MARTHA MWAIPAJA:HATA KAMA MNANITUKANA NAWAPENDA KUACHIA WIMBO MPYA LEO’SITISHWI NA YANAYOENDELEA

  Рет қаралды 12,747

GIDA ONLINE TV

GIDA ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер
@GTIGERplatinumwcbforever
@GTIGERplatinumwcbforever 4 сағат бұрын
❤❤❤sista matha usife moyo najua mti wenye matunda hupigwa mawe ns dhahabu lazima ipite kwenye moto ndio ing'ae ❤❤❤❤ be blessed with sister joan nawapenda sana ushindi kwako ni lazima
@BahatiShaltiely
@BahatiShaltiely 6 сағат бұрын
Napenda Hekima yako,natamai namba yako.mwal BAHATI ANATORY.Nakupenda.
@MercyMushi-h7t
@MercyMushi-h7t 2 күн бұрын
Nakupenda sana martha endelea kumwangalia Mungu aliyejuu usiangalie ya wanadam dada,Kushinda ni Lazima
@jeremiemunkamba
@jeremiemunkamba Күн бұрын
@@MercyMushi-h7t Ni mungu Ana mupinga what are you talking about atumbo maovu
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 3 күн бұрын
Wanakupenda freemasson wenzako
@MamaNgina-gg4qf
@MamaNgina-gg4qf 3 күн бұрын
Mm nilikuwa nakupenda sana lakini Kwa hili la mama limeniuma sana
@lucykambanga-3770
@lucykambanga-3770 12 сағат бұрын
Hongera sana mungu atakushindia na hili litapita pia
@UpendoMichael-p1z
@UpendoMichael-p1z 4 күн бұрын
Dada Martha mungu akuinuie zaidi. Watu qanakosea hapa. Kutazama vibanzi ndani ya macho ya wenzao lakini macho Yao yana boriti. Mtu jasiri asimame aseme mabaya yake yote mbele A watu. SI kutazama mambo ya mtu mwingine. Umepitia magumu mengi dada Martha. Aliyekushindia Jana atakushindia na Leo.
@LettyAbely
@LettyAbely 7 сағат бұрын
Simama imara mwaaya madam waangu Mungu akupiganie tuko pamoja kushinda ni lazima
@limetnanjala8418
@limetnanjala8418 4 күн бұрын
Nakupenda san mtumishi wa mungu
@JocelyneMary
@JocelyneMary 4 күн бұрын
Huyo sio mtumishi wa mungu, labda miungu ya duniani
@crishommsanii
@crishommsanii 4 күн бұрын
Amen mungu atende mengi masuri kwako
@christinelihavi4068
@christinelihavi4068 9 сағат бұрын
Ungemfundisha Joan hayo maneno ungekua mbali sana
@RaelAuma-qk7jc
@RaelAuma-qk7jc 4 күн бұрын
Usijali Na matusi ya watu hata yesu alitukanwa Sana nakupenda Sana martha
@WilliminaOjiambo
@WilliminaOjiambo 2 күн бұрын
Bariki wa sana anaekwelewa zaidi ni Mungu
@SamsonNgalembula
@SamsonNgalembula 2 күн бұрын
Dada angu martha endelea kumuomba mungu ata kutia nguvu katika hilo ambalo lime kukuta uenda kuna sehemu mungu ana kuepusha kubwa kuliko hilo muombe mungu ata kusaidia na kushinda nilanzima.🙏🙏 Tuna kupenda sana mungu aku balikisana dada yangu
@EzekKing
@EzekKing 2 күн бұрын
Dada martha huyo joan si binadamu ni kiumbe kilicho toka kuzimu anataka kukuharibu baadae hutaweza kumuona ataondoka Amini sana hilo huyo si mtu kama unavyo fikiria ndugu zangu tumuombeeni sana Martha mwaipaja YESU aingie ndani yake na kumkomboa kama alivyo ingia ndani ya Beatrice akapata kumuokoa Ahsanten kumuombea.
@dfremac
@dfremac 4 күн бұрын
WATU WANIELIMISHE. MBONA KILA WAKATI MARTHA AKIONGEA LAZIMA JOANITA AWE HAPO.MUSUKULE HUYO.
@NEEMASWEDI
@NEEMASWEDI 10 сағат бұрын
Mmh! Pole sana, Acha uongo wewe mwanamke hatutaki maneno nenda kapatane na mama ako mzazi haijalishi yote unayosema ovyo.
