Mashallah Allah amrehemu baba etu Shekhe Alhad Omar ampe pepo ya Firidausi in shaa Allah.
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Allahumma Amiin
@ashamngindo8023 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu amsamehe pale alipokosea inshallah
@eshasalim5496 Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR WALILLAHI AL HAMDU. Allahumma Aghfirlahu Wa Arhamhu Wa Askinhu Fi Jannat Ya Rabb. Amiin
@issabaruani4433 Жыл бұрын
Nasisi tutengenezeni hadithi nzuri ya maisha yetu
@roseatienoogutu7641 Жыл бұрын
Allah awarehemu pema peponi yarrabh
@zulficarbacarsuale6877 Жыл бұрын
La Ilah Ila Allah
@salehemohamed2937 Жыл бұрын
Allahu Akbar
@sheikhanasser4714 Жыл бұрын
Inna lilah Wa Inna Ilygi Rajioun
@saadmbarak1903 Жыл бұрын
Daaaaaahh jamaa mawahabi nyinyi kwakupenda kupingatu hamuwezekani yani kila mahali mpaka mulete ubishi tu
@ahmedelalawy639 Жыл бұрын
Tusiwe wajinga kiasi hiko uislamu unatambua maneno ya Allah na kusema hakuna ajuae lini ankufa. Hii ni siri kubwa na hakuna mwanadamu anaejua siku yake y mwisho. Tuwache unafiki waislamu. Kama kajiekea siku ya kujiuwa na kula sumu?
@GharibAli-po6fp Жыл бұрын
Yeye hakutaja siku ya kufa, yeye aliomba ramadhani siku ya ijumaa,
@GharibAli-po6fp Жыл бұрын
Jee kukubaliwa Dua ni unafiki
@khalifaallyibnadam9983 Жыл бұрын
Daaaaah we dawa yako usijibiwe tuuu kwa kuwa hujui
@ahmedelalawy639 Жыл бұрын
@@khalifaallyibnadam9983 nijibu kwa ayah ili unipe somo
@ahmedelalawy639 Жыл бұрын
@@GharibAli-po6fp mtume anasema hakuna dua ya mtu lini afe na ni kharam mtu kujitabiria kufa. Kwasbb kifo si mchezo. Tunachotakiwa tuombe ni mwisho mwema tu