MASWALI MAZITO YA WAANDISHI YALIVYOWAVURUGA WANAKAMATI TUME YA HAKI JINAI AKIWEMO MWANASHERIA MKUU

  Рет қаралды 6,401

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 8
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 Жыл бұрын
Kwenye mapendekezo yanayo husiana na jeshi la polisi.. ningependa kuona wanapewa mshahara wa kutosha na vifaa vya kazi kama magari ya doria badala ya kusimama juani siku nzima wanakusanya rushwa tu mabarabarani. Wapeni uwezo wa kielimu pia ili wahudumie jamii bila kuomba rushwa.
@elibarikimanjia8391
@elibarikimanjia8391 Жыл бұрын
DAWA YA MATATIZO YETU NI KATIBA . TUPIGANIE KATIBA MPYA
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 Жыл бұрын
Kwani wao kama serikali hawayajui yote hayo mnayojadili au ndo kupotezeana muda tu😂😂 Porojo nyingii utekelezaji haupo. Fanye mabadiliko ya kweli kwenye Katiba ili kusiwe na swala la utashi wa mtu mmoja kutekeleza au kutotekeleza
@freymuch7112
@freymuch7112 Жыл бұрын
Waende Kigoma,Kagera na mikoa ya mipakan wageni wanaingia na silaha,ukimkuta MSOMALI kama wewe ni Lele mama imekula kwako,Hawaoni haja ya kuongezea nguvu Immigration badala ya hicho wanachodai kuondoa taswira ya jeshi?Uhamiaji kama sio uzalendo wao Magaidi wangeingizwa wengi mno Tusiwabeze
@MakameAbdallah-wn3hc
@MakameAbdallah-wn3hc Жыл бұрын
unafiki ndio mchawi wetu mkubwa viongozi na wananchi tukiacha unafiki mambo yote yatakaa sawa.
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 13 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 16 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,5 МЛН
UTAPENDA: MBWEMBWE ZA MAGUFULI AKIKAGUA GWARIDE SHEREHE ZA UHURU MWANZA
12:00
Global TV Online
Рет қаралды 1,1 МЛН
Ijue sheria ya mfumo wa haki jinai nchini Tanzania
26:53
ITV Tanzania
Рет қаралды 4,4 М.
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 13 МЛН