IPM MIMI KAMA MCHUNGAJI SIWEZI KUKAA KIMYA SAKATA LA BEATRICE NA MATHA MWAIPAJA LAZIMA NISEME UKWELI

  Рет қаралды 42,445

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 күн бұрын
IPM kichwa sana halafu harembi anachana live. Like you much
@ElizabethMakong-en3nq
@ElizabethMakong-en3nq 2 күн бұрын
This so very powerful mm nimefika tu mahali kiburi ikashuka naona kila hatua ni Maombi tu umenifundisha kuishi na watu kwa hekima hapo kwa ukibarikiwa pea watu vitu apo umenipa kufunguka macho ata maadui wasamehe na kuwatenda mema yani usibebe mtu moyoni mwako ishi maisha free Amen 🙏
@selinageogre2881
@selinageogre2881 2 күн бұрын
Ubarikiwe Mtumishi umeongea point kubwa sana ni kuwaombea tu mengine anajua Mungu
@ChristaHaule-wq7hd
@ChristaHaule-wq7hd Күн бұрын
Nimekupenda bure.Mwenyezi Mungu akubariki na uzao wako
@NaphatiProjestus
@NaphatiProjestus 2 күн бұрын
Asante kaka kwa maneno yako wakuelewa aelewe
@Devota-mr6ng
@Devota-mr6ng 3 күн бұрын
Hongera mchungaji kwa maneno ya hekima naamini wataona watasameheana
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 Күн бұрын
Hapo kwenye komwe mchungaji😅😅
@IsaacBenesia
@IsaacBenesia Күн бұрын
Be blessed man of God,may God give you more wisdom,umenibariki pia n mim
@FatumaMwandendi
@FatumaMwandendi 8 сағат бұрын
Amina baba MUNGU akuongeze ck za kuishi nimejifunza kitu kutoka kwako
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 2 күн бұрын
Waooh ndo maana huwa nakufuatilia sana pasta IPM NAKUKUBALI SANA
@HellenSulle-m7t
@HellenSulle-m7t 2 күн бұрын
Mama yao ameshamaliza kila kitu amesema ukweli wote kilichobaki Mungu aingilie kati
@matildamsekele6221
@matildamsekele6221 2 күн бұрын
IPM kweli wewe mtumishi wa Mungu msema ukweli, naomba watanzania wasichochee ugomvi wa Martha na Beatrice kwani hao ni Ndugu
@NelsonBrydon
@NelsonBrydon Күн бұрын
Big up you say the truth pastor God bless u
@EsterLipamba
@EsterLipamba 2 күн бұрын
Umeongea point sana Prophet IPM 🎉🎉🎉
@bitonmwansile5681
@bitonmwansile5681 2 күн бұрын
Hakika ujumbe muhimu sana.barikiwa
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx 2 күн бұрын
Mungu akubariki kwa hekima prophet IPM
@Victoria-bv6xu
@Victoria-bv6xu Күн бұрын
Big up 👏
@LLl-p4r3l
@LLl-p4r3l 2 күн бұрын
Hongera mchungaji 🎉🎉🎉🎉
@RoroAlroro-i2v
@RoroAlroro-i2v 2 күн бұрын
Wow congrats manyanya🎉🎉
@alexmwainyekule376
@alexmwainyekule376 2 күн бұрын
Maoni yangu nimegundua hawa mabinti wote ni kama vipofu wote hawaoni, mchngaji kama upo karibu nao waite uwapatanishe watumishi hawa waendelee na kazi ya mungu.
@osumsafi2095
@osumsafi2095 17 сағат бұрын
Dah wew kweli akili kubwa 🙏🙏🙏🙏
@obeidkasuga9540
@obeidkasuga9540 2 күн бұрын
Manyanya uko vizuri
@rebekaadorphine8296
@rebekaadorphine8296 2 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki 2 күн бұрын
Uko sawa mchungaji nikuwaombea mungu kwani mwenyezi mungu nimwingi wa heri wakimshirikisha mweznyezi mungu in sha alah wataungana
@Godishereforus
@Godishereforus 2 күн бұрын
Glory be to God. Yesu Kristo ni Bwana na mwokozi wangu. Tujitahi kutofananisha mambo ya Mungu na mambo yakiduniani. Mambo ya Mungu ni kiroho Amen.
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 2 күн бұрын
Hii syo ugomvi wa familia ni maswala ya kiroho. Muombeeni Martha afunguliwe. Kuna Jambo lipo kwake halija kaa sawa.
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 2 күн бұрын
Kwa hiyo mama yake alivyokuambia anaabudu mashetani wakina mrema na maalim seif kama elia na mussa asiombewe ila Martha tu anayetuimbia vizuri ndio aombewe. Waambie wote.
