Namwelewa sana prophet IPM. Huyu kweli ni Doctor na mchungaji mkweli
@GEDIONSOPIA2 ай бұрын
My God bless you and the Wark of your heart, maadui wapo kama buti
@alexanderngasa57862 ай бұрын
Tunamwelewa sana Prophet IPM haswa wanaume ndo tunakuelewa
@BIGBOSS-hl3bu2 ай бұрын
Huyu mwamba yupo sawa ,mungu akuongoze ktk njia ya peponi inshallah
@Zivago12Ай бұрын
Huyu karitadi. Wallahy hataionja pepo ya Allah. Njaa imemponza hakuna yesu wa mungu aliyemshukia.
@Zivago12Ай бұрын
Siku hizi maisha yanatafutwa kwenye makanisa. Mtume wa mwisho ni Muhammad salallahu alayhi wasalaam.
@margarethpolepole74382 ай бұрын
Sanaaaa usemayo IPM Mungu akulinde ni kweli kabisaaaaaaa
@nestoryihano2 ай бұрын
Prophet, shalom. Sijui kama nimekufananisha. Mwaka 2009 niliwahi kufanya mentorship kwa kijana aliyekuwa Muislamu pale Eneglaim Ministry, mnafanana naye Kweli, sijui kama ni wewe. Mini ni Pastor Ihano,
@gracekagoma32312 ай бұрын
Huyu ja m aa hana tofauti na kiboko ya wachawi Ni tapeli ktka ji n a la Yesu Hawezi kuwaibia waisilamu kwa sa b abu wanaimani ya ukweli.Sisi wakristo wengi wetu ni misukule tu😢😢wajinga ndio waliwao😢😢
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Nabado mtatapeliwa mpaka mjieleww
@NeemaUrasa-u4y2 ай бұрын
Nguvu za Mungu ziko juu sana kuliko ushirikina, je ninyi wenye nguvu za Mungu mnashindwaje na wale wanaotumia nguvu giza ?
@NeemaUrasa-u4y2 ай бұрын
Nguvu za Mungu ziko juu sana kuliko ushirikina, je ninyi wenye nguvu za Mungu mnashindwaje na wale wanaotumia nguvu giza ?
@davidchosen38312 ай бұрын
Namkubal ipm sana maana tumedanganywa ya kutosha. Mungu alichinja kumwokoa adamu na hawa walipo kula tunda akawavalisha ngozi. Yesu alichinja pasaka akiwa na wanafunzi wake..Luka 22:7. Sasa nyie mnayomkashifu ipm mtaachelewa saana
@DaudiMakaza2 ай бұрын
Mungu akulinde
@MonicaKonyesa2 ай бұрын
Kweli kabisa asante Mungu akubariki umenisaidia saana
@SimonLiwawa-u6w2 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu sema kweli ili kweli ituweke huru, tuchague mchele na chuya
@rehemamlyuka61092 ай бұрын
Nimekuelewa Mtumishi wa Mungu.
@JojoJoji-h8g2 ай бұрын
Waislamu wengine pia hawapendi kumsalimia salamu ya kidini
@uwimanadady65632 ай бұрын
Kufa kwa jina la Yesu kristo umekufa zamani kiroho shetani wewe asira ya Mungu imewekwa asira
@RwelamiraPascal2 ай бұрын
Umebadili dini juzi kutoka uislam, hujajua maandiko na tafsiri za mafumbo ktk Biblia unajitia kufundisha usichokielewa mtantaoni. Elewa katika Ukristo hatuna Allah. Allah ana visasi, hasamehi. Mungu wetu kupitia Yesu Kristo ni wa upendo na fahamu kuwa ni mwokozi. Nashauri urudi kwenye imani yako ya zamani usituchafulie imani yetu
@FadhilMkulu2 ай бұрын
Namkubali sana mtumishi ipm anazungumza ukweli
@JacklineMukunzi2 ай бұрын
Tunakuerewa bwana Niko Burundi
@JoyceMkini2 ай бұрын
Hongera sana mtumishi ni kweli kabisa ndivyo walivo wahubiri wa sasa nimependa hiyo
@Fabricedavid22 ай бұрын
Hizi😂True NONDO…. Big Up
@apostlejoshuakuhanda55242 ай бұрын
Hello prophet Ipm. Be strong in God. You won't be harmed by anyone as long as you remain in what God has instructed you! But one thing I would want to know about you. Just know that I believe that you are a prophet... My question is, how did you know that you are a prophet?. What happened that you discovered the prophetic grace in you?..
@DOREENISMAIL-g9d2 ай бұрын
Niko Pamoja na wewe ipm ila mtu wa mungu kua makin sana maadui zako ni wachungaji wenzio
@samwelwabanhu42032 ай бұрын
Nakuelewa sana IPM
@nathanielekidolezi96982 ай бұрын
Ni kweli unasema mtumishi wa Mungu.
