NDOA NI NINI | NA KWANINI TUNAOA ? | PATA KUJUA MAJIBU YA MASWALI HAYA | NA SHEIKH WALID BN ALHAD #Masjid_Mtoro_Online_Tv #Ndoa_Ni_Nini?
Пікірлер: 25
@khadijaangore44084 жыл бұрын
waalykummsaalam waramatulah wabarakatul. Shukran jazakallakheir masheikh wetu kwa Elimu na darasa zenu znr
@sharifashabani89732 жыл бұрын
Mashaallah shekh wetu allah akuzidishie umri
@abbubakarmfinanga574 жыл бұрын
Mashalah ss waislam mafundi na walim wazur wakuwafundisha wa2
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Shukran kwa ilimu mubashara
@fahdihasnuu90344 жыл бұрын
Mashallah good lecture
@mwanaimaabdallah78254 жыл бұрын
Shukraan sana Sheikh Walid
@sejw93734 жыл бұрын
Shukran Mashallah
@hajrachidi76754 жыл бұрын
Mashllh kher in sha allah
@goldenqueen39994 жыл бұрын
Mambo mazury nd yanaishaga araka.....tanarakallah khery
@osamashakeeb71944 жыл бұрын
Masha Allah ❤❤❤❤
@hamisihalfani63744 жыл бұрын
Mashallah
@bellbell92944 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah
@allykirunginyamka91714 жыл бұрын
Masha Allah
@heyumi23404 жыл бұрын
maashaallah maashaallah
@samoocoolingsystem934 жыл бұрын
Mwanaume ana vichwa viwili kimoja kikilala chengine kiko macho
@NadiaNdiokuana Жыл бұрын
Shukran
@rajabessa3675 Жыл бұрын
Tupate kustafidi...purely Arabic.i love Swahilis
@ismailyusuph7404 жыл бұрын
Ndo Hayo tunayowaambia vijana wa kileo ‘ wake Kwa waume’ wao kuzini na kuzaa bila sharti na mipangilio ‘ siku hizi wanazaa tu na kujiita masingle mother ‘ Mtihani mkubwa huu...!...wengine wanaume kazalisha kule kazalisha huku kisha anajinasibu nna watoto wanne mimi’ Watoto bila ndoa wala stara’ mtihani mkubwa sana huu..! Mtaani kimejaa kizazi Cha zinaa...ASTAGHFILULLAH
@rahimaan64814 жыл бұрын
😰😰😰😰watoto wa zinaa wamejaaaa jmn watu hatujui thamani ya ndoa 🤦🤦
@ismailyusuph7404 жыл бұрын
@@rahimaan6481 ...mtihani sana huu’ tena wengine wanapeana sifa ‘ bora umezaa ‘ ...!....Sasa Sio mtoto tu hata wazazi nao mtaitwa WAZAZI HARAM...!
@allyrashid37322 жыл бұрын
@@rahimaan6481 wanawake wengi wameamua kuishi maisha ya kimaghareeb, wanaume ni wachache kuliko wanawake.kuna haja ya kuwaoa zaid ya mmoja ili wanawake wote wawe na ndoa