shekh unaezakuwa ashabu rasulu lakini hauwezi kuwa swahaba plz elewa Holo plz ukisomarudi nyuma utapata Hilo my shekh
@hashimmhashim26636 жыл бұрын
ماشاء الله جزاك الله خير شيخنا
@dkmasengamrisho9126 жыл бұрын
Ukovizuri sana shekhewangu
@dkmasengamrisho9126 жыл бұрын
Ukopowa
@khamisirashidi2016 жыл бұрын
Shukrani Sheikh wangu
@hashimmhashim26635 жыл бұрын
رضي الله عن أصحاب رسول الله صل عليه وآله وسلّم
@pacifiquemukanya10095 жыл бұрын
Tuandaliye pati2 sheikh bi idhni llahi kwa mada iyo iyo
@NurdinKishik5 жыл бұрын
yaallaah
@zumbeshauri81146 жыл бұрын
nakuelewa sana shekhe mziwanda sana
@equalchitayi28606 жыл бұрын
Shekh nakuelewa lakin unataassub kiasi wasomi watalijua hilo
@alakhy94485 жыл бұрын
@@equalchitayi2860 kama ipi akhy
@ummargaddaf4006 жыл бұрын
Safi sana
@dkmasengamrisho9126 жыл бұрын
Ukovizhuri sana shekhewangu
@chaubajaj52724 жыл бұрын
Mashaalaha
@capitainesalazar83885 жыл бұрын
Mashia ni makafiri bila shaka
@aliabdalla62295 жыл бұрын
Capitaine salazar salazar makafiri kwa dadili gani na wawo wanasali wakati tano wanabiga shahada vp beyna muslim wa kafir ni salaa sisi tunajua hivo
@feisalfaraj442 жыл бұрын
aslm my shekh sisi washahili twasema kuwa vidole mbili ndio humuuwa chawa kwasasabu hunutowa Kwa kuchwa ndio Kisha anauliwa na vidolew mbili njee ya kichwa
@rajabumzuwanda75055 жыл бұрын
Hiyo hadithi uliyofungua nayo mmmmmmmm sifa zote et Ally hayumo mcheni Allah
@cholomsury15485 жыл бұрын
Mueke wewe sasa
@aliabdalla62295 жыл бұрын
Mawahabi sku zote wanajifanya wawo wanampenda mtume muhamad na masahaba yake wakwanza wakuchukia masahaba na wajiku wamtume ni wawo. Sai masahaba wote ametaja majina wawo kwani katika vitabu zote sayedna ali hukuwa khalifa wane wamtume kuwa nini hukutaja jina lake. Sayedna ali na mtume amesema ana madinatul ilmi wa aliyu babuha mtume amesema nfano wa sayidna ali na mimi nimfano wa haruna minmusa lakini hukuna nabia baadi yangu low inge kuwa uko nabi ungkuwa niwewe ningapi fadila za sayidna ali mtume na menye ezi mungu amezitaja nrani ya qurani mbona hukusema basi mashia hawakosei masahaba wakwanza kukosea masahaba ni nyiyi mawahabi. Lakini hatushangai sababu shehe wenu mkubwa makisa ni yake ilukuwa kazi yake ni ku daifisha hadisi za alu beyti zote na nyiyi njia ni hio hio
@nasibuabasi47015 жыл бұрын
mtume s. a. w amesema Kama pazia lamitume lingekuwa linaendelea basi baada yangu angekuwa omari nasio Ally Kama unavyodai akhii
@mohammedally22894 жыл бұрын
@@nasibuabasi4701 wewe muogope mungu umar awe mtumi
@nasibuabasi47014 жыл бұрын
@@mohammedally2289 mtume amemtaja omari ila kwakuwa nyie mnachuki binafsi juu ya omari ndio maana mnageuza maneno