@Caroline-mc5ro
@Caroline-mc5ro 3 күн бұрын
Love mamy❤❤❤
@Priscashaloom
@Priscashaloom 13 сағат бұрын
Tunakupenda pia
@AkimuWaziri-u9b
@AkimuWaziri-u9b 3 күн бұрын
Umemtelekeza mamayako amehangaika kukulea kwahaliyoyote ngumu. Lakin wew baada yakupatapesa umekengeuka
@sikitugeorgette
@sikitugeorgette Күн бұрын
Amen Amen Amen❤❤❤❤❤
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 4 күн бұрын
Hongela.mardha
@AishaMaina-w4p
@AishaMaina-w4p 2 күн бұрын
Martha mimi nitazidi kukuombea manaki i believe haya yote ni mitiani nyitabyako ime ngaa dio maana unapigwa vita za kiajabu ajabu ila mungu atakuoigania nakupenda sana dada Martha ❤🎉
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 күн бұрын
KUONGEA HUKU UNATAFUNA TAFUNA SIYO USITARABU. USIPENDE KUFANYA HIVO WEWE NI MADAMU.
@loisinasieku1946
@loisinasieku1946 3 күн бұрын
Kwa iyo unampa mtu baki kiburi kumbe ndo maana hachagui maneno ya kumwambia mamako wala mdogo wako sababu ya wewe kumpa kiburi iko cku utajuta kwa haya unayoyafanya
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 3 күн бұрын
Kamsaidie mamako aache kulialia, ufreemason utoke kwa jina la Yesu
@innocentlukeka6802
@innocentlukeka6802 4 күн бұрын
Mbona umekonda @ Martha mwaipana
@ChristinaZabroni
@ChristinaZabroni 4 күн бұрын
Acha uhuni na huyoo Mtoto,kazi ya shetani hiyoooooo
@ezebiakayingi6576
@ezebiakayingi6576 4 күн бұрын
af anaboa, huyo Joan anatuletea wa kazigani sisi
@martinjonathan4595
@martinjonathan4595 3 күн бұрын
Mamaako Leo amelala na njaa ww achia ngoma mpya
@alicendinda1359
@alicendinda1359 Күн бұрын
Yaani joan amekufunga kabisaa huwezi hata kusikiliza mamako
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 күн бұрын
Mrembo wako bhana
@DeborahLeonard-h5u
@DeborahLeonard-h5u 3 күн бұрын
Kumbe we ndo unampa joani kiburi yani mama ako analalamika we unasema mkete joan ama kweli umepotea
@HellenLemilya
@HellenLemilya 4 күн бұрын
Mrudie mama ako ,saidia ndugu zako ,kama unasagana acha,imba kweli,usituletee uhuni ,olewa ikiwezekana ,kama haijawezekana basi ishi maisha masafi usituletee uhuni kwenye habar za Mungu ,hatutaki kuigiziwa uhuni kwenye habar za Mungu,we umekaa kama kioo ,uwe kweli, huwezi kua kioo toka kaa pembeni ,ishi kama ss,shika adabu na bablishi ako na huyo P Diddy wako na msagawaji Joan waambie washike adabu wasituletee ukurutu wa kwa P Diddy
@SeifJuma-yt1pk
@SeifJuma-yt1pk Күн бұрын
Ondoa huyo kiumbe ni wakala kma hujui
@Blessedboi8019
@Blessedboi8019 Күн бұрын
Msagaji wewe.malaya tu
@SussanMshindo
@SussanMshindo Күн бұрын
Matha huyo ni mpita njia ukiharibikiwa utarudishwa kwa nduguzo sasa kaa Chini utafakari kwa kina kumbuka mama ni Mungu wa pili wa dunia,sasa wewe unashindana nae hakuna sikio linazidi kichwa na hata kama mama atakuudhi vp hupaswi shindana nae ukatafuta mtu baki tu akuvurugie family's yako we kumbuka unatuelimisha kupitia nyimbo zako kwa hiyo jitowe bolt jichoni mwako kwanza mpendwa hata kama kunamaudhi ng'ang'ania baraka kwanza kwa mzazi MamaKwanza
@emilyndinda588
@emilyndinda588 2 күн бұрын
Shughulikia mamako kwanza
@MwanahamisiHaji-t4z
@MwanahamisiHaji-t4z 4 күн бұрын
Yaani kama mimi ndio ningekuwa mama yako ningekuacha na nisingekutafuta ningekukabidhi kwa mungu ashugulike nawe kama kweli nilikubeba tumboni kwangu wala nisingetumia nguvu
@ezebiakayingi6576
@ezebiakayingi6576 4 күн бұрын
kweli kabisa
@FravianJailos
@FravianJailos 4 күн бұрын
Hekima
@queen.christelle1
@queen.christelle1 Күн бұрын
Naivo ndivo inavo takiwa iwe sio kuja kuwekana mitandaoni sijuwi wanafaidika nini baada ya kuyaleta mitandaoni
@floramunna
@floramunna Күн бұрын
Mungu hawezi kubariki mtu mwenye migogoro na mama yako haswa huyo aliekulea kwa dhiki kiasi hicho, kwa kweli huyu dada kawa na kiburi jamani ni pesa au ujinga
@ezebiakayingi6576
@ezebiakayingi6576 4 күн бұрын
umetutambulisha na mrembo wako pia
@NasraWaziri-l9f
@NasraWaziri-l9f 4 күн бұрын
Kumbewewe nikichaa
@RamadhanRamadhan-zi8ev
@RamadhanRamadhan-zi8ev 3 күн бұрын
We ni mbwa 2 unamukataa mamaako
@AkimuWaziri-u9b
@AkimuWaziri-u9b 3 күн бұрын
Wewe nimzinz tu. Unapenda ngono
@AlfaSimbaya
@AlfaSimbaya Күн бұрын
Huyu mtu jamani inaonekana kweli hanamda namama yake ivi kweli mama ananung'unika ivo yeye Hana atamuda kweli jamani mama aliekuweka tumboni miezi Tisa anaumia moyoni wewe unapata nanguvu yakutoa wimbo hatakama unamdharau mbembeleze mama yako Kama alivokubembeleza ulipokua mtoto mdogo. Oky usije ukuanza kusema sinapicha yamama
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 3 күн бұрын
Hicho kishetani mwisho.wenu tutauona
@QeenPrince-lm7ci
@QeenPrince-lm7ci 4 күн бұрын
MKUMBUKE MAMA YAKO ANA FUBAA KWA MAWAZO KWAAJILI YAKO ANZA KUMUIMBIA MZAZI WAKO MSAMAA MTUNZE KAMA ZAMAN NDIO UTOE HIYO NYIMBO
@danielayubu1930
@danielayubu1930 2 күн бұрын
Amani gani unayo na mama yako Hana Amani matha kajifunze tena amri kumi za Mungu utajuta siku moja utajuta na kwambia utajuta unampenda Nani Zaidi ya mama acheni ujinga baada ya kuimba kuna kifo
@MariaTino-b1k
@MariaTino-b1k 3 күн бұрын
Uyu dada anaumia sana nachoona mdg wake kataka umaarufu sio maneno yakuongea ya familia azarani hapa tunacoment lakin tungekuwa sisi tusingekubali
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 2 күн бұрын
Nyie wazazi wa LEA au JOAN Njooni mje mumchukue mtoto wenu anagombanisha familia ya watu hana adabu kabisa
@oman-c7y
@oman-c7y 2 күн бұрын
Running kwa mama yako.fainal uzeeni.utakujajuta baadae mpaka kufa kwako
@floramunna
@floramunna Күн бұрын
hilo sio tabasamu la rohoni martha ni kejeli tu dada angu mamaako hawezi akalia halafu ww unapotezea umeshapotea nenda ukafanyiwe maombi ni pepo hilo
@NEEMASWEDI
@NEEMASWEDI 10 сағат бұрын
Kama ukiendelea kutomjali mama ako, na kumg'a g' ania uyo joani wakala wa shetani hautashinda kwa jina la YESU, mpaka sasa umeishapigwa haujajijua tu mwenzangu.
@KinyanChantare
@KinyanChantare 4 күн бұрын
❤❤❤❤
@frbm1729
@frbm1729 3 күн бұрын
Una ujasiri wa kuzimu
@hosianaeliud243
@hosianaeliud243 7 сағат бұрын
Uyu dada nijeurii sana mtu mwenye Mungu angeomba tuu msamaha basi yaishe ili miyoyo ya ndugu zake iachilie kama kweli yule ni mama yako na amtumzi kuna siku utakuwa mzee na wewe watt uliowaxaa watakuacha
@HellenLemilya
@HellenLemilya 4 күн бұрын
Anza kua na amani na familia ako mama na dada ako ndio uje kwetu
@KoretiManila
@KoretiManila 2 күн бұрын
Naomba namba Yako marit.
@MichaelNyondo-i8k
@MichaelNyondo-i8k 4 күн бұрын
Kwahiyo hilo li house girl lako umerizika nalo matusi anayo tukana mama yako?
