Ni Lissu tu kw sasa na Heche hawa ni watu seriously
@carlosyona872910 сағат бұрын
Lissu for rever and ever
@FadhilVuaa12 сағат бұрын
Tupo na lissu
@MichaelMgudula3 сағат бұрын
Tunaenda nalisu
@HusenYusuph8 сағат бұрын
uyu Jama ana akili nyingi sana
@robinilomo288712 сағат бұрын
Kanyooka sana Mwamba na yupo na akili nyingi
@sufianngellah629712 сағат бұрын
Very very smart guy
@AbdullahAhmed-t7p6l13 сағат бұрын
If tundulisu win chadema election chadema is lntact but if freeman mbowe win chadema election end of chadema political party even if freeman mbowe left chadema lncass chadema will be end of chadema but if lisu leave chadema will be end of chadema let we predict what we know about Tanzania politics because of chadema national commitee we hope thing will be OK we hope so
@MutulaSafari-y6p12 сағат бұрын
Bbc ninyi waongo sana
@ELIAMbise-sy5ue11 сағат бұрын
Uo moto ingekuwa Tanzania Zima moto wangekuja baada ya saa 12
@vanessastafford6426Сағат бұрын
Hakika mabadiliko ni muhimu
@erickaaya743313 сағат бұрын
Chama kinaaminiwa na kupendwa sana tu
@YohanaSanga-t8d3 сағат бұрын
Niyeye risu
@erickaaya743313 сағат бұрын
Ataondoka na Aibu apungunze kuongea sana
@ELIAMbise-sy5ue11 сағат бұрын
Bilashaka Taifa limeskia haya
@oskamsafiri281413 сағат бұрын
Champ mmwaaa
@MichaelKiuya13 сағат бұрын
AMIDA NAOMBA NAMBA YAKO MAMIIIIIIII
@KamalaBuchwa13 сағат бұрын
Naona iki chama kinaenda kupasuka
@donaldmgunda497013 сағат бұрын
Tumeshafungua, group tutamuadiii,mugabe, musevenii, muboweee, kagameee, lipumba,cheyoo,😅😅😅
@joshuaswai820311 сағат бұрын
Lissu acha upuuzi wako huna hadhi ya kuwa mwenyekiti wa chadema
@onesmoamon34513 сағат бұрын
Lissu umenikumbusha Zitto Alivyoondoka Chadema. :
@scoutpwanimchangani671112 сағат бұрын
Muulize nini Hatma ya Chama chao. Endapo kila mtu atalazimisha kuhombea nafasi hiyo? Pia muulize je nani kati yake na Mhe Mbowe amehamia kwetu?
@festobenn109612 сағат бұрын
Chadema wana akili sana hapo mbowe anataka chadema irudi kweny raman asilimia kubwa amefanikiwa asee ,ccm hii hawaiwezi kabsa