Dah nimeamua kuirudia tena hii nyimbo isha ulikuwa unampenda sana mama yako ila MUNGU kampenda zaidi.😭
@RahimaHussein-vm5ux5 ай бұрын
Yan kila nikimmisi mama angu naisikiliza kila mara mungu amlaze mahala pema mama angu❤😢😢
@israelmasuki21272 ай бұрын
Sure I'm taken by the beats the instrumentals at ago with strong message glorifying the strength of mama.....watching/listening from Kenya......nko pwani ya Kenya mambo uswahilini. Salimia mpigaji ngoma,G. solo, Base na Kinanda
@salmamohamed58495 жыл бұрын
mashaallah nyimbo zuri sana nikiangaliaga mpaka nalii.nampenda mama yangu nitazidi mpenda nakumdhamini ninacho mama yangu atatumia sina hicho hicho kidogo lazima apate mama yangu sipendi nimuudhi mama yangu l.love.my mom mungu anguondolee maradhi akupe afya
@aminashabani44465 жыл бұрын
Nakupenda sana mama yangu. MUNGU awape maisha marefu yenye aman na upendo hapa dunian kina mama wote.
@nicojumanne33845 жыл бұрын
nakukumbuka sana mama yangu kipenzi mungu akulaze mahala pema peponi AMIN
@dawiyamtangi11073 жыл бұрын
Isha nakupenda dada mungu akudumishe kpz
@Ashura-jh1qe2 ай бұрын
Us
@Ashura-jh1qe2 ай бұрын
Mama sionguo
@dawiyamtangi11073 жыл бұрын
Nakupenda mam yngu shadiya mungu akuwek mahali pema sitokusahau kwalolote nitakayo pitia dunian nakumis sana mama
@godfreytemba7369 жыл бұрын
Nakupenda mamaaa mengi umenifanyia japo kitu sinaaa utu wangu pokea naamini naziii aiahindani na jiwe mzazi n mzaziii akosei utambueee like sana big up isha dadang wa nguvu mungu awape mama wote maisha marefu
@hobokerabande61464 жыл бұрын
Nakupenda Sana Sana mama yangu Naomba mungu Akupe maisha marefu Amen
@GloryWilibard3 ай бұрын
Nakupenda sana Mama Yang Detta
@scolasticajustiny22237 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo nikiusiliza namkumbuka sana mama yangu jamani mama anauma sana msiwazarau mama zenu mtuulize siye tusiokuwa na mama tunapata tabu mama ni kiungo kikubwa sana mama ni njia ya mafanikio yako sipendi kuona mtu anamzarau mama yake kwakweli mama anauma nikisikilizaga huu wimbo huwa nasikia uchungu sana wimbo mzuri sana dada isha
@safiasuleiman59277 жыл бұрын
Nice
@salumhafidhi33236 жыл бұрын
Kwel hakuna kama mama
@minzageorge24865 жыл бұрын
Huwa najuwa niko pekeyang kumbe ninadugu zang abao wanamsiba Kama wang mama anauma sanaaaa Hakuna mfano wakuliganisha na mama mung walehem mama zet wote walio tangulia mbele zahaki miss you mama
@priscamartin42475 жыл бұрын
Pole mamy bila mama tusingefika tulipo sasa nakupnda mama
@mussamtyanga19105 жыл бұрын
Isha rudia uwimbo
@zawadishabani13114 жыл бұрын
Mimi apa nasikiliza now 2020 big up to all mamaz in the world Penda sana my mom
@hamisidaud2544 жыл бұрын
R ip biii rukia juma allah akulaze mahali pema peponi amini
@hassannuru26285 жыл бұрын
Nakupenda sana mamaangu Mungu akulinde
@sikujuamatuma29425 жыл бұрын
Asomtunza mama hana maana ctomdharau mama yng ndo nguzo yng hapa dunian,,nakupenda mama fatu wng mungu akujaalie miaka buku
@husnasaidi33354 жыл бұрын
Kama bado unaangalia ngoma hii 22/03/2020 gonga like za kutosha rest in peace my super mama😢😢
@walteradoli90785 ай бұрын
2024
@annaprosper44885 жыл бұрын
Aisha mungu akuweke miaka 800 Na mama ako mungu apunguzie adhabu ya kaburi
@mariethamasalu74775 жыл бұрын
Nakupenda Sana Hilda wangu mamake etha mungu akupe maisha marefu
@hollygeorge33055 жыл бұрын
Jaman hakuna mtu anaeweza kushika nafasi ya mama jaman.... Nakupenda Bi Rukiah..... 😘😘😘
@user-zj3ke9gc2u5 жыл бұрын
Nakupenda sana mama yangu kipenzi cha roho yangu nimekumiss sana mama yangu na kuhombea afya njema na akuepushe na mabaya siku zote za maisha ❤❤❤❤❤❤🌷
@ngemabohero28536 жыл бұрын
mashaallah isha unaweza dad nalia sana akuna asomama tofauti ukiwa na walojaliwa neema 💗💖💕💕❤❤❤❤❤
@khamisramadhan57755 жыл бұрын
Wenye wanadharau mama muache, natamani ungekua, mungu amlaze roho yako peponi
@jumamiraji30815 жыл бұрын
Maisha malefu kwa wa mama wote mungu anitunzie mamaang kipenz
@nasibushabani60545 жыл бұрын
daaa huu wimbo umenikumbusha mbali sana mama ndo kila kitu dhamani ya mama haishikiki
@umsamir79259 жыл бұрын
penda sana mama yangu namjali namtunza namuheshim namuomba mungu ampe maisha melefu na afya njema
@ashurajumaa48006 жыл бұрын
penda sana mama angu mungu niwekee mama angu
@kasozigeofrey40404 жыл бұрын
