KWAIYO NYIE SILOAM SIKU HIZI HAMNA CHA KUPOST?😂😂😂😂 YAANI TAASISI KUBWA KAMA HIYO MNAPOST MAHUBIRI YA WENGINE😅😅😅
@billionaireoswardkanyala1307Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@EsterBaraka-c6bАй бұрын
Hosea 4:6 watuwangu wanaangamia kwakukosa maalifa yani nyie munguawasamehe bule
@faharihakikaziАй бұрын
Huyo mhaha ni muongo!!!!!! Kuwahi kutokea anawadanganya watu kuwa yeye ni muumba amekuja duniani! 😅😅😅😅😅
@ConfusedBirdwingButterfl-tz3hpАй бұрын
Kama hujui kubali kijifunza
@JohnPaul10ShukraniHalisiKahuraАй бұрын
Una sikia?? Alie pawa alikuwa kwenyu tanzania lakini hamujuwe!! Kumbuka Taifaaa la Israël walipewa neema waka ikataa!! CHANZO HALISI ni mwaminifu
@Theironrod9373Ай бұрын
Hapo mwenye akili tumamu ni mmoja tu.. ( ni mwandishi wa habari tu) hao wengine wawili ni pimbi na ngiri wanahojiwa!!
@LyinaShayoАй бұрын
😂😂 mbona unamakasiriko sindano imekuingia kufa taratibu sisi tunaenjoy life na CHANZO HALISI
@Theironrod9373Ай бұрын
@@LyinaShayo chanzo cha paka mwizi.. na hiyo hija yenu nitaifuta hamtahiji tena pimbi nyie
@onesmojustice2348Ай бұрын
@@Theironrod9373kwa taarifa yako mwaka huu Tena andaa kamba ya kujinyonga kabisa 😂
@dianaphilbert7913Ай бұрын
Tulia Acha kuchangia usichokijua
@dianaphilbert7913Ай бұрын
@@Theironrod9373tubu
@chrismassawe29392 ай бұрын
Eti hawafi huyo kiongozi wenu mke wake alikufa mkazika kimya kimya
@gastonpeter42652 ай бұрын
Njo umuone yupo kanisani kila siku anamsifu Muumba 😂
@RoseKasimila-i9dАй бұрын
Duuu kumbe unasema kama hata kumjua humjui??? Umesamehewa bure
@chrismassawe2939Ай бұрын
Nisimjue huyo tapeli aliemzunguka eliya baada ya eliya kufa akapora mali na huduma nzima kaipora na kujifanya mungu huyo mungu wenu nae atakufa anawahadaa hafi
@gastonpeter4265Ай бұрын
@@chrismassawe2939 ukinitajia Mali hata moja aliyochukua nitajua ww ni mkweli au muongo
@RoseKasimila-i9dАй бұрын
@@chrismassawe2939 huduma haipolwi ndugu alafu mbn yupo sana naomba nikuelekeze alipo ila ukisha fika ukamuona usisahau kuniletea mrejesho
@JudithChuwa-l6cАй бұрын
Itapendeza Sana Kama Siloam mtapost video zenye mafundisho ya Siloam, Video hii ina Mafundisho au Ufaham wa Muumba yani CHANZO HALISI ambae anabudiwa Kanisa Halisi lililopo Tegeta Namanga. Stop misleading viewers stop cheating. Muumba ana Sifa ya kuwa Mkweli. Uongo sio sifa zake.
@JudithChuwa-l6cАй бұрын
Pia Msichanganya Ufaham wa Mwana na Baba, majira 7 na Majira moja Halisi. Imekuwa.
@ThomasMselle-rw5ejАй бұрын
Aliyeanzisha huo utapeli ni kiongozi wao muaji wa kanisa la kweli amepandikiza roho ya utapeli ya kusambaratisha kanisa la Siloam lakini ni mwoga anajikomba kwa wanasiasa ili wamlinde. Alimwita Magufuli sanduku la agano akakausha kanisa akihonga serikali ili akamilishe utapeli wake.
@JohnPaul10ShukraniHalisiKahuraАй бұрын
Wewe uta jipa laana!!
@dianaphilbert7913Ай бұрын
Utahukumiwa kwa maneno ya kunywa chako. Bora kukaa kimya. Hujui kitu
@ConfusedBirdwingButterfl-tz3hpАй бұрын
Usamrhewe
@JohnPaul10ShukraniHalisiKahuraАй бұрын
Nimekusamehe bure tuh ila hâta yesu nae wali mkataa!! Walimtambuwa wakati âme fufuliwa n'a Muumba wa yote wote n'a vyote !!