THE CLASSIC MASANJA PT 4 EP 1 : KAZI YA UKONDA WA DALA DALA /MKASA WA ZE COMEDY NA TAJIRI JACK PEMBA

  Рет қаралды 21,179

KuviFacts

KuviFacts

3 ай бұрын

Masanja ameweka rekodi ya kua mgeni wa kwanza aliefanya vipindi vinne katika kipindi cha The Classic,hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano haya ambapo anaelezea wakati alipokua konda wadala dala na chagamoto zake na changamoto za ndani wakati wanafnya vipindi vya Ze Comedy

Пікірлер: 46
@rubenben-gg2vt
@rubenben-gg2vt 3 ай бұрын
Umekata story ya ukonda mzee umeniboa mzee
@ts9dna862
@ts9dna862 3 ай бұрын
Sema episode zinachelewa sana hzi
@erickismail4205
@erickismail4205 3 ай бұрын
Masanja bado tunamdai sana asee
@wilbertephlaim2812
@wilbertephlaim2812 3 ай бұрын
Yaaaaaan masanja hata hachoshi kumsikiliza kabisaaaa, tunaomba aje tena na tena
@yassinuddi
@yassinuddi 3 ай бұрын
What happen? Upande wa ukondo mbona story imekatwa halafu ikaenea mbele sana?
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 3 ай бұрын
KITUKWE GUY
@nicenice3881
@nicenice3881 3 ай бұрын
Akija amalizie kwenye ukonda
@tasukutechnologies2573
@tasukutechnologies2573 3 ай бұрын
Anaweza kutengeneza movie based in true story
@joycemwamafupa8941
@joycemwamafupa8941 3 ай бұрын
Arud Tena tunamdai sanaaaa
@sarunioleksaitoty2141
@sarunioleksaitoty2141 3 ай бұрын
Kitukwe Guy😂😂😂 aendeeeee tunafurahia sana mambo yake
@davidkamando9630
@davidkamando9630 3 ай бұрын
Haya maisha aiseh! Mpaka upiga debe na mateja!? Yaani Unaweza mcheki mtu ukamchukulia oya oya au kumuhukumu lakini??!! Daah! Kuna mstari mmoja wa wimbo wa ben pol ft darasa kuna mstari unasema "nikikusimulia nlipotoka naona kama hunisomi, labda nikufungulie chest now you can really know me.. Daah!! Masanjaa! Hapana aiseh... Na hapo usikute kidogo sana kaeleza...
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 3 ай бұрын
Dakika chache sana
@user-qy2lq7et5m
@user-qy2lq7et5m 3 ай бұрын
Oya mtangazaji umezingua sana mbona umekatisha story ya konda
@kiballakstakintu4494
@kiballakstakintu4494 3 ай бұрын
Aisee napenda sana kumskiliza mkandamizaji lifestyle yake ni funzo tosha Kwa maisha yetu ya unga unga Mwana, Kwamba Cha kuzingatia ni kuamin Mungu yupo na kutokata tamaaa
@drmamu1623
@drmamu1623 3 ай бұрын
Its stories like this zenye uhalisia
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 3 ай бұрын
Very interested story 😊
@edinamkubwa2629
@edinamkubwa2629 3 ай бұрын
Hakika mafanikio ya Kweli na sahihi lazima upambane Kweli Kweli!! Nakubali masanja story yako imenifanya niinuke Tena baada ya kukata tamaa... Unarikiwe pastor
@patrickgondwe1813
@patrickgondwe1813 3 ай бұрын
Lovely interview
@barakaekuro
@barakaekuro 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 3 ай бұрын
Jamaaa huchoki kumsikiliza
@mhangwacastory8765
@mhangwacastory8765 3 ай бұрын
Masanja unatakiwa umpe siku nzima
@zakrinoh
@zakrinoh 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@shavasjohnkay-cw8lg
@shavasjohnkay-cw8lg 3 ай бұрын
Umenikumbusha sana starlet gari yangu ya kwanza kabisa, ila mimi niliuziwa laki 4 na mch Mboma😂
@georgenathanael
@georgenathanael 3 ай бұрын
Masanja arudi Tena na Tena dah! 😂
@user-vw7xw5tq2k
@user-vw7xw5tq2k 3 ай бұрын
Ila masanja story zake hazichoshi aisee😅😅 andelee bwna
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 3 ай бұрын
Masanja alikuwa anauwa paka kwenye daladara za usiku(kuuwa paka)
@mycolumic20
@mycolumic20 3 ай бұрын
Me isubili sana
@innocentmathias8668
@innocentmathias8668 3 ай бұрын
Masanja anavyohadithia story yake kama sio magumu aliyopitia
@homan_nkwama
@homan_nkwama 3 ай бұрын
Mtaani jamaa kibao tumejikuta tuna AUDIO INTERVEW TULIZO DOWNLOAD YUTUBE sababu ya MASANJA ...nimeshangaa watu wa 4 kila mtu anayo....duuu
@KuviFacts
@KuviFacts 3 ай бұрын
Respect 🫡
@tadeith7027
@tadeith7027 3 ай бұрын
Hata mimi amefanya niamke tena nianze kupambana na kufanya nimheshimu tena na tena
@user-st7my5gk8i
@user-st7my5gk8i 3 ай бұрын
Maadhbutiiiiiiii😅😅😅
@imaiskaka8305
@imaiskaka8305 3 ай бұрын
😊
@pressuresmasululi4212
@pressuresmasululi4212 3 ай бұрын
Atumalizie kwenye ishu ya ukonda
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 3 ай бұрын
Oya...Mbona umemkata kwenye ukonda??? Unazengua bob
@ninjadamour5592
@ninjadamour5592 3 ай бұрын
Anazinguaga hapo tu
@kingcole60
@kingcole60 3 ай бұрын
Atoe documentary ili tusimdai
@roycegoodluck2278
@roycegoodluck2278 3 ай бұрын
Arudi tena
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 ай бұрын
Duuuu
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 3 ай бұрын
Bro Jabir nakukubali sana maana unajua mashabiki zako tunataka nani
@KuviFacts
@KuviFacts 3 ай бұрын
Pamoja sana
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 3 ай бұрын
@@KuviFacts Poa
@BETConlineTVTZ
@BETConlineTVTZ 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/Z6K2nYeEedNngrc INSTUMENTAL BEAT PIGANA NA MUNGU BY OBY ALPHA
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 3 ай бұрын
✊🏿👮🏿‍♂️
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 3 ай бұрын
Oi Niggahood Mc, mtu wa hip hop sana wewe, salute 🫡🫡✊🏾✊🏾.
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 21 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
MC Eliud Samwel akiwavunja watu mbavu kwenye mkesha wa THE ICON 2023 | CCC UPANGA
21:43
Mkasi - SO6E10 with Hemed PHD
31:00
MkasiTV
Рет қаралды 208 М.
CHEKESHA : MSOMI ALIYEPITILIZA | MPOKI NA MASANJA
9:05
CHEKESHA
Рет қаралды 37 М.
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН