We sheikh nilikua nakudhania kher leo unaleta uwongo wa wazi kabisa unawazushia nasalafi kuwa wanapinga kubusiana acha kupotosha watu eleza busu ilioruhusiwa na iliokatazwa acha kupoteza watu wewe unasema umesoma madina alaf ndo unaongea pumba eti masalaf wanapinga kumbusu mtu hiyo busu mnayofanya nyinyi sio hiyounayoizungumzia
@mwalimulossilamsuya1944Ай бұрын
MOJA KATI YA MASHEKH WALIOWEKEZA KATIKA KUWACHAFUA NA KUWAPIGA VITA WAISLAMU.. '' ANATUMIKA HUYU..... ELIMU YAKE IKO CHINI SANA.. UWEZO WA KUTAFSIRI MAMBO NI MDOGO SANA.....
@bagaluchaАй бұрын
Mashia wanamtumilia sana yeye mwenyewe keshawahi kusema,Unafiki umemzidi,ati kasoma Madina,huyu ni mbabaishaji tu,Hao makhurafa wenzake wanajua kama muongo,anatumika