No video

MASANJA: NILIFANYA MOVIE NA KANUMBA NIKAWEKWA GETINI

  Рет қаралды 62,645

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

3 жыл бұрын

MASANJA: NILIFANYA MOVIE NA KANUMBA NIKAWEKWA GETINI

Пікірлер: 56
@angelyaee6423
@angelyaee6423 Жыл бұрын
Unanibariki san mtumishi wa Mungu mb zinaisha kila cku Mungu akutunze
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 3 жыл бұрын
Hubirini, acheni porojo. Hubirini watu wajiandae kwa ujio wa pili wa Bwana Yesu Kristo. Acheni kabhobho.
@erickbabu1727
@erickbabu1727 3 жыл бұрын
Maadam mwili kristo unajengwa, ili kuwakamilisha watakatifu utukufu kwa Mungu
@neemamjengi9913
@neemamjengi9913 3 жыл бұрын
Nakuelewa zaidi Mtumishi wa Mungu, ubarikiwe zaidi mtumishi wa Mungu
@hamishamis9905
@hamishamis9905 3 жыл бұрын
Shishi humpati mtu zaidi ya nafsi yako elewa dunia tunapita tu😌😌😌😌
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 3 жыл бұрын
Acha wivu
@elishavicentmhina3545
@elishavicentmhina3545 3 жыл бұрын
Una roho mbaya sana
@angellizer7701
@angellizer7701 3 жыл бұрын
Najifunza kitu kutoka kwako my pastor
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 3 жыл бұрын
watakusumbua wakiona unang'ara na kanisa lako mpka ushangae! lakini watambue kuwa kazi yashra
@josephnjella4919
@josephnjella4919 3 жыл бұрын
Mbona kwa mwenda zake ni kama ulikuwa km za mbali
@yohanagitano9941
@yohanagitano9941 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumish wa Bwana
@ericmtalemwa3573
@ericmtalemwa3573 3 жыл бұрын
Much appreciations for the strong confidence!!
@bidayo1058
@bidayo1058 3 жыл бұрын
Great work man of God! Endelea kuchapa injili hata iweje
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mch. Masanja
@johannes4127
@johannes4127 3 жыл бұрын
Mtumish ubirini ufalme wa mbingun
@josiaskay7939
@josiaskay7939 3 жыл бұрын
Very good
@amockkalinga1520
@amockkalinga1520 3 жыл бұрын
Kaka kwakweli mpaka hapo ulipofikia big up!!kweli kaka umeitwa na mungu nilikuwa napitia comment za watu Yani sisi wanadamu tunashida na mungu aturehemu tunapenda kuhukumu sana Yani mpaka tunachukua nafasi ya mungu barikiwa Sana kaka
@hadassahmakuna7954
@hadassahmakuna7954 3 жыл бұрын
Yaani Ktk Tanzania hii Ktk ma kanisani ya kilokole kuna watu walishaacha njia ya huyo Bwana Yesu wamegeuka wao ndio Mungu sijui ni mbingu ipi wanayoiendea ? Wanachokijua ni hukumu, chuki, na wivu, tu wala upendo wa Mungu haumo ndani yao lkn wako humo makanisani Mmmmmhhhh. Wanamsaidia shetani Kazi
@revinastephen3365
@revinastephen3365 3 жыл бұрын
Hongera sana natamani siku hiyo ningekuwepo lakini majukumu ya kutafuta riziki yalinibana ,na ni siku ambayo ilikuwa muhimu kwa mtoto wangu ,tarehe yake ya kuzaliwa
@lichilasalumu7983
@lichilasalumu7983 3 жыл бұрын
Wasaka tonge,wizi mtupu
@ezekielnjau8830
@ezekielnjau8830 3 жыл бұрын
Amina
@mcsimonmzungutv2084
@mcsimonmzungutv2084 3 жыл бұрын
Daima Unanibariki Mtumishi
@hakimabdul7494
@hakimabdul7494 3 жыл бұрын
Hakuna alieokoka kati yenu Mwenye kuokoka ni yule atakaevumilia hadi siku ya mwisho .....
@williamgeorge150
@williamgeorge150 3 жыл бұрын
Barikiwa pastor
@haikamchaga8251
@haikamchaga8251 3 жыл бұрын
Na kweeli kuokoka no MOYO na maàmuz magumu no kuyaa c ha mambo yote lkn wengi wetu hua tunavhukuliwa poa myumishi elewa mti wenye matunda daima hupigwa mawe
@bishopgeorgemao999
@bishopgeorgemao999 3 жыл бұрын
Songa mbere mtu wa Mungu
@raheemahongeramashaallah1443
@raheemahongeramashaallah1443 3 жыл бұрын
