No video

YAJUE MAKABILA YANAYOFA KUOA NA YASIO FAA KUOA"HAPA NDIO TUMEANGUKA WANAUME WENGI"-SHK.ZAID MAKUBULI

  Рет қаралды 83,333

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

4 ай бұрын

#ShZaidMakubuli #ZvpOnlineTv #Tabora

Пікірлер: 374
@wiliampaulo5556
@wiliampaulo5556 4 ай бұрын
Mungu hana ubaguzi .nabii ayubu hakuwa israeli na mungu alimpa utume .kaka kumbuka mbora wao mbele ya mungu ni sikabira furani la hasha ni yule anaemcha mwenyezi mungu .pole sana kwa kupotoshà uma.nimeishi Zanzibar miaka 28 na isramu sijaona mawaidha kama yako.pole shekhe unahitaji kurudi zuoni.mwenyezi mungu akusamekhe makosa yako hayo.Amina
@abuhurayrahabibu4545
@abuhurayrahabibu4545 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 4 ай бұрын
Huo ni ubaguzi shekhe mke mwema ni aliye na hofu ya Mungu
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 4 ай бұрын
Mh
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 4 ай бұрын
Huyu nimpuuz kama wapuuz wengine hakuna analolijua ye anajiropokea2 subhana llah
@radhiamalla9428
@radhiamalla9428 4 ай бұрын
Anaongea hisia zake kwakutangulizia dini, yaani Allah atuhifadhi kwakweli Hawa masheghena maana, na watu wanaitikia AllahAkbar😢😢 anatakiwa azungumzie tabia na si kabira
@user-vy7zv1xx7u
@user-vy7zv1xx7u 3 ай бұрын
Mwanamke mzur niyule anae jua hof yaallllaaah
@abuhurayrahabibu4545
@abuhurayrahabibu4545 3 ай бұрын
Kweli
@mudhihirIbrahim-hb7ry
@mudhihirIbrahim-hb7ry 4 ай бұрын
Mche Allah sheikh unachupa mipaka huna ushahidi naunacho hongea
@gabrielnduwayo8277
@gabrielnduwayo8277 4 ай бұрын
Nataka munyamwezi ao msuguma jameni
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 4 ай бұрын
Kwa maneno haya, hakuna Sheikh hapo
@abdulbandari1551
@abdulbandari1551 4 ай бұрын
Very foolish indeed
@abuhurayrahabibu4545
@abuhurayrahabibu4545 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 Ай бұрын
Tabora Mji wangu Naupeda sana😂😂😂👏👏👏
@user-dr1su7pf7w
@user-dr1su7pf7w 4 ай бұрын
mungu akusaheme pole na huo ukabila wako
@abuhurayrahabibu4545
@abuhurayrahabibu4545 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@ShafiiAbuu-jb8hp
@ShafiiAbuu-jb8hp Ай бұрын
Allah akuongoze Shekh huo no ubaguzi wa makabila na nikatika mambo ya jahiliya mbola mbele ya Allah na mchamungu sio kabila flank mche Allah shekh
@user-zw6xz3lq1x
@user-zw6xz3lq1x 4 ай бұрын
Aah kwa nilivyomfahm shekhe amezungumza kwa ajili ya kuelimisha jamii wawe na tahathari wakati wa kuchagua wake na waume kwa maisha ya badae yup sahihi shekhe anatoa ukumbusho t.Allah s.w amesema kuwa ktk qur-an tukuf kuwa Ukumbusho unawafaa walio amini kwahy yeye amekumbusha t hy shekh.kwahy mtu kazi kwake kufuata ama kuacha kumfuata👏
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 4 ай бұрын
Allah s.w. ndio ajuaye❤❤❤
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 4 ай бұрын
Naam
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 4 ай бұрын
Mbora ni mchamungu❤
@fahamimiraji2338
@fahamimiraji2338 4 ай бұрын
Shekhe wangu we kasome uwerewe dini vizuri aumekosa kazi fundisha dini ya allah siokufitini
@kimaroabduli
@kimaroabduli 4 ай бұрын
Ktk Uislamu binti anaolewa kwa uzuri wake, nasaha yake, mali yake ila akiwa mcha Mungu inatosha. Sheikh amuogope Mwenyezi Mungu. Na hakuna mbora ktk Uislamu awe Mwarabu au mtumwa wa kihabeshi ila amchae Allah ( SW)
@SubiraMndeme-yw7mx
@SubiraMndeme-yw7mx 4 ай бұрын
Sheikh mke mwema ni yule mwwnye kumtwii Allah swt n sio katka ukabila
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 4 ай бұрын
SUBHANALLAH LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
@abuibra
@abuibra 4 ай бұрын
Umichanganya sana katka Uislamu hakuna unayo sema katika Uislamu kuna sifa za mwanamke sio ukabila.
@abuhurayrahabibu4545
@abuhurayrahabibu4545 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@nassornyanyagi5126
@nassornyanyagi5126 4 ай бұрын
Kumbe wanyamwezi ni washirikina poleni sana Tubieni laa sivyo ALLAH ataporomosha matendo yenu mema
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 4 ай бұрын
Mimi ni mkristo lakini nadhani mtume alioa kabila tofauti ili kujenga ukaribu na kabila nyingi nakuondoa chuki za kikabila
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 4 ай бұрын
Kweli kabisa! Na sheikh ameteleza maana mtume s.a.w. alisisitiza kuzingatia dini na tabia njema pekee.
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 4 ай бұрын
kweli yako mtume amepinga mambo ya ukabila kabisa. sheikh kakosea
@JamaliAmour-jp9dd
@JamaliAmour-jp9dd 4 ай бұрын
Hukun shekhe apo hao ndo wanatuharibia dini yetu tuonekn waislm tuna ubaguz kumb ni vimtu tu vidg vdg shekhe hkn apo
@jumashiyo1378
@jumashiyo1378 4 ай бұрын
kiukweli ndugu upo sahihi
@abuhurayrahabibu4545
@abuhurayrahabibu4545 3 ай бұрын
Ndio umesema kwel
@bradleykhanei4092
@bradleykhanei4092 3 ай бұрын
nadhani huyu mtu si sheikh!!!! Hakuna yeyote katika Uislamu ambaye angefundisha watu kwamba kuna makabila ambayo yanaruhusiwa kuwa na ndoa, na makabila mengine hayafai kwa ndoa; huu ni ujinga . Makabila yote yanajulikana sana kwa kuwa na watu wema na watu wabaya: ni juu yako wewe ambaye unatafuta kuoa, kujifunza wagombea wa ndoa yako kwa uangalifu, ili ujue mke wako wa baadaye ana angalau sifa zote muhimu za Kiislamu. Lakini hakuna ukabila mbaya kwa ujumla wa kuchukuliwa kuwa huwezi kuolewa. Mcheni Mwenyezi Mungu kwa yale mnayoyasema kwa maamumiina kwa sababu ya elimu yao ndogo katika Uislamu
@NelisonKashaija
@NelisonKashaija Ай бұрын
Shee uko vizuri
@hasaabdi7199
@hasaabdi7199 4 ай бұрын
Kweli sheikh wangu
@drkalokola5861
@drkalokola5861 4 ай бұрын
Kumbe wanazuoni ni wamalhayata duniya. Huridhiki na kile Allah alichokujalia.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 4 ай бұрын
Mh
@danielshimora5315
@danielshimora5315 4 ай бұрын
Wachawi navunja na kuteketeza kwa jina la Yesu na la mtume Muhammad
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 4 ай бұрын
Duh
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 4 ай бұрын
Tumia jina Muhammad peke yake uone😅😅
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 4 ай бұрын
​@@juliusmsegu3347ushawahi kisikia tunaomba kwa jina la Mtume?ss huomba kwa jina la Mungu tu
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
we unazingua shee mm muislam ila kitabu kitukufu aakuna haya inayosema ishu izoo za ukabila acha kupotosha
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f 4 ай бұрын
Unamatusi sana.Hufai kwa kweli
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 ай бұрын
Huyu shehe anafirwa mambo aya yametokea❤wapi kumamake pumbavu zako na matako yako pumbavu usianze watu wakutukane
@salummakaveli4366
@salummakaveli4366 3 ай бұрын
We ndo kitobo mtume alilingania kwa matusi uliyekosa radhi ya mama ako hanithi mmoja wewe
@user-ez1ky4ls7c
@user-ez1ky4ls7c 3 ай бұрын
Hakuna shekhe hapo
@vicentkibirit9637
@vicentkibirit9637 3 ай бұрын
Msamehe bule,,, Njaa mbaya
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 3 ай бұрын
Allahu akbsr
@comfort-rjtv3291
@comfort-rjtv3291 3 ай бұрын
Mithali 11:14 [14]Pasipo mashauri taifa huanguka; Bali kwa wingi wa washauri huja wokovu.
