Wenye wametoka TikTok Beatrice akianika Martha na bdo tunampenda waweke like jameni
@WillingtonMagbell-bi5py25 күн бұрын
My favourite gospel artists ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ElishaElishadai24 күн бұрын
Wangu nyimbo zako tamu xana kbx
@baliSkk3 күн бұрын
Beatrice hakumuanika Martha Beatrice anapenda dadayake na anataka akombolewe
@harrietkambua1399Күн бұрын
Who's here in 2025🙏❤️❤️
@HabeeberSalumuАй бұрын
Walio view this song baada ya kupata skendo za dada naomba like hapa Ila mungu akutie nguv dada maisha yanasiri kubwa sanaaa Nakuombea utashinda
@Akimankevine6 ай бұрын
Warundi wenzangu nani amependa iy nyimbo Kam mimi naomb at like moja❤
@Princesam74693 жыл бұрын
Martha barikiwa sana KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunakupenda,,,,,,wapi likes za wakenya
@RoroRoserororo3 жыл бұрын
Tena sana
@anneomesa4053 жыл бұрын
I love Martha. I see the glory of God through her physical appearance and ministry. She's glorious!! Love from kenya
@Princesam74693 жыл бұрын
@@anneomesa405this is true
@ningebrigitte63142 жыл бұрын
@@Princesam7469 merci dada Mungu akubariki
@ezekielrobart16452 жыл бұрын
@@RoroRoserororo but not apop
@Hillz5339 ай бұрын
Good morning i need prayers 😢
@joyandhopejahmediagroup97878 ай бұрын
kama uko hapa 2024 na bado unabarikiwa sema Halelujah
@annarweyemamu34718 ай бұрын
Neema ya Mungu huja kwa wakati wake,mwamini Mungu ndugu yangu utafanikiwa
@AnisaMwende8 ай бұрын
Halelujah , Amen
@AgnessKomba-qg1es8 ай бұрын
Haleluya
@janemuthoka46457 ай бұрын
Hallelujah
@AshleyRose-m7z7 ай бұрын
Aleluya@@AnisaMwende
@SemeniModoАй бұрын
Simama imara mama..embu tafakari bikira maria mama wa Yesu alibeba mimba nje ya mume wake..je majiran walimjadilije walipo sikia kabeba mimba ya rohon mtakatifu wasioamini walimhukumu vip yule mama??hivo jifunze kunyamaza itakusaidia
@kizito8592 Жыл бұрын
Hii nayo ilinifunza kwamba kila MTU na siku yake ya kubarikiwa usikasirikie mwenzako anapo barikiwa ngojea kwa Mungu baraka yako
@davisdid6739 ай бұрын
Kweli tulipokuwa tuna tembea kwa miguu kwa nehema tunapo zunguka na Gari leo wale jana walitu dharau leo wame badilisha Maongezi Kila mtu na mda wake kweli
@JosueBamaraki-x8wКүн бұрын
Mimi Niko ituri bunia town kwa democratia ya Congo , kweli unanibarikiaka sana kwa maisha yangu ya kiroho, Mungu akubariki sana maman mjakazi
@doreenotunga83663 жыл бұрын
Hatufafani😍😍, juu wimbo ni ya kumpa mtu tumaini.. Kuna neema inakusaidia na ni kutoka Mungu. Kila mtu na neema yake.
@DeboraMaiga11 ай бұрын
Matha mungu akutangulie maana nyimbo zako huwa zinanifanya moyo wangu unakuwa huru sana
@Fatuma-s4i Жыл бұрын
Martha mungu azidi kukuinua wewe unafariji wengi walio vunjika mioyo tunakupend from kenya💖💖💖
@bronzejeru28143 жыл бұрын
Everything about this lady is perfect....from her spirituality ,lyrics, holiness, neatness, dress code and vocals 💗💗💗💓💓
@gordonomondi71613 жыл бұрын
Very simple lady, No spirit of Jezebel in her. Some gospel singers are too worldly in their dressing ie bright red lipsticks, bleached skin, admiring the white man's skin, fake hair and nails. ( Very unsophisticated gospel singer). Keep it up.
@wendymatara57103 жыл бұрын
@@gordonomondi7161 treu
@tomkiptenai3 жыл бұрын
Absolutely. Great content 👍
@sylviamurumba15372 жыл бұрын
My best gospel atleast ever God lift u mama as y continue blessings us through ur songs,ur simplicity is admirable....yes mungu hatazami Kama mwanadamu
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@yvonneanyango60102 жыл бұрын
I hear all the gospel but hearing this made me think of my mom ,who is sick please put me in prayers and may she receive the healing in Jesus name 🥺🥺🙏
@lidahmukiri4768 Жыл бұрын
Healing is her potion in Jesus name Amen
@landuhorseylandu9532 Жыл бұрын
let jesus christ do samething
@teacherbenreagan Жыл бұрын
I begin by saying our portion as children of our Lord and His son Jesus christ,we are ordaimed to be healthy at any cost. We are above every sickness and health attacks. I command healing upon her life in the precious name of Jesus christ
@SallyAjaa2 ай бұрын
Kama waamini kwamba Kila mtu ana neema yake weka lit plz, am more blessed with this song🙏🙏
@dennismongere230Ай бұрын
Hatufanani enyewe mungu ndie anajua.
@boaznyachon28352 жыл бұрын
Am a Muslim but can't stop listening to matha's songs so uplifting,whenever I feel sad just go to her KZbin channel and just like that I conclude kwamba hatufanani.thank u God for giving us matha
@evansandembe75632 жыл бұрын
True.boaz
@marynagudi19622 жыл бұрын
We love you.....
@johnokiring4461 Жыл бұрын
Then give Jesus Christ your life that Jesus wo is in Martha.
@aleezagalido8688 Жыл бұрын
Am a Muslim too
@yegonvictor6728 Жыл бұрын
@@aleezagalido8688 Jesus died because of our sins brother
@praiseandworship62933 жыл бұрын
If you are reading this, may God remove your pain, worries and problems, and replace them with good health, happiness and peace. In Jesus Mighty name. Amen
@naketizainabu78033 жыл бұрын
Amen and same to you 🙏
@beautylulu99083 жыл бұрын
Amen
@SellyB-swt3 жыл бұрын
Amen...
@enidcoha69873 жыл бұрын
Amen and Amen 🙏 🙌
@ashamaureen97153 жыл бұрын
Amen
@wycklifeoketch6 ай бұрын
Amen 🙏 Let me leave this comment here so that when I will be gone in 80yrs to come, some people will read it.
@ManirakizaAimee3 ай бұрын
Martha barikiwa napenda sana nyimbo zako❤🎉🎉 kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@JuniorGaddafi39783 жыл бұрын
Dada Martha huwa nyimbozo hunibariki mnoooo Tangu nikujue yaani sijawahi jutia.... Nairobi, Kenya 🇰🇪
@beingpurity Жыл бұрын
If you're here listening to this song after 5years weka like yako.
@DanielChauya Жыл бұрын
We love you from Iringa Tanzania 🇹🇿🇹🇿 tunakupenda sana 🙏😍😍🙏🙏
@mirajinabaswa24925 ай бұрын
Kama unakubali kil mtu ana neema yake gonga lykes za Martha plz
@sinaimasoud74403 ай бұрын
Hakika
@LilianLuvuka2 ай бұрын
I love this song,huwa yote napitia huu wimbo unanikuza
@KennedyLundoyi Жыл бұрын
This woman is anointed and she has an excellent spirit. Continue with the same spirit. The crown awaits those who are not ashamed of Jesus🙏♥️🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@hamisathuman258221 күн бұрын
Mimi kila ninaposama isiku kuomba huwa nakuombea martha na nyimbo zako zinanitia nguvu ya kumpenda Mungu hivyo usiache kuimba kwasababu kuna watu wengi nyuma yako wanakufuata na kumwamini Mungu kupitia karama yako ya uimbaji.❤❤
@marysnider40883 жыл бұрын
Martha na siku moja nitaimba kama wewe.Napenda sana injili kwa nyimbo zako.
@felixmuteti56042 жыл бұрын
Sure
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@silvanusotienoawiti77092 жыл бұрын
Bora ukuwe na upendo na watu
@princebravoKE3 жыл бұрын
Others will realize this blessing later but for us tumegundua mapema hatufanani, asante Yesu🙏!