@EdwardGodfrey-i2j
@EdwardGodfrey-i2j Күн бұрын
Tru mtumishi wa Mungu
@JanethMadios
@JanethMadios Күн бұрын
Ili libaba nalipenda bure jamani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er 2 күн бұрын
Manyanya weee siumelala kwa maty adi asubuhi akin😁😁😁
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 2 күн бұрын
Asanteh mchungaji❤
@RusyJackson
@RusyJackson Күн бұрын
🙏🙏🙏👏
@AmosLeonard-e6l
@AmosLeonard-e6l Күн бұрын
Mchungaji barikiwa sana
@RizikiShabani-f8f
@RizikiShabani-f8f 9 сағат бұрын
Amina.amina
@eddatumsime
@eddatumsime 2 күн бұрын
Amina sana 🙏
@yakobondakala4853
@yakobondakala4853 Сағат бұрын
Mbona kama huyu ni kama manyanya
@JoaomarcelinoRumba-sz3ql
@JoaomarcelinoRumba-sz3ql 2 күн бұрын
Ipm nakupenda sana 🎉🎉🎉🎉
@godfreymusungu
@godfreymusungu 20 сағат бұрын
Ipm waambie, wasikie, labda mmoja wao ako sehemu ya pili😂
@anociathafidel2239
@anociathafidel2239 Күн бұрын
Ipm nakukubali sana kwa hekima zako
@KaviraEsther-kf2dz
@KaviraEsther-kf2dz 10 сағат бұрын
Amen papa
@kadirichannelonlinetv4258
@kadirichannelonlinetv4258 9 сағат бұрын
Bora-hata ww nimekuelewa umetoa ushaur wa maana kuriko hao wengne yan wao wanatetea ujinga
@christinakomba689
@christinakomba689 2 күн бұрын
Upo vizur mchungaji
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 2 күн бұрын
Beatrice amekoaea kumuanika mwenzie kama yeye anaimba na anapata pesa kwanini asimsaidie mama na kama anaona dadayake ana mapepo basi ilibidi amsaidie na sio kumchafua ndugu wataelewana tu hata kama watasameheana maneno yapo mtandaoni inabidi atuambie kuwa jamani sikuile nilikuwa chiziiiiii
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 күн бұрын
Wote wamezungumza mpk mama mzazi Kwahiyo sio upande mmoja ila km mtumishi bora ukae kimywa
@nicksonalfredy-gr6wn
@nicksonalfredy-gr6wn 2 күн бұрын
😄😄 hii imeenda
@JACQUILLINEMETHORD
@JACQUILLINEMETHORD Күн бұрын
Point taken
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 2 күн бұрын
Waliopost ndo wamekosea, yule dada hakujua itasambazwa ila kivyake ana makosa yake
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki 2 күн бұрын
Huwa nakukubali bwana manyanya
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 2 күн бұрын
NASEMA HATA WEWE IPM UPO KUZIMU TENA WOTE NI WALEWALE PUMBAVU UNASEMA UPUUUUUUIZI
@BarakaJosephat-d1s
@BarakaJosephat-d1s Күн бұрын
😂😂 yamekuwa hayo tena
@MariamChungu
@MariamChungu Күн бұрын
Baba imenigusa,
@Kaylyn-z6y
@Kaylyn-z6y Күн бұрын
Huyu IPM ako occult na Martha and that's why he doesn't want to talk about.
@emanuelavaleriani8646
@emanuelavaleriani8646 Күн бұрын
Wao
@monicakabuka6096
@monicakabuka6096 Күн бұрын
👏👏👏👏👏👏
@OswardGaudence-gn4lo
@OswardGaudence-gn4lo 2 күн бұрын
Point sana
@LucyMatotay-td7ru
@LucyMatotay-td7ru Күн бұрын
❤❤❤❤
@safhe-mpungi6075
@safhe-mpungi6075 Күн бұрын
Leo nimekufahamu kwa kuangalia video hii, ASANTE.
@RaphaelMichael-yx7xf
@RaphaelMichael-yx7xf 2 күн бұрын
Upo vizuri
@MervisNamumba
@MervisNamumba Күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@angle3600
@angle3600 2 күн бұрын
Kabisa usifurahie wewe kua tajiri na ndugu zako wote masikini,,hii ni shida kubwa
@rogathengowo1099
@rogathengowo1099 2 күн бұрын
Mchungaji kaongea vzr sana
@JANEBGOYA
@JANEBGOYA 2 күн бұрын
Napenda unavyoigiza Manyanya
@OliviaBejumla
@OliviaBejumla 2 күн бұрын
Duuuu kaka 😂😂😂😂
@CafeJohn-n9o
@CafeJohn-n9o 2 күн бұрын
Kwanza mpaka apo umeshaongea sasa unapo ongea huongei chochote apo ndo umeongea sasa kuwaombea iri wapatane
@Zuleajuma-q5n
@Zuleajuma-q5n 2 күн бұрын
Wewe mbona kama nakukubali viree
@FredPhillipo
@FredPhillipo Күн бұрын
Big up
@DimpozJeremaya
@DimpozJeremaya 11 сағат бұрын
Vipi brot
@stellangowa1893
@stellangowa1893 2 күн бұрын
IPM una akili sana ,mimi huwa najiuliza waumini ambao hawana kazi au vipato kanisa au mchungaji anawasaidiajee. Tunachoona ni picha za utajiri walio ni vyema kurudisha kwenye jamii zetu. Kweli Dunia ni Vita,hakuna muamnifu isipokuwa mimi!!
@jacobodhiambo6940
@jacobodhiambo6940 2 күн бұрын
Mbona Beatrice asisaidie mama yao? . Mbona analilia Martha,
@lucysingano8131
@lucysingano8131 22 сағат бұрын
Point
@christinanguma5170
@christinanguma5170 Күн бұрын
Komwe😮
@AsaOp-l5z
@AsaOp-l5z 2 күн бұрын
Ameen Baba
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 күн бұрын
Hao ni wafanyabiashara kupitia mziki wa injili, sio waumini, pumbavu zao.
@EzekielKandonga
@EzekielKandonga 2 күн бұрын
Hekima kubwa hapo IPM❤
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano Күн бұрын
Hiyo ndiyo Injili za wapotoshaji, Injili ni habari njema ya ufalme wa Mungu. Hao hawajamjua Mungu bado. Jifunze kwa Mjumbe wa agano uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO.
@dol-pnintz2503
@dol-pnintz2503 2 күн бұрын
Ww si unakuwaje unatabili wakati Martha ni Msagaji
@UpendojohnTango
@UpendojohnTango 2 күн бұрын
Mweny no za manyanya anitumie tafadhali siwez kuish bila yeye
@edwardwangombe2358
@edwardwangombe2358 2 күн бұрын
Martha hana haki kuwasaidia wadogo zake. Wajitume pia hao. Ila kwa wazazi asiwasahau. Mwisho wapiganapo ndugu wawili chukua jembe ukalime.
@elizabethdamas-zp9xl
@elizabethdamas-zp9xl 2 күн бұрын
ad mama ake mzazi jmni ???🙌
@LLl-p4r3l
@LLl-p4r3l 2 күн бұрын
Kabisa watu wasemeheani
@NjoziLukasi
@NjoziLukasi 2 күн бұрын
Fupisha habari.
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 күн бұрын
Wanagombania mali za matha akiwa hai bado dah
@JanethMadios
@JanethMadios Күн бұрын
Nani kagombania Mali ya Martha????? Mbona mnakuza mambo jamani????
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Күн бұрын
@JanethMadios Kwan hujasikiliza kwa umakini,,,,sababu main hapa ni matha Ako na pesa nyingi na hasaidii ndugu zake,,
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 2 күн бұрын
Mtu unayempenda humdhalilishi. Unamuombea na kumpa muda.
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 2 күн бұрын
Wakenya ni wapumbavu
@LilianOduor-w7o
@LilianOduor-w7o 2 күн бұрын
Amen
@edithafredrick1958
@edithafredrick1958 2 күн бұрын
Umenena vema
@RoseMadatta
@RoseMadatta 2 күн бұрын
Nikwel mchugaji
@joharithabiti334
@joharithabiti334 Күн бұрын
Hongera sana mchungaji
@ElizabethKiula-v7r
@ElizabethKiula-v7r 2 күн бұрын
𝐻𝑢𝑦𝑢 𝑛𝑑𝑖𝑜 𝑚𝑡𝑢 𝑚𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 ℎ𝑒𝑘𝑖𝑚𝑎🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JACQUILLINEMETHORD
@JACQUILLINEMETHORD Күн бұрын
Safi, point taken
@ZephaniaChacha
@ZephaniaChacha 22 сағат бұрын
❤❤❤❤
Beatrice Mwaipaja - Mama (Official Music Video)
5:43
Beatrice Mwaipaja
Рет қаралды 212 М.
Martha Mwaipaja - KUSHINDA LAZIMA ( official music video )
5:34
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 134 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 366 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 652 М.
MAJINA YAO YAMEONDOLEWA KWENYE KITABU CHA UZIMA
32:00
Ukweli Ministries
Рет қаралды 24 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН