Hii ni Hatari sana Waafrica kuwana Wenyewe kwa wenyewe.
@aabedi54118 күн бұрын
Kuhusu DRC nimeshangaa sana wachambuzi wetu wamejadili kuhusu pande mbili wahusika Rwanda na DRC lakini hamjaongeya kuhusu in'chi zamagaribi ambazo ndizo chanzo chamzozo na machafuko huko kongo DRC
@Achirafialisalimo18 күн бұрын
Sisi atutaki frelimo
@samwelkayanda520418 күн бұрын
Yawezekana wenye ulimwengu wanaichafua Rwanda
@johnsinyinza745018 күн бұрын
Father kitima yametimia kuwafundisha kuiba kura dhabi zote zitamwelekea aliye towa mafunzo ya kiiba kura.namyinyi viongozi wa musumbiji mumekipata mulicho kiomba. Tanzania hatujawahi pigana tulipa uhuru hata mbwa hajawahikufa. Watanzania pia hakuna shule hawakusoma.kusini mwa Akfrika tanzania oli
@mullamtupa911616 күн бұрын
Sio maputo tu nchi nzima mandamano yamachafuko wizi ndoupo kipaumbele
@filbertmsafiri18 күн бұрын
Ama hakika viongozi wa Msumbiji wamekoma kuja kuchukua mbinu za wizi wa kura kutoka Tanzania
@gefreymtalo561316 күн бұрын
Hii vita ya kongo inamaana viongozi wa Africa hawajui ni nani anae sababisha hii vita ? Au wanamuogopa mhusika
@ezekielezekiely847618 күн бұрын
Viva wananchi Msumbiji.watawala wa kijinga.lszima watoweke,hao ni ccm kwa Tz.