Nikisikiliza hii nyimbo mwili wangu unasisimka sana na kujua kwamba kila jaribu ninalopitia ipoh siku lita fika mwisho mana mungu niyuleyule naatabaki kuwa mungu vizazi na vizazi ubarikiwe sana dada matha kwa kutufariji kwa,Gospel ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DAINESEDWARD-f2kАй бұрын
Penda San huu wimbo jaman Dada mzuri be blessed
@AshaMkombozi Жыл бұрын
Hongera Kwa wimbo mzuri dada kwel mungu ni mpenzi wawote 1:56
@lizanasambu2125 Жыл бұрын
Huu wimbo napenda kusikiza kila wakati sababu unanikumbusha mbali sana nilikotoka na mahl nmefika yan n mungu tu ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Martha nyimbo zako zinakomboa watu wwngi sana❤❤❤❤🎉🎉🎉
@ClintonKhaemba-by5gb9 ай бұрын
Hongera dada walai huu wimbo umenipa nguvu na nimekubali 😭🙏🙏🙏
@selestinfrancis5904 Жыл бұрын
Mungu akupe afya njema Dada yangu, kiukweli binafsi huu wimbo umenifariji sana nikiyatafakari Maneno hayo
@tumtukuzempindo3418 Жыл бұрын
Good song dada Mather keep it up
@eustermisigo17 Жыл бұрын
Nice song dada good job
@VeronicaMongare-c3q Жыл бұрын
This song hits so much very touching and impressive song 🙏🙏🙏 umenikubali ,hakika umeniitika amen nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏🙏
@EdinaLinus-n5b Жыл бұрын
🙌🙌 Asante yesu kwakunikubali jinsi nilivo🙏🙏
@AFNairobi-u9i Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana kwa wimbo huu, Mungu akubarki.
@kingoflyris Жыл бұрын
Amen
@simpassagrace69074 ай бұрын
Amen Asante yesu kwa kunikubali.
@annekiplagat61862 ай бұрын
What a great dispensation this song is on another level listening from Australia
@wariaelakyoo240 Жыл бұрын
Blessed more Martha mwaipaja
@iluminathankwera9583 Жыл бұрын
Dada Martha Mwenyezi Mungu akubariki Sana , wimbo huu umekuja kwangu wakati sahihi Sana unanibariki mnoo
@kingoflyris Жыл бұрын
Subscribe please 🙏
@mirajinabaswa24924 ай бұрын
Ni ww tu umenikubali Mungu licha ya familia kunitenga
@cadetmuhire942310 ай бұрын
Umenikubali Bwana wangu,tawala maisha yangu daima.asante dada Marthe kwa ufunilio.
@oscarachebikhatera25936 ай бұрын
Aki I love this sons, siku iishe kama sijausikia nakaa mgonjwa, rythm tu pekeake nasikia uwepo wa Mungu.Good job siz 🙏🙏🙏🙏🙏
@akinyimaggie-f9yАй бұрын
Nimebarikiwa sana and this song is my favorite
@benardavoga2259 Жыл бұрын
AMEN WIMBO UMEBARIKI SANA MOYO WANGU
@SemeniMaloa Жыл бұрын
Haki mungu akubari Martha nyimbo zako ziko umwaaaah
@manethmwiyanja245218 күн бұрын
kweli nyimbo mzuri sana tu ila waimbaji muwe watii kwa kuwa kazi ya Mungu inahitaji unyenyekevu wa ndani Mungu akulinde dada
@enockpanja Жыл бұрын
Hongera sana MUNGU akubariki sana
@HilderLiru9 ай бұрын
Walaiii am blessed with song lazma niiskize every morning end evening 🙏🙏 be blessed Martha
@amashakigelulye7632 Жыл бұрын
Good song ,hongera mwaipaja
@masakhwemillie5641 Жыл бұрын
Blessed my heart ni wewe umenikubali ni wewe umeniitika
@LovelyJackalope-cz2yo7 ай бұрын
Wanitia moyo huu wimbo martha mungu akubariki
@alfredomuyoyi28874 ай бұрын
No man can do all those things more than HIM who loves us just for free!!
@ChepkopusDorcus5 ай бұрын
You chose me first God.the song is in another level
Thank you Jehovah for choosing me first you didn't look at what I possessed but you chose me the way iam . Be loved God
@jumakarisa6711 Жыл бұрын
congratulations martha for the good work,,,,May God bless you...
@annekiplagat6186 Жыл бұрын
This song is on another level by an amazing woman listening from Australia ni wewe mpenzi wa wote Jehovah
@kingoflyris Жыл бұрын
An inspiring song indeed
@josephinekadogo3049 Жыл бұрын
❤❤❤❤😅
@josephinekadogo3049 Жыл бұрын
Thanks very much
@unclemdogo91596 ай бұрын
This is the best ever time song you produced ❤❤❤
@francisambuku909020 күн бұрын
Nyimbo nzuri ya mungu
@CarolyneNanjala-oe4sc Жыл бұрын
The Way nabarikiwa na hii wimbo the situation am having right now it's unexplainable... when i listen to this song am forgetting everything thing it has lead me to listen to this song more 😢😢😢😢
@sammytum3397 Жыл бұрын
Nice one Martha. God bless you.
@SalmaMchome7 ай бұрын
Queen of gospel song, hukurupuki dada full ujumbe via song, uimbaji ni ibada Mungu akubariki sanaaa❤❤❤❤❤
@venemushi43032 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi
@GodwinRuben11 ай бұрын
It is very nice song. I like it, big up to you sister Martha
@shebbashebba2708 Жыл бұрын
Hongera mama mungu akuiniwe viwango vya juu sana , follow from Kenya🇰🇪🇰🇪
@mamapraise9382 Жыл бұрын
Hongera dada Martha Mwaipaja kwa wimbo huu mzuri. Mungu akubariki.
@gideonmutai11475 ай бұрын
A very touching song
@EstherMsambala-th1hk5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@naomikimechwa4685 Жыл бұрын
Powerful, watching from Kenya, please please please my sister Martha,I really welcome you to Kenya,I really desire to meet with you, you have been a blessing to me
@Mathayo-s2y Жыл бұрын
Mungu akubaliki Sana Dada tunabalikiwa sana
@DorcasKwizera-m1m Жыл бұрын
I' love u mom long vie maman .unanifariji saaana mpka nalia ajili ya furahanyingi .ubalikiw na Mungu .
@julianajulia15105 ай бұрын
Bonge la nyimbo kweli ni wee baba umenibadilixha🙏🙏
@matikolebulala769211 ай бұрын
Congratulations sister Martha keep it God bless you
@BeatriceAgironAule Жыл бұрын
Mama lao thanks for giving me hope with life❤
@KluivertChileshe-jp6fc Жыл бұрын
This is awesome keep up the word of God Chileshe Greg from Zambia
@user-gk8hm5py2s Жыл бұрын
My God preserve you for his kingdom dada...... my all time worship
@lawrencemaliki34869 ай бұрын
Huu wimbo wanabariki hakika, ashukuriwe Mola
@NikuzeEmma-x6y7 ай бұрын
Barikiwa sana Mama na wewe unanibariki, Ameeeeen
@GladysOngomagladys2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 huyu wimbo niwa baraka kwangu
@WinfredGacheri-i8j Жыл бұрын
Be blessed
@tulizondendya2841 Жыл бұрын
Wimbo ni mnzr sana hongera sana
@dainafranck87189 ай бұрын
Eeh Mungu naomba kama huyu dada ana dhambi yoyote umsamehe....nampenda mpaka basi naomba hata siku ukimchukua hapa duniani akaendelee kuimba huko mbiguni 🙏
@ShamShamsa-mk8yr4 ай бұрын
Nimebarikiwa n huu wimbo
@WinfredGacheri-i8j Жыл бұрын
Mungu akubariki sana dada unatujenga sana .
@EkiruPhilemon Жыл бұрын
Mungu awe nawe milele dada.
@edwardpiniel9925 Жыл бұрын
Congestion madam mardha mungu akuinue
@SylviaWangula5 ай бұрын
nyimbo sako ni nziri sana
@annenanjahi5946 Жыл бұрын
❤❤❤❤ wimbo hii imeninguza sana mungu hakubariki sana mathar❤❤
@NelsonMbise-j3h Жыл бұрын
Nimebarikiawa Sana mungu akutie nguvu amen
@BrenderLelei4 ай бұрын
Niwewe umenikubali Mungu wangu
@GreenSinyangwe-e5j8 ай бұрын
Your songs touched my spirit. Stand in a good position with God
@JesicahMusisi9 ай бұрын
I ❤ the song dada,u should see me dancing and praising
@denissanga7035 Жыл бұрын
Hello hapa nimekubali
@charlesmtangi90462 ай бұрын
Asant sana dada matha kwa ujumbe mzur
@ShamsiJafarАй бұрын
dah Acha 😢 siku mdgo anakata roho mikonon mwngu nilikuwa nausikilza wimbo huu dah nikiiusikilza tu nalia sana,😢
@AminaSinangi8 ай бұрын
Barikiwa sana my sister ❤
@Mariam-z1m3v Жыл бұрын
Ongera dada.matha kwawimbo mzuri
@JacklineChepkirui-r9r Жыл бұрын
My favourite song ❤❤❤ever
@LucyMmary-dm5vu Жыл бұрын
So uongo huu wimbo unani bariki sana
@VeronicaGaluc-cz3um Жыл бұрын
Hongera sana dada Martha hakika nabatikiwa 🕊️💐🥀🥀
@eunicewambui273 Жыл бұрын
Kweli Bwana Ni wewe Bwana umenikubaki wimbo huu unanibariki sana , barikiwa sana dada