OthanMedia_
@OthanMedia_
Asante kwa hii ngoma 🙏 Mungu akuweke kwenye viwango vya juu sana... InshAllah 🤲
@boazyebei-me9ol
@boazyebei-me9ol
The fact that it was released on a Sunday, makes the song even more special
@marymushi5938
@marymushi5938
Mimiiii ni yupiiii nisiewezaaa, nisijeuaaaa hata shukurani❤
Marioo Feat. AliKiba - Love Song ( Lyrics Video )
3:30
MariooOfficial
Рет қаралды 10 МЛН
Marioo - AYA  (Official Lyric Video)
3:43
MariooOfficial
Рет қаралды 2,6 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
Nikurejeshee
12:42
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 223 М.
Barnaba feat Joel Lwaga - SAYUNI (Official Music Video)
3:56
BarnabaClassic
Рет қаралды 3,3 МЛН
Nita Amini (Live)
13:00
Israel Mbonyi
Рет қаралды 1 МЛН
Marioo - Asante (Official Music Video)
3:49
MariooOfficial
Рет қаралды 942 М.
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
3:30
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 67 МЛН
Marioo - Raha ( Official Music Video )
3:30
MariooOfficial
Рет қаралды 9 МЛН
Jay Melody - Mbali Nawe (English lyrics )
3:42
Jay Melody
Рет қаралды 11 МЛН
Marioo feat Harmonize - Away (Official Music Video)
3:59
MariooOfficial
Рет қаралды 2,9 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32