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 4 ай бұрын
Sheikh mtume alipinga ukabila na kusema ni harfu mbaya
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa lakini leo hii unaoa kabira wanakula nyoka,panya,paka,mbwa,nyani au mamba na chatu vipi hii imekaaje kwako?kutafuta kabira la mke unayetakumuoa sidhani kama ni ubaguzi kwa watu wa makabira mengine!
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 4 ай бұрын
Mh
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 4 ай бұрын
ان الله لا ينظر الا اصاواركم واجسامكم ولكن ينظر في قلوبكم......​@@zvpOnlineTv
@user-xo5lq7mw3n
@user-xo5lq7mw3n 4 ай бұрын
Huyu nae katokea wapi???😮unaleta ukabila Dini gani hiyo ilisema kaowe Tabora,Tafuta mke Mwema Sio kabila halita kusaidia
@user-hi6mb4so8w
@user-hi6mb4so8w 4 ай бұрын
​@@RamadhaniLukambuzi❤❤
@EzraSaid
@EzraSaid 4 ай бұрын
Yani wewe mungu akusamehe
@user-xw1dv3gr8s
@user-xw1dv3gr8s 4 ай бұрын
Sheikh mche mola
@miye2215
@miye2215 4 ай бұрын
Yupo sahihi tangu zamani hata Mungu alizuia watu wake kuoa au kuolewa na baadhi ya makabila
@habibkuya3327
@habibkuya3327 4 ай бұрын
Hotuba ya hovyo sijawahi kuona, ubaguzi, ukabila, ubinafsi wa kiwango cha fly over Hamna Mungu hapo.
@miye2215
@miye2215 4 ай бұрын
Tangu enzi na enzi yapo makabila ambayo Mungu aliwazuia watu wake kuoa au kuolewa nayo kwa sababu ya wana tabia za kuwatoa watu katika njia za Mungu
@jumasibanilo2912
@jumasibanilo2912 4 ай бұрын
Binafsi sheikh huyu huwa simpendi kwa kuwa niliwahi kumsikia akishabikia ushirikina kwa uelewa wangu kwa kutetea kuogeshwa mikosi, na hiki anachosema huenda kakosea kufikisha tu. Ila mtume wetu kasema tuoane kwa nasaab ukiangalia hili ukiacha kutaja makabila kuna jinsi ya kutafakari hili, ni vyema kila mtu aoe kwao na kama sio basi oa muumini wa kweli nasi ucha Mungu na uislaamu wa majina na mazoea
@houseofbeatytv9682
@houseofbeatytv9682 4 ай бұрын
Duuuh subhanalah Allah akusamehe na atusamehe sote
@muhammadhusain6509
@muhammadhusain6509 4 ай бұрын
Sheikh wangu upo sahihi kabisa kabisa wasio na Ilimu ya ndani hawatokuelewa Abadani
@fundibombazanzbar5717
@fundibombazanzbar5717 3 ай бұрын
Nakupa majib sheikh wangu kupitia quran…. Quran inasema inna khalaqnakum mindhakarin waumth wajaalnakum shuuba wakabaaila litaarafun inna akramakum inndallahy atkaakum.. YAAN MUNGU ANASEMA ENYI WATU NIMEKUUMBENI WANAUME NAWANAWAKE NANIKAJAALIA MATAIFA MBALIMBALI ILI MJUANE LAKINI MMBORA KWENU NIMSHAMUNGU… Mtume Alipigavita ukabila nakujifakhrisha kwa kabila
@kassuqutbi2199
@kassuqutbi2199 4 ай бұрын
Huyu kukosea sana tena sana “ me ni muislam ila huyu anafaaa kuchukuliwa hatuwa zaidi” anataka kupotesha Jamaa na kufanya wagombane na kuachana walio ndani ya ndoa” hana elimu hata kidogo mjinga haswa” kuongea utumbo kama huu”
@cgbb2848
@cgbb2848 4 ай бұрын
Ukweli kabisa wewe ndomujinga sana wallah
@cgbb2848
@cgbb2848 4 ай бұрын
Hamusimiu kweriii ndoahida sana sema wewe ukweli kabisa ✊✊✊
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 4 ай бұрын
Kakosea sana
@SalmaSeif-yg5wl
@SalmaSeif-yg5wl 4 ай бұрын
Aisee tunapoelekea sijui Allah ndo mjuzi zaidi
@budodianthony8094
@budodianthony8094 3 ай бұрын
Changulanga❤❤❤ kwa wasukuma uongo hatuoii hivyo
@adammaro7836
@adammaro7836 3 ай бұрын
Shekhe mimi nimekuelewa sana
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 4 ай бұрын
Sana shekhe Tabora ndio haswaaaa😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤😅
@stanleysteven1998
@stanleysteven1998 4 ай бұрын
Ah ngoja atufunze ili kila mtu kwa upande wake ajiangalie usimkosoe fikilia anachokisema usifanye ma'amuzi tu bila kuelewa
@OmaryKaniki-hs5mz
@OmaryKaniki-hs5mz 3 ай бұрын
Uyu shekh namkubali sana
@abuhurayrahabibu4545
@abuhurayrahabibu4545 3 ай бұрын
Weye kasome kwanza kwasababu bado hajajua nani shekh
@pauloropian2367
@pauloropian2367 4 ай бұрын
Kweli kabisa shehe Mungu akubariki.
