MBUNGE ATAKA MFUMO WA AWAMU YA TANO UTUMIKE | "MWIGULU KAMA HUWEZI NIPISHE MIMI"

  Рет қаралды 24,692

TBConline

TBConline

Күн бұрын

Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema kuwa wapigaji wa fedha za umma wamekuwa wengi, na wamejikita kwenye kusifia kuwa 'Mama Anaupiga Mwingi,' lakini kiuhalisia wao ndio wanaoupiga mwingi kwa kuiba fedha za umma.
Amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Serikali na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2024/25 na kuongeza kuwa utaratibu wa kuacha taasisi kukusanya fedha unachochea vitendo vya wizi wa fedha za umma.

Пікірлер: 120
@msafiriomary893
@msafiriomary893 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana ukitaja awamu ya tano wanainchi tunafurahi sana maana hatuna imani na awamu hiii wanatuibia kra kukuchapo na kutukandamiza masikin
@benjaminmwakipesile1743
@benjaminmwakipesile1743 3 ай бұрын
Watanzania tufunguke
@Anza_tz
@Anza_tz 3 ай бұрын
Mbunge kaongea ukweli ukweli ukweli asilimia 1000%
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 3 ай бұрын
Awamu ya “TANO”😊
@GabrielSky64
@GabrielSky64 3 ай бұрын
mbona kwenye awamu ya Tano hawapigi.makofi😅😂😂
@Worldunite
@Worldunite 3 ай бұрын
Kwa sababu "walibanwa"😂😂
@joezeno8
@joezeno8 3 ай бұрын
@@Worldunite🔥👍🏿
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 3 ай бұрын
awamu ya 5 ya malimbukeni na washamba 😅kafie mbele! Mbona mwendazake alipokea gawio la ttcl bilioni 2, wakati ilikua ina deni la b6😊
@Worldunite
@Worldunite 3 ай бұрын
@@Zainabnoor0087-ze kama awamu ya 5 ilikuwa ya washamba na malimubukeni, WEWE ULIKUWA WAPI?
@neemamdami7466
@neemamdami7466 3 ай бұрын
Kwasababu mlikuwa hamli​@@Zainabnoor0087-ze
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 3 ай бұрын
Jamaa anafaa kuwa raisi wetu ana hekima ya mambo ya mbali sana
@user13375
@user13375 3 ай бұрын
Kisema awamu ya 5 kunawanuna sanaaa😮😮😮
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 ай бұрын
Ubabaishaji ni tatizo tuweke viongozi wenye maono ya miaka anghalau miaka 30 au 50 ili tufike mbali vinginevyo tutaishia kuwa watumwa na omba omba mbaka mwisho wetu inakera inakera saaana kwanini sisi tuwe wa kuomba tuuuu miaka yote je hatuna gesi, hatuna ardhi, hatuna nguvu kazi, je hatuna mito,bahari,maziwa, hatuna viongozi, hatuna mikopo inayoweza kututoa tulipo, hatuna miongozo ya nchi kwani shida hasa viongozi wetu!? Sikusoma saaana elimu yangu la saba ila naona kuna sehemu tumefeli
@FurahaMwajeka
@FurahaMwajeka 3 ай бұрын
Ni kweli hasa viongozi wengi kuanzia juu hawwwezi simamia lasilimali nakumbuka sana magu alianza kutujenga sisi ni matajiri tunahitaji kusimamia rasilmali zetu ili tuwe tunatoa misaada nje
@KandidaMtitu
@KandidaMtitu 3 ай бұрын
Mfumo wa kibepali hunufaisha watu wachache sana na wengi huumia hii ni kawaida sana kutokea na tumeyataka wenyewe kuua ujamaa na kujitegemea.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 3 ай бұрын
Umesema kweli wizi uko huko huko juu , badae wanaenda kubinya wananchi ,
@peterdeus6093
@peterdeus6093 3 ай бұрын
Huyo wazir ndo mpigaji unahangsika tu ndo maana hawakusapoti umegusa madilahi ya watu
@MasanjaLucas-jf9cg
@MasanjaLucas-jf9cg 3 ай бұрын
Kweli kamanda...tunapigwa knomaa...
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 ай бұрын
Mtasema tu wapigaji wa sasa haijawahi kutokea tangu kuubwa kwa Tanzania
@PropKibali-f8d
@PropKