Asante askofu kwa elimu yako nimepata na nimeridhika na ufafanuzi wako
@willymshana43473 жыл бұрын
Barikiwa Sana mwalimu
@bibletv98183 жыл бұрын
Hongera Rabi, mimi ni mwanafunzi mwuliza maswali hapo ESBC, Melksedeck
@francisjoseph10743 жыл бұрын
Mtumishi hongera sana unajibu maswali kwa akili kubwa cijawahi kuona mtu kama wewe kweli wewe ni mtumishi wa mungu huchanganyi mambo umesimamia katika msitari na imani ya bible yani unanifanya nikufuatilie sana maana unavitu vingi nilikua siwaamini wachungaji kabisa ila wewe umenitoa gizani natamani kua kama wewe mungu akubariki sana
@mussalwaho91203 жыл бұрын
Ndugu yangu nilipenda sana kusikia clips zako lakini kwa hili umefeli.
@bibletv98183 жыл бұрын
Kafeli eneo lipi? Ainisha
@happysiwakamil19703 жыл бұрын
Mchungaji mi natafuta somo lako la sanduku la agano lilipotelea wapi
@mussalwaho91203 жыл бұрын
Swala la chanjo ya covid-19 ni swala la rohoni mtumishi naomba tusilichukulie wepesi tu na kuwaambia watu waende wakachanje. Ndio maana kuna ndio na laa