Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. @StraightPathDawah ni dawah popote wakati wowote.
Пікірлер: 120
@ramakira7895Ай бұрын
Maashaalh hapa tunanena kwa lugha mw mungu awape afya njema kwa wote KARIBUN ŹANZIBAR TUNAWAPENDA SAANA🙏🙏🙏🤲👏🇹🇿
@Mohamed-u7h6cАй бұрын
Allahuma barik, May Allah bless you sheikh for the good work, guys donate, let's build masjid for the new Muslims,pay any amount, wallahi it will not decrease your wealth
@rehemaathhmani357Ай бұрын
Mashaallah ❤🤲 Ramadhan Allah akulinde na Akupe umri mrefu nina kufatilia nikiwa hapa Uk 🇬🇧 unafanya kazi Ya Allah ❤🤲
Masha Allah twawaombea ndugu zetu kheri na walimu wetu wa straight path daawah MUNGU awajaze Iman na nguvu ya kuueneza uisilam kila mahali, tuko pamoja nanyi lnsha Allah
@SarhaSaidАй бұрын
Mashaallah mashaallah Allah akuzidishie shekhe wetu Ramadhani
@mummysu4772Ай бұрын
Mashallah allah awalipe kila la kheir duniani na akhera amin
@jumashobaa4455Ай бұрын
Kazi nzuri sana Allah awafanyie wepesi kwa kazi hiyo
@RossaMengoАй бұрын
MA SHA ALLAH TABARAKA ALLAH...ALLAH awazidishie wote na muhusika mkuu sheikh Ramadhan...kheir kwakila jambo
@faridahalwaily85Ай бұрын
Mwenyezimngu Awapee jannah zenu na waooo Allaah Awaongozeeeee wajuwee zaidy dini ya hakiii na kuzidii kueeelermikaaa…hakunaa dini ya hakiii ipasayoo kuabudiwaaa elaaaa mwenyezimngu …
@suleimankira9195Ай бұрын
Assalamu aleykum mashaallah mashaallah mmi na ona kunahaja kubwa uchagia chochote ulicho nacho ili kuwa rahishia kazi kujenga masijid madirasa kulipa mausth
@salmaminja7714Ай бұрын
Mashallah Uctadh pmj na Yesu kazi nzrr binafc mie nafarijika kwa juhud zenu. Allah awajalie afya njma mzid kuipambania dini yetu tukufu. Malipo ni makubwa dunian nakesho Akhera.Allahumma Amiiyn.
@NaimaAbdi-f6pАй бұрын
MashaAllah tabarakaAllah kazi nzuri Masheikh zetu malipo yenu iko kwa Allah InshaAllah ❤
@adamusama7917Ай бұрын
Mashallah tabarakaallah Allah awalipe siku ya qiyama inshallah ustadh wetu
@abdiidaawah-yv9bgАй бұрын
MASHAALLAH WALLAHI KAZI MNAYOFANYA NI KAZI KUBWA ALLAH AWALIPE KILA LA KHERI NA AWAFURAHISHE NA JANNAH
@AbshaaAliАй бұрын
Allau Akbar !! Nafuata kitendo wenu kizuri !! Kutoka mandera county nabenda sana kushirikiana nyinyi hasa! Sheikh wetu Ramadan mungu abarikiwe sisi wote ❤❤
@ggv866Ай бұрын
Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh
@FatmaKombo-s2oАй бұрын
Asalamu aleikum kaka nikitaka kukutumiya nguo na vitabiunitume kwa no hii Kisha niandikemji gani in Sha allah nasubiri jibu
@PasserbyMan-ju8kyАй бұрын
Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar!
@zainabkhamis107Ай бұрын
Mashallah Mashallah, mungu awabarik nyote
@rizikiali328Ай бұрын
Mabruk sheikh Ramadhan Allah akulipe wewe Na msheikh ulio andamana nao
@AyubuIkakuАй бұрын
Allah akbar. Allah awajaalie kila la kheri
@MohamedSommoАй бұрын
MASHA'ALLAH my brother... ALLAH ATUFANYIE WEPESI SOTE. tutasaidiana hapa....
@KhamisJuma-ni1vkАй бұрын
Alhamdhulilah Allah Nikubwa. Kwa Kila Jambo
@AhmadSuleiman-e9sАй бұрын
Maasha Allah. Allah awabariki Wote Inshaallah.
