Lola kapendeza zaidi coz amefunika kabisaaa nywele kama mheshimiwa mama ajawai acha nywele zake wazi
@shamsahaji620222 күн бұрын
Wote wamependeza sana stara inabakia stara tu kwa mwanammke yeyote.hongereni tz ingekuwa wanavaa hivi wangekuwa watu flani hivi unique ❤❤❤❤
@MwanamisiAthumani-e3x3 ай бұрын
Lola ameuwa 😁baby girl so cute 😘mashallah 👌
@AjestaChaula3 ай бұрын
Yan hao wote waliofunika nywele zoteee ndo wamemwakilisha kabisaaa mama samia hao wengne wotee walioachia vinywele vyao nngekuwa judge wote hao ningewatoa kabisaaaa😂
@GetrudeChengula3 ай бұрын
Baby Lola jamaniiiiii she looks so gorgeous 🥰😍😍😍
@chausikumasau81943 ай бұрын
Lola ndo kapendeza she look like mama Samia our beloved 😍 president....yy hahachi nywele wazi kama wengne mmeacha xan nywele kitu ambacho si sahihi
@MwanaidiMatary-cp2rf3 ай бұрын
Lola katisha ❤️❤️❤️so cute
@salmamlokela19873 ай бұрын
Lolaaaa kawashinda woteeee😅😅😅
@RehemaJoseph-t7h3 ай бұрын
Lola 🔥
@AsnathFrank-l3w3 ай бұрын
Lola kapendeza kufanana namama samia
@DeboraJoel-tb2zg3 ай бұрын
Lola kapendeza sanaaa❤
@AhmedHImran3 ай бұрын
Lola ameua sana na kanafanana na Samia
@aminamnyumbanyiru89003 ай бұрын
Lola na chimama wake wametisha❤❤❤❤❤
@salma51873 ай бұрын
Lola kapendeza sana
@HalimaMachwiko3 ай бұрын
Nampenda sana lola
@KuluthumMwemtelo3 ай бұрын
Nilichogundua wote shungi limewapendeza haijalishi muslim or christians ama kweli shungi halimkatai mtu🥰🥰🥰
@fatmasalim71323 ай бұрын
Sahihi kabisa!
@fatmasalim71323 ай бұрын
Sahihi kabisa!
@thamani58423 ай бұрын
Jamani nipenda sana. Mmependeza sana
@thamani58423 ай бұрын
Wote wamependeza Ma Sha ALLAH ❤
@RehemeAlfonce3 ай бұрын
Nandy nywele ipo nje sana na samia haachagi nywele waz😂😂😂
@Sarah-e1o9k3 ай бұрын
@@RehemeAlfonce 😃😃😃
@RehemeAlfonce3 ай бұрын
Ety sarah si ni kweli😂😂
@hamisikiango46233 ай бұрын
Uyu dada mwenye mtoto amependeza zaidi
@REHEMAYUSUPHU-ds1uf3 ай бұрын
Rola ndo amependeza
@AshaKhatibu-r8h3 ай бұрын
Mtoto kawapita wote
@sikudhanimohammad76923 ай бұрын
Irene Paul, Ami Gal na Niffer wameua.
@elizabethismile68273 ай бұрын
Aiseeee rola apewe.maua yake bnaa❤❤❤🎉🎉
@LucyFabian-r5v3 ай бұрын
Mtoto kapendeza
@PrincessHellen-pg1oy3 ай бұрын
Mbona hujamtaja yammy na faraja cute 😢
@SikudhanijumlaSabo3 ай бұрын
Lola mashallah ❤
@Faiza-fc4ms3 ай бұрын
PIA. VAZI. ZURI. NI. LAHESHIMA. KWA. UPANDE. WA. WANAWAKE. TUPABADILIKE.
@GalazxyShshhs3 ай бұрын
Lola❤❤
@DianeHendrick3 ай бұрын
lola the best
@Sarah-e1o9k3 ай бұрын
Watu wmependeza sna
@LoveBadro3 ай бұрын
lola ❤❤
@ReyJulius-ej4lg3 ай бұрын
nice to lolaa❤❤
@asmandunda36393 ай бұрын
Lola na mama yake wema sepetu katisha sana
@ruthdavie11753 ай бұрын
Lola Kafunikaaa
@roswitaexavery33783 ай бұрын
Wamwisho kabugi uwazi mwingi mbele
@MwacheoHanzada3 ай бұрын
Aliependeza ni lola na niffer
@AdijasaideMusmede3 ай бұрын
Lola ❤
@oprotunahaule81143 ай бұрын
Wema na Nandy
@sikudhanimohammad76923 ай бұрын
Tessy amependeza ila nyuma kaachia nywele kwa nyuma
@TinaKiria3 ай бұрын
Lolaa❤
@LilianFares-gg7tz3 ай бұрын
Lola na wema
@shaatvonline52493 ай бұрын
Amigal kauwa❤❤❤
@hamisikiango46233 ай бұрын
Lola kiboko yao akuna kama lola
@Daniella2493 ай бұрын
Bwana kuna Lola halafu kuna Irine Paul hao wamekomesha, hawa wengine wanajua walichokifanya wao kwanza nywele nje kwani hawamuoni raisi anavyo vaa, kwani Hii challenge wandlipwa eti 😅😅
@ZeinabBakar-je4nr3 ай бұрын
Lola Yuko poa sana huyu mtoto
@sisifaty91833 ай бұрын
Lola kapendeza zaidi ya wote
@erizabethlichima62183 ай бұрын
Lola ka pendeza atar
@WardaMaulid3 ай бұрын
Lola ndo kapendeza ila mshahara shngapi ukifanya hvo
@omarybakunda25543 ай бұрын
Lola kamaliza.
@nasrachimamy3 ай бұрын
Tess kapendez kajua kufunga shungi yani kautendea haki
@magrethmeela1543 ай бұрын
Jamani mtoto Lola kaua
@StellaKomba-z9q3 ай бұрын
Lola
@asmandunda36393 ай бұрын
Wema sepetu kauwa after lola
@mamihamad3 ай бұрын
Irene Paul kauwa na niffer
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Lola na irene poul
@WemaNathan3 ай бұрын
Lola kauwa kuliko wote
@rosengiloi93813 ай бұрын
Lola kapendeza
@GraceWerengo3 ай бұрын
Tatizo nyie wengine mmeacha nywele wazi zinaonekana
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج3 ай бұрын
Nandy kawa funika
@BalakaSamwel-n6c3 ай бұрын
Lolaa
@Keyjop3 ай бұрын
Haya ndio mambo viongoz wetu wana taka Sasa 😂😂😂😂😂😂
@YaseenAlly-op5is3 ай бұрын
Jaribu kujifunza matumizi ya r na l
@THETHIRDTV_3 ай бұрын
Ulimi hauna mfupa!!!
@muhayarugaonlinetv3 ай бұрын
Ako katoto kapenza kupita wote lola
@JoanaremigioLichinga3 ай бұрын
Nandy
@CcC-lf7on3 ай бұрын
wote
@shaatvonline52493 ай бұрын
Rais wetu hatembei kimisi kama wema😂😂😂😂
@Kisra-yw3qz3 ай бұрын
2❤❤❤
@Mery-st4nu3 ай бұрын
Tesy na mwanae wamependeza na wamefunika nywele vyema saana
@magrethmeela1543 ай бұрын
Mtoto Lola kapendeza sanaaaa
@fatmasalim71323 ай бұрын
Tesy na mwanawe pia na Lola
@hellendaniel38093 ай бұрын
Lolaaa
@NewNew-ep5dq3 ай бұрын
Nikiokota hera nitashona nimepend
@salomemtwale53703 ай бұрын
Yummy ameachwa Ana suti ya njano ya samia
@AjuayeKilendi3 ай бұрын
Niko na lola
@THETHIRDTV_3 ай бұрын
Lola kiboko😊
@GraceMwita-r5i3 ай бұрын
Dada Lola
@MmbembaHappy3 ай бұрын
Lola kauwa
@kadhyanassor50463 ай бұрын
Hilo si vazi la Tanzania hilo ni vazi la Pakistani....hata ukiangalia marais wao viongozi wao hivyo ndo wanavaa ...pia sultan Qaboos marehemu ukiangalia akisafiri hiyo ndo suti zake akivaa hivyo .....