MKE WA MASOUD KIPANYA ATOA UFAFANUZI KUHUSU NDOA YAKE; PIA KUHUSU VIDEO ALIYOJIREKODI AKIWA ANALIA INSATAGRAM. #carrymastorytv #masoudkipanya
Пікірлер: 33
@saidaabdalla28548 ай бұрын
Pole yako mwanamke ukiachwa achika songa mbele na maisha yako mapya usijidhalilishe ingawa unaumia lakini unatakiwa umuamini na kumuomba Mungu atakufungulia njia nyengine ya maisha
@wardawarda65358 ай бұрын
Ukiachwa kula ushibe ,kunywa maji mengi sana,jipende pendeza basi 😄 🤣 😂
@deusdeditsimba44528 ай бұрын
Dada Yangu unayosema NI sawa ,lakini si KWA Kizazi cha sasa na wala si rahisi hivyooooo unavyoongea Malezi yetu tuolelewa Sisi na Malezi ya SASA YA SOCIAL MEDIA KUNA TOFAUTI KUBWA SANA KAMA MBINGUN NA ARDHI,WEWE unaongelea Malezi mema na mazuri na heshima uliolelewa na wazazi wako Shukuru Mungu kwa Hilo dada yangu,HAYA MANUNGA EMBE YA SASA HIVI ACHANA NAYO!
@FatmaHamad-g6s8 ай бұрын
😂😂😂 labda aniache huyu wasasa maana mtoto wa mamamkwe anajua mpk anajua tena ilk hapo nyma sikuona chakuniliza kbs
@Bashitetako8 ай бұрын
Niwaambie tu labda hamjui tu mume sio jukumu lake kumtakia mkewe happy mother's day hiyo ni kazi ya mtoto yule ni mkewe sio mamaake na ni hivyo hivyo kwa mke yule sio babaake ni mumewe
@darajalakidatukilomgi23628 ай бұрын
Huna nyota ya mitandao dada ungebakia kwenye kupiga ramli labda pangekuingiza mjini
@ceomomtz8 ай бұрын
Mbona kama ana frustrations fulani? Yeye ndio ana matatizo na anahitaji msaada. Kwani lazima kujibu watu? Yeye kama alitaka watu wasiwe na maswali angeeleza sababu ya yeye kulia na kama alitaka kila mtu awe na simulizi yake basi asijibu. Si amesoma mass communication iweje hajui tumia alichosoma kwenye real life.
@marymanoni55368 ай бұрын
Mwizi ww
@wemaMichael-fr4th8 ай бұрын
mnao olewa wake wanne mnawezaje yaani nikae wiki nzima sijafanywa nasubilia bwana amalize zamu kwa wenzangu khaa siwezi 1
@AinekishaNyakato8 ай бұрын
Alokwambia hadi zamu ikwishe nani huyo mume atakua hana nguvu za kiume ududu wake dhaifu, mnaolewa wa nne na mna pigwa miti hadi mnamkimbia yaan mnafanya leo sio zamu yangu nenda huko kwa mwenye zamu yake wewe hujakutana na marijali mwanaume asili kabisa Acha na hao wapiga punyeto😂
@MagrethMallya-we8ui8 ай бұрын
Hahahaaa❤
@AmelitaKadudu8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hatibbaraka39568 ай бұрын
Dada yangu kwenye sheria hautakiwi tena kua na choice ni kuitekeleza tu,ila uzuri wa ndoa hasa basi musaidiane na hata kama utakua peke yako kama mwanamme hasa mzima ana afya yake,basi hautopumzika utataka uende ukatembee kwenu kwanza.
@Lulualshagri8 ай бұрын
Mmmh kama ana mashauzi flani hivi
@Bashitetako8 ай бұрын
Dada anaonekana mswahili sn
@darajalakidatukilomgi23628 ай бұрын
😂😂 uswahili wa kulazimisha wa bara huyo maneno magumu kama mkate wa juzi
@ndukulusudikucho_8 ай бұрын
Waswahili ndio wenye Nchi yao hao hahahaah
@yukundapeter82008 ай бұрын
Mnanichekeshaga sn kwani ni hao wanaume tu wanajeuri ya kuoa wake 4? Kwa hiyo hao wake wa4 watashindwa kuchepuka? Mwanaume ucjifariji kwamba ni ww unamiliki tu,wanawake nao wanachepuka vxuri kwa hiyo jibaba kaa kwa ku2lia.
@OfficialA836408 ай бұрын
Kwani huyu ndy mke mdogo wa mwisho 4 au?
@aboudijaaboudija8 ай бұрын
yes
@aboudijaaboudija8 ай бұрын
wa pili nadhani
@Sage-o4q8 ай бұрын
😂😂😂😂 huyu ana tatizo la AFYA YA AKILI uwaga hayuko sawa.....tahira tahira tu.
@OfficialA836408 ай бұрын
@@Sage-o4q Mmhh sio vizuri hivyo 😏
@ElizabethWamcha8 ай бұрын
Sura hana apo ndio make up yupo hivyo ata mimi mzee naonekana kijana tatizo uswahili mwingi
@salwamohammed47878 ай бұрын
Mimi mwenyewe nilivo achwa nimelia mpaka nikapata homa😢😢
@Polyn.1238 ай бұрын
Hi
@emmadora78488 ай бұрын
Pole jamani ,si mwisho wa Dunia huwezi jua umeepushwa na nn ,Mungu atakupa heri nyingine
@sophiakimaro51748 ай бұрын
Pole my.inawezekana uliepushwa na bomb la nuclear.
@janifajani88758 ай бұрын
Mm nalia adi sasa adi naitaji ushahur bwana kaniacha kaenda kuolewa na mama mtumzima yani huyo mama ndokajilipia baruwa na mahar yani nime vurugwa hapa
@janifajani88758 ай бұрын
Kweli dada mm nalia familia ina nicheka atar basi nime wa bock familia zima😂😂😂 nilivo vurugwa na huyu mbwa wamama mkwe