Martha Mwaipaja - OMBI LANGU KWA MUNGU (Officia Video)

  Рет қаралды 1,311,294

Martha Mwaipaja

Martha Mwaipaja

Күн бұрын

Пікірлер: 250
@jadetoto
@jadetoto Ай бұрын
Nani karudi hapa 2024 baada ya Joan kutavurunda?
@Faethesther
@Faethesther Ай бұрын
😢😢. Mungu turegeshe... Huyu martha wa zamani
@deusdedithjoseph7588
@deusdedithjoseph7588 Ай бұрын
Jamani Martha mama
@JACKTONEOFFICIAL
@JACKTONEOFFICIAL Ай бұрын
Mimì
@NancyVugutsa-jg6ev
@NancyVugutsa-jg6ev Ай бұрын
Nime mwona joan,,,i like Martha but huyu Joan ndio atamharibia Martha
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 18 күн бұрын
Hawezi kumuharibia Martha,amejiharibia mwenyewe.​@@NancyVugutsa-jg6ev
@TimotheeKalonga
@TimotheeKalonga 3 ай бұрын
Nakusalimu Mutumishi wa bwana,Martha Mwaipaja, kwa sababu ya nyimbo zako zimekuwa zimenifariji simwimbo moja tu lakini zote. N'a bwana akuzidishe kwa kutunga nyimbo kwa utele. Aksante.
@KokuDeusi
@KokuDeusi Жыл бұрын
Asante sana mimi wimbo huu unanifrij sana maana niliyopitia Mungu ndo anaju
@esteralinanuswe325
@esteralinanuswe325 6 ай бұрын
Hakika MUNGU ni Mwaminifu Sana Ametengeneza Njia Katika Mwaka Huu 2024 nimeona ukuu wa Mungu Sanaa Katika Maisha yangu Nashindwa Nielezeje Ubalikiwe Sanaa Martha Uinuliwe Zaidi na Nyimbo zako
@efrasiabosco4661
@efrasiabosco4661 Жыл бұрын
Mwenyez Mungu aendlee kkutia nguvu dada Martha najickia Farah ninapockia wimbo huu
@jmlsengech6760
@jmlsengech6760 14 күн бұрын
who is here on 2025???
@henriettealiofficial3239
@henriettealiofficial3239 Ай бұрын
Asante Yesu! Mubarikiwe Wote 2025!
@MercyMwenesi-gj7yx
@MercyMwenesi-gj7yx Жыл бұрын
Mimi naupenda huu kimbo unanipa tumaini kwa maisha yangu
@WilliminaOjiambo
@WilliminaOjiambo Ай бұрын
Siku wahi huwa ya kwamba waimbaji wako huwa unajiimba kwa yale ambayo imeweza kuyapitia jų huwa ninabariwa sana na waimbaji wako paspo mwelewe yale ulioyapitia ndio nimekuwa kumbuka jaribu kwa mtu si eti ametenda dhambi bali ni kikombe malizika naukitie imani yakiendelea mbele kuwa hodari kuwa shuja katika Mungu wako anae kupenda zao ya wanadamu❤❤
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 2 жыл бұрын
Unanipa sana Nguvu ...na kila ninapotia magumu hufikia kuisha...ni muislam ila napenda mistari yako ya Ushuhuda wa kweli tunayopitia baadhi yetu.barikiwa
@brownmwailunda1436
@brownmwailunda1436 Жыл бұрын
Mimi huwa Naamini kwamba kwa wimbo huu Matha Mungu Alikuwa Anakuita kikamilifu na kukufungulia Mlango na Wimbo huu hauchuji uko vilevile Ombi Langi Kwa Mungu
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Mungu naomba na mimi pia unitazame kama ulivyotazama wengine, naomba niwe mmoja wapo wa wale uliowachagua Mungu nikumbuke na mimi pia.
@MpawenimanaEvrine
@MpawenimanaEvrine Жыл бұрын
Asahanteni sanadadanyimbozako zotezinaniingizakwanguvu mungu akubarikipia nafamilia yakoyote
@benta8051
@benta8051 2 жыл бұрын
Mungu alikupaka upako uimbaji wko dada nyimbo zko zanpea atua ingne god bleesing
@JacklinekanunuThobias
@JacklinekanunuThobias Ай бұрын
Huu wimbo unanibariki sana mimi❤
@StephenWambua-h1m
@StephenWambua-h1m 2 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua sana martha kwa maana nyimbo huni fariji sana na kunitia matumaini
@malkiarose4955
@malkiarose4955 2 жыл бұрын
Ahsante Mungu ulinikumbuka naombea wengine pia uwakumbuke kwa hali zao tofauti tofauti amina.
@david76948
@david76948 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Dada Mwaibaja wakati unatutia moyo maishani pia nawe Mwenyezi Mungu asikie sala zako na mahitaji yako yote.
@moseskamalamo4669
@moseskamalamo4669 8 ай бұрын
Kweli mungu si mwanadam Asante mungu wangu kwa kunikumbuka mimi
@veronicamkhuyu6580
@veronicamkhuyu6580 2 жыл бұрын
Napenda saana. Nyimbo zako hunileta karibu. na MUNGU barikiwa.
@LarousseBen-dr5gw
@LarousseBen-dr5gw Жыл бұрын
Ninayo sabu Inaya sababisha hakika Mungu ni Mungu atosha ndani ya maisha yangu ubarikiwe dada nyimbo zako zinakumbushaka Mwenye ni metoka amenitiwa mbali kweli Mungu siyo mwanadamu
@rosechunji7143
@rosechunji7143 2 жыл бұрын
Hakika Mungu SI mwanadamu na wewe dada Martha ni ushuhuda....na mimi pia nashuhudia kuwa Mung.u ni Mungu Kwa wanaomtegemea
@getrudeauma5812
@getrudeauma5812 2 жыл бұрын
Mungu akutendeye dada yangu ,,nyimbo zako za nitia nguvu sanaa,, barikiwa sanaa sister I love your songs be blessed mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏
@joshuakelly749
@joshuakelly749 2 жыл бұрын
Hakika dada nyimbo zako zimenipa matumaini zana, hubarikiwe Sana,
@LucyOgego
@LucyOgego 4 ай бұрын
My favourite 😍, wakati wow wowote nimeisikiliza huu wimbo nafarijika, I downloaded the audio ila lazima nirudi niutazame live mara nyingine, Martha you're a blessing 🙌 ❤️
@elizabethjohn2076
@elizabethjohn2076 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Dada Martha huu wimbo huwa unanipa nguvu Sana ninapopitia wakati mgumu na huwa nashinda yote barikiwa saaana sanaa
@mtkblg9590
@mtkblg9590 Жыл бұрын
😮😮😮😮
@PendoNdaa-wx6iu
@PendoNdaa-wx6iu Жыл бұрын
God bless you sister martha this song give me core g
@CatherineMueni-n5w
@CatherineMueni-n5w 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MbulaJospin-l2w
@MbulaJospin-l2w 4 ай бұрын
Apana usi shindue
@atunosyegemwakangata8604
@atunosyegemwakangata8604 2 жыл бұрын
Haleluya hongera Mtumishi wa Mungu kweli ipo ssbabu na tunayo sababu inayotufanya tupaze sauti kwa bwana yesu ili atusaidie maana yeye ndiye peke yake mwenye nguvu kubwa kushindwa kitu chochote Amina
@MercieWambua
@MercieWambua 2 ай бұрын
Nani anatazama wimbo huu Leo 2nd Dec
@SabinaCravery
@SabinaCravery Ай бұрын
@GetrudaCharles-s3k
@GetrudaCharles-s3k Ай бұрын
Mm hapa
@angelineachieng6710
@angelineachieng6710 Ай бұрын
Sisi hapa 19th Dec 2024
@DianaMunali-i1j
@DianaMunali-i1j Ай бұрын
Mimi
@calfredonsarigo4093
@calfredonsarigo4093 Ай бұрын
Mimi hapa 2.01.2025 5:00am
@ellybernard5254
@ellybernard5254 2 жыл бұрын
Ubarikiwe san dada hakika napockiliza nyimbo zako Napata faraja moyoni mwangu Mungu azidi kukupa viwango vya juu kwa kadiri ya uwezo wake
@VioletNkirote
@VioletNkirote 2 ай бұрын
God bless you my sister coming soon by grace of God,I am dancing from Kenya Amen 💖🙏🎉
@joyceowili7375
@joyceowili7375 Ай бұрын
May the world know through your life that our God is a faithful father 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️🤗✅
@DivinemuzusaDivine
@DivinemuzusaDivine 7 ай бұрын
Nimemu pokeya yesus kwa bwana na mokozi wa maisha yangu Amen!😢🙏🙏🙏💪
@MaryDama-rf8wz
@MaryDama-rf8wz 13 күн бұрын
Nukumbikena mimi kama uliyvo mkumbuka daudi mungu wangu
@HappyClement-p1s
@HappyClement-p1s 3 ай бұрын
Hongera ubarikiwe sana Mama na wewe pia ukumbukwe na Mungu nafarjka sana nnapotazama huu wimbo❤❤❤
@kelvinmutalala3200
@kelvinmutalala3200 2 жыл бұрын
What a beautiful voice. Shukrani kabisa. You are gifted and talented @Martha Mwaipaja. Mungu akubariki.
@MarieBahindwa
@MarieBahindwa 20 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🧎🧎🧎🧎♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nakupenda sana mamy hataabari ganiikuje nakupenda daima
@kelvinobarasa
@kelvinobarasa 9 ай бұрын
Wimbo hatari sana mpaka shetani anaibika Mungu akuongezee miaka mingi sana
@IreenWilison
@IreenWilison 9 ай бұрын
Asante sana dada nakupenda sana nyimbo zako zotenzur .pia wewe mzur .pia mayai yako mazuri.pia suit yako nzur .tembea yako kiukwer nakukubari saaaana
@enockmabulls
@enockmabulls 2 жыл бұрын
Hakika Mungu si mwanadamu Mungu akuzidishie dada
@rhodalukano6387
@rhodalukano6387 Ай бұрын
Martha has gone through alot this song tells it all let's not judge her.
@IvetteAlanga-r1y
@IvetteAlanga-r1y Ай бұрын
Nilipendaka iyi nyimbo tangu 2018 njo nilisikia njo maaana naji connecté leo kuitafuta napendaka saaaaaana ma nyimbo zako ubarikiwe saaaaaana
@elizabethbarasa
@elizabethbarasa Жыл бұрын
So encouraging, may God continue using you to touch lives
@GILBERTNKULU
@GILBERTNKULU Жыл бұрын
Soyons reconnaissant à ce que notre seigneur Jésus Christ fait pour nous !
@SueRebirth
@SueRebirth Жыл бұрын
I danced along the powerful words of this song, I declared it, it became my heavenly anthem all the way in South Africa, from Kenya to USA. Here I am today replaying this beautiful song which never grows old. Hallelujah, heaven is my final destination in Jesus name, amen.
@GeoffreyMMuema
@GeoffreyMMuema Жыл бұрын
The first time I noticed this great talent was in 2017. I went for some shopping at turskys, Greenspan Mall. They used to sell music CDs that when I heard this particular song. I bought the CD there and then. That was the national anthem in the house and in the car.
@GloryRuben
@GloryRuben 12 күн бұрын
Mungu Huyu Nifundi Martha😊😊😊
@annamwikali9719
@annamwikali9719 2 жыл бұрын
Mungu ana ubaguzi atupenda sote
@newtonwanyama1846
@newtonwanyama1846 Жыл бұрын
Mungu akubariku sana Martha Kwa kutubariki na hizi nyimbo🙏🙏
@susanmonyi8995
@susanmonyi8995 Жыл бұрын
Napenda nyimbo zaidi zanileta karibu na Mungu barikiwa sana dadangu❤
@faithmueni9020
@faithmueni9020 Жыл бұрын
Amen and amen Asante dadagu Martha God already he ansa my prayers thankyu 😭😭😭♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪
@EverlyneEtale
@EverlyneEtale 17 күн бұрын
Nyimbo yangu ya ushuhuda. Amen
@MaryDama-rf8wz
@MaryDama-rf8wz 13 күн бұрын
Mungu ni mwema 😊😊😊
@mulyangasudaniel8715
@mulyangasudaniel8715 Жыл бұрын
Amene dada akubariki
@ScolasticaLisakafu-nh8hl
@ScolasticaLisakafu-nh8hl Жыл бұрын
Hongera sana Dada nyimbo zako nzuri sana unaimba kwa utaaratibu kabisa mungu akuongezee kipaji zaidi
@aumaobel9038
@aumaobel9038 Ай бұрын
Nabarikiwa,,,zidi kunyamaza kabisa my sister,,,Hata Yesu alikataliwa kwao,,Barnaba akachaguliwa
@EdinaJoseph-w8o
@EdinaJoseph-w8o Жыл бұрын
Mugu akubatiki IRA naoba utuobee mass doa zetu zimeigiriwa nashetatini tuko vibaya sana 5:36
@SIASATZ
@SIASATZ Жыл бұрын
Nyimbo Bora wakati wote
@aishalovesidibeaisha9156
@aishalovesidibeaisha9156 Жыл бұрын
Mwimbo uyu unabaraka nasal mungu amubariki Dada yetu kura unakuca adi kuingiya naskia nyimbo iyi🙏🥰🥰💯💯👆
@jabipeninah-hz6vt
@jabipeninah-hz6vt Жыл бұрын
Ever smart love your music 🎶 much love from Uganda 🇺🇬 ukweli mugu ametengeneza njia🙏🙏🙏😊😊
@moseskamalamo4669
@moseskamalamo4669 2 жыл бұрын
Ata Mimi ni sababu ya kusema mungu si mwanadam Asante yesu Kwa kunitendea wema mimi
@wycliffemose-v5t
@wycliffemose-v5t Жыл бұрын
I love your song Martha,naiona kesho inanipea nguvu sana hata natamani nikuone life
@moseskamalamo4669
@moseskamalamo4669 2 жыл бұрын
Ubarikiwe dada Martha ata Mimi ninayo sababu ya kumwambia mungu Asante Kwa mema aliyonitendea
@jeanpierrentayagabiri4403
@jeanpierrentayagabiri4403 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Martha
@edwarddaud8327
@edwarddaud8327 2 жыл бұрын
Hongela sana dada
@mercylinekerubo6425
@mercylinekerubo6425 Жыл бұрын
Thank you Lord for this far when I needed you Lord you holded my hand and comforted me more so you opened my doors
@onesmomapunda6878
@onesmomapunda6878 2 жыл бұрын
Mungu Akubariki Ktk Kumtumikia Vyema
@Videopour-d5u
@Videopour-d5u 3 ай бұрын
Akuna kama wewe katika iyi duniya uko bwanaa wa ma bwanaaaa upewe sifa🙏🥺🥺
@janetkalu3870
@janetkalu3870 Жыл бұрын
MUngu akubariki dada Kwa nyimbo zako na hisi kubarikiwa nikishiwa katika Hali ngumu
@moseskamalamo4669
@moseskamalamo4669 Жыл бұрын
Kweli mungu si mwanadam Asante yesu kwa kunikumbuka mimi
@raphatv4307
@raphatv4307 2 жыл бұрын
Amina. Hakika Mungu wetu si mwanadamu. Be blessed sister Martha
@EmidiAlphonsine
@EmidiAlphonsine Ай бұрын
Kaza mwedo ilinde imani
@Francine-wg3bm
@Francine-wg3bm 7 ай бұрын
Ubarikiwe sans dada yangu
@DamarisAnn-q3n
@DamarisAnn-q3n 11 күн бұрын
Mungu thanks😢
@jonathankayombo2948
@jonathankayombo2948 Жыл бұрын
Kwa kweli uyu wimbo unitiya nguvu na kuongeza Imani mbele ya mungu
@lucykazungu3626
@lucykazungu3626 2 жыл бұрын
Ubarikiwe siz napend nyimbo zako
@rosebabala195
@rosebabala195 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Dada Maritha 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️
@CLARISKENESA
@CLARISKENESA 4 ай бұрын
Nzambe apambola yo mingi na ba nzembo nayo ezali inspiré,mokili ebebisa yo te
@judithkon3322
@judithkon3322 2 жыл бұрын
En cas que le seigneur soit avec toi ma sœur
@mercymakale211
@mercymakale211 Жыл бұрын
Asante mungu kwayote unanikubush maisha😭😭😭
@TUMAINIKimario-s2q
@TUMAINIKimario-s2q 11 ай бұрын
Nakubal sana dada safar iwe nyeupe 🎉
@florencendarua5343
@florencendarua5343 Жыл бұрын
Mwampaja,napenda miziki yako sana,especially huu,may God bless you
@Lucyiminza
@Lucyiminza Ай бұрын
I love your kindness and politeness in you. Your wisdom is very unique , Mungu akutete
@كلور-ت6ذ
@كلور-ت6ذ 4 ай бұрын
Barikia san mung ni mwem kwel anatengeneza njia pasipo njia kwel ame tukumbuk peny wanadam awangetukumbuka
@teophilebayikunde
@teophilebayikunde 3 ай бұрын
Ju yanini nyimbo zako haziitike kukuwa téléchargés
@ergyebuelaaoci1685
@ergyebuelaaoci1685 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwanyimbo unazoimba zinatufariji sana kwa safari yakwenda Mbinguni
@leahakinyi1092
@leahakinyi1092 Жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe unatia nguvu umbali huu
@RoseMeri-tq7nh
@RoseMeri-tq7nh 3 ай бұрын
Aki pia mm mungu ani kumbuke nitoe ushuuda❤😢😢🙏🙏🙏
@monicaangollo79
@monicaangollo79 2 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako zina ujumbe sana kwa maisha yetu sana Mungu azidi kukulinda
@reginawanjiku6536
@reginawanjiku6536 2 жыл бұрын
Am blessed.Thankyou Martha..Continue singing...your voice is one of the best...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👋
@mayieracommunication2502
@mayieracommunication2502 Жыл бұрын
CC
@MarySalame
@MarySalame 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana dadangu huu wimbo unanitoa mahali mbali sana
@RoselineNyagaka-yz2ek
@RoselineNyagaka-yz2ek 11 ай бұрын
You look more prettier with short hair🎉❤❤long live my dear,,and keep on spreading the word of God through your songs as you inspire many to His kingdom
@MireilleAssa
@MireilleAssa Жыл бұрын
Utukufu ni kwake Muumba wa yote 🤲🙇🇧🇮🇧🇮
@winnersneeddiscipline4926
@winnersneeddiscipline4926 2 жыл бұрын
OMG this song have been searching for it.. I got it Asante Yesu
@benjaminolenja9006
@benjaminolenja9006 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa huduma huu wa nyimbo za kutuliza nafsi zetu ndani yake Bwana wetu Yesu Kristo.
@mwamachimwangwaimwangwai9671
@mwamachimwangwaimwangwai9671 2 жыл бұрын
Be blessed Martha touching soul songs may you live long in jesus name amen!
@AllanMwengu
@AllanMwengu 5 ай бұрын
Mungu naomba pia nami nipe ushuhuda kama huu .nitendee baba
@chidebrutechs
@chidebrutechs 2 жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe mno dada, Ombi lako limekuvalika.
@ZuuHassan-q9u
@ZuuHassan-q9u Ай бұрын
I really love this song ❤️😍❤️😍❤️
@lameckson5345
@lameckson5345 2 жыл бұрын
Wimbo muzuli mungu akuinue sana dada angu
@worshiplibrary7157
@worshiplibrary7157 2 жыл бұрын
I promise you I heard this at the right time! Depression, YOU WILL NOT WIN!
@benardcheng8502
@benardcheng8502 2 жыл бұрын
Exactly put God first
@MagrethThomas-em3bc
@MagrethThomas-em3bc Жыл бұрын
Hakika mungu ni muweza wa yote mungu akubariki.sanaaaaa
Martha Mwaipaja -Naiona Kesho (Offical video)
9:14
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 6 МЛН
Martha Mwaipaja- JARIBU KWA MTU (Official Video)
10:55
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 359 М.
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
SWAHILI WORSHIP MIX  || UABUDIWE BWANA/ PAMOJA NAWE/ NIMEKUTANA NAWE.
40:06
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 10 М.
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 2,7 МЛН
Ombi Langu Kwa Mungu
16:24
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 8 М.
Martha Mwaipaja Kwa Msaada Wa Mungu Official Video
6:23
Africha Entertainment
Рет қаралды 88 М.
Martha Mwaipaja - TUSIKATE TAMAA (official video)
8:28
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 205 М.
OMBI LANGU BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
5:52
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 4,5 МЛН
Dj James Presents Martha Mwaipaja Mixtape Volume Two (Audio Link 👇)
1:23:28
Dj James The Rockstar ⭐ TV
Рет қаралды 918 М.