Martha Baraka - Furaha (Official video)

  Рет қаралды 604,386

Martha Baraka

Martha Baraka

Күн бұрын

Пікірлер: 193
@masudidanielwadorcas1076
@masudidanielwadorcas1076 Жыл бұрын
Nikupe Nini ajili ya nyimboko? Mungu unayemtumikiya akulinde maman🎤🎻🪕🎸🪘🥁🎹👍🇨🇩♥️🙏
@happinesswilliam2948
@happinesswilliam2948 Жыл бұрын
Nani amecheza zaidi 3 gonga like hii nyimbo yangu ya weekend kuanzia leo hipo kwenye list ya sebena la Yesu
@mbazur8561
@mbazur8561 Жыл бұрын
Nakupenda sana dada kunyimbo zako ubalikiwe sana mungu agupe sifa
@jolie2768
@jolie2768 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kazi ulio tangaza habari njema kwetu habari za yesu
@kateprincess5603
@kateprincess5603 Жыл бұрын
Thanks God p❤️❤️❤️💯💯🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@maulebanalimaulebanali7281
@maulebanalimaulebanali7281 Жыл бұрын
Unajuwa Sanaaaaaa mungu akubariki sana
@sikuzanlyanda692
@sikuzanlyanda692 4 жыл бұрын
Hakuna mtumishi hapo naona kahaba akiimba tu.acha kulitukana jina la Bwana kwa kuleta styles za kimalaya.
@mutalemwagabrie9791
@mutalemwagabrie9791 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abednegosimoni7716
@abednegosimoni7716 4 жыл бұрын
Hahahahahaha🤣🤣🤣umenena kwer
@innocentgabriel4722
@innocentgabriel4722 5 жыл бұрын
Kama umebarikiwa na Nyimbo ya Dada Yetu Martha baraka gonga like yako hapa "Tuserebuke"
@mariampaul4262
@mariampaul4262 5 жыл бұрын
Mungu akubariki Dada
@simbalion8007
@simbalion8007 5 жыл бұрын
Babu kubwa
@innocentgabriel4722
@innocentgabriel4722 5 жыл бұрын
Hakika furaha nikuwa ndani ya Yesu
@sabrinakenya2353
@sabrinakenya2353 5 жыл бұрын
❤ U Martha 💃💃💃barikiwa.
@stevenfungo1541
@stevenfungo1541 5 жыл бұрын
KIUKWELI MNAVOANZA KUIMBA MNAIMBA VIZURI MKIPATA HELA MNAIMBA ILIMLADI MNATAKA HELA TUU
@mwakisukuli2124
@mwakisukuli2124 4 жыл бұрын
Habari sana Dada Martha nakupendaga sana
@wintetajean6122
@wintetajean6122 3 жыл бұрын
Omgera Dada ,Martha baraka ,Bwana yesu akubarki ,saana ,Usirudi nyuma songa mbele katika jina yesu
@gracenziavake2957
@gracenziavake2957 4 жыл бұрын
Kabisa ni hatari tuselebuke
@mwakisukuli2124
@mwakisukuli2124 4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@lusajomwasomola5002
@lusajomwasomola5002 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua zaidi dadangu kipenzi na akulinde katika kazi yako isonge mbele!
@lucyalbert5132
@lucyalbert5132 4 жыл бұрын
nimependa sana umeimba kwa hisia sanaa
@cheroochristine4298
@cheroochristine4298 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sna.
@kaachonjo263
@kaachonjo263 5 ай бұрын
Napenda huu wimbo sana na sijauona tiktok
@brownmwailunda1436
@brownmwailunda1436 Жыл бұрын
Sikiliza Maneno yake huu ni wimbo wa furaha unataka Aimbe akiwa Amenuna? Hongera Matha kwa Wimbo Mzuri na kuuichi wimbo huo Mzuri na wenye furaha
@barakakidugutu944
@barakakidugutu944 2 жыл бұрын
Yani wewe Dada uimbaji wako sasaiv auweleweki hata kidogo,, sijui Freemason washakuchukua,,,!!!
@annawilson3324
@annawilson3324 3 жыл бұрын
Mungu akubariki,mebarikiwa na wimbo
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 4 жыл бұрын
Martha kuna kitu hakipo sawa my sister.nani ya Yesu kivipi na umemkimbia Mumeo?
@annamina-cb7il
@annamina-cb7il Жыл бұрын
Amen power full
@lukekibaliofficial8444
@lukekibaliofficial8444 2 жыл бұрын
I get inspired anytime i watch you sing......more grace
@georginaopati9587
@georginaopati9587 3 жыл бұрын
⚘Martha nakupenda na nyimbo zako
@japhetdaud3889
@japhetdaud3889 5 жыл бұрын
Ndombolo ya solo au - mnamwimbia nani mbona hakuna tofauti ya music wa duniaa? badirikine mtukuzeni Mungu kwa staha!
@gospelextramusic6734
@gospelextramusic6734 Жыл бұрын
Mtanxania mie niko DRC. Umefanya kazi muzuriii
@enizemwayingatv4651
@enizemwayingatv4651 5 жыл бұрын
Hongera sana dada umenibania kichwa
@joelshadrack2812
@joelshadrack2812 5 жыл бұрын
Kwa kweli huyu yesu ,ni mwana wa mungu. amefanya makubwa mpk nashindwa kusema
@SaulN-el7ge
@SaulN-el7ge Жыл бұрын
Very inspiring! I love your songs.Mungu akuinue kabisaa.........
@kitasyajohn6033
@kitasyajohn6033 4 жыл бұрын
Tatizo waimbaji was kike mkifanikiwa mnaachana na waume zenu mnaanza kudanga mnaanza kuhisi mlikosea kuolewa hamna unyenyekevu kabisa jifunzeni kwa jenifa mgendi ni mfano wa kuigwa
@priscillajm2676
@priscillajm2676 2 жыл бұрын
I love u dada martha. Unanibariki sana. Keep shining👍
@divinemwakapina4059
@divinemwakapina4059 4 жыл бұрын
Dada Martha hongera saana kwa kazi nzuri. Wimbo ni mzuri na matukio yamechukuliwa vizuri. Mungu azidi kukuinua na anapokuinua zaidi wewe uzidi kushuka zaidi. Utafika mbali sana
@josephlaizerlaizer2187
@josephlaizerlaizer2187 5 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi nymb n nzr sn
@fortunatathopist3813
@fortunatathopist3813 4 ай бұрын
Matha je nikwei mm eachana na mumewe
@tabithakalani2277
@tabithakalani2277 4 жыл бұрын
Watching from saudia.❤😍💗💗wacheni Mungu aitwe Mungu
@darlingtonmugenyi2516
@darlingtonmugenyi2516 4 жыл бұрын
hello, Martha thnx for the Gopsel. Go higher and higher, God bless you
@lidyalaizer7491
@lidyalaizer7491 5 жыл бұрын
Hongera sana Dada kazi nzuri sana
@loningonaibala5530
@loningonaibala5530 5 жыл бұрын
Press mungu akusidishe Neema kubwa amen
@jamessadickmdende7944
@jamessadickmdende7944 3 жыл бұрын
Hakika ndan ya Yesu ni furaha tu ubarikiwe sn Madam
@enjophilipo4472
@enjophilipo4472 5 жыл бұрын
Barikiwa sana dada nimeielewa sana
@deogratiusalex2088
@deogratiusalex2088 Жыл бұрын
kazi nzuri sana, tuendelee kusapotiana
@LuganoEdom
@LuganoEdom 5 жыл бұрын
Sebenee ya hatariii
@mkambilwatabu8702
@mkambilwatabu8702 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri naipenda sana
@Benoît-s7b
@Benoît-s7b 6 ай бұрын
Aksanti Sana muimbaji wangu❤
@dianarichard2518
@dianarichard2518 4 жыл бұрын
Tunaselebuka ndani ya Yesu, Safi saaaaaana
@cathelinemaurid898
@cathelinemaurid898 4 жыл бұрын
Uko juuu Dada matha
@sabinajames6539
@sabinajames6539 5 жыл бұрын
Kwa yesu raha sana
@sesiliajoseph211
@sesiliajoseph211 5 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbozako dada Martha mungu akubariki
@godfreykabigi1506
@godfreykabigi1506 5 жыл бұрын
Nabarkiwaaaa sana kupitua weww mic rose muhando
@EdwinMrope
@EdwinMrope 5 жыл бұрын
Bonge moja la wimbo...
@jemamichael4847
@jemamichael4847 5 жыл бұрын
Mama ombeni naona furaha kama yote na your daughter hakika mungu ni mwemaaaaaa thnx dada martha baraka
@priscarpatrick2875
@priscarpatrick2875 5 жыл бұрын
Hallelujah Dada wew ni mwimbaji wa kimataifa hakika nabarikiwa mno na nyimbo zako. Mungu akupandishe viwango hadi viwango 2019 ni fireeeeee
@eliandismas3830
@eliandismas3830 3 жыл бұрын
Almighty God bless u 🙏🙏 Nice song 💞💞 I like this song is so nice to me
@marykibali7568
@marykibali7568 5 жыл бұрын
Kwa yesu Raha jamani barikiwa Sana
@phoebejobando852
@phoebejobando852 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dadangu
@priscardanier8264
@priscardanier8264 2 жыл бұрын
Walikuwa wananikimbia wakinioana Leo wananikimbilia wakiniona
@AlexJoseck
@AlexJoseck 4 жыл бұрын
Mtumishi nimebarikiwa nimeserebukaaaa!!!!! Ameeen
@saintmichael3659
@saintmichael3659 5 жыл бұрын
Dada wa masebene...yesu azid kukubariki
@eliasrukindo7908
@eliasrukindo7908 4 жыл бұрын
Aminaa
@brysonmwakina
@brysonmwakina 5 жыл бұрын
Nimwite Mum Africa napenda hiii ni njema umebarikiwa sana Martha
@IrakozeReponse-mf2nk
@IrakozeReponse-mf2nk 5 ай бұрын
Kali
@mwajumahassan6023
@mwajumahassan6023 3 жыл бұрын
Barikiw sana mama lao
@ruthmtata62
@ruthmtata62 5 жыл бұрын
Haleluuuuuya sebene la Yesu.well done sister Martha Mungu azidi kukutumia na kukuinua juuuu
@sarahmarco3046
@sarahmarco3046 5 жыл бұрын
Ubarikiwe dada yetu kwa wimbo mzuri unaompa utukufu Mungu wetu azidi kukuinua juu zaid
@bintirichard7284
@bintirichard7284 5 жыл бұрын
Ndani ya yesu ni furaha tupu, ubarikiwe sana dada🔥🔥🔥🔥🔥
@ernestemulenda3176
@ernestemulenda3176 2 жыл бұрын
Hoôoo la maison que j'
@machozihakizimana321
@machozihakizimana321 5 жыл бұрын
Nyimbo zako nimotooo tuu 🙌🙌🙌😘😘😘
@vincentluubi1252
@vincentluubi1252 2 жыл бұрын
iam Vincent thanks God bless you iam in zbimbia
@francismalanji3998
@francismalanji3998 5 жыл бұрын
very nice
@francismalanji3998
@francismalanji3998 5 жыл бұрын
very nice
@attumahinya2564
@attumahinya2564 5 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia nimebarikiwa sana
@asnathallymambo6360
@asnathallymambo6360 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@kissyboy7179
@kissyboy7179 3 жыл бұрын
Best naso
@anjelistaerasto2209
@anjelistaerasto2209 4 жыл бұрын
Jamani mko vizuri furaa ndani ya Yesu
@babalily4516
@babalily4516 5 жыл бұрын
Asante sana, nimeburudika na kubarikiwa kwa wimbo huu, naupenda pia wimbo ule wa Nimekuja na Maua na nyimbo zako nyingi sana nazipenda, ubarikiwe sana
@rebeccasanga6654
@rebeccasanga6654 5 жыл бұрын
Nakupenda bure dada martha
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 5 жыл бұрын
.
@happyrogasiani2936
@happyrogasiani2936 5 жыл бұрын
kuwa ndani ya Yesu Kristo n Furahaaaa
@dianarichard2518
@dianarichard2518 4 жыл бұрын
Sanaaaaa
@meleahmtomo9877
@meleahmtomo9877 5 жыл бұрын
Waoooooo HAKIKA kuna furaha ya ajabu sana ndani ya YESU
@sabrinakenya2353
@sabrinakenya2353 5 жыл бұрын
Rahaa ilioje kuwa ndani ya YESU.