@abubakarhassan-kq2rhАй бұрын
Dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ni uislamu Q (3:19)
@gakobwaadija7949Ай бұрын
Masha Allah Allah Akbar
@FvhffhjifjkztkzmgАй бұрын
Masha alaah alahu akbar kabiiraa alhamdu lilaah
@MwakachitaphiАй бұрын
Mashaallah sheikh Allah akujalie afya njema na akuzidishie umri na akufanyie wepesi ktk Kila hatua
@Nora-v1m3pАй бұрын
Allah àwaogoze wote . amiin
@raniahmamu2586Ай бұрын
Masha'Allah ❤❤❤❤👍 good Job for team straight path daawah ❤❤❤❤
@MohamedMoha0029Ай бұрын
Mungu a kuzidishia ndugu yangu Ramadan kuria
@MohamedAdan-h6yАй бұрын
Mashaalah tabarakala❤❤
@AssdfAssd-g3yАй бұрын
Mashallah mashallah Allah awajaalie afya njema na awaepushie shari popote muendapo Mwenyezi Mungu awe nanyi🤲🤲🤲🤲🤲🤲Allah barik Kila muislamu alienamoyo wakutoa kwa ajili yko na uwazidishie kile walichonacho zaidi🤲🤲🤲🤲
@aminaadanaminaadan1359Ай бұрын
Ma shaa Allah tabaraka rahman.... takbiir allahu akbar
@SadricAjjamАй бұрын
Allah aqbar
@AbdallahMatola-c3yАй бұрын
MAONIYANGU BAADA YA KUJENGWA MSIKITI PAWEKWE NA MADUKA KUWA MRADI WA MSIKITI
@bacteria5184Ай бұрын
Allahu akbar
@AbdishakurharunАй бұрын
Mnshallah
@SabraAbdilnasirАй бұрын
Mashaallah ❤
@marineroDesspanaАй бұрын
Allah Akbar
@bentybenty2343Ай бұрын
Masha ALLAH ❤ ♥ ❤ 🎉
@fatumaadan-n7dАй бұрын
Mashalah tabaarakaAllah
@jimjam-xg7rvАй бұрын
MASHA ALLAH 💚💚💚
@hawaramadhan7437Ай бұрын
Ma shaa Allah tabarakah llah ❤
@harunmuriiki8011Ай бұрын
MashaAllah
@swidiqrajab4519Ай бұрын
Mashaa Allah Taba'raka Arrahma'nبارك الله لكم جميعا والله يجزيكم الخير وتقبل الله طاعتكم
@samataraxmed3318Ай бұрын
Masha allaah
@NajmaSeif-f3wАй бұрын
Mashallah 🎉❤
@hafizmohamedomarАй бұрын
Masha Allah.....may Allah reward u
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
MashaAllah😭😭😭😭Allahu Akbaru
@noot-oe2mwАй бұрын
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏
@morallyifyАй бұрын
Maashallah
@AbdallahSaid-lp7cr26 күн бұрын
Mashaallah Ramadhani
@mohamedS-yd9whАй бұрын
Allah ndiye muweza mwenye nguvu. Tunamuomba awazidishie heri, baraka, maarifa, hekma na busara wote ninyi katika straight path da'awa, juhudi zenu Allah awalipe hapa duniani na kesho ahera. ila shekh naomba nikuulize yule mzee anajiita yehova ambae anaonekana mwanzo wa kipindi amevaa kanzu ya njano, jee alisilimu au bado?
@abdijelle3952Ай бұрын
Mashaalah kazi mzuri
@faridahalwaily85Ай бұрын
Dini ya kweli hawadanganyii ni kuamini mungu ni mmojaa hakuzaa walaa hakuzaliwaa na Muhammed ni mtume na issa ni mtume na Musa ni mtume na daud nimtume na nouh ni mtume .naWatume wotee ni wa Tume wa mwenyezimngu…
@NathanielNathan-m4oАй бұрын
Takiyya ni nini kiislamu kama kweli wewe waelewa Uislam? Halafu mbona mnapogia debe mohamed sana? Si mpee watu Quran na hadith wasome wenyewe watakua ukweli na uongo badala ya kulazimisha?
@alyumaraosАй бұрын
@@NathanielNathan-m4oww hujielew inaonyesha ndo maana nyinyi hamfundiswi bibilia kwa hivyo munasoma munavyo taka nyinyi?
@NathanielNathan-m4oАй бұрын
@@alyumaraos Kwani ukisoma mwenyewe maandisho na kuelewa kwako kitabadilika? Acha uvivu,niambie takiyya ni nini ama kama hujui sema sijui
@abdulJambeАй бұрын
Masha allah
@Zainab-f9w5xАй бұрын
Ma sha Allah
@nakundwamkubwe7823Ай бұрын
Allah Akbar.
@LouAgoro_25425 күн бұрын
Kik ng'ato owondu ni yesu ok en nyasaye,Din mar joislam en Din mar miriambo.Kik uweuru nyasachwa yesu kristo,en e yoo makende ma onge yoo moroamora machielo mopogree kod en.Jowa kik uweuru yesu kristo,lamuru nyasaye mondo omedu geno gi yie kwome,yesu kristo eyoo makende.kik ng'ato owuondu
@abdinasirmohamed2238Ай бұрын
❤👌🙏✋
@SadricAjjamАй бұрын
Sheikh yesu katika salamu tunasalimia. Assalam alykum warahmatullah wabaraqat . N cio "ASSALAM ALYKUM WARAHMATULLAH TAALLA WABARAQAT." Hiyoo TAALLA hamna sheikh yesu
@Kutaila99Ай бұрын
Sasa yeye kaitoa wapi kama haipo
@SadricAjjamАй бұрын
@@Kutaila99 katika mafundishoo y mtume Muhammad (sw) hakufundisha hvyoo
@SalimZahor-y1jАй бұрын
Kwani hii taala maanayake yaani tafsiri yake nini
@SadricAjjamАй бұрын
@@SalimZahor-y1j salamu ambayoo Allah kamfundisha mtume kupitia malaika jibril n kuwa "AMANI IWE JUU YENU,NA REEHEMA Y ALLAH IWE JUU YENU, NA BARAKA ZAK3 ZIWASHUKIE. Hioo n duwaa kubwa ambayoo waislamu ambayoo ndioo maamkiz tunasalimiana na cio kinyume n hvyoo
@dawud6065Ай бұрын
@@SadricAjjam Akhy awla ni kusema السلام عليكم ورحمة الله و بركاته ndivyo ilivyopokelewa katika Sunnah Ama kuongeza neno "Ta'ala" katika Salaam hakuna ubaya sabab "Ta'ala" ni attribute ya Allah Azza wa Jall.
