Mungu Mpe afya njema rais wetu Mungu ibarikia Tanzania yatu
@jacintamakokha15228 ай бұрын
Wow, this is truly a beautifully meaningful celebratory song !! Mama Samia, H.E the President of Tanzania, we do honour you truly. God bless you.
@fatimataidrissa-bangura20222 күн бұрын
Shkamoo Mama. Ingawaje ni ya zamani hìi sherehe lakini nimeipenda. Nzuri Maashallahu. Kiĺa jema Allah akuteremshie. Asante sana kwa kunijali
@paiwanjara3502 Жыл бұрын
Mke wa uncle Magu Mungu azidi kumbariki sana
@SnaniAli-u5k Жыл бұрын
Mashllah sio siri yule anaeshuhukika na mavazi kwa Rais samia vazi hili kusema kweli mama limemtoa kwelikweli kapenda sn mashllah
@ZuhuraAthuman-u2i19 күн бұрын
Hongera sana mama yetu Samia mungu azidi kukubariki na afya njema
@joyceabeli3787 Жыл бұрын
Piga kaz mama kusemwa kawaida mh hayati alifanya kazi usiku na mchan lakin wananchi hawakumshukuru sembuse wewe piga kazi kusemwa kupo mama nawapenda wamama wote
@mariamponera6386 Жыл бұрын
sana na wema wa mtu unaonekana ukiwa haupo machoni mwao
@rockzenamtui6296 Жыл бұрын
Hongera sama mama samia kwa kweli umeweza hata hayati Magufuli alijua hii miradi itasimama ila Mungu anakupigania unamalizia miradi
@allykingu43488 ай бұрын
Farid. A. Majid
@helencyprian87457 ай бұрын
Mungu ambariki mama yangu na mama nyerere, mama magufuri, mama mkapa, mama sokoine mama warioba, mama membe na wengine wote.
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Naona Kikosi Kizito cha Wamama , Kwa hakika mnaweza tena Saaana , na Mungu awabarik Saaana, Tanzania kwanza Mengine baadae
@florarog548 Жыл бұрын
Mungu akutunze mama
@JamilaFurahisha-n6i10 ай бұрын
Ongera sana cristian bellah kwa wimbo mzuri sana
@muna1165 Жыл бұрын
Yaani katika wa mama wote apo mama SALMA KIKWETE AMEPENDEZA SANA❤
@msungimashauri8 ай бұрын
Wow I Love you Mama ❤#NasimamanaMama
@bashirumandwanga130 Жыл бұрын
Tunaipupia Dunia kwa kula ata visivyo alali na kuipamba kwa thamani nying Dunia inatuaga sisi tunaikumbatia tunajisahau kwa nyazifa za dunian Chuma utakavy Chuma hapa Dunian ila siku ukifa Dunia haitakupa chochote isipokuwa sehemu ndogo ya ardhi ambayo uzikwa ndani yake Tusijisahau tena hasa viongozi wetu wengi wenu si waadilifu munajar sana maslai yenu Binafsi kuna maisha baada ya Dunia Mungu wetu sote
@josephfrank4446 Жыл бұрын
❤love mama
@mohamedhussein-qb5sg Жыл бұрын
Much love for All these Mothers ....surely mothers are the pillars of every Nation . much love from Kenya
@zawadimbwambo10915 ай бұрын
Ati mungu ambariki rais samia!!!!!!!!!! Baraka gani tena zaidi ya hio alioipata.? Chakushangaza wanaomuombea ni wlalahoi tu. Ati analipenda taifa hahahaaaa!!!!!!!!!!!! Mama kashikilia fedha atasifiwa na watu kuliko mungu!!!!!!!!
Hivi aliyomuwekeaga sumu ommy dimpoz anajisikiaje aisee🔥🔥🔥
@janewashe7276 Жыл бұрын
😂😂😂Aki ya nani anaumwa sana sana
@Mery-st4nu Жыл бұрын
Anajutia na adhabu ikimngoja siku ya qiama chake
@QueenSophie-rj7hu Жыл бұрын
😂😂😂 atakua ashakufa
@ThomasMcha-jk5yt Жыл бұрын
Salute My Mamaaa!!
@edithajonh2970 Жыл бұрын
Kwa sifa hizo wanawaume tutaanza kuolewa Sasa Kama wanawake wanashika nchi na kuwa na pesa kuliko sisi inakuaje et
@sss3s8678 ай бұрын
MNAJARIBU KUSEMA NCHI ILIKUWQ IMEFUNGWA NA HAYATI MAGUFULI NA FUNGUO ALIKUWA NAZO MAMA 😮😮😮😮
@christinamsoka Жыл бұрын
Namwangalia Rais wetu na mama MAGUFULI tu.macho yanaganda kwao tuu nawaza mengi.
@kwangahudispensary72389 ай бұрын
Yawaze yaliyo positive..dhana mbele ya Mungu ni dhambi
@clementmwita2433 Жыл бұрын
Atwa husna sitephano mama kwakweli wanawake tunakupenda sana ILA tunachagamoto yamaisha hasta Mimi ninamagumu sana tusaidie HATA mitaji munguatakuogezea nadaiwa madeni telehe 12 10 2023 nadaiwa natu 700000 anakujakunifilisi Dani sina hatahela nisaidie mama
Kwakweli nakuombea hekima,busara na maarifa tuvuke salama,nani kama Mama🙏
@SamsonyFransisco-gf2yd Жыл бұрын
Nawaza Sana siku mungu akisema atuache Tujipambanie Hapo ndipo Tutajua kuwa alieturoga Ni Nan?
@hassanparamana2215 Жыл бұрын
nimewaona wakina mama makomandoo wote ndani ya dance 👏💪🇹🇿🇦🇪
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Ila samia usigombee tena acha nchi iongozwe na wanaume hela ulizo nazo utakula mpaka kufa ni nyingi ni ushauri tu lakini sio kwamba sikupendi ila hilo jukumu la wanaume
@holymakere Жыл бұрын
Mimi simpendi Kwa kweli Yaan tutaabka Sana watu wadogo nataman JPM arudi leo kesho huyu mama jau tupu angekuwa magu huo mgogoro wa kariakoo angekuwa ashamalza
@stellahsimon4460 Жыл бұрын
😲🤔🤐
@evampuya-mp9vf Жыл бұрын
Acha kumkosoa mungu ni chaguo la mungu mama yupo vzr mpaka raha
@mohamedhamismagoraonlinetv459 Жыл бұрын
Yeye pia hakupendi
@johnmwambasi2299 Жыл бұрын
Aliyo yafanya yanatosha sana hata kama ayana msaaada wa moja kwa moja kwa upande wa uchumi kwa mwananchi mmoja mmoja
@kalumunankarage9432 Жыл бұрын
Rais Samia anachapa kazi siyo mchezo. Achana na hao wanaojikweza kwake lakini bahati nzuri anawajua.
@MatronaThomas-wz5siАй бұрын
Royal Tour hoyee tunaomba mama SGR mlima Kilimanjaro ni hazina ya milele
@oman1oman1797 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤tupo
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Acha ninyamaze tuu, japo ninayo mengi yakuongea 🤔🤔
@AshuraHatibu-tp3hy Жыл бұрын
We ongea shauri yako
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Ata ukiongea sidhani kama watakusikia mpendwa.. ni kupambana na hali zetu... Tu🚶
@emmanuelnyinyigwa8043 Жыл бұрын
Sawa mimi ngoja nijiandalie ikulu ya mbiguni huku dunian sina changu tena
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Hamna kitu apa maisha mnayo nyie tu sisi twajipambania wenyewe eti nan kama mama mi namtambua mama yangu mzazi tu labda na mamkwe tu ndo wa muhimu kwangu hawa
@skylandhomes6943 Жыл бұрын
Umeongea Kweli kbs
@ConfusedMonarchButterfly-bp5dx7 ай бұрын
Mungu hakubalik
@hajjimanyikahp979 Жыл бұрын
❤mama
@zainazaina9301 Жыл бұрын
Ninyamaze miee sina uwezo wa kuweka wakili
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
😁😁😁
@PaulNyerembe-pj8fm9 ай бұрын
Hongera
@HanifaBruno-lv1qf9 ай бұрын
Mama ww hoyeee; kazi iendelee.
@emmanueljoseph149611 ай бұрын
Hongera mama Samia kwakuleta suluhu
@jamesmahatane2723 Жыл бұрын
🇹🇿nime waona wakina mama shupavu wa Tanzania wote hongereni sana
@googleus4903 Жыл бұрын
Vibe la PINDI CHANA❤️😍
@alimau7939 Жыл бұрын
Nyinyi chezeni huku munaliacha taifa linaingia kwenye janga kubwa la ushoga
@dancerboy2686 Жыл бұрын
😂
@josephlorri431 Жыл бұрын
Rais wetu mwanamke,,wanaume tufirane wenyewe then lawama kwa mwanamama!! Hayo ni mambo ya maadili...wakubwa wa dini zetu mbili ni wanaume..tupambane
@alimau7939 Жыл бұрын
Huyo ndio Amiir Jeshi mkuu kwa hiyo kila mtu ataulizwa kwa nafasi yake tusione leo tunapua tukajisahau lazima tuoneshe kivitendo kama hili jambo tunalikemea sio linaishia midomoni
@josephlorri431 Жыл бұрын
@@alimau7939 tuimarishe na kusimamia mafundisho ya dini zetu..wanaotoa misaada ushoga ndo utamaduni wao... vinginevyo turudi dini zetu asili..matunguli,mizizi kama kawa..
@alimau7939 Жыл бұрын
Sawa tunasimamia lkn Rais ni Raisi atakopelisimamia kikweli kweli yatapungua au kuondoka kabisa au kama tumerika kama madawa ya kulevya sawa ila ipo siku tutajua
@marygregory75669 ай бұрын
Ila Huyu mama anakuaga na Upendo wa kweli kwa watu toka moyoni
@jumannemwebeya-xv2ji Жыл бұрын
Akitoka mungu nafkiri Tz inafuata kamasikosei, mama umeupga mwingi congratulation mungu akubarki
@mohamedsuleiman2785 Жыл бұрын
Mimi simshangaai yoyote anae Sema kuwa hampendi samia kwan hata muumba mbingu na ardh basi kuna watu wahampend jee samia na pia huwez kupendwa wote yy mwenyewe anajuw hilo
@mirajijumbe6568 Жыл бұрын
Siku zote wenye wivu na wengine hua na chuki jukumu letu nikumwombea Samia Hilo lakua haumpendi sio jukumu lako hiyo nafasi ungepewa hata wewe Leo ungefanya nn kaa kwa kutulia acha husda utakufa vibaya kijana
@EdnaMbowe11 ай бұрын
Hongeren Wamama
@Richard_Range Жыл бұрын
Inapendeza sana kumuona mpaka Mama Nyerere na wamama wengine,❤️
@errydeo8865 Жыл бұрын
HAKUJA PALEKWA FURAHA WEWE
@Richard_Range Жыл бұрын
@@errydeo8865 Angalia video kabla ya kukurupuka kuropoka ropoka!
@googleus4903 Жыл бұрын
Mama KIKWETE❤
@SatlankaSatlanka Жыл бұрын
Imetisha
@AbubakariSaidi-mp4nk9 ай бұрын
maashallah
@VeronicaMalya7 ай бұрын
2:25
@roseamos2812 Жыл бұрын
Hakuna kama Mama
@gracemurondoro38698 ай бұрын
Amen
@JosphineKahara9 ай бұрын
❤
@johnman4619 Жыл бұрын
Hakuna cha salma kupendeza hapo .kulikuwa mashindano yakuvaa au
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Hii safi sana mtu wa nguvu👊
@fardoshnassor784710 ай бұрын
🎉
@shemahabonayo128710 ай бұрын
Anacheza nini.shezi anaye maliza wa tutsi congo. Malipo nihapa hapa
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
HONGERA MAMA SAMIA
@andrewjuma2485 Жыл бұрын
Mama hoye hoyeeeer
@abdulmalikkidege2731 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@aminakyungu8414 Жыл бұрын
Wakina mama oyeeee
@RashidDady-cb7hg Жыл бұрын
Kuna mtu hapo kila sehemu yupo
@spillovereducationtutorial3228 Жыл бұрын
hahahahah
@halidiomari1377 Жыл бұрын
Nice ❤
@philipowyinjones9645 Жыл бұрын
Nimemuona Mzungu wa Yanga naye pia n Mama
@ZainabAbdallah-p5k8 ай бұрын
Wachawee huu wamuwache mama etu ainjoi
@SabahHassan-z7d8 ай бұрын
Hàkuna kama mama..mfa mama kaumili.Hakuna mama wawili
@dingadinga6674 Жыл бұрын
Miaka 10 teena kwa mh mama
@masoudmasoud8698 Жыл бұрын
Nimegundua wanaume tunakufa mapema sana 😢😢
@aronatv47 Жыл бұрын
Haaaahaaaa..Ndio unajua Leo Pole
@salamasaidi6620 Жыл бұрын
Muache kututesa na kutusumbua kipindi mkiwa na umri sio mkubwa sana