@mussasenga6732
@mussasenga6732 4 ай бұрын
Inasikitisha Sana Waislamu kupotezewa muda kama hivi, na kutofundishwa Dini Yao kiusahihi 😢 Tabora Tabora Tabora!, ondoeni hii AIBU!
@mussasenga6732
@mussasenga6732 4 ай бұрын
Mtume swalla LLAAHU alayhi wasallam anasema :"likichegezwa jambo kwa asiekuwa mwenyenalo, basi mtegee MAHARIBIKO". Na haya ndio maharibiko yenyewe sasa!!
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v 3 ай бұрын
Mawaiza gani hio ya ubaguzi mke mwema ni mwenye hofu ya mungu na sio mwenye ujuzi wa kimapebzi ww shekhe una upwiru ulijuwaje makabila ya kujuwa mapenzi umezini sana ww
@user-ez1ky4ls7c
@user-ez1ky4ls7c 3 ай бұрын
Huyu sio shekhe huyo ni muhuni kama wahuni wengine
@mwanakupona
@mwanakupona 4 ай бұрын
Hajui hata kusoma matamshi ya quran
@JosephuSwai
@JosephuSwai 3 ай бұрын
Kweli
@nadhirunjinjo5790
@nadhirunjinjo5790 2 ай бұрын
Hamna sheykh hapa hyu hajui lolote na km anajua anitafute tuweke munakasha me na yy na me napatikana dar temeke tandika ma'ana anataka kupoteza umma
@HamisaIssa-df7yy
@HamisaIssa-df7yy 4 ай бұрын
Allahyakhalam
@user-sw1ol9jb6z
@user-sw1ol9jb6z 4 ай бұрын
We si shekh ila we mpenda kula
@JosephuSwai
@JosephuSwai 3 ай бұрын
Kweli shee
@georgesolos344
@georgesolos344 3 ай бұрын
Mnyaturu, mumakonde, mnyamwezi na munyanyema
@user-ez1ky4ls7c
@user-ez1ky4ls7c 3 ай бұрын
Mungu amsamehe huyu mjinga
@HusseinKarumna
@HusseinKarumna 4 ай бұрын
Shekhe Mbona unapotosha jamii ya Kiislam hata Qur-aan Unakisea kusoma Allaah akuongoze
@msarama5406
@msarama5406 4 ай бұрын
Sheilk zaid makubuli huyu anapenda sana mambo ukabila mnyamwezi huyu afu anavyojionaga anajua sasa
@chachamturi259
@chachamturi259 3 ай бұрын
Duu weshee bhana noma
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w 4 ай бұрын
Huyu ana ujahiliyah
@omarihassani-qu5ie
@omarihassani-qu5ie 3 ай бұрын
Sharru khiswari rijaali khairu khiswari nissaai
@jumashiyo1378
@jumashiyo1378 4 ай бұрын
sina la kusema ila Mwenyezi MUNGU ndiye mjuzi zaidi. ila kama kweli katika hayo makabila hakuna ata mmoja mwenye hofu ya MUNGU sawa
@lathifaa860
@lathifaa860 4 ай бұрын
Mashallah allah akulinde uko wap tabor❤❤❤❤❤
@user-dy8yc5ml1p
@user-dy8yc5ml1p 4 ай бұрын
Shehe sio wahaya wote wana tabia mbaya mm nimeolewa sasa nimwaka wa 12. tunaishi vizuri namume wangu.