@DOREENISMAIL-g9d2 ай бұрын
Nakukubali sana
@julianafrancina90342 ай бұрын
Prophet karibu kwetu America na hayoma fundisho
@WilfredChomo2 ай бұрын
IPM,TAMBUA KWAMBA,"USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA."
@abeidabdullah60482 ай бұрын
Kilasikuuu wanaoibiwa wakanisani duuu
@Zivago12Ай бұрын
Wewe ni mteuzi wa mungu. Sasa unaogopa nini? Au mungu hajakupa walinzi?? Mnafik mmoja
@Kuminamoja19952 ай бұрын
Silimu Rudi kwenye dini ya haki
@MonicaKonyesa2 ай бұрын
Kweli kabisa mutumishi nakupata kutoka Kenya
@Zivago12Ай бұрын
Mmoja ni wewe umeingia ukiristo kwa kufata sadaka za waumini wako. Maisha yanenda
@MwanaishaShattry2 ай бұрын
Muongoooo tena sana. Assam alaykum ni salam ya waislamu tu. Katika mafundisho ya kiislamu neno la Assalam alaykum unampa aliye muislamu tu. Na asiye muislamu ynampa salam ya kawaida. Bwana wee hilo hulijui.
@@JojoJoji-h8gNdo Hao unao waona walishakuja n'a wapo😅
@RemyDuma-db5fd2 ай бұрын
IPM ni mganga wa Majini sio mchungaji ila ni Shehe kaja kuja kulisambaratisha Kanisa ila hataweza kamwe.
@EdisonPeter2 ай бұрын
Ufaham wako ni mdogo ipm Yuko vizur ujui ww
@RemyDuma-db5fd2 ай бұрын
@@EdisonPeter Wewe utakuwa mpumbavu sio Bure 🤞
@godwinkileo77022 ай бұрын
Ushahidi huna sasa😅
@JoyceMkini2 ай бұрын
Wasiyo soma Neno hawamwelewi wengine tunamwelewa maana tunapima kwenye maandiko
@victorronald14492 ай бұрын
Tukupe daresa dogo tu, ukristo hauamini Muhammad kama mtume wa mungu kwahiyo aumtambui ,sasa kama wewe unamtambua wewe sio mkristo yaani pia atukutambui
@mrkrab420692 ай бұрын
Mtangazaji umejitambulisha mwenyewe lakini hukumtabulisha mgeni wako!
@MiriamMtende2 ай бұрын
MAISHA MAREFU KWAKO
@fastonsambo-du4rd2 ай бұрын
Dada mavazi hayo yanafaa mbele ya mtumishi?
@DaudiMakaza2 ай бұрын
Litangazaj libaya saut mby
@florencekombe55032 ай бұрын
Mmmh watu Wana Mambo jamani
@WallaceWaweru-ob7jz2 ай бұрын
Tunakupata sanaaa 🎉❤
@roberttagaya90982 ай бұрын
Mchungaji upo sahihi kabisa. Ni kweli kabisa wachungaji wengi wa sasa ni mataperi tu.
@renatuswilson15772 ай бұрын
Ulikuwa musilm, nakuamini kwa kiasi Cha imam yangu. Kifupi : Naiwe ivo.
@OnesmoKway-mk7zt2 ай бұрын
Niko nusu kwa nusu . Nusu nakuelewa nusu bado .
@GodNessy-o1cАй бұрын
Hakikaa apo umeongea point maana nam nip nus nus bd namzoom ty
@CatherineShirima-g4g2 ай бұрын
Acha hizo profet hubiri dini acha wivu kusemasema wenzako sio vizuri mkweli ni nani?😂
@MfiriFulgensi2 ай бұрын
We unavyopromot kafara kwa mizimu je!?
@gilliansiara33242 ай бұрын
Nyingine hiyo,kiboko
@issaMsangi-z2k2 ай бұрын
Ilitokea hapo Himo iyo
@AllanLyombile2 ай бұрын
Wewe umeshaacha kuuza yale mafuta?
