Mtoto Wa Mungu Huu Wimbo Niliucheza Hata Njiani Sasa tuko Wa Kushukuru.Wau BarikiwaZaburi 136:14-15.Wimbo Mtamu
@PEdouine6 ай бұрын
Amen ntapakata watoto❤
@luwinskyerror4218 Жыл бұрын
Niko kwa hostel mgonjwa na kukosa tamaa Ila kuingia KZbin kuona huu wimbo na kuuskiza Hakika nimepata ufunuo upya na kupata tamaa...Mungu uinuliwe milele❤ be blessed what a song🎉
@sarahwario97874 жыл бұрын
Sijawahi kusikia huu wimbo... Natoka kuomba saa hii nilipoingia KZbin nikaona title wa wimbo huu... Nikasema niusikize... Huu wimbo ni wangu maombi ambayo nimeyaomba the same words ndo yametumika kunena nami kwa huu wimbo... Mungu utatimiza matamanio ya moyo wangu... Na kunipa mtoto pia nami...
@angelinamwankenja77403 жыл бұрын
Oooooh the same to me nimetoka kwenye maombi naingia youtebu nimekutana na wimbo huu ndo first time kuusikiliza@Mungu nijibu zaidi niombavyo
@rehemak13243 жыл бұрын
Wimbo hu naupenda sana
@justineriziki88353 жыл бұрын
Mungu akupe haja ya moyo wako
@ezekiakyando59443 жыл бұрын
Hakika ukiamini utashinda ila uwe mvumilivu usipapase.
Wimbo nzuri sana,Martha Barasa mwenyezi mungu Awabariki sana,kwa huu wimbo,nice song 🎉🎉🎉
@MuhaweSifaАй бұрын
Baba Mungu nakuomba Unirehemu Ndani ya Mwaka huu
@DinessPhilemoniАй бұрын
Kibali cha Mungu kiende pamoja na wewe
@billgussy6099 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana❤
@Tumainmwalongo Жыл бұрын
Wimbo mzuri barikiwa sana
@sagracengoytv68865 ай бұрын
Cette chanson me fortifie, je ne peux plus pleurer encore 😥 soyez bénie maman Martha la chanson me touche😭😭
@RhodaKinya-d2h7 күн бұрын
Wimbo huu umeninguza moyo wangu,amen
@thelegendsempire72864 жыл бұрын
Wimbo huu umenitia moyo sana karibu nikate tamaa😭barikiwa Sana kimaisha na hata kwa huduma yako. Nipo Kenya🙏
@mamanyanjura7070 Жыл бұрын
Huu wimbo ulinivusha wakati nilipokua nimefikia mwisho wa akili za kibinadamu ...naupenda mno
@DinuZeno3 жыл бұрын
Nimesubscribe leo rasmi
@justusaganyilatvonline14174 жыл бұрын
Amen my sister. Mungu akubariki Sana, Yan uliponitumia link ya huu wimbo nilikuwa busy mno, leo nikasema ngoja nifungue hii link dah so special Song with Mr chidumule
@ruthambioasitwa8908Ай бұрын
Huu wimbo unanibariki congratulation dada
@madamloveness72744 жыл бұрын
Huyu madam Martha sio Martha baraka kweli
@ardoniamwantole44734 жыл бұрын
Ni yeye mama
@madamloveness72744 жыл бұрын
@@ardoniamwantole4473 wakiachika ndio wanabadilisha na jina Tena
@isabellamponela47753 жыл бұрын
Dada Martha huu winbo kweli umekuja kama neno la wakati kwangu; Nilikua kwenye haic nikausikia kweny hyo gari nikawa najiuliza huu wimbo unaitwaje, sikupata jibu Ila nikasema nitaingia you tube nikaandka marha baraka mpya . zikaja nyingi nikaujaribu kusikiliza ule wa kwanza; Nikakuta ni wenyewe! Kiukweli Mungu amenifariji! Mungu akutumie zaidi dada
@evakarumi10563 ай бұрын
I was in prayer and this song played on my youtube just as i was about to finish ! And i knew it was a sign that my Prayers have been Answered .Thankyou Jesus .
@neemanzengele71694 жыл бұрын
Ubarikiwe dada Martha wimbo unaujumbe mzuri sana na umeinua imani yangu barikiwa sana.
@ethelgivamakota71434 жыл бұрын
Kwa kweli Martha hujawahi kutuangusha! Nyimbo nzuri Sanaa zina ujumbe wa kweli. Sauti nzuri sichoki kuusikiliza. Kizuri zaidi Mzee Chidumule nae kapendezesha sana. Chaguo zuri sana. Asante mzee Chidumule. Hongereni wote
@MuhaweSifaАй бұрын
Martha ubarikiwe saana Unanifariji saana
@mutoropanzy91625 ай бұрын
Wimbo mzuri sana una mafunzo mema
@barakamichael22663 жыл бұрын
Pesa hunaa ila mungu unayee
@trafainankya33196 күн бұрын
Barikiweni sana
@surmarlenefaila97482 жыл бұрын
Mungu akubariki mama 🤗🤗🤗♥️
@EnestinaMlula9 ай бұрын
Mungu akubaliki
@faithkiilu53194 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Barikiwa sana dada
@rehemanyale22124 жыл бұрын
Mungu akubarudi dada, wimbo huu wanibariki sana
@catherinekaluki53993 жыл бұрын
Wah wimbo mtamu kabisa mm kwasiku nasikiza mala kama tano kama tuko mamoja nipe like za matha Baraka
@williamedison2066 Жыл бұрын
Neema ya mungu iwe nasi sote.huu wimbo ni maombi❤
@JonhProsper-fq5pu Жыл бұрын
Nipo hapa 2024
@vailethmwaisumo4 жыл бұрын
Hakika MUNGU hana upendeleo yeye anamkumbuka kila mtu kwa wakati, kazi njema mno
@marthabaraka4 жыл бұрын
Emeen ubarikiwe sana my sister
@emmanuelbenson61494 жыл бұрын
Oooii
@rosemnofu59403 жыл бұрын
Nakupenda buree unaubariki moyowanguu Sanaaa
@LucyEndmond4 ай бұрын
Mungu ni mkubwa Sana , asante dada yetu
@subtonts-bobbyyt374511 ай бұрын
Mungu aba bariki mume imba yimbo ya muzuri sanaa❤❤❤❤
@TUMAINIMBEMBELA74 жыл бұрын
Kitu fireeeee Kama fireeeee zaidi ya fireeee
@marthabaraka4 жыл бұрын
Asante ubarikiwe sana mdogo wangu mzuri
@mohamadhalelcouragealain83964 жыл бұрын
Très bien soeur 👏🖒
@joelmoses37894 жыл бұрын
Daaah kwamara ya kwanza namuona mzee chidumule kwenye video. Daah nampenda sana huyu mzee na nyimbo zake zote namkubali. Toa video basi mzee chidumule
@Brianpsalmist110Ай бұрын
AMEN I LOVE THE SONG..LOVE FROM KENYA
@edwardkisusuofficial4 жыл бұрын
Mzee chidumule ni balaa jingne mzee salute kwako tukutane Dodoma tena next week
@brightbright22054 жыл бұрын
Ukweli mungu ana umpedeleo amen aksati🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏💝👍👍👍👍👍madame martha mwaipaja
@e.j.starelia56724 жыл бұрын
Huyo siyo Martha mwaipaja jmn huyo alikuwa anaitwa Martha baraka but hivi sasa anaitwa madm Martha...ujur kutofautisha
@rizikidada97906 ай бұрын
Nilikuwa nimekata tamaa lakini kupitia wimbo huu nimeinuka tenaa
@suinance-jr Жыл бұрын
Madam Martha ...ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu. Uliyonena humu pamoja na mtumishi mwenzio kwakweli mbarikiwe hakika yanatimia❤️🙏
@amisarurangira52684 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana tena Sana tena Sana.nilikuwa kwenye kuvunjika moyo lakini nilipata tumaini kupitia wimbo huu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💐
@godsonmanasse90273 жыл бұрын
Unaimba vizuri Sana dada ila Mungu akuongoze ktk mavazi mavazi yakubana mwili yanampa nafasi shetani yakukushitaki mbele zaMungu,nasema hivi kwasababu nimejifunza kuna siku nilikuwa naenda kufanya huduma mahali nilivaa sket ndefu tu ilakidogo ikanionyesha umbo lamwili wangu Mungu Baba Wambinguni akasema namtumishi waMungu anifikishie ujumbe kuhusu mavazi Mana shetani anamshitakia Mungu chochote tufanyacho natuvaacho namatendo maana yeye nimshitaki wandugu hadi sasa nimebadilika kimavazi Kazi nzuri Mungu akubariki Sana
@emilynekesa14752 жыл бұрын
Pawer full massage just for me,God bless you sister 💕
@agapeelias7402 жыл бұрын
Hakika Hana upendeleo Mungu wetu ..barikiwa sana kwa ujumbe hakika unatia moyo 🥰
@MariamJonasi-m2m3 ай бұрын
Wimbo huu unabariki sana
@johnochieng39664 жыл бұрын
nyimbo nzuri kama wewe mwenyewe,,,zidi kutubariki mama
@damasmushi17924 жыл бұрын
Waoooooo jamani nyimbo nziiiiiii.naomba unijibu kwanini ulibadilisha jina matha baraka to madam matha
@catekadogo58334 жыл бұрын
Narudia Mara karibu kumi nackia inanibariki Sana
@annathomasresived7901 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni amesikia maombi yang Amen
@papafikiri4 жыл бұрын
Bonge la wimbo aisee...Mungu awainue zaidi na zaidi..Martha hujawahi kutuangusha kabisa.
@leonardsingano98804 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu,,,, Mungu akutangulie katika kazi yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@debilindasalamaofficial15734 жыл бұрын
Aiseeeee hii kitu unaujumbe mzuriiii Hongera sana
@marthabaraka4 жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe sana pastor
@MetrineIsoiАй бұрын
You are just a blessing 🙏🙏
@ARCHANDRAMUMBUNGU3 жыл бұрын
Vaa nguo ndefu hadi chini kama hiyo iliyomwaga chini zinakupendeza sana dada na Mungu atakubariki
@JeanKokolo-d2l6 ай бұрын
Aksate kwa iho nyimbo mungu akubariki
@lumamichombochayesu1838 Жыл бұрын
Huu wimbo ujumbe uliyotumika unagusa pande zote, Mungu azidi kuwafunulia zaidi watumishi wa Mungu, @Marthabakara & Chidumule
@benadetasarungi18404 жыл бұрын
Huyu Martha nyimbo zake karibu zote ni tamu unapenda kusikiliza tu Abarikiwe
@jumanneustambe44774 жыл бұрын
Unaweza nakukubali sn mng atuongoze sote na kumuabudu🙏
@holyspirit33524 жыл бұрын
I'M FROM DR CONGO EX ZAIRE. YANI MZEE COSMOS CHIDUMULE SAFI SANA.MZEE UMENIKUMBUSHA ROCHERO TABU LEY. MIGUU YAKO NIKAMA YA MAREHEMU TABU LEY WAKATI ALIKUWA KIJANA NA SAUTI YAKO NI NZURI SANA ,ATA YA DADA MARTHE, KEEP ON.TUKO WA MOJA
@buckupaccounts41623 жыл бұрын
Chidumule mtu m'bad umefunika nyimbo baba... Hongera sana
@fidelisluvanda3585Ай бұрын
Wimbo umenipa tumaini jipya
@janemwambola56183 жыл бұрын
Barikiwa sana wimbo uko poa unanibariki mnooo mbarikiwe san
@remmysella78484 жыл бұрын
Katika waimbaji wa nyimbo za injili ninao waadmire da martha upo kitu uniqunie ulichona ni vocal iko vizuri Cha pili your dance toka nyimbo zako za mwanzo uko vizuri.barikiwa Sana Sana na nakuombea ufike mbali.amen
@simonandiva5272 жыл бұрын
Amen Yesu akubariki Sana mtumishi WA mungu nakutakia asidi kukuinua kwa kazi yake 🇰🇪
@edwardkisusuofficial4 жыл бұрын
Mzee Mungu akutunze sana
@amosisack27382 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana inabidi hata wasanii wote wakuige zaidi sauti nzuri,,nabarikiwa sana Hadi natiririsha machozi ya furaha kupitia roho mtakatifu
@BoscoOwira4 ай бұрын
Wow NICE SONG SIS MUNGU BAKIRIKIWA SANA WEWE
@SuzanLyatuu11 ай бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo
@SelpherBalvin4 ай бұрын
60yrs have nothing my5sons no jobs ,no one's help but through this.song our family is going to be blessed.ASANDEbBaraka.
@HASASON4 жыл бұрын
Ila mtu mwenye viongo vyote kuomba omba ni dhambi (simaanishi kuomba) bali omba omba, unaweza kuomba msaada mara kadhaa ukasaidika ila hii tabia ya kukaa barabarani kuanza kuomba omba kuanzia asubuhi mpaka jioni kila siku ni tabia mbaya sana especially kwa mtu mwenye viungo vyote, yaani hata unaenda kinyume na NENO la Mungu
@essahsaimonmwalwega60974 жыл бұрын
Martha unaimba vzr Sana... Mungu akutunze
@jameskutah34992 жыл бұрын
May my God bless you all.i love you ndungu na dada zangu .. kazi na barikiweni sana.
@jonathanjosiah1003 жыл бұрын
Barikiwa sana dada kwa kazi nzr pia mpe hi uncle chidumule
@honorathamuzuli57343 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana huu nimebarikiwa na kujengwa hongera dada kushirikiana na mtumishi chidumule
@Godefroid-b8p3 ай бұрын
Mungu hana dini. Sote,tunatumainia yeyetu.
@MAGRETHMWARABU11 ай бұрын
Napenda sana nyimbo zako Martha baraka ❤
@andrewsimwinga67835 ай бұрын
Nina barikiwa sana niskiapo wimbo huu hakika mungu ni mwema mbarikiwe martha na mtumishi cosmas
@gervasexavery29772 жыл бұрын
Mapambo yatawapoteza na kazi yenu itakuwa bure wanangu
@gabrielsamuel14 Жыл бұрын
Asate sana kwa wimbo ju Mungu alubariki🙏
@DorcasSwago-oe4ex Жыл бұрын
Iko powa sana jamaniiiiii, na venye beat yake ukisikiliza ni kama ya Diamond}}} Nataka "Kesho"
@gracebenjaminnapokeakatika95652 жыл бұрын
Amina!! Dadaangu mungu akupe wingu jepes ktk uimbaji
@samsonsammyofficial37144 жыл бұрын
Hana upendeleo Barikiweni sana
@simonrowa40613 жыл бұрын
Asante kwa wimbo huu. Umenijia kwa wakati. Kazi safi Mzee Chidumule na Martha❣️❣️❣️🙏🙏🙏
@annemalesi18564 жыл бұрын
Nilikuwa nimekata tamaa ..kept wondering mbona mungu anainua tu wengine ..thanks 4 the word of encouragement..
@evaakyoo30094 жыл бұрын
Mimi mungu kaniacha...mungu ni wale tuu
@annachales96234 жыл бұрын
Kweli Mungu anajua kutengeneza. Ona dada Mather unavyopendeza.
@ErickChonya9 ай бұрын
Ubarikiwe sana dada
@Iotochakitulostaffeur7 ай бұрын
Nyimbo zako zinazidikutupa matumahini yakuzidi kumtegemeya Mungu dada yangu,ubarikiwe Sana kwa kaziyako.
@newtonsimba79306 ай бұрын
Amen. Powerful❤🇰🇪.
@mamanyanjura7070 Жыл бұрын
Mungu akulinde mwimbaji ....huu wimbo ulinivusha kipindi Fulani kigumu sana....majirani zangu walilazimika kuujua maana ilikua asubuhi mapema naamka nao Kwa sauti kubwa nacheza Kwa kuurudia hata mara kumi nafsi yangu ikilidhika Nazima redio naenda kazini
@geraldsenkondo43344 жыл бұрын
Chidumule sauti bado nzuri Sana barikiwa sana
@veronikavero-wg2px Жыл бұрын
❤❤ mungu ni msaada wetu kosimasi mungu akurinde
@charlesnyenji41804 жыл бұрын
Amen dada hakika! Mungu hana upendeleo
@enoshmhemakapaya4 жыл бұрын
Dahhhhhh sister umependezaaaaaaaa utafkil unakua bint..huuwimbo pia umeonesha ukomavu,,,,,,saaaaaf
@josphatmoses62145 ай бұрын
kenya we are sorted pure gospel
@monicamwandwanga99554 жыл бұрын
Mungu hajawahi zeeka wala Hastafu Mungu awabariki mnoo
@marthabaraka4 жыл бұрын
Emeen ubarikiwe sana mdogo wangu mzuri
@denisngenzi15763 жыл бұрын
Uinuliwe song haipàtikani kabisa KZbin. Please uweke ninaihitaji