MARTHA MWAIPAJA PAMOJA NA JOAN WAMTUKANA MAMA YAO KATIKA MTANDAO WA TIKTOK LIVE NAKUDAI NI OMBA OMBA

  Рет қаралды 11,221

CONE ONLINE TV

CONE ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@GestinaKuya-f2p
@GestinaKuya-f2p 19 күн бұрын
Mmmh kweli Martha kaharibika amebaki yeye kama yeye hapo roho wa Mungu hayupo tena kwenye frash yangu nilikuwa nimebakiza kawimbo kamoja tu kakwake ngoja niende kumkamalizia kukafuta mimi na Yeye tuachene kabisa maana anaongozwa na mwendawazimu haongozwi na roho wa Mungu tena sina changu kwa martha tena namuona kama muhuni tu kama wahuni wengine hapo mtumishi tena simuoni labda mpaka akitubu tena kama Agrey
@LidiaSimon-w1h
@LidiaSimon-w1h 19 күн бұрын
Point
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 18 күн бұрын
Kabuki nay frimanson 😢😢 dunia simama nichuke
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 18 күн бұрын
Wamemfanya mamayao msukule analialia njaa
@Namtumbo
@Namtumbo 18 күн бұрын
Kweli hizi nyakati za mwisho waimbaji waongo walevi,Mungu wewe wajua
@dol-pnintz2503
@dol-pnintz2503 18 күн бұрын
Martha ni mshenzi tu ana laana ya Mama yake
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 18 күн бұрын
Wa sagaji tu uyo joan njo mume wa martha tunajuwa
@sabrinafadhil8835
@sabrinafadhil8835 16 күн бұрын
Makanisa yote tuungane kumpinga martha kwasababu ni mpinga kristo yaani hii aipingwi wala wakristo atutopangwa. Kwanza ni kiburi na hiii amedhihilisha kwa kukaa kimya uku akiendelea kujipost kwenye social media bila kuzungimzia msamaha kwa wakristo wote akiendelea kula bata na maisha ya kianasa na wachukia sana
@vicerocky
@vicerocky 18 күн бұрын
Mbona mnajificha kwa maneno ya mungu kueni na uazi kama tajiri chui ambaye hafichi kua yeye ni freemason mbona kusagana na Martha kisha unamuita mama
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 18 күн бұрын
Mama wa watu wamemfanya msukule pumbavu yupo analialia njaa mtoto anatembelea gari la milion 160 mikataba ya kuzimu freemason mapepo wachafu nyie toka kwa jina la Yesu ,
@elizmutai9562
@elizmutai9562 18 күн бұрын
Hizo masheria wanapewa huko kwa freemason....
@dddiii2330
@dddiii2330 17 күн бұрын
Ningekuwa na ladi ningeunguza kila biashala ya uyu dada. Kwasababu hanauluma na maskini ama yaye hafikili kama atakufa aviace ivyovyo anavyo jivunia😢😢
@winfredmundali5441
@winfredmundali5441 16 күн бұрын
this woman has exchanged the star like esau and Jacob story. if i was Martha i would rather suffer , Go back to God and have a comeback in Jeshua hamashiak name, nothing is as important as you eternal life.
@ElinahOngachi-q2n
@ElinahOngachi-q2n 19 күн бұрын
Huyu msichana anajibu kulingana na vile wanaongea na Martha sio bure
@HellenLemilya
@HellenLemilya 18 күн бұрын
Bangi na mwasho wa usagaji unamsumbua huyu jini , ndugu watanzania mliwahi kumuona jini live?huyo hapo jini pepo Joan
@EvalineKirita
@EvalineKirita 13 күн бұрын
Mkaidi hafaidi mpaka siku ya iddi ! Dada martha anapitia magumu japo anajikaza hapo tuu anatamani afukuze joan ila anaogopa
@MtambalaTv
@MtambalaTv 19 күн бұрын
Daaah inauma Sana!!
@AishaMrisho-e1r
@AishaMrisho-e1r 18 күн бұрын
Hovyooo
@lucymatiga1838
@lucymatiga1838 15 күн бұрын
Acheni kuhukumu msije mkahukumiwa
@OndiekiMellen
@OndiekiMellen 19 күн бұрын
Martha umalaya,umekusupua,,shame on you Martha,, Martha tell that lady,not to finish your name,all over the world, mama ni mama, Martha, shame on you,l in USA 🇺🇸
@jinaop490
@jinaop490 18 күн бұрын
Nilikuwa nadhani martha ana akili kichwani kumbe ni bure kabisaa😮
@djjailoskyelambeya6072
@djjailoskyelambeya6072 18 күн бұрын
Hawa wametufanya sisi mafara wanatafuta kutrendi mtandaoni cha msingi tuache kiwafuatilia mambo ya maisha yao sisi hayatuhusu mkiacha kumfuatilia kama kuangalia taarifa zake kusubscribe kama kwa christi a shusho ataacha mwenyewe acheni Muachieni Mungu yeye ndiyo atatoa hukumu kwa taratibu na sheria za kwenye Bible waache wacheze na neno la Mungu kama wanavyofanya Mungu hujibu kwa wakati wake Mungu huwa akurupuki kama mwanadamu Mungu awatie nguvu wote wapendwa katika bwana 🙏
@alidamgeni7051
@alidamgeni7051 19 күн бұрын
Kila utakalo fanya lazima ulipwe mshahara wake kwa hiyo martha leo utajiona we mjanja kumbuka kesho ipo ina kuja
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 18 күн бұрын
Ni ma Frimanson murupuuu😢😢
@raymondbahati7626
@raymondbahati7626 19 күн бұрын
Kweli ni ajabu,martha anaishi na huyu. Basi anaejuwa yote Mungu
@DelAdry
@DelAdry 18 күн бұрын
Tumeshawachoka habari zenu
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 18 күн бұрын
Hivi hili shetani mnamhoji wa nn jamani tulianza kusahau mnatutia hasira
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 19 күн бұрын
Meacheni Martha Aishi maisha yake na nyingi kaimbeni kama rahisi mpate izo pesa
@janem.nduku-official
@janem.nduku-official 18 күн бұрын
Kweli kabisa
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 17 күн бұрын
@@eddsonjeremiah6669 na nyie ndo walewale mnaotelekeza wazazi wenu wanalialia njaa pumbavu mnajaribu kuteteana kwenye ushetani wenu ,kasaidie mamako huko
@sabrinafadhil8835
@sabrinafadhil8835 16 күн бұрын
Wewe ni mfilwa
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 18 күн бұрын
Inaonekana huyo Joan ndo anaemuweka mjini Matha
@hildablessed7145
@hildablessed7145 18 күн бұрын
The Bible says, siyo wote wasemao bwana bwana wataingia ufalme wa mbinguni. Martha, God mighty still use you. But know , what you are doing is disgusting before God. And their is a wrath for that. You have looked Joan has your God, and forgotten where God removed you, you look at yourself, without Joan, you can not exist. You decide to abandon everything , God , your parents, your sisters and relatives because of Joan. This God who lifted you, is the same God who can bring you totally down. Left without anything. Repent turn back to God and your family, Acha kupotezwa na Joan. The Bible says, heshimu wazazi wako, upate kuishi maisha marefu na ule mwema ya nchi. Martha ujafika bado, safari bado. Stop acting like hypocrites, unahimiza watu about the story of Joseph. Yes wadungu zake walimkataa , wakamtenga.But we see Joseph never carried grudges, he forgave the family, na alikuwa wabaraka sana kwa jamii yake, kwa kuwasaidia. Martha, if you are God servant, Rudi ukasaidie mamako na all your family.And if you have backsided,keep on ignoring your mother and your family. And I can tell you this for free, utayavuna upandacho, machozi ya mamako , haiendi bure. Endelea tu, kupotoshwa na Joan. Ju unamsikiza tu sana, kuliko Mungu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 18 күн бұрын
Achaneni na hiyo michawi,house girl unaongea nn?
@atufigwegelusajo955
@atufigwegelusajo955 18 күн бұрын
Sasa hata kama wewe ni mtoto wa mtumishi mbonq hufuati tabia za mama mtumishi, ona tu ulivyonyoa kihuni huni, alafu mambo ya dunia ni meng sana
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 19 күн бұрын
Matha amekonda lakini pia hana furaha Mungu amuokoe kwa mara nyingine tena arudi ktk msitari
@joyyjoyy5474
@joyyjoyy5474 18 күн бұрын
Hua naona nn mm namuona kapungua kumbe pia ww umeliona Hilo, Mungu asaidiwe Kwa kweli
@happinessmisanga4944
@happinessmisanga4944 15 күн бұрын
Hakuna amani kwa wasio haki huyu alishamuacha Kristo zamani sana
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 15 күн бұрын
@happinessmisanga4944 ni kweli Mungu amsaidie
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 17 күн бұрын
Muuza k wewe
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 19 күн бұрын
Hakuna hata aibu nyie wasagajitu acheni hata kuimba tu munachafuatu
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO
1:54:31
Reality of Christ Church
Рет қаралды 414 М.
Tazama Goodluck Gozbert akichoma Gari aliyopewa na Nabii Geo Devi
3:15
Minister Peter Mchalo
Рет қаралды 1 М.