Mimi masanja nakuombea sana. Na.....Mungu akuinue zaidi ktk huduma yako
@helenkahema2636 Жыл бұрын
Yaaani Raha Sana kumtumikia Mungu ukiwa kijana, Cheza Mtumishi unawatia moyo vijana Barikiwa mnoooo❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰
@paulinasalvatory34627 ай бұрын
Baba barikiwa
@nikusekelakajumba7697 Жыл бұрын
Masanja,Mungu akubariki wakati wengine wanna angaika kukurudisha nyuma,wewekwanza ndo unakazana kumtumikia Mungu.
@helenkahema2636 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥sichoki kuwaaangalia mie❤️❤️❤️❤️
@felisterkioko Жыл бұрын
Nabarikiwa nakila kitu yaiyo church 🙏
@helvetasswiss4638 Жыл бұрын
Masanja nilikuelewa tangu ulipoamua kuokoka haukuingia kwa kujaribu sasa nasema MUNGU akubariki zaidi
@fabianmwile2960 Жыл бұрын
Wimbo watubariki sana
@samwelimokiwa1994 Жыл бұрын
Barikiwa sana baba, Kwa vile unatutia moyo free voices
@haroonmwangi6637 Жыл бұрын
Mgaya nakukubali saana pastor Wang mbarikiwe saana wimbo mzuri
@arodiaisdory480411 ай бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu, kila siku lazima niusikilize
@afandebrighttz2887 Жыл бұрын
Waooooo safisana Vijana wangu pigeni kaziii
@MichaelEdward-mj7fd Жыл бұрын
Mbarikiwe
@felisterkioko Жыл бұрын
Yaani nyinyi mlie hiyo church mumefika I love this song 🙏
@edithanchimbi2754 Жыл бұрын
Nyimbo tamu
@estershenene8787 Жыл бұрын
Saut nzur masanja mung amukupa mtumikie kwelkwel
@fridamnyuki-bt2yu Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi wa mungu uko vinzuri
@helenkahema2636 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥dah sichoki kutazama hii song ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@josephsaini6598 Жыл бұрын
Unawezaje kuchoka mf, kila cku lazma niutazame nakuuckiliza zaidi ya maramoja, yaani unafika mwisho naanza Tena, hakikanatubariki, kongole Kwa Yesu
@priscajackson240 Жыл бұрын
Sasa hivi ndiyo masanja wanaomba,nimebarikiwa sana nawimbo huuu mbarikiwe sana
@andrewkivuyo5454 Жыл бұрын
Barikiweni sana
@priscajackson240 Жыл бұрын
Naomba namba ya masanja nipo simiyu
@lukunielisha96 Жыл бұрын
Mzidi barikiwa 💯💯💯
@helenkahema2636 Жыл бұрын
Mueleze shida zako mueleze Yesu, ohhh yaani siyo mchezo ,
@angelinageorge9479 Жыл бұрын
mungu awabarik kwa ujumbe mzurii
@shadyaramadhani5691 Жыл бұрын
Akujhipha
@rebecamagesa5311 Жыл бұрын
Amen nimeenjoy kweli kak angu masanja unakitu cha pekee san
@christinasamweli3238 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo ,God bless you all.
@YohanaJamson-cf4fx Жыл бұрын
❤❤
@Richard_Kilimba10 ай бұрын
Nikweli kakbisa mbarikiwe sana
@edwarddaniel7459 Жыл бұрын
Hongera Sana'a baba mgaya
@janeangoche4464 Жыл бұрын
May God Bless you all.🙏
@amanimugabe Жыл бұрын
Amen wapendwa wabwana mubarikiwe
@mugishagalibona985911 ай бұрын
Huu wimbo kila nikiusikiliza nasikia kubarikiwa sana. Nakuona kuwa na deni la kuwa mnyenyekevu bila kujali nafasi, sifa, cheo, utajiri nk
@bethinasiamfungo2518 Жыл бұрын
MUNGU awabariki sana binafsi nimebarikiwa
@marykivamba405110 ай бұрын
Wimbo huu ni 🔥🔥
@deboramwashaha5468 Жыл бұрын
Mbarikiwe na Bwana
@andrewkivuyo5454 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@shadyaramadhani5691 Жыл бұрын
Masanja
@edwarddaniel7459 Жыл бұрын
Mueleze yesu shida zakoo
@ZakariaKashinje-st5qh Жыл бұрын
Matukio
@sarahkapange252 Жыл бұрын
Ameni Mungu awabariki
@richemmanuel2682 Жыл бұрын
nzuriii sana
@Richard_Kilimba7 ай бұрын
❤❤❤
@helenkahema2636 Жыл бұрын
Hapa Mtumishi amechelewa kupanda alikuwa anacheki stepu Kwanza du 🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥
@Sifam634 Жыл бұрын
Kwanini kugusa boni la jicho la Mungu, unaongeya ukizani ni muzaa ila ujuwe unajikokoteya laana bure, utatubu wapi ndugu
@helenkahema2636 Жыл бұрын
Mbona unaniwazia vibaya wala sikuwa na nia mbaya lakini kikutokacho ndicho kilichoujaza moyo wako nawapenda hujui tu Mungu akusamehe tu na kuhurumie wewe mwenyewe unahittaji toba
@jentamwadime5910 Жыл бұрын
That was awesome
@edwarddaniel7459 Жыл бұрын
Huuuu wimbo unausikiliza kutoka dar mpaka mbeya mbalizi huko mapelele kwa mama shali jamani voices mmejua kutufurahisha na wimbo wa zakayo