Glory be to God. Yesu Kristo ni Bwana na mwokozi wangu. Tujitahi kutofananisha mambo ya Mungu na mambo yakiduniani. Mambo ya Mungu ni kiroho Amen.
@bitonmwansile56819 минут бұрын
Hakika ujumbe muhimu sana.barikiwa
@matildamsekele6221Сағат бұрын
IPM kweli wewe mtumishi wa Mungu msema ukweli, naomba watanzania wasichochee ugomvi wa Martha na Beatrice kwani hao ni Ndugu
@neemamabena-xx5er2 сағат бұрын
Manyanya weee siumelala kwa maty adi asubuhi akin😁😁😁
@JANEBGOYA38 минут бұрын
Napenda unavyoigiza Manyanya
@Devota-mr6ng17 сағат бұрын
Hongera mchungaji kwa maneno ya hekima naamini wataona watasameheana
@JoaomarcelinoRumba-sz3ql3 сағат бұрын
Ipm nakupenda sana 🎉🎉🎉🎉
@alexmwainyekule3769 сағат бұрын
Maoni yangu nimegundua hawa mabinti wote ni kama vipofu wote hawaoni, mchngaji kama upo karibu nao waite uwapatanishe watumishi hawa waendelee na kazi ya mungu.
@ramadhaniOsujacki8 сағат бұрын
Uko sawa mchungaji nikuwaombea mungu kwani mwenyezi mungu nimwingi wa heri wakimshirikisha mweznyezi mungu in sha alah wataungana
@Zuleajuma-q5nСағат бұрын
Wewe mbona kama nakukubali viree
@HellenSulle-m7t2 сағат бұрын
Mama yao ameshamaliza kila kitu amesema ukweli wote kilichobaki Mungu aingilie kati
@nicksonalfredy-gr6wn3 сағат бұрын
😄😄 hii imeenda
@christinewomanoffaith54792 сағат бұрын
Wote wamezungumza mpk mama mzazi Kwahiyo sio upande mmoja ila km mtumishi bora ukae kimywa
@ramadhaniOsujacki8 сағат бұрын
Huwa nakukubali bwana manyanya
@christinakomba68915 сағат бұрын
Upo vizur mchungaji
@edwardwangombe235857 минут бұрын
Martha hana haki kuwasaidia wadogo zake. Wajitume pia hao. Ila kwa wazazi asiwasahau. Mwisho wapiganapo ndugu wawili chukua jembe ukalime.
@ryobanchagwa24995 сағат бұрын
NASEMA HATA WEWE IPM UPO KUZIMU TENA WOTE NI WALEWALE PUMBAVU UNASEMA UPUUUUUUIZI
@jacobodhiambo69402 сағат бұрын
Mbona Beatrice asisaidie mama yao? . Mbona analilia Martha,
@RaphaelMichael-yx7xf3 сағат бұрын
Upo vizuri
@UpendojohnTango2 сағат бұрын
Mweny no za manyanya anitumie tafadhali siwez kuish bila yeye
@dorothyannan81847 сағат бұрын
Mtu unayempenda humdhalilishi. Unamuombea na kumpa muda.
@CafeJohn-n9o2 сағат бұрын
Kwanza mpaka apo umeshaongea sasa unapo ongea huongei chochote apo ndo umeongea sasa kuwaombea iri wapatane
@jumamustapha82543 сағат бұрын
Hao ni wafanyabiashara kupitia mziki wa injili, sio waumini, pumbavu zao.
@angle36002 сағат бұрын
Kabisa usifurahie wewe kua tajiri na ndugu zako wote masikini,,hii ni shida kubwa
@dol-pnintz250310 сағат бұрын
Ww si unakuwaje unatabili wakati Martha ni Msagaji