My wife went abroad I stay with my children that song keeping me happy
@estherwanjala98834 жыл бұрын
Nitakuheshimu milele mama nakupenda sana
@salumhafidhi33235 жыл бұрын
Nakupenda sana mama angu mwenyezi mungu akulaze mahala pema huu wimbo ni funzo tosha Wamama wote ulimwenguni inshaallah Mwenyezi Mungu awape Rehma wamama wote Duniani
@gssswahiba23816 жыл бұрын
kweli hakuna km mama nakupenda sana mama angu mungu akupe maisha malefu
@loveally35312 жыл бұрын
Kati ya nyimbo zote hii ni no 1 nawala sichoki kuisikiliza big up isha mashauzi
@pendaelleonardmsangi44866 жыл бұрын
Maaaaaiiiiiiiiweeewe mamaaaaaaaa unastaili pongezi mamaaaaa kwauvumilivu na maleziiiiiiiii dooooooo imenigisa sana nampenda sana mamaangu
@israelmasuki21272 ай бұрын
Mashallah! Sauti hio utanifanya nijirushe mtoni
@hadijakheri90296 жыл бұрын
nashukuru mama kwa kunilea mama kunifikisha hapa nilipo pumzika kwa amani mama mungu akupunguzie hadhabu ya kaburi hakupekauli thabiti akusamehe dhambi zako rp mama pumzika kwa amani
@scholasticaapium28729 жыл бұрын
loveeeeeeeee uuuuuu mamy...mungu akuweke sana duniani
@jackjakobo91745 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako da yngu mungu akujaarie🙏❤
@godymollelmollel43925 жыл бұрын
Nakupenda sana mama ang ww ni zaid ya kila ki2 hap dunian
@mwanamisimwakimu90624 жыл бұрын
Nani kama mama 2021 mpo🤗
@hassanmahamed73246 жыл бұрын
Napenda sana hii nyimbo mama yangu nimetroka nae mbali Allah atuezeshe nimzike anizike, mashauzi loveeeee uuu
@fadhiliakida86095 жыл бұрын
Kwa sisi ambao mama zetu wameshatangulia mbele ya haki tumepata ganzi kabisa ya mioyo yetu hata sasa itokee msiba mtu unayemfahamu amekufa unaona kawaida tu, Rest In Peace all Mamas who lost their lives!
@nyabisemaro20957 жыл бұрын
Machozi yananitoka nikiusia huuu Wimbooo Mama anguuu angekuwepo ningekuwa na Muimbia Mama anguuu Rest in Paradiso My lovely Mother
@fatumashangani91514 жыл бұрын
Pole nmejskia kutokwa na choz
@mejumayusuf68515 жыл бұрын
RIP mama Rukia Juma this was best dedication from Isha to you.
@rayleechric24975 жыл бұрын
Toka nipo tumbon mpk sas nasimaaa cha kukupa sikion fidio la wako wema🙏🙏🙏 penda sana mama yng 💕💕💕💕💕💋
@hawabahaji81629 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo,nakupenda sana mama angu Anna ,mungu akupe miaka 100000000
@nassorseif50716 жыл бұрын
naikubali sana hii nyimbo, asante mama yangu bi riziki kwa kunilea vyema. nakupenda sana mama yangu
@NimoJama-iw6tg Жыл бұрын
Thank very much for mum there no body like she is the light of the house and key
@subiraiddy99516 жыл бұрын
Nakupendaje isha wimbo unanikumbusha mbali sana
@nannonothuraya93634 жыл бұрын
2020 mother's day I'm dedicating to all mothers in the world.Happy mother's day 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬❤️❤️❤️❤️
@zenagange22016 жыл бұрын
Ukitaka Vita nami iso isha gusa mama angu Hapo itakuwa hatariii nampenda Sana mama angu Allah nilelee mama angu
@saymornnghabi59187 жыл бұрын
mama cyo nguo kweli huwezi ukamuazima! Mama Yangu popote ulipo nakupenda sana😍😍😍😍😍
@fatumabhallo85185 жыл бұрын
Hapana chezea mama bhallo mungu niwekee
@radiyasaleh74176 жыл бұрын
Asante isha huna chakumpa mama bali kaa nae vizur mpe mapenzi wapendeni mama zenu mlonao mungu awawekee
@mikidadiaboubakar-qg9mu Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe kauli thabit mama yangu kipenzi na akusamehe makosa yako akujaalie miongoni mwa wanawake wa peponi
@maidahamisi31485 жыл бұрын
Mama yangu jamani Allah aampe umr mrefu nampenda sanaaaaa mama yangu
@AshfaynaAli5 ай бұрын
Da inaikumbusha mbali sana iyo Isha
@aishamnamba10646 жыл бұрын
Nani Kama mama nyimbo mzuli Sana unaujumbe mzuri jamani mpaka 😭😭
@emmyasheri69956 жыл бұрын
Asante mungu kuniwekea mama yangu hadi leo
@sikudhanilukanga10496 жыл бұрын
Nikisikiliza hii nyimbo machozi yananitoka pumzika kwa amani mama yangu kipenzi
@nyabisemaro20957 жыл бұрын
umenilea vyema kwahili najivuniaaaa sitokuzalauuu Mama Mungu akubarikiii Ishaaa kwa ujumbee Mzuri Sana
@mosimakamba94917 жыл бұрын
Ujumbe mubaaashara,big up.
@ramlaidd82579 жыл бұрын
kila mara niusikilizapo wimbo huu auniishi hamu na unanifanya nizidi kumpenda mamangu xana xana, kwa kweli mama mtamu aishi hamu ata kidogo..... wimbo umfikie mamangu Othilia binti Kanyopa nakati ya mwanza