Yan uwimbo ukipigwa Akuna mtu anasinama una vibe sana
@thomasgunje764027 күн бұрын
Hili ngoma n hatar, kila nikiliskia linanikumbusha mbinga, ndo nlikuwa naliskia kwenye masherehe kuwaletea watu vibe, hasa watu wazima, mpaka nikajua Ni nyimbo Ya kimatengo, kumbe n Ya masasi
@SekyPeter-zv4nl2 ай бұрын
Naupenda japo sijui unamaanisha nn jmn niambieni kidogo
@HappinessJohn-q1m3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉noma sanaaaa
@christinainnocent31844 ай бұрын
Iyoyoooo cha vanyamwee kumusi koo kunong'a
@Shiraz-db6sk4 ай бұрын
Nice song
@AshaAbduli-b9tАй бұрын
Zuri❤❤❤❤❤
@zenaseleman70544 жыл бұрын
Nakumbuka sana ii ngoma kwa kujurusha tuuu maraha kma yoteeeeee
@ashamkaula26323 жыл бұрын
Masasi kwa Bibi uko
@mdzainb37224 жыл бұрын
Sawa bwana naona unatukumbusha tusisahau nyumbani
@mariodattany4 жыл бұрын
Nyumbani Kumenoga🔥🔥
@zenaseleman70544 жыл бұрын
@@mariodattany sawa kaka
@TheMastertz4 жыл бұрын
Habari, naomba uweke maelezo ya kina kuhusu tunachokiangalia. Tafadhali.
@abdulymtanga58933 жыл бұрын
Yani Leo nacheka cheka tu mi na mke wangu mke wangu mwela Mimi mmakua bc lahaa sana