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@mamelitangemela24052 жыл бұрын
Sure, Only God knows everything about us.
@betreacechebet26642 жыл бұрын
Kweli hatutafanana
@maxachaba43612 жыл бұрын
Kila mtu na neema yake hatulingani asante
@franciswathika12022 жыл бұрын
Halleluyah
@AminaMaftah-t9l7 күн бұрын
Amen! Kwakweli hatufanani na mkamilfu ni mungu pekee ndo mahana akasema njooni kwangu enyi mulioelemewa na mizigo nami nitawapunzisha; mugu tuongoze na utawale katkati ya maisha yetu 😊😊
@mariyashadiashadia7142 жыл бұрын
gonga like hapa kama una mkubali martha mwaipaja kila siku liki 3 tu leo na mimi nna omba like...aya twendekazi
@JoyceTerer-y1k9 ай бұрын
Nyimbo inanitia moyo
@plamediekankolongo8 ай бұрын
@@JoyceTerer-y1k❤
@AsiaKingazi7 ай бұрын
Ameen ubarikiwe dada
@Emily-hq1rw5 ай бұрын
Martha mwaipaja, aki unaniinua sana barikiwa
@lingongmartha9580 Жыл бұрын
Hello Martha! I write from Cameroon 🇨🇲 🇨🇲 🇨🇲 🇨🇲 🇨🇲 . I was travelling when in sleep I got this song being played in the bus. I woke n listened again with lots of attention. While listening to this song, I kept wondering how I would get the title from the driver. immediately the spirit told me to connect to the song thro Shazam. I immediately removed my phone and in less than a second, Shazam picked the song. I got more confused when it was my name that popped on the screen, then in amazement and all smiley it got done on me that it was my namesake singing. Oh Marthas are an embodiment of it all. Since then, I have not stopped listening to this song. I don't understand the lyrics, I have picked the few I can so far, I have contaminated my entire household and neighbourhood with the song as I hear some neighbors hmmmmming it already. This song brings peace to my soul. It's brings alot of joy to my heart. Thank you Martha, God's own. Thank you for availing your pretty self as a vessel to be used for his Glory in this generation. I have listened to your other songs, searched you on all social media platforms and following keenly. I am so happy I came across you.❤❤❤❤❤❤❤
@ihanomadili11 ай бұрын
Did u translate this song?
@maonezinyagalu939310 ай бұрын
Thank you for your love. Welcome to Tanzania
@tullyndongo62425 ай бұрын
Amen
@DadaEspe5 күн бұрын
Kweli kbs
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Kweli hatufanani,kila mtu na neema yake🙏🙏🙏tuendelee kuomba neema ya Mungu itufunike 🙏🙏🙏
@NdayishimiyePacifique-xo7ry6 ай бұрын
Amen Burundi tuko pamoja na wewe martha na mimi nipewa kibali chakuokoka kupitia nyimbo zako Imana iyo buhungira bwacu twese
@DivinNdikumana3 ай бұрын
Amen
@tttdff6422 Жыл бұрын
Mungu wangu shuka unione mm😢😢😢😢
@ZubaGuyomentambu2 ай бұрын
Marthe kwangu uko misiciene prefere Ku Tanzanie yote nyimbo zako inanibebaka sana ki roho aksanti
@florencejohnstone23332 жыл бұрын
Nikweli HATUFANANI mungu uko kwa maisha yayoyote.
@VivianJebiwott17 күн бұрын
Mungu akubariki Martha akuzidishie neema
@puritymuthamia14172 ай бұрын
Niko hapa,8th November 2024,Yesu ni Bwana
@masetedehalfgb.2543 жыл бұрын
Indeed everyone carries their own grace. Everyone reading this, may God's grace, favor, mercy and presence always be with you and your families throughout this year and the years to come. Experience the blessings of the Lord in your lives. We love you Martha, I glorify the Lord for this. Kenyans we rank you, please let's give a thumbs up to show our love ...
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@moffattrump6022 Жыл бұрын
,,,, so uo
@Moses-t9vАй бұрын
Amen 🙏 🙏
@MagmaTour-l2z28 күн бұрын
2025 ❤ Kwaneema ya kristu tunaendelea mbele.......
@sp77113 жыл бұрын
Mwaipaja Martha is one of the finest gospel musicians of our times. She delivers quality and spiritually uplifting music with unparalleled simplicity, humility and high level maturity.
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@margretb24942 жыл бұрын
Amen mungu Akumbariki Sana Martha ninapinda Sana yimbo zako sana
@carolinembuvi69133 жыл бұрын
Kweli hatufanani kuna neema inafanya mambo,,,,asante Martha kwa wimbo mzuri,,,barikiwa sana❤
@StacyNashipae Жыл бұрын
I love Marta for free 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉I can't miss her consent 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@RehemaJonas-sd7kx4 ай бұрын
nakupenda dada matha
@peninaawuor26593 ай бұрын
Kola mtu na neema yake hatuta fanana milele💖💖
@tracyyaagatsi53312 жыл бұрын
Powerful Ministration full of the anointing; Am From Ghana 🇬🇭 and don't understand the lyrics but am blessed as long as its all about JESUS 🔥🙌🙏🙏❤️💐💕
@peking65092 жыл бұрын
The song is about the grace of God,its encouraging us not to compare ourselves one to another,for our assignment isn't similar,where I'm today it's not a day event.actually it's ungodly to compare ourselves
@damaris17372 жыл бұрын
I like this ,,,we receive by faith💕💕
@alberthusseinkassa9929 Жыл бұрын
Let me give you interpretation of I. We are not resembled, we are not equal, every one has is own grace, so is God has done to me, has vindicated me
@Chisambok9 ай бұрын
May the almighty God 🙏 bless you @@peking6509
@tunaheriMhemaАй бұрын
Ili uitwe mshindi lazima upambane usiogope 🦁
@MercieNash-o6t7 ай бұрын
Martha we love you so much uku Kenya.....ni ukweli atufanani
@wordsofhopewestpalzab48753 жыл бұрын
Mwimbo huu huongea maisha yetu hapo chini ya Jua. Ila Mungu ni mwingi wa neema sana Kwetu ili tutunzwe naye. Asante #Martha kwa Kazi hii ya huduma Songa Mbele Zaidi, kwani wewe ni baraka kwangu. Congo DRC nawapenda Ninyi Huko East Afrika. mwaka huu uwe mpya kwetu. 2022
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@clementsemizigi71502 жыл бұрын
Penda pia karibu tz niwe mwenyeji wako
@NosimMollel-m2z14 күн бұрын
Wimbo mzuri sana Kweli adui amepigana sirini hadi sasa amejitokeza adharani vile hajui Mungu kakutoa wapi
@yasintatemba8424Ай бұрын
Tunaosikiliza 2025🥰
@PhaniceLenceni12 күн бұрын
We are here hatufanani
@allynashon83733 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, wimbo huu umenibariki sana.
@nasibukilawa86003 жыл бұрын
Nyimbo zako znanfarj sana mtumish wa Mungu matha.
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@AmonKawea23 күн бұрын
Barikiwa mwana wa Mungu kaza mwendo
@harrietkambua1399Күн бұрын
Who's here in 2025🙏❤️
@francisnjau62537 ай бұрын
I love❤ this song for free kwa kweli hatufanani kila mtu na neema yake... much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AgneskendiAsiko-ng3yh7 ай бұрын
Be blessed,yenye hatutafanana siku zote Kila mtu na Neema yake alichopewa na Mungu tusichukiane,juu ujui mahali Mungu amenitoa,barikiwa sana Mather nyimbo zako zinamafunfo mengi.
@Julie-o7r4 күн бұрын
Martha nakupeda Sana RDC Lubumbashi que Dieu vous bénisse abondamment
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Mi naskia kubarikiwa tu jamani,kila nikiskia hii nyimbo🙏🙏🙏🙏
@hellennicole45003 жыл бұрын
Everyone has grace according to how is apportioned by Christ Jesus. Ephesians 4:7 so powerful. Tuna neema yenye viwango tofauti, hallelujah!!🙌
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@faithrosekimaku75142 жыл бұрын
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@charlz46172 жыл бұрын
Amen
@aumasusan-gw9gq Жыл бұрын
Amen 🙏
@sylviamsangi2797 Жыл бұрын
Jamani umwimbo nikisiaga naria
@antoniasanga497422 күн бұрын
Aliye upande wako ni mkuu sana umeponya watu wengi walioumizwa kupitia nyimbo zako tu maombi na shkrani zao ni ulinzi kwako Mungu akutunze
@carolmitheu4212Ай бұрын
Na hao wanaropoka ati hataji Mungu kwani wanaskiza volume ikiwa @zero ama? I love the way she adore God the supreme on this song.
@preciouschild1246Ай бұрын
Miungu ni mengi hujui ni mgani anataja
@beversentertainment11063 жыл бұрын
Wooow 👌 kwa kweli hatufanani dada mwaipaja, wimbo wa baraka saaana dada, tuu tofauti na kila mtu anabarikiwa kwa njia zake
@FaustaKajoro Жыл бұрын
Dada angu nakupenda sana nyimbo zako haziniishi hamu
@mardochemutaka14 күн бұрын
Ça me va vraiment au cœur et surtout je suis béni de cette belle chanson très bien inspiré
@ricks82533 жыл бұрын
This song has the whole summary of the true life story... "we all should never compare ourselves, our life journey was scheduled differently and it's totally different from person to person"... Kila mtu na nema yake hatutafanana... Amen🙏. Your songs are gorgeous, continue encouraging us with them and we will never be timid. 👋
@shukranjulius95263 жыл бұрын
Glory to God
@emmaculatedickson98923 жыл бұрын
It's by God grace
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@rebeccawangui25522 жыл бұрын
Sure
@francinemusonda72242 жыл бұрын
This one has just increased my level of patience 🙏🙏
@beritawambani57483 жыл бұрын
Ameen dada neema zetu ni tofauti sana ,Kila mtu na neema yake🙏🙏
@susanndevena328Ай бұрын
Ile siku nilijua kila mtu amebeba nehema yake nilijifunza kungoja mungu na kumsikiza kwa makini😢❤🎉
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Its your smile for me😇😇😇😇MashaAllah 🙏🙏🙏upako juu ya upako
@lizmass34373 жыл бұрын
A relaxed gospel musicians of all the time, Hatufanani kabisa neema MUNGU imetubeba
@JoJoJoJo-bb8we3 жыл бұрын
My favorite gospel singer
@HilaireUlimwengu-dz2sg16310 ай бұрын
Habali
@dancankiili777 Жыл бұрын
Most of us we are failing in like because we desire to be at the same level.kweli hatufanani kila mtu na neema yake
@mildredndinda21609 ай бұрын
Haki hii wimbo huwa inanitia moyo sana
@Rosemary-v9r10 ай бұрын
Nyimbo zako hunitia nguvu sana, kila wakati nikizisikiza machozi hunidondoka tu😢😂😂
@ThereciaMattasoАй бұрын
Unaimba vzr umeokoka samehe waliokukwaza patana na mama yako mtunze akiwa hai patana na ndugu yako kumbuka Mungu anatusamehe mangapi?
@dynamoJM223 жыл бұрын
Nice song 🎵. Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Unazidi kutubariki kwa ujumbe wa nyimbo zako. Love from Tanzania 🇹🇿 ❤ 💕
@elizamwangomba63342 жыл бұрын
Nakupenda na napenda nyimbo zako kutoka Malawi 🇲🇼
@LightnessJamessАй бұрын
"Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda daima kama mboni ya jicho lake na akufiche chini ya uvuli wa mbawa zake, Nakupenda sana Dada Matha"Nyimbo zako zote zimebeba utukufu"Mwenyezi Mungu akuzidishie nguvu ya kuvuka na kushinda kila milima na vilima.❤
@tiongekamija69592 жыл бұрын
This woman's songs hits my spirit differently,, I love you all the way from 🇲🇼 malawi 🇲🇼
@kemuntovane59753 жыл бұрын
Wow what a blessing 🙌 hatufanani kweli kila mtu na neema yake
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@faithwambua60172 жыл бұрын
Kabisaa🤲🙏
@godelivemuntumpe94362 жыл бұрын
Aksanti dada mungu azidi ku kubariki juu ya wimbo mzuri saana kila mutu na nehema yake
@margaretkanini66835 ай бұрын
Came here after Ev Ezekiel sang this song in church
@ChristineJepkoech-y2y Жыл бұрын
Whenever I come across your songs I always feel relieved ❤ sending hugs from Kenya 🇰🇪
@JavanecxJeii-j7qАй бұрын
It's a blessing to have this lady comforting us with gospel
@gaudenciamaghanga3 жыл бұрын
Hatufanani, this is my year of moving to another level 🇰🇪🙏
@lilianlee39743 жыл бұрын
Frankly speaking,, you are my favorite gospel star despite being a Kenyan.. You dont sing for fame, competition or money,, it comes from deep within the overflowing well God dug in you girl.. Valued and highly cherished with love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@12alexmcy2 жыл бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jonathanjuma11062 жыл бұрын
Nyimbo ni za faraja mno.nakupenda sana Martha. Mungu akuiniwe kwa viwango vingine vipya.
@annamironga71512 жыл бұрын
Amen when shall not be the same
@tommymumba65152 жыл бұрын
❤❤
@DianaCherotich-i4g2 ай бұрын
Thankyou God because you are faithful and merciful
@violetkarani51043 жыл бұрын
Much love from Kenya, hatufanani kwa Neema ya Mungu 🔥🎉💕
@phoebeekunoit9985 Жыл бұрын
Nyimbo zako unibariki sana...Mungu akujazie neema huzidi kutubariki!
@aumaobel9038Ай бұрын
Today napitia nyimbo za Martha yote ❤❤❤❤...keep soaring high dear,,Mungu kwanza
@shiladeironlady58583 жыл бұрын
Amen! Amen! Amen! Be blessed visit 🇰🇪 sister. You are such a wonderful singer. God bless you
@jemeskirimi34483 жыл бұрын
Amen mungu akuvariki san🙏
@joycebeyadi34572 жыл бұрын
Am blessed more grace mama
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song 👉kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@aderinacharles94153 жыл бұрын
Barikiwa sana dada yangu martha, Mungu azidi kukuinua
@DebeckerSimiyu10 ай бұрын
Nimejifunza mengi kupitia kwa huu wimbo
@McWickie2543 жыл бұрын
To be sincere i really love this lady..... I just enjoy watching her.....hope i will meet her one day... More love ❣️ from Nairobi Kenya 🇰🇪
@willamsk9704 Жыл бұрын
Don't compare people ,we are not the same each one with a different grace . This song is sweet ❤ . Sister you are a blessing to our generation .
@JoyceMiyombe-nb3rd Жыл бұрын
Hakika hatufanani Mungu akubariki
@josephinesheehama7522 жыл бұрын
As I'm listening to a beautiful voice in Namibia worshipping our Almighty in heaven I'm just in the anointing.Martha sing for your Lord until Jesus come and be blessed angel
@velmamutete78493 жыл бұрын
God bless you my mom. My sister. You always bless us in Kenya.. We love you so much.. Love your songs... 👌👌👌😍💞💖❤️💕
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@ShangaziShangaziАй бұрын
Songa mbele hata Yesu aliyapitia hayo ila kachelewa simama na huduma uliyopewa na Mungu
@fionaokello55622 жыл бұрын
The way this song slaps about reality of a human being🙆♀🥲🥲🥲
@easyychoice442 жыл бұрын
Martha this song touched my heart all the time. If I go KZbin to listen to music I always play this song on repeat. I love this song so much. I hope other people get blessed with this song too❤❤🙏
@LovenessCharles-kg2wzАй бұрын
Dah! Leo tarehe 28 dec 2024 nimesikiliza hii nyimbo zaid ya mara kumi nyimbo nzury san
@tabbywaithera91122 жыл бұрын
This is not just a beautiful song or beautiful voice listen to the words such wisdom....don't kill yourself with stresses of life its His grace upon one's life. In all things be content n be thankful. NEEMA YANGU NA YAKO SI SAWA
@derabaptistchurch60363 жыл бұрын
Hatufanani. Kila Mtu na Neema na huduma yake. What a sermon. Blessings to you Mum
@lilianjames75372 жыл бұрын
Amen be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI