Sure waungwana tuna mawazo yakuikomboa nchi yetu vipaji viko mtaa kwa mtaa 😊😊
@herimwinge-et9ei27 күн бұрын
😂😂😂 Watamalizia wenyewe limeisha na A htr sana 😅😅😅
@OllygDarcyАй бұрын
True story umetema madin kichiz congratulation team wanaharakat wazee was asili zao
@NdihokubwayoDieudonne-xv9xrАй бұрын
Nawapata sana nikiwa Burundi muko sawa wachokonoziii
@burtonfrank830526 күн бұрын
#kipanya take this😮
@jonaycemoshi726129 күн бұрын
Nimeipenda sana kwenye kumlazimisha kujiandikisha kwa nguvu.Point sana kaka!
@isackmachiyanshoka6754Ай бұрын
Safi kabsa wachokonozi ❤, mnagawa madini admu.
@patrickkaembi21233 күн бұрын
Kuna pesa zinatolewa kila Halmashauri ya kila mji Tunduma kama mikopo is isiyo na Riba, Pesa za Mama Samia Mshaulini afungue viwanda watu wapaje Ajira kwasababu watu wanapewa mikopo wanaenda kulewa tu na pesa hazirudishwi. Wamefeli katika mikopo hiyo
@kibokibosho747628 күн бұрын
HAWA JAMAA WACHANGIWE WAPATE KAMERA KALI BANA
@danielcharles82493 күн бұрын
Wanazo nyingi tu
@mckobatz5861Ай бұрын
I really love and appreciate what you guys do seems mna vingi mnaweza share na Masoud try to reach him hopefully mtacome up na jambo jipya na kubwa zaidi. Masoud ni positive guy
@AlexLeonardAthanasАй бұрын
Kwakizazi cha sasa dini haitakiwi kabisa, kwasababu uelewa wa watu wadini nimdogo mno.
@johannesjoseph749614 күн бұрын
❤
@issayamalau19 күн бұрын
Tunapenda kuwa sifia wazungu tu ndo ujinga ulio ènea africa
@fedlob4Ай бұрын
Mtu mdogo ubongo mkubwaaa 🎉🎉 Maisha plus ya kutengeneza magari nimeipenda hii
@kherisalum6304Ай бұрын
Akili kubwa sana hizi 🧠🫡🫡🫡
@TameckLenardАй бұрын
Mpo vizuri maeneo mengine
@isaacvtv547Ай бұрын
Support 💯 kweli
@sureboyofficial6473Ай бұрын
APEWE PESA ZOTE MPAKA ZA KAMPENI😂😂😂😂😂😂😂😂
@JomoKilaweАй бұрын
😂😂😂
@NakembetwaKitundu-tn7xxАй бұрын
Akili mingi sana wakuu💪💪💪
@Yakobo-er1ig21 күн бұрын
hawa jamaa wanakili kubwa sana kuliko wabunge wetu..
@headquartersofknowledge5651Ай бұрын
wachokonozi nawapenda bure karibuni ndani ya ukusi media kenya
@hamisiharuna3099Ай бұрын
Hongereni sana big brain
@mandyfitnesstv6738Ай бұрын
Hapo mwisho kaka nimekuelewa sana, ita watu waje wabuni kwa kushindana na kuongeza ubunifu zaidi. Maana kuna muda akili inakwama unahitaji watu zaidi
@paschalbuzeri2111Ай бұрын
Yan kiukweli nataman muwe mtahala 💯%
@nenolauzima528129 күн бұрын
Tanzania tunasoma historia ya sayansi siyo sayansi
@BigZhumbeАй бұрын
#MosoudKipanya #KPMotors iwekwe DSE tununue shares. Am ready to buy as many shares as I can.
@paulopetro9514Ай бұрын
Akili nyingiiiii✊
@stevenkuhanwa7819Ай бұрын
Fikra zao ni "Africa should remain as a purely market of Western, American and Asian countries industry"! Na self reliance watawala hawaiamini Bali ni mwendo wa kupokea TU vya hao mabwana!
@LushidulaJidamawiАй бұрын
Muko sawa
@mwalimuphilemonmbemba1649Ай бұрын
Nzuri hii
@ConfusedBonsaiTree-zs5lpАй бұрын
Fact🙌
@SevarinijrChitandaАй бұрын
🔥🔥🔥
@SomoKidawaАй бұрын
Sasa wachokonozi sisi tutachokonoa wapi kwenye comment au?
@fidelfidel-jz4iwАй бұрын
Mimi ninawaelewa Sanaa akili kubwa tatizo nchi haina watu wenye maono na uhitaji
@AmadeMbezyАй бұрын
Ukweri na uwazi bg
@Aviero_07Ай бұрын
Sabuni ya ubongo 🧠🙌
@aderiderkihupi7240Ай бұрын
🎉
@denismasao520Ай бұрын
Wachokonozi tufafanulie kutangulia mbele za haki umesema mtoto wa kipanya kutangulia mbele za haki
@omaruwakitaaАй бұрын
pamoja walimu wa walimu
@MtanganyikaTanganyikaАй бұрын
Mawazo yenu kama yakwangu good boy tungepeleka magari yetu siyo ayo ya watu ujinga
@SalumuOmoriАй бұрын
Kweri kaka
@ephraimkabeya9648Ай бұрын
Hili ni sawa kabisa. Ili nchi itajirike, Wabunifu wanapaswa kupewa kipaumbele Kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa wale wafua umeme na wazalisha mkaa mbadala na kutoa wito wa viwanda. Sayansi ya vitendo inapaswa kuwa na nguvu zaidi ya siasa
@ezrakiduko613529 күн бұрын
Hizo hela apewe
@LearnOutofSchoolАй бұрын
👋👋👋
@josephjulio6112Ай бұрын
Selikali Ina wivu Hadi kwa wanainchi wake
@golebenson4597Ай бұрын
😂😂😂 ukweli kabisa ilishanitokea iyo😂😂😂
@manunhatzАй бұрын
movie kwenye laptop
@stevenkuhanwa7819Ай бұрын
De-industrialization policy!Tatizo la ubinafsi Africa, uwekezaji dhaifu kwenye tafiti na maendeleo kwa ujumla! Lakini bado Kuna sera za ukoloni Africa hasa Ile ya de- industrialization of African craft and industries!
@talentshow2024Ай бұрын
Wachokonozi mmeongea point😂😂
@edwardleonard5793Ай бұрын
Great thinkers
@nenolauzima528129 күн бұрын
KP FESTIVAL
@angelousnyisalyaАй бұрын
❤❤❤❤❤❤
@AyoubSaidi-ig1isАй бұрын
Nawaelewa san kwakwel
@emakoresahiliАй бұрын
Leo mmechokonoa aisee....
@simonmalegesi414Ай бұрын
True wa choko nozi
@faustinedeogratias4337Ай бұрын
Serikali yetu haina vision wala ndoto ya kufikia malengo yoyote kisayansi, hii inadhihirishwa na kiwango cha pesa kinachotolewa hasa ktk kuandaa special projects kwa wanavyùo, idea inakua kubwa lakini inaishia kufeli kwa sababu ya bajeti
@BarnabasFabianiАй бұрын
Chaneli bora kuliko zote ❤
@BobashasadikokoАй бұрын
Nawapata nikiwa kigoma mko sawa
@NtareHill-re1bwАй бұрын
ni kwel kabisa wahitim wa course za sayans kama mainjinia wana maajabu gan ndan ya nchi hii
@RichWise671Ай бұрын
@Masoudkipanya🙌
@theopant916Ай бұрын
Big brain facts
@OkoaAfrikaАй бұрын
Au kama hawawezi waseme kama hawana hela tuweke hela sisi😂😂😂
@CloudLapsonАй бұрын
Alafu ili upate asilimia 70% mpak uweke vyeti feki😂
@gracejustin7647Ай бұрын
Tukipata watu wahelewa kama nyinyi tungefika mabali sana Tanzania Tanzania nchi ya Giza matanzania wengi bado wapumbambu sana
@SwanglishRestaurantАй бұрын
Ukiwa huna dini naakili haalipo sawa
@jalaryababilasi1562Ай бұрын
Safi wakuu
@fidelisbutondo1659Ай бұрын
Akili ni kubwa sana
@alijuma8009Ай бұрын
Perfect
@golebenson4597Ай бұрын
Wazee mankunywa chai wenyewe uyo jamaa napitapita hapo anatafuta nini.muiteni TID amkinbize
@SomoKidawaАй бұрын
Nawaza Hilo linalo ishia na M ni neno gani?😅😅
@swahilimedia4291Ай бұрын
🙌🙌
@ndeleimanasayumwe670Ай бұрын
Fact and logic
@moriskadungula9353Ай бұрын
Atengenezi magali, ana assemble gali mna upeo wa wapi!
@richardrobert2203Ай бұрын
Anatengeneza fala wewe
@nassorozawiya5778Ай бұрын
Kuasembo unajua mzee? Pale anatengeneza coz engin inatengenezwa pale bodi ya gari inasukwa hapo and evry thing. Ku asemble angekuwa anachukua vifaa toka kwa kampuni fulani like toyota then inaunda vifaa vilivyotengenezwa na materials kutok kampuni hiyo km ilivyo ford kule south, cruizer south nk
@MartinPeter-ie5ocАй бұрын
Ujui anatengeneza magari
@fasterwalker1464Ай бұрын
@@richardrobert2203😂😂😂😂😂 mbona kama umempendelea sana mpe kubwa
@JacksonKimario-ig8dlАй бұрын
Gali ndonini
@bahatisaimon6019Ай бұрын
Ee au kwanini? wasionyeshe maonyesho ya kwenda mashambani na vitu vyetu asiria vya Afrika
@Benny318mАй бұрын
😂😂😂waonyeshe ungo
@JovinMaftahАй бұрын
Yani hata hizipesa wanazo pigia kampeni apewe kipanya
@emmanuelcharles5613Ай бұрын
Ukweli ulio nyooka wasomi wa sayansi mko wapi ma profesa mko wapi rudini kwenye taaluma zenu
@aristotemohamedmz5979Ай бұрын
Ila chekanabo
@lusajomwakalinga5813Ай бұрын
Eti inaishia e mwishoni😂
@OscarMuhumenya-yc4otАй бұрын
Sasa ukitupasua na icho kikombe situtakufa.
@Ushauri235Ай бұрын
Ndio nawaelewa maprofesa wote hovyo hawana lolote
@islam-w1nАй бұрын
Hii ndo maana halisi ya kiraka mnapapasa kila pahala
@emanuelmbagaАй бұрын
wajomba kila mshono wameweka mkono 🤣🤣🤣
@adiaygo8546Ай бұрын
Wazee Kuna vitu vinauzika havitaji kuficha Dini ya mtu vinanunulika Kwa uhitaji Na ubora msimbumbaze watu wakaacha Imani zao
@fasterwalker1464Ай бұрын
Kwann uishi kwa imani 😂😂😂😂
@adiaygo8546Ай бұрын
@@fasterwalker1464 small boy Imani Ni Imani hata ukiamini Miti shamba Ni Imani tu
@fasterwalker1464Ай бұрын
@@adiaygo8546 mm siamin chochote nanipo poa tu siend msikitin kabisan wala kwa waganga na hakuna matata mbn
@tjenruzoka7814Ай бұрын
Sasa apo ukiwaelewa vizur swala ni hupaswi kuamini ila unapaswa kuelewa@@adiaygo8546
@mj.tv.forpeople992Ай бұрын
Hapo mumeongea angalau unaakili leo hujaongopa
@SephaniaMsigwaАй бұрын
Hawajahi kuongea pumba
@chuchetreshaАй бұрын
TELL THE CHIDREN DE THRuth 🙆🙆🙆COS WE HAVE BEEN TAKEN FOR GRANTED MOST SO LONG 🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬
@Mr_smart.code_10Ай бұрын
Babylon system is the vampire....
@IsayaJoseph-v3sАй бұрын
Hawa jamaa wanaupeo sana niwaelewa San nawakubali
@JomoKilaweАй бұрын
✍️✍️
@elgringo8592Ай бұрын
Ni hatari kuwa na akili katikati ya wajinga🤔🤔🤔
@DaudFatakiАй бұрын
Nimekuelewa
@IsayaJoseph-v3sАй бұрын
Hawa jamaa ni funguo ya akili
@aristotemohamedmz5979Ай бұрын
Najiuliza kwanini anafungua shati
@wachokonozi_Ай бұрын
Kuna joto hapa Dar.
@makongoronyerere156423 күн бұрын
Ili uukalie
@ZainaSeleman-l7xАй бұрын
Kiukwel mm Nina uwezo wa kutengeza gari ya umeme bila kuchaji ila tatizo hawatujali na huyo masud nimemtafuta kakaa kimya
@FabianSembaАй бұрын
Weka namba
@golebenson4597Ай бұрын
Na yy anawivu kama serekali. Kuna watu wanalalamika jamaa kila saa yupo mikitin