@margarethpolepole74382 ай бұрын
Hilo usemalo kweli basdhi ya Familia nyingi ziko hivyo kuhamia kwa watoto kukaa sijui hawaoni hayaaa
@francisnasere92302 ай бұрын
Hii account si lazima kuipitia wakiwa matapel tuache na matapel wetu nyinyi watafuteni hao ambao siyo matapel
@davidchosen38312 ай бұрын
Ipm katumbia ukweli mliyoficha karne mmetufanyia nyoni karne mingi ndio maana mnamchukia
@SharrifCharo-mi1bn2 ай бұрын
Huyu ni tapeli kama matapeli wengine
@pastorgodsonjohn85622 ай бұрын
Fikra finyu hazijibiwi zinapuuzwa
@jedidahbintidaudi82412 ай бұрын
huyu dada mbona anaingilia ingilia sana? kuongeza maelezo n,k. unaweza fanya interview yako mwenyewe bila mtumishi? kwann lazima uongeze ongeze kuondoa mic kwa mtumish? jmni shida hii mmh
@faykasalum97252 ай бұрын
Ushajua kuwa hiyo ni dini ya uongo kwanini bado uko hapo? Na kwanini unatuchafulia Qur an yetu si ubaki huko ulikoko kuchagua tapeli mkubwa we yote njaa hiyo ndio ilio kupeleka huko wacha kuwapoteza watu hali yakuwa unajua haki na batil
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Hakunakifo chakizembe. Sikuikifika utakufa na sababu yoyote
@ayubujoel2 ай бұрын
Sasa hao uliowafanya bodigad wao hawana wito wa mungu? Na kama wanao watatimizalini wito wao
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Mtatapeliwa. Mpaka mjielewe kilamtu atakuja na stahiliya kipekee. Kama mjanja utakuja kwenye Dini ya haki ambayo ni Uislam. Watukama hawa kwetu tunawakimbiza
@EdisonPeter2 ай бұрын
Ipm llove you akika uko vizur wajinga watakuelewa tu
@AgnessMpanduka-l5g2 ай бұрын
Wanao comments waislam wanatumia mihemko wala uhalisia hawana hata umueleweshe vipi watu kama hawa hawatakuelewa kwani ni Maamuma halafu hawajitambui
@majidabas38432 ай бұрын
HAYO YAPO KWELI KABISA
@OSEBIUSNYALE2 ай бұрын
Ww IPM huna jipya,kunasiku ulisema tutoe sadaka ya damu.sasa sisi wakristo wakwel sadaka ya damu yesu alishatutolea pale msalaban.labda huko kwenu ulikotoka kwenye uislam ndo bado mnaendeleza kutoa makafara.hujuwi na hujalelewa katika misingi ya christians
@Hamis-ks1sy2 ай бұрын
Toeni2 si mmemkubali
@davidchosen38312 ай бұрын
Imelazimishwa kutoa?
@AliMohamed-w3b2 ай бұрын
Enzi za watume uliisha, wewe ni nani aliyekupa utume?
@VinnyVinny-e2v2 ай бұрын
😅
@ApolinaryBiyengo2 ай бұрын
Unaongea ukweli ila wewe sadaka unazopokea Kila siku umemsaidia nani au umejenga shule na kusomesha yatima wangapi?
@Kuminamoja19952 ай бұрын
Utatekwa na mbowe ?
@masala80992 ай бұрын
acha ujinga Kuma wewe
@andrewassey51082 ай бұрын
Wachawi hao hakuna prophet wala nabii wota wanga ndo maana wana,ungumzia ramli chonganishi, kila kitu kurogwa, kunyang'anywa nyota na upuuzi wowote ni wizi tu na udangnyifu tu Wizi mtupu!!!!!!.
@happymrema74872 ай бұрын
Kwwl unachoongea watumish wanaend kuchukua dawa wanatoa sadak ten za watu ili wawe na nguv na sisi tunakimbilia watu wanaendelea kuwa matajir
@Mwasame_Official12 ай бұрын
Wewe sio mchungaji hauelewi mambo ya ukristo kabisa wewe ni tapeli tuu kama wengine, wewe ni saidi kutoka Kenya 🇰🇪 tunauona unaleta mambo yasiyo ya ki kristo,,rudi kwa waisilamu huko ufanyie porojo zako huko, yesu aliuwao,wanafunzi wa yesu waliuwawa lipi la ajabu???
@francisjoseph10742 ай бұрын
Hivi kwanini hawa watu wa hovyo mnawapa Air time, hakuna mchungaji hapa huyu ni taperi , hakuna injiri anayohubiri unaingiza na mambo ya Muhammad na uislam , petro , paulo, yohana ,na Yesu na mitume wengine hawajawahi kuhubiri ya hovyo ya hivi
@roberttagaya90982 ай бұрын
Kwani kuna baya gani alilo liongea hapa? Au na wewe ni mmoja wao sasa amekugusa?
@francisjoseph10742 ай бұрын
@@roberttagaya9098 tapeli MKubwa hawa ndo makristo ya Uongo , maneno yake anayoongea ukiyapima kwenye biblia unagundua kua hakuna mchungaji hapo ni taperi
@binseif22162 ай бұрын
@@francisjoseph1074Kama inakuuma kajitundike😂😂YA muhammad yanaukweli
@deogratiaskarugendo98642 ай бұрын
Sasa kakosea wapi Sasa? 😂😂
@binseif22162 ай бұрын
@@deogratiaskarugendo9864 Ndo shangaa
@ayubujoel2 ай бұрын
Sasa hao uliowafanya bodigad wao hawana wito wa mungu? Na kama wanao watatimizalini wito wao
@Dominant972 ай бұрын
wito gani wewe umeuona kwao tofauti na kazi ya ulinzi na usalama,tuambie labda