@mikidadiyusufu2319
@mikidadiyusufu2319 4 ай бұрын
Umechemka sanaa
@muhammadjuma8457
@muhammadjuma8457 4 ай бұрын
WACHA KUPOTOSHA HATUKUAMBIWA KABILA GANI TUSIOE TABIA ZA MTU NDOKILAKITU . NA SIO KABILA
@mohamedomary5786
@mohamedomary5786 13 күн бұрын
Tunaomba mafundisho mazuri tusiingize ukabira, mtume kishatwambia chagua wanawake mnaowapenda ila mbora zaidi ni alieshika dini
@rizikiallie3266
@rizikiallie3266 4 ай бұрын
Huu ni ukabila sio vzr wote ni wanadamu
@AbrahamanSaidi-uf1dw
@AbrahamanSaidi-uf1dw 3 ай бұрын
Hili jamaa tahira sana et ukiuliza ban Haashimu wako wapi unafukuzwa
@1961nungwi
@1961nungwi 4 ай бұрын
Nyerere alifanya kazi kubwa kuunganisha Taifa hili. Makabila yaliyokuwa na nguvu na Machifu kama Wasukuma na Wachaga akawapiga marifuku. Uchifu akaua! Leo mnaanza kuongea mambo ya hovyo!! Hamna mambo ya msingi kuongea, kama kupeleka watoto shule?!
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 ай бұрын
haadhaa mumtinu!!kubaguwa kwa ujabila ni ni uvundo!! maneno machafu hayo!!
@seifyangawakosawakombo6605
@seifyangawakosawakombo6605 4 ай бұрын
Hufai kuitwa sheikh ndio uongoza nini
@MullarCmk
@MullarCmk 4 ай бұрын
Hana akili chizi
@hassanmzandy1421
@hassanmzandy1421 4 ай бұрын
Dah Qur'an yenyew Hujui unatamka kama mlevi Mshenzi
@user-sl3mc7bv1t
@user-sl3mc7bv1t 3 ай бұрын
Mbona muaduchanganyA bana, mimi itikadi yangu hakuna cha ukabila Mwenyezi mungu amesema waliowema , Sio wenye kabila tukufu, na isitoshe Mtume Muhammad s.w amesema tuhangalie dini sio kabila! Na wa Islam ni ndugu ukabila munaitoa wapi?
@user-dm8vq6yo1e
@user-dm8vq6yo1e 3 ай бұрын
Mmmh, mungu hana ubaguz wa rangi wala kabila, ww ni mtumishi wa shetan unajiita shekhe
@yusuphmussa554
@yusuphmussa554 3 ай бұрын
*Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.* hii ni aya ya kumi na tatu kutoka sura hujurati ya imezuia kutaja hivyo ubaya zaidi katika makabila zaidi ya kufahamiana . Tumefundishwa katika dini kitazama zaidi kooo na si ukabila
@fathimamct232
@fathimamct232 4 ай бұрын
Kwa ALLAH Hakuna Kabila Acha kutia ubinafsi Kwa kuingia kwenue Dini Sasa wasielewe Kwa kuwa hawastahiki Au vipi Kabila zimekwtwa na Binaadam ila Kwa Mungu Kuna Binaadam na SI mdharamo Wala mchanga WW oama bakhili kalaga baho na ubozi wako
@mwanakupona
@mwanakupona 4 ай бұрын
Mbwa huyu mhuni si sheikh
@oman1oman179
@oman1oman179 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@HajiAlly-uz7vp
@HajiAlly-uz7vp 3 ай бұрын
Mm nmuunga na wamwaz shekhe tafuta nyengine
@hamzaahmed69
@hamzaahmed69 4 ай бұрын
Mashallah umeongea ukweli kabisaaa Allah akulipe
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 ай бұрын
Tanzania hatutaki mambo ya ukabila tuacheni jamani hii tabia ya ukabila haifai haifai haifai
@mohamedomary5786
@mohamedomary5786 13 күн бұрын
Sheikh nimekuelewa kwenye zaka, andaa kipindi cha zaka na kutoa
@user-vd4og8md3v
@user-vd4og8md3v 4 ай бұрын
Hamna shekhe apo
@JamaliAmour-jp9dd
@JamaliAmour-jp9dd 4 ай бұрын
Huyu shekhe nae kapagawa tu hana cha maan kwaiyo hao waolewe na nan?
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 ай бұрын
Miyeyusho Tu,🤯
@marymamarau24
@marymamarau24 4 ай бұрын
Wanyamwezi oyeeee tupo vizur atujuwi kuachika sisi😂😂
@zaunamoody7311
@zaunamoody7311 4 ай бұрын
ila ndio kasema hamfai kuolewa
@fahamimiraji2338
@fahamimiraji2338 4 ай бұрын
Allah ameumba mataifa namakabira ili mpate kujuana
@Marjeby
@Marjeby 4 ай бұрын
Shekhe Zaid Makuburi.Shekhe wa nyumbani kwetu kabisa hiyo lafudhi yake inanikumbusha sana kwetu nna miaka 29 sijakanyaga but wallah Tabora bado sehemu bora kwangu katika aridhi zote nilizokanyaga.
@user-sw1ol9jb6z
@user-sw1ol9jb6z 4 ай бұрын
We mbaguzi tabora si watu bora wote
@stanleyjuma4377
@stanleyjuma4377 4 ай бұрын
Mafunzo mazuri sana Sheikh Zaid, hapa kenya pia ni hivo, waeza oa mke kutoka kabila fulani aishie hata kukuua juu ya mali.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 4 ай бұрын
Tz ishu ya kuoa na kuangalia kabila ni kama haiko sana sana siku hizi mtu anaoa yeyote.
@muhammadjuma8457
@muhammadjuma8457 4 ай бұрын
TABIA NDIO ZINO MFANYA MTU USIFUNGE NDOA NAE NA SIO KABILA
@GeofreyWilliam-ev7qd
@GeofreyWilliam-ev7qd 3 ай бұрын
Hana maarifa huyu,tabia ni ya mtu sio kabila
@HajiHarumbo
@HajiHarumbo 4 ай бұрын
Sheikhe hapo umechupa mipaka kwa hii nchi makabila tote yameshakengeuka kinachotakiwa make awa mcha mungu
@TeresiaNestori-xh9ch
@TeresiaNestori-xh9ch 3 ай бұрын
Ana hekima ata
@arafatsaid962
@arafatsaid962 4 ай бұрын
Huyu anapalilia uganga, hatari sana duh!
@user-zg6hx6xi3x
@user-zg6hx6xi3x 4 ай бұрын
Ukweli Huwa unauma siku zote
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 4 ай бұрын
Hii
@ndenengokimaro4502
@ndenengokimaro4502 3 ай бұрын
Wewe ni mshenzi tafuta neno la kuongea acha mambo ya ukabila Watanzania hatuishi hivyo Hata baba yetu Hayati mwl .J K nyerere alikemea sana mambo ya ukabila.
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 4 ай бұрын
Mimi ninachoamini kwenye kila kabila kuna watu wazuri na watu wabaya
@GeofreyWilliam-ev7qd
@GeofreyWilliam-ev7qd 3 ай бұрын
Hamna sheikh hapo
@husseinmohamed8493
@husseinmohamed8493 3 ай бұрын
Sheikh mimi nakuona mshamba tu na mpotoshaji chunga sana Kisha sheikh zipe dawa za kufanya meno yako yakawa kma ya watu wengine
@harunaotieno2893
@harunaotieno2893 3 ай бұрын
Huyu ni mpotoshi,Astaghfrillah
@abubakarothman3532
@abubakarothman3532 4 ай бұрын
Soma Aya za qur'an vizuri,wavunja vunja Aya
@user-wj4dv1pv3r
@user-wj4dv1pv3r 4 ай бұрын
Ukweli unauma jamani
@chachamturi259
@chachamturi259 3 ай бұрын
Duuh waislam kwakulopoka bhana
@ramadhanishabani9264
@ramadhanishabani9264 3 ай бұрын
huyu shekh kapoteza mwelekeo ndio kafikia mwisho wa kufikili
WAYAHUDI NI MAKAFIRI WALIOPEWA KITABU// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:39
arkas online tv
Рет қаралды 24 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 57 М.
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 104 М.
SHK SUNKAR: MBINU ZILIZOTUMIKA KUWADONDOSHA MAYAHUDI "UISLAM WAPINDUA UCHUMI WAO"
1:01:15
KUNA AINA TATU ZA NAFSI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
37:40
arkas online tv
Рет қаралды 24 М.
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 89 М.