@zainabumartin9520Ай бұрын
Tunawa ombea ma ostazi wetu wanao enda kuusambaza usilamu
@alyumaraosАй бұрын
A alaikum sheikh naomba pia uwakumbushe kuwa wanawake wasinyoe nywele
@BintalliMbakuhaАй бұрын
Shekh usiweukasahau kuwaambia nawewe vile ulikuaga mukristoq
@JeanMuzaliwa-bs6qhАй бұрын
pole sana ivo na ww unajiona upo salama kuwa muislamu?shida kweli kweli biblia naikubali 1000% maana akuna kilicho tabiriwa na biblia akitimiyi!
@JeanMuzaliwa-bs6qhАй бұрын
wazidi tu kusilimu ila siku zinakuja watajuta wenyewe ni heri kubaki bila dini kuliko kuwa muislamu!
@alyumaraosАй бұрын
Chuki zimejaaa ktk kifua chako kwaiyo kufa kwa chuki zako.
@JeanMuzaliwa-bs6qhАй бұрын
@@alyumaraos akuna cha chuki apa uo ndio ukweli wa maneno Muhammad ajatumwa na Mungu sasa itakuwaje lslam iwe dini ya Mungu?
@SaidMgeniАй бұрын
إن تنسىر الله ينسركم
@kamanjamwenjerwa7032Ай бұрын
NYUMBA YA SHETANI ANAYEITWA ALLAH
@footballupdatesfunnymemesv6843Ай бұрын
Wandanganye kabisa
@HisMajesty64Ай бұрын
Mkamba😅
@Khalidmwangwai4651Ай бұрын
wewe ndio uko kwa uongo
@AyubuIkakuАй бұрын
Una uthibitisho gani kwamba wanadanganywa?
@sirsalimaliАй бұрын
Allah ata kupatia hikima na elimu
@KingMido-v4uАй бұрын
Jiulize kitu kimoja tu ...wewe binafsi umewahi changia pesa kanisa yenye iko rwanda ijengwe? Obvious huwezi coz unajuwa ni mbali na sio kanisa yako na haiwezi kufaidi na lolote..sasa rudi kwa waisilamu...all over the world kila mwenye atapata huu ujumbe utaona atachangia bila kujali kuwa yeye hata hakuna siku atawahi kufika kwenye huo msikiti but anajuwa maana yake ni gani...nadhani umeskia mwalimu akisema ukimjengea Mungu nyumba hapa duniani yeye atakujengea yako huko peponi...akili kichwani mtu wangu ..toka kwenye giza
@bashirmahero7021Ай бұрын
Kanisa 😂 bomoabomoa Jenga msikiti ndacha na na bwabwaru weziwe wako wapi 😂😂😂😂 Muhammad taa ya ulimwengu
@NathanielNathan-m4oАй бұрын
Injili inahubiriwa Kwa mitandao yote mpaka kule hawakua wakiruhusu wafuasi wa Yeshua kuhubiri saa hii ujumbe wako nao kupitia Kwa simu💪🙏
@LouAgoro_25425 күн бұрын
Joislam gin jojuogi,gitio to kendo gigeno ne majin.jogo ok gin jomabeyo.Kik udonj e din mar jogo.
@Clipalert-ft2vjАй бұрын
mimi nitamfuata mungu wa elijah kwasababu bibilia ndio sahihi na nina uthibitisho huo maana inasema nyakati za mwisho mungu atamtuma Elijah kuandandaa njia kabla ya kuja kwake messiah na imetimia elija na moses wako duniani saa hii kuandaa njia akuna vile mtu atanidanganya kufuata miungu
@KingMido-v4uАй бұрын
Wala hakuna mtu amekwambia uwe muslim..nadhani umeskia mwalimu akifunza hapo akisema hii dini hakuna mwenye analazimishwa kuingia but unaekewa tu ukweli uko wazi na uwongo uko wazi then the choice is yours..coz we unadhani kuna mtu atapata faida kwa ajili ya wewe kujiunga na dini ya uisilamu..? LA hasha...ukiingia usiingie bado islam itabaki kuwa dini ya haki tu..