@wuodkokelobingo4855
@wuodkokelobingo4855 4 күн бұрын
Kubali ufunguliwe, kataa ukae mtumwa wa ulimwengu wa kiroho, roho ni mengi
@sulwajackson6906
@sulwajackson6906 4 күн бұрын
Umefungwa kwle
@NardyShamende-s6f
@NardyShamende-s6f Күн бұрын
Aweeeee toka hapa unajisafsha machon pawatu achia wimbo utaskilza na jozeee na na hako kapepo
@alexkudeli
@alexkudeli 4 күн бұрын
Kichwa bomu kitalipuka si mda kushindwa ni lazima uwezi shindana na mama bora hata ungemchezea baba
@KareberebeAlex-f5e
@KareberebeAlex-f5e 4 күн бұрын
Sorry ukitafuna sweet sio vizuri
@ezebiakayingi6576
@ezebiakayingi6576 4 күн бұрын
hata usiseme sorry, hiyo ni ishara kwamba utukufu haupo ndani yake tena, ahamie tu bongo fleva
@jeremiemunkamba
@jeremiemunkamba 4 күн бұрын
Shetani ana kutawana tafuta mungu
@JocelyneMary
@JocelyneMary 4 күн бұрын
Hao wenzake wanamdanganya sababu ya kuwapa pesa ila wanawajali wazazi wao sio mbumbu kama yy asiemjali mama yake tubu kabla mungu wa kweli ajakupa mgongo
@limetnanjala8418
@limetnanjala8418 4 күн бұрын
Njo Kenya 🇰🇪 nichukuwe unifunze neno la mungu kwa majina naitwa linet
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 3 күн бұрын
Katafute amani na mama yako Mama yoko.haupo.naye sawa then unamtqja Mungu Toka zako.msagaji wewe
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 4 күн бұрын
Utashinda ndani ya shetani.Badilika.Omba to a kwa.mama yàko.
@NyathiAheroOkech
@NyathiAheroOkech 4 күн бұрын
Tunza mamako bana
@MWAMPAMBA
@MWAMPAMBA 3 күн бұрын
Acha uongo biblia inasema tuonyane
@zamzanimakundi2546
@zamzanimakundi2546 4 күн бұрын
Unacheka cheka nini sasa kama mashoga
@hosianaeliud243
@hosianaeliud243 7 сағат бұрын
Yaaan Mimi ningekuwa mama ako ningekuacha tuu uendelee na Joan wako.....wala ningekutafytw
@TuyishimeSarah-d3q
@TuyishimeSarah-d3q 12 сағат бұрын
Namimi nagupendasa na
@ndeyankaallen1380
@ndeyankaallen1380 8 сағат бұрын
Mwambie joan ajifunze kinyamaza,,,ila hata huyu Martha sijui kama hatumii kilevi,,, bubble gum halafu unayaona macho yake
@jamesedison-dv4lv
@jamesedison-dv4lv Күн бұрын
We huna hakili na Wala hatutaki kusikiliza hizo nyimbo zako we msagaji mkubwa
@KareberebeAlex-f5e
@KareberebeAlex-f5e 4 күн бұрын
Shida unaongea ukitanufuna
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 күн бұрын
Mpende mama yako kwanza, huyo mrembo wako mnasagana au?
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 4 күн бұрын
Mmh dada ww , pole hatari hiii
@henrymushi8340
@henrymushi8340 4 күн бұрын
Huna adabu mama unaongea unatafuna tafuna,,,,,nidhamu zero unaongea na watu wa umri tofauti tofauti.....
@ezebiakayingi6576
@ezebiakayingi6576 4 күн бұрын
hata kama wangekuwa wote wadogo zake, si anajiita mtumishi wa Mungu huyo!! ana tangaza wimbo mpya na big G mdomoni, hata diamond hawezi tangaza wimbo wake kwa staili hiyo mana anaheshimu kazi yake.
@endumatv4065
@endumatv4065 6 сағат бұрын
Heshima Kwa watazamaji kutafuna tafuna vitu
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 4 күн бұрын
Ata mimi ningekuwa mama yako siwezi tumia nguvu, ningenyamaza tu,
@marthanatumwa
@marthanatumwa 4 күн бұрын
Ushashindwa kitambo sana,unashinda nini,unajuwa maandiko ww,ww una amani na mama yako,hayo yote unayoyaongea yanakuhusu ww
@glorymiko6830
@glorymiko6830 4 күн бұрын
Joanita ni mzimu. Hauna maana..
@MeddyMashanda
@MeddyMashanda 4 күн бұрын
Usiwe naofu mungu yopo atakupiganiya jifunze kunyamanza
@jeremiemunkamba
@jeremiemunkamba 4 күн бұрын
Umutombe brother
@roskimedia
@roskimedia 12 сағат бұрын
NAJUA HUYU JOAN NI JINI AMBALO ULITUMIWA TUBU DADA LITAONDOKA
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md 3 сағат бұрын
Mungu gani??
@ndeyankaallen1380
@ndeyankaallen1380 8 сағат бұрын
Mwambie huyo mwanao mlevi achuje maneno ya kuongea,,,ukiwa na furaha sana,ukiwa na hasira sana na hata ukiwa mlevi usipende kuongea sanaa
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 Күн бұрын
Ukubali ukatae Martha hayuko sawa, bigijii anayotafuna inampa nguvu ya kuzungumza hayo, moyo wake umebeba mzigo mzito sana, nuru machoni pake haipo tena yuko kama msera au sister du wa mtaani. Nuru machoni pa mtu ni kitu kikubwa sana, angalia interview za nyuma sana za Martha na sasa unaona kabisa kuna utofauti. Mama yako hata kama amekuudhi kwa kiasi kikubwa sana lakini pia ndo sababu ya uwepo wako, amevumilia mengi mpaka unafika hapo. Siku mama yako akifariki na hujapatana naye, NURU yako haitakuangazia kamwe, utalia kaburini na utatamani afufuke haitowezekana. Martha anahitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia, na maombi(msaada wa kiroho). Akubali kudhalilika na kuanza upya, huenda ameingia kwny maagano mazito sana yanayomtesa nafsi yake. Siwezi kumchukia kwa namna yoyote ile ila namuonea sana huruma. Martha kiasili ana roho nzuri sana huyu dada, ndo maana mdogo wake alisema sio yeye sio yeye, akilia kwa uchungu maana yake anamfahamu dada yake kwamba ana roho nzuri, kipindi cha nyuma alikuwa nao bega kwa bega, shetani akaingia ktkt yao kuwavuruga
@simonwaweru9119
@simonwaweru9119 22 сағат бұрын
Umeshinda mafunzo yote nyumbani…. Tafuta ibada nyingine jamani , sio rahisi naelewa…
@obiya66
@obiya66 4 күн бұрын
mrembo wako sweet heart wako😂😂😂
@lilianowti5477
@lilianowti5477 4 күн бұрын
Asha sema.
@ezebiakayingi6576
@ezebiakayingi6576 4 күн бұрын
😂😂
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 күн бұрын
Inasemekana walifumaniwa kule Congo wanasagana
@obiya66
@obiya66 4 күн бұрын
@daudimichael7338 🤣🤣aki tusishikwe
@SarahOndieki-r2w
@SarahOndieki-r2w 11 сағат бұрын
Ninakupenda bure mama usijali ushindi uko upande wako
@TeddyMjatta
@TeddyMjatta 2 сағат бұрын
Acheni kutudangnya bwna
@admiraseverin9556
@admiraseverin9556 4 күн бұрын
Katunze mama yako
@KoretiManila
@KoretiManila 2 күн бұрын
Poresana kwaiyo urifanyiwa
@Alexjecco
@Alexjecco Күн бұрын
Shindwa naulegee kichwa chako nugwarurutwe mpende huyo Joan wengine unaowapenda naume wawatu
@MtumishiWaMungu-c6m
@MtumishiWaMungu-c6m Күн бұрын
Mbona kama hako kajamaa kazinzi!?
@ErastoMtega-yj2pg
@ErastoMtega-yj2pg 4 күн бұрын
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kuwa maamani na mama yako
@deniswalekhwa2040
@deniswalekhwa2040 Күн бұрын
Mko na kiburi naona..! Ongea kuhusu mahusiano yako na mama...
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 4 күн бұрын
Umaarufu una gharama zake.
@KoretiManila
@KoretiManila 2 күн бұрын
Nagupedasana
Martha Mwaipaja - KUSHINDA LAZIMA ( official music video )
5:34
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 224 М.
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
BABA MLEZI WA MARTHA_ NA_BEATRICE MWAIPAJA_AVUNJA UKIMYA.
12:55
Isaya Joseph
Рет қаралды 1 М.
MASHARTI YA FREEMASON KWA MARTHA KUMBE HAWA NI WAPENZI SIO MTU NA MAMA YAKE?
18:43
ZAWADI YA DIAMONDI KWENYE BIRTHDAY YA SHILOLE
8:18
Ophoro Tube
Рет қаралды 19 М.