inguluvi yiihuvihage .
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 3 жыл бұрын
mtu ana Uhuru wa kuamini anachoona kina mfaa ili mradi tu asiingilie haki na utu wa mtu mwingine, Ila Kuna watu hudhani Damu ya yesu ni ya kwao tu. wengine Wana ya kunguni hulazimisha wengine kuamini wanachokiamini, hyo Ni fikra mgando.
@aminamwakilembe4658
@aminamwakilembe4658 3 жыл бұрын
nakuelewa sanaaaa umeniinua na uu ujumbe
@allan3723
@allan3723 3 жыл бұрын
akili nyingi sana masanja
@elphasaloyce1673
@elphasaloyce1673 3 жыл бұрын
inspirable
@africanbeautiful5123
@africanbeautiful5123 3 жыл бұрын
Ulitaka uwekwe wapi
@jacobopeter6204
@jacobopeter6204 3 жыл бұрын
Amen
@dyannnaasy3746
@dyannnaasy3746 3 жыл бұрын
Barikiw san
@geraldlutamigwa7556
@geraldlutamigwa7556 3 жыл бұрын
Kwel brother
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Kanisa umeanzisha wewe lakini mwisho wa siku utasema Yesu ndio kaanzisha
@ichicarodan6931
@ichicarodan6931 3 жыл бұрын
Ndio kanisa ameanzisha yeye kwa nguvu ya roho mtakatifu...
@user-te4cp5mh7z
@user-te4cp5mh7z 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@papa_noah_3tone
@papa_noah_3tone 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 3 жыл бұрын
+MUNGU+ Azidi kwako zaidi kwa kila eneo 1 WAKORINTO 1:9🙏🙏
@jacobopeter6204
@jacobopeter6204 3 жыл бұрын
Amen
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
1 Wacorinto 11:17,22) Isaya 66:3) Ayubu 34:37) 1 Wacorinto 15:14,19) Poleni sana
@bhataprotasi1971
@bhataprotasi1971 3 жыл бұрын
Konki
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Masanja ni mzaliwa wa wapi huyu
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 3 жыл бұрын
Mbeya
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
@@wangonamuhange8218 . Haa. Kwa hivyo usukuma ni wakujibambikizia kwenye ze comedy
@paulgaudence9146
@paulgaudence9146 3 жыл бұрын
Mkinga wa njombe huyu,....ukoo mgaya
@julyluoga1192
@julyluoga1192 3 жыл бұрын
Njombe , wilaya ya ludewa
@mudatherygama558
@mudatherygama558 3 жыл бұрын
Kaka Niko chalinze nasumbuliwa na vidonda nisaidie
@hamzakilindo5886
@hamzakilindo5886 3 жыл бұрын
Nîtafute nikupe dawa utapona tyuu
@hamzakilindo5886
@hamzakilindo5886 3 жыл бұрын
0711637684
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 3 жыл бұрын
nenda hospital kwanza
@haridimajengo2953
@haridimajengo2953 3 жыл бұрын
Kanisa lipo sehemu gan?
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@leticiarmartin7310
@leticiarmartin7310 3 жыл бұрын
Amen
@directorjp5783
@directorjp5783 3 жыл бұрын
Amen
Kilimo cha Mpunga Madibira
2:32
Dream Media
Рет қаралды 6 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН
LIVE:MASANJA ANAHUBIRI KANISANI KWAKE
1:18:36
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 69 М.
MASANJA MKANDAMIZAJI ASIMULIA HISTORIA YAKE | ATOA SOMO KWA VIJANA
13:59
MDOGO WAKE MASANJA NDIO MSIMAMIZI WA MASHAMBA/VITUKO JE?
9:29
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 503 М.
sikiliza Neno la baraka toka Pastor Tony Osborn Kapola
2:57
WORSHIP GOD FOREVER
Рет қаралды 230
TAKE ONE 2nd Season 2012  Episode 06a CLOUDS TVPAL
24:49
Takeonetz
Рет қаралды 143 М.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Topten Tv
Рет қаралды 325 М.
MASANJA TWENZETU SHAMBANI ( SHAMBA TOUR)
3:25
MCHONGO WA KILIMO
Рет қаралды 1,4 М.
MASANJA: SIKU YA1 KUINGIA KANISANI WATU WALINIKIMBIA
3:11
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 30 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН