TATUA SHIDA ZAKO | MARADHI YAKO | KWA URADI HUU WA NABII YUNUS | | SHEIKH NURDIN KISHK #Masjid_Mtoro_Online_Tv #Nurdin_Kishk
Пікірлер: 82
@malikamalik6074 Жыл бұрын
😭😭😭😭sheykh nasumbuliwa sana na familia ya mme wangu..hii dua inanisaidia sana
@asiakimolo56163 жыл бұрын
Laaa illaha ilaa anta subbuhanaka inni kuntu minadhwalinimina
@cadhimberec12863 жыл бұрын
Mashallah mashallah Allah atujalie tuwe niwenye Kufanya dhikir kwa wingi inshaallah
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Mashaa Allah,mashekh wanajitahidi kutuamrisha mema mitandaoni,utake mwenyewe kutazama yasiyo faa Alhamdulillah,,Allah awape umri mrefu wenye kheir Aamiin
@saumugwagwe36923 жыл бұрын
Hapana mola apasae kuabudiwa kwa lia mwenyenzi mungu hali ya peke yake lshalaalh
@abdallahmdiliko80883 жыл бұрын
Maasha Allah matumizi mazuri ya mitandao katika kupeana nasaha njema na kumuelekea Allah s.w. ALLAH AWALIPE MASHEKH ZETU NASI TUWE WENYE KUZINGATIA HAYA
@momademomade2934 Жыл бұрын
Aminn
@khalfansuleiman62063 жыл бұрын
MAASHAALLAAH , ALLAAH AKUPE AFYA ZAID NA UMRI MREEFU WENYE MANUFAA DUNIANI NA AKHERA
@hatibustambuli8039Ай бұрын
Mashallah
@fatmayusuf16563 жыл бұрын
Allahubariik sheikh bil afya inshaAllah hii dua nzur sana hta mm naitumia wakati wa dhiki na maradhi ikanisaidia adhkar nzur sana tujitahidi tudumu nazo
@makulaikuku69093 жыл бұрын
Masha.Allah naomba uniandikie hapa ukhuty
@bintisomo47893 жыл бұрын
MASHA’ALLAH MUNGU atujaaliye imani yakweli yakumuabudu yy kikweli 🤲🤲🤲
@bennymochiwa48003 жыл бұрын
In sha Allah
@mwanajumaali26393 жыл бұрын
Marhaban Wallah Sheikh darsa nzuri imebidi nirudie Mara mbili,Jazaakallaah
Usikate tamaa na rehma za Allah mpenzi. Usiseme ivyo shetani anafurahi mkemee kwa dua na subra na amka usiku muombe Allah mshitakie kile kinachosababisha ukate tamaa. Allah atakusaidia kwake akuna linomshinda
@maimunatanzania11743 жыл бұрын
@@shsjjdjhd9624 shukulni lakini yanayo nikuta ni mengi jamni
@@maimunatanzania1174 Mpendwa Kwanza kabisa dumu na swala tano kwa wakati.lete sana istghfari. Amka usiku .kuswali .Allah hata kuacha .Alhamdulillah kwa kuzaliwa muislam.
@maimunatanzania11743 жыл бұрын
@@tausimpoma347 Yani my nashukulu ila Yani hata kuswali nimeacha naomba lakini ALLAH anitatulii yanayo nikuta bora mtu. Akuuwe kuliko kukupa haya mateso ninayo pitia jamni
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Muda mzur wakutaka ni muda gan
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Hamna yesu Wala nn hapa Uislamu ndio din ya haki
@davidgasper88213 жыл бұрын
Damu ya YESU KRISTO pekee ndio yenye kutatua na kukomesha matatizo yote
@hajimasoud72103 жыл бұрын
Niletee hiyo damu ya yesu kama unayo au unabwabwaja utumbo tu
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/q3WaYmObiqd6gac
@Julaybib2383 жыл бұрын
Kwanza unaijua damu ya yesu ilikua langi gani au unabebwa tu ktk jeneza bila ya kujitambua
@fatmayusuf16563 жыл бұрын
Subhawahhu umepotea ww
@V24hrs3 жыл бұрын
Duuh..Allah Akusamehe na Akufungue Macho na Upeo wa Akili/kufikili,Pia twakuombea kwa Allah Akuzindue kutoka katika Usingizi Mzito Uliolala ..Allahumma Aamin.,IshaAllah..Twakupenda ewe Mja wa Allah ndo mana Twakuombea Dua.