@abdulymoyogani3444
@abdulymoyogani3444 5 жыл бұрын
mbona unamuimbia mungu Na kimini huu wokovu wakisasa alafu Hakuna maadili ya injili ya Kristo ajizanie amesimama aangalie asianguke kama bongo fleva jamani tubadilike tusitukanishe jina lamungu
@abdulymoyogani3444
@abdulymoyogani3444 5 жыл бұрын
mungu hazihakiwi jamani ichokimini unamuabudu Nani jamani
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 4 жыл бұрын
haleluhya haleluhya haleluhya haleluhya God bless you my dear
@mariahongerasanabekanakuku8888
@mariahongerasanabekanakuku8888 5 жыл бұрын
Huyu yesu daa jaman hatari nimebarikiwa sana
@emanuelgwau5762
@emanuelgwau5762 5 жыл бұрын
hongeara Dada barikiwa
@anicethdaniel5477
@anicethdaniel5477 5 жыл бұрын
Safi sana mamaaaa masebene
@japhetmyinga9071
@japhetmyinga9071 5 жыл бұрын
A ngoma hali nawabili saaaan by yohana Tz 1,
@suzanmarco5447
@suzanmarco5447 4 жыл бұрын
Nice song
@valentinamangula1128
@valentinamangula1128 5 жыл бұрын
Kweli watu wa nashangaa yesu katupandisha thamani furaha kuwa ndani ya yesu barikiwa mno mtumishi
@sumokamo9328
@sumokamo9328 5 жыл бұрын
Valentina Mangula nikwel wengi wamekuwa wakichuki kuona mwenzao akiinuliwa hawakumbuki kama ukiendekeza tamaa mberee mauti nyuma umenibaliki sana wimbo huu ni fulaha kweri
@nehemiambembela442
@nehemiambembela442 5 жыл бұрын
Nzuri sanaaaaaaaaaa naipendaaaa
@StephenKasolo
@StephenKasolo 5 жыл бұрын
God bless you for me Siz . Karibu Kenya
@geradinechaula2438
@geradinechaula2438 4 жыл бұрын
😌😌😌😌iko wapi njia ile ya zamani
@shakamweni6847
@shakamweni6847 2 жыл бұрын
Marha baraka
@cesiliasanjah4119
@cesiliasanjah4119 5 жыл бұрын
Selebuka Mtumishi
@pintymelodytz913
@pintymelodytz913 4 жыл бұрын
Ok Sister Unajuia Kiasigan Nakukubali
@ladyannmusic5763
@ladyannmusic5763 5 жыл бұрын
Karibu tena Dada mpendwa Kenya tuna kupenda
@adrianomgimba5043
@adrianomgimba5043 5 жыл бұрын
Barabarrra........
@laizsuke8265
@laizsuke8265 5 жыл бұрын
Makelele tupu, ovyooo kabisa
@josephluena7278
@josephluena7278 3 жыл бұрын
Imba wewe
@ماربيلا-ب4ن
@ماربيلا-ب4ن 2 жыл бұрын
Amen Amen
@briannyiti208
@briannyiti208 5 жыл бұрын
Dada ubarikiwe nakupenda bure ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@emmanyuelokabefu5699
@emmanyuelokabefu5699 5 жыл бұрын
napenda sauti ninomaa
@agnesvictory516
@agnesvictory516 5 жыл бұрын
Waoooooooooo dada nimebalikiwa nao
@benardsamwelministry7024
@benardsamwelministry7024 5 жыл бұрын
umetisha sana sister
@mikidadihamisi4927
@mikidadihamisi4927 5 жыл бұрын
Asante nyimbo nzuri sana
@blessingmwakalindile585
@blessingmwakalindile585 5 жыл бұрын
Wimbo mzurii...hongera Matha
@nellychengula6886
@nellychengula6886 4 жыл бұрын
Barikiwa sana
@theresiangunda2298
@theresiangunda2298 4 жыл бұрын
Wokovu mgumu sana Wewe Dada wacongo wameshakumaliza kabisa
Martha Baraka Ft Chidumule (Official Music Video)
7:11
Martha Baraka
Рет қаралды 2,1 МЛН
Martha Baraka - Heri (Official Music Video)
8:03
Martha Baraka
Рет қаралды 235 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 30 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 306 М.
ANGELA CHIBALONZA MIX// DJ CEA 254 @livenationke
1:04:24
Dj Cea kenya
Рет қаралды 98 М.
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Oliver Aswani
Рет қаралды 2,9 МЛН
CLAUD MWAKALASYA ft MARTHA BARAKA-HALLELUJA [ New Official Audio Video]
5:11
CLAUD MWAKALASYA OFFICIAL CHANNEL 🇹🇿
Рет қаралды 4,5 М.
Martha Baraka - Jina Kubwa (Official Music Video)
8:41
Martha Baraka
Рет қаралды 592 М.
-HERI MWISHO- ( official Video) #armeecelesteband #herimwisho
8:13
ARMÉE CÉLESTE BAND official
Рет қаралды 140 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 6 МЛН
Martha Baraka - Nimekuja Na Maua (Official Music Video)
8:29
Martha Baraka
Рет қаралды 3,9 МЛН
Emmy Mahitaji  ft Martha Baraka - Wanajitesa bure (Official Video)
7:47
Worship medley ( Project 7 )
25:33
Lloyd Phiri
Рет қаралды 54 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 30 МЛН