Nitakukumbuka daima JPM , hakika niliupenda sana uongozi wako kwangu mimi nasema we ni rais bora sana kuwahi kutokea hapa Tanzania ! Hatuna budi zaidi ya kumshukuru mungu tu
@scolabahame22143 жыл бұрын
Dah wangapi wamekuja hapa baada ya kufaliki rais wetu 😭😭
@salmaluhombero84663 жыл бұрын
Siamini mpaka leo kazi ya mungu haina makosa
@scolabahame22143 жыл бұрын
Inauma Jamani dah
@evflorasoledad14373 жыл бұрын
Ni uchungu ila inabidi tukubali ameondoka usoni mwa dunia, may his soul RIP.
@heyumi23403 жыл бұрын
😭😭😭🥺🥺
@ignaciohugo13343 жыл бұрын
i know Im asking randomly but does anybody know a tool to get back into an instagram account? I stupidly forgot my login password. I appreciate any help you can give me.
@hamidaalhabsi85684 жыл бұрын
Mungu akupe afya njema Rais Makufuli uinyanyue tanzania iyonekane kama inchi nyingine yaarabi. 🤲🤲 Nimezaliwa tanzania nimesoma tanzania ingawa wazazi wangu NI waarabu nasasa niko KWA wazazi wangu Oman bado nasema tanzania NI KWA mabibi nzangu tanzania hoyeeeeeee NA chama cha ccm kindumu👍👍💕💕💕💕
@victorguapo78273 жыл бұрын
Asee jaman
@evelynebwire76843 жыл бұрын
Sikujua Kama nilikuwa nakupenda kiasi hiki, kila ninapokuona najikuta ninalia nashindwa kujizuia, Lala kwa amani Rais wetu mpenzi watanzania tutaendelea kukupenda baba, pumzika kwa amani, vijana tutakuenzi kwa kufanya kazi kwa bidii
@quenelizabeth71383 жыл бұрын
Kweliii kabisaaa daaaaah
@eutropiagabone11803 жыл бұрын
Hakika
@masatumtani15882 жыл бұрын
Acha tu huyu baba kajua kutuliza
@jamesmagumba63705 жыл бұрын
Wooow That is my president may god protect you and give you more Wisdom to lead and guide and protect our motherland Tanzania!! Mungu Ibariki Tanzania
@zawadichalale40474 жыл бұрын
Nakupenda sana Rais wangu John Pombe Magufuli MUNGU akupe afya njema maisha marefu wewe pamoja na familia yako ubarikiwe sana kwa moyo wako wa uzalendo na upendo WA kweli kwa wananchi wako bila ubaguzi wa kisiasa kidini wala kikabila
@deogratiuskweka84883 жыл бұрын
He has lived his life fully in a great way for his country! Tuliobaki tumejifunza sana! Kwa yote hayo tuna mshukuru Mungu!
@dynesjohn19863 жыл бұрын
RIP mwamba
@carolinemugoli11403 жыл бұрын
😭😭😭😭 Nenda baba weye nenda tu, kaongoze wa malaika Mbinguni kwa baba RIP dady I will love you forever
@jacksonsolomon19483 жыл бұрын
Tutakuezi
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
@@jacksonsolomon1948 kabisa
@hassanmfaume45222 жыл бұрын
Msitushirikishe kufru zenu tafadhali..!
@farajastudioandstationery57983 жыл бұрын
Dah! Nmemis sana Magufuli wetu mie! Basi tu... Eeeh Mungu muweke mahali pema peponi kiongozi wetu mashuhuri, jasiri asiyejikweza, Mwenye mapenzi na nchi yake, mzalendo na mtetezi wa Wanyonge
@eliathomas84463 жыл бұрын
Sijawah mpenda mtu Kama nilivyompenda. Huyu
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Yaani ata mtu kuongea mengi unaogopa kuogopa kukufuru Sana alikuwa na chita ya ajabu,alafu kinachotuuma alituonesha Tanzania sio masikini elaipo,miaka 5 Tanzania imebadirika, Dodoma imependeza ,wengine walikuwa wafungua mibank nje ya nchi kuficha ela wanaichi,nchi inanuka lakini yeye ametuonjesha,wengine tuko mbali atuli kulia tu,mda mwengine nasema angemfikishia miaka kama ya mkapa,huyu baba ameniumi kama nilivyo kafiwa na wazazi wangu wote wawili, mtoto wangu alifia tumboni Sina tena mtoto leo baba yetu inauma,tuko nchi zawaru tulikuwa wanatuheshimu kumogopa yeye sasa leo atapatikana kweli kama huyu.
@happynessmsele36383 жыл бұрын
Yani weacha tu tulimpenda sana rais wetu ila mwenyez mung kampenda zaidi hatuna jinsi nikumwombea 2
@gracejulius39663 жыл бұрын
Same to Me . Am so confused
@hemednassour47633 жыл бұрын
umempita mpenzi wako kwa upendo
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Mie mwenyewe nashangaa kifo chake kimeniuma Sana mpaka Leo hi mwaya 😭😭😭
@tayomediakusinia4 жыл бұрын
Golden state, golden Man never made twice, Mwamba wa Tanzania,,,asant MUNGU.
@joanatemo18585 жыл бұрын
Rais mchapa kazi nampenda sana mwaminifu hapendi ufisadi,anawajali wanyonge..huku kwetu ni ufisadi tu.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@steveswakei96005 жыл бұрын
Kwenyu ni wapi? Mtu aitwaye lutu ama ruto wa kwenu huyo kweli?
@ummybabe16005 жыл бұрын
@@steveswakei9600 hahaa 😹 😹 😹
@evansmlalo40495 жыл бұрын
Sasa wewe hauijui Tanzania. Magufuli ni Fisadi sana haujui tu. Uliona wapi Rais anafanya manunuzi ya mali za umma hata Waziri wa fedha na wabunge hawajui ha ha ha ha. Aliwakuta Watanzania ni wapole na elimu yao Duni sana. Hata Rais wa Marekani hafanyi purchasing ya Mali ya Umma. Mwishi tulichelewa kujua hizi sherehe zinafanyikia kwenye miamba tungeshamaliza kazi.
@ahmedibrahim-bg2uz5 жыл бұрын
Jomba kwenu wapi CCM Chama Cha Matapeli huku Kuna super super corruption
@jameskanai10115 жыл бұрын
I actually dont know whether to laugh or cry...
@johnsonmeduwa6634 Жыл бұрын
The best president Africa has ever had
@ibrahimjumu29683 жыл бұрын
I love this ceremony. Great leader ever RIP . Never forgotten
@metrinemetrine34493 жыл бұрын
Alikua wa kipekee Rais maghufuli pumzika baba God has already given you the crown
@rjkadelo63155 жыл бұрын
Tz mfano baran Africa like zenu jmn
@petermarua13755 жыл бұрын
Ur just stupid asking for likes are u fightin self confidence
@abdulahiramadhan20004 жыл бұрын
Ubora uko wapi hapo sasa ukilinganisha ara na Burundi are more advance and exemplary to many. ..
@nawihadj66744 жыл бұрын
@@abdulahiramadhan2000 ww unatakaa boraa gan zaid ya amani kobe ww
@wizydeko14963 жыл бұрын
Kweli
@ezekielmburu34183 жыл бұрын
Kama jeshi lenu wanavaa mavazi yenye rangi white,red ambazo hazimo kwa bedera yenu, what flag do your forces defend
@peterwaithaka5764 жыл бұрын
Hakuna rais ninayempenda duniani Kama magufuli
@noelandrealucas340Ай бұрын
God bless him always 🙏 mioyo ya tanzania bado tunauzunika sana kumpoteza shujaa wetu
@marykingi303 жыл бұрын
Machoni umetuondokea moyoni utabaki milele😭😭😭💔💔
@maikomaneno6393 жыл бұрын
Ee Mungu baba ilaze roho ya rais wetu magufuli mahali pema peponi amina na tujaalie aje raisi mwengine kama huyu tanzania tunakuomba baba Mungu amina
@jocentmakule38614 жыл бұрын
Nampenda Rais wangu Mungu ampe maisha maref na hekima kubwa alio nayo ya kuliongoza Taifa hilli kwa maadili ya dini zote
@mekajamtv96035 жыл бұрын
Wanaosubiria uteleze watasur sana,big up our prezda
@melkizedekiwiliam55335 жыл бұрын
Halo! Kweli eatasubiri sana tu.
@melkizedekiwiliam55335 жыл бұрын
Halo! Kweli na watasubir sana tu
@salmaismail23635 жыл бұрын
😊😊
@johnplacid88855 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mi mwenye w niliwaza hilo bt nakuambuka shamba kwenekuhesabu hekari oyoooooo 🏃🏃
@janethjustin52565 жыл бұрын
Haki tena hahahhaa
@christinamsuya88573 жыл бұрын
Baba umelala ,aah! Kwel hatutakuona tena hapa dunian nenda baba😭😭😭😭😭
@estarjuma79835 жыл бұрын
Naipenda Tanzania 🇹🇿 yang ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@stevenmaketa80515 жыл бұрын
Aaaana kiongozz
@josephmuchiri31803 жыл бұрын
Daaaaa?siamini nampenda sana GENERALY MAGUFURI
@twaliathandrea66103 жыл бұрын
😭😭😭😭imetuuma kwa mtu wa fraha wa ukweli mkakamavu,jasiri,mwenye mapenzi kwetu. Ila kazi yamungu haina makosa. Amepumzika mwanaume. Dunia imejifunza kitu kutoka kwake
@bellbell92945 жыл бұрын
Rais wetu huyooo hongera Sana Rais wawanyonge mungu akubariki Sana shukraan kwa wote mlioko uwanja wa CCM kilumba
@iviejustified81095 жыл бұрын
Mkuu wa majeshi Mabeyo Smart saana.... Amenifurahisha alivyoeenda ku synchronize steps za sir President.... Awesomeness
@steveswakei96005 жыл бұрын
Wewe, hivyo ndivyo wewe huzungumza pia?
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
son of Suzana and Joseph Magufuli! salute!!!
@jaffarkhamis10615 жыл бұрын
Penda sana raisiiiii wa mimi mungu mbariki raisi wetu mungu inabariki Tanzania yetu hadiiiii rahaaaa ett
@raphazardmartin93683 ай бұрын
Raisi Pekee Mzalendo tuliyewahi kumpata Toka Mwl. Nyerere
@eliajoseph68654 жыл бұрын
Nampenda raisi wangu Nani atavaa kiatu chake EE MUNGU mjalie afya njema J J POMBE MAGUFULI
@abduljussa1144 жыл бұрын
Mi
@zakiarashed1443 жыл бұрын
Walah inauma sana
@ridilumuluabo26563 жыл бұрын
Je suis de la Rdc et je pleure Jhon Magufuli. c'est un grand homme que l'afrique a perdu...💪
@raissafabien42853 жыл бұрын
Et moi aussi. Nous perdons second thomas sankala. Les africais doivent de chercher l indépendance totale
@saumuhassan63653 жыл бұрын
Rest In peace Rais wetu, Allah akupumzishe kwa Amani 👏
@kaicy1653 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU ailaze roho yako katika amani ya milele kwenye mkono wake wa kuume,mimi nitakupenda daima rais wangu.
@sheiykingtv37133 жыл бұрын
Rip Jembe la kazi..... We shall live to remember your tremendous work for Tanzania
@oninaalay7167 Жыл бұрын
Asante jenerali mabeo kwa ukakamavu uliotukuka na apumzike kwa amani rais wetu JPM 😢😢😢 😢
@elizabethbwakila60783 жыл бұрын
Baba weweeee mbona umetuweza wenzio😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭ahhhh RIP.
@magdalenapeter4193 жыл бұрын
Yaani katukomoa mbonaaa.
@fahamnnikelewa63893 жыл бұрын
Yaani huwezi Amin mbona tumeumbuka jamn
@mariamuselemani1535 жыл бұрын
Penda Sana rais magufuli penda Sana nnchi yangu Tanzania mungu atuhifadhi tuwe na upendo daima
@nillankhan32214 жыл бұрын
Mariamu Selemani amina
@bethuelkiprono61394 жыл бұрын
oflate I admired Magufuli and Tanzanian life but with this parade KENYA has a very beautiful one. alot mistakes as compared to the one for KDF but it's good it has involved other security forces in Kenya it is kdf only. anyway ni TZ
@clementhiddi14863 жыл бұрын
Dah lala in Peace baba wa taifa na rais shupavu wa Tanzania. Ninakukumbuka sana. Nchi sasa doesn't look the same.
@ashantisamuel16855 жыл бұрын
Rais Magifuli tunajivumia uwepo wako, tunatamani utuongoze milele😊
@makoyenyerere65212 жыл бұрын
Tutakukumbuka Ndugu Yetu 🙏😭🙆😭😭😭😭
@estermathias83543 жыл бұрын
Hahaaaaa nenda tu baba yangu nitakupenda daima💔💔😭ulikua na roho saf wanaokuchukia ni vyeti feki na mafisad hata ss tunajua
@mosesjames36275 жыл бұрын
Rais mkakamavu maamuzi makakamavu vijana wakakamavu ..safi sana
@elishaworkout61165 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 umenfrahisha sana
@jocentmakule38614 жыл бұрын
Nipende kutoa pole kwa wana was Burundi kwa kumpoteza President Pierre Mungu awape wepesi
@SDM2024-z4s2 жыл бұрын
Once upon time in Tanzania
@giovanyke3 жыл бұрын
LALA salama mheshima Rais
@jamilaomariomari83283 жыл бұрын
We shall miss u indeed u were avery great man😭😭😭😭
@okamasnr48913 жыл бұрын
This guy was so simple indeed...Hakuna story ya red-capert
@ssjuma4 жыл бұрын
I really likes him, much love Mr. President Magufuli
@hyasintndimbo29983 жыл бұрын
😭😭😭 R.I.P BABA YETU
@sarahyvonne45803 жыл бұрын
He dd nt die,he wl be back on friday
@isaacsimi37115 жыл бұрын
Napenda Tanzania sana....Mungu awabariki sana🙏🙏🙏
@meshacknassary33944 жыл бұрын
Kama umesikia kanali luteni nassary naomba like😀😀
@paulichalamila9693 жыл бұрын
Kyamuuma
@nureyna6293 жыл бұрын
17.03.2021 will always be remembered.
@dicksonulotu742722 күн бұрын
Dah utafikiri bado tupo pamoja katika mwili kumbe hatupo pamoja, R.i.p Magu
@jombilozoo3 жыл бұрын
CHUMA KIMESEPA DAAH
@pendooscar93223 жыл бұрын
yaan ww acha dunia hii apana
@dottomwakitalu63663 жыл бұрын
@@pendooscar9322u
@amaninaupendo.35395 жыл бұрын
Amen Amen. Mungu atupe upendo na amani na mshikamano was kweli. Amen.
@loukaskampouropoulos57005 жыл бұрын
Μπράβο πρόεδρε ο Θεός να σε έχει καλά .,Έκανες την Τανζανία κράτος συγχαρητήρια.
@mysoulvideos80505 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli, nakupenda kwa kazi yako Tanzania nikiwa Kenya!!!!
@leanahbusanga82723 жыл бұрын
Dah unauma 😭😭😭😭😭 rip baba
@frankmbiri83214 жыл бұрын
Very clear and concise
@estherkimario79403 жыл бұрын
Chuma kimeenda aisee 💔💔💔💔😭
@lazarosilayo69185 жыл бұрын
Wanausalama mpaka kwenye mistari ya kukaguliwa gwaride na nyieee mpooo,.. Eeeh!! 🙄,.. Big up Mh. Presdent, Magufuli🙏
@frenkienosi97615 жыл бұрын
Naipnda Tanzania
@janethjustin52565 жыл бұрын
Hatari fire hahahah
@asantekwahuuwimbozubeda8734 жыл бұрын
Rais magufuli nakupenda sana kwa uwaminifu wako duniani na utakuwa mwaminifu hata mbinguni
@asantekwahuuwimbozubeda8734 жыл бұрын
Naipenda Tanzania nchi yangu mungu azidi kuibariki na viongozi wetu
@mwanawevhudangwe77723 жыл бұрын
there will never be another Magufuli for Africa, will miss this man forever
@ezekielmburu34183 жыл бұрын
Mwai kibaki, the best president ever
@essauphilimen6674 жыл бұрын
Nakupendaa Sanaa Raisi we2
@evelinamatete74743 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima R I P JPM
@agastokissatu26672 жыл бұрын
....sawa magufuli,kwa hiyo uliamua tuu,uondoke wakati tunakuhitaji,poa magu,pumzika brother....!!😭😭😭
@judicamunisi30255 жыл бұрын
Magufuli is the best president in Africa Uishi milele JPM
@fadhiliakida86095 жыл бұрын
Proud of my country
@jessicarasigu22203 жыл бұрын
Kwaukweli aliyemtoa Uyu Raisi wa Tz wanyonge uhai,je anaziona izi video zinazotutoa machozi😭😭😭😭😭😭😭 siye watanzania wanyoge!!!!!!!hakika JPM katutoka machoni mwetu 😭😭😭😭😭😭 Ila rohoni zetu ataishi Daima, 😭 Magufuli 😭 Magufuli mahakama Pumzika kwa Amani Raisi wetu kipenzi cha Watanzania
@elizabethjulius3 жыл бұрын
We really miss you daddy 😭😭😭😭😭😭
@jackjoshua36663 жыл бұрын
Nafurahi kuangalia hapa lakini maumivu ni makali kumbe haupo Tena pumzika xalama baba💔💔😭😭😭
@African511 Жыл бұрын
Jpm ni mwanaume na nusu bado tunaishi nae kiimani,viva jpm bado uko moyoni gonga tano na ww kama bado unaendelea kumkubali Chuma.
@glorykamasho18763 жыл бұрын
Daah!! Tutakukumbuka sana Magufuli😭😭
@StilianDaniel5 ай бұрын
Yaan alaaniwe navizazi vyake vyoote aliechangia tatizo kwa huyu raisi wa maisha ya watanzania
@fahadsaid96163 жыл бұрын
I am going to miss you my president 💔
@emjay10163 жыл бұрын
Fahad mwanasheria hujambo
@mussanachingulu8233 жыл бұрын
CHUMA...CHUMA...CHUMA... R.I.P mchora ramani wa pili wa Tanzania....
@bensonleeshunia10472 жыл бұрын
Hallelujah brother
@ersimon96895 жыл бұрын
He was just happy the gruesome boring march is finally over
@sophiakasana29375 жыл бұрын
Penda sana Raisi wangu wa Tz
@jamessilwamba28624 жыл бұрын
mchapa kazi God bless him
@hadikastro51545 жыл бұрын
Aman full of wisdom and knowledge
@rehemajoshua20225 жыл бұрын
Big up Sana Rais Wangu, barikiwa Sana.
@newbornhaule3 ай бұрын
Nilikupenda sana JPM kiukweli siwezi kukusahau
@josephgomalo412 күн бұрын
Bado sijaamini umeenda Mzee wangu.. MAGUFULI.. We miss you baba..!
@mirajiathumani822111 ай бұрын
Mungu mlaze mahala pema peponi jembe letu magufuli siku Moja tutaonana
@jacktonlazarus25575 жыл бұрын
Uyo komanda kweli aje Kenya afunzwe drill
@hassanwanje73734 жыл бұрын
Kabisa
@nyarurui784 жыл бұрын
He sounds timid and looks frail this was Kenya in 1966
@osm7214 жыл бұрын
I saw this and felt pity for them
@annikhaoya4704 жыл бұрын
Kenya yetu mambo fine🤣👍
@richardmshindi27024 жыл бұрын
Iko nini mbaya na nyinyi mko na wivu ama
@emilydavidmdoe35525 жыл бұрын
Sisi tuliosoma enzi za mwl jeshi lilitusaidia kuwa wakakamavu. hongera sana mh Rais uko vizuri.
@deborangowo46263 жыл бұрын
Nalia kila nikaangalia video zako lkn huwa inanilazm kuangalia maana nakumc my President nitakupenda nakuombea mungu akupe pumzko jema
@cmpacomplex79813 жыл бұрын
You will forever live in people's hurt Our Honorable President John Pombe Magufuli. Rest in Paradise Papa, we are coming for you.
@sarahyvonne45803 жыл бұрын
Bt we need to see him back on friday
@cmpacomplex79813 жыл бұрын
@@sarahyvonne4580 😥
@cmpacomplex79813 жыл бұрын
@@sarahyvonne4580 his spirit lives in Pres. Samia Suluhu, his excellency will live forever
@fadhilplatnumz62095 жыл бұрын
Good- Prezidar wetu Tunampenda saana kwakweli Shikamoo Mkuu
@hassanjomaa23135 жыл бұрын
Mbowe mtasubiri sana
@cholowao5 жыл бұрын
Bado wanasubiri kumbe haha
@paulmukopi20894 жыл бұрын
So far, nobody has done it like president Moi
@تاتوجمعه3 жыл бұрын
RIP 😭😭pumzika kwa aman baba etyu kipenzi
@hawamohamedy19143 жыл бұрын
Ningumu kukusahau ,naumia sana
@nikumwalemba48415 жыл бұрын
Tanzania yetu, Mungu Ahsante kwa Baraka zako ndani ya nchi yetu
@paulkanathi43654 жыл бұрын
we welcome you here Kenya for training .
@zainababdullsadik12473 жыл бұрын
Daaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭
@naturelle10973 жыл бұрын
Mbona uwanja umejaa matope.. Mungu akupendelee huko alikokupeleka upumzike kwa furaha, kwa kweli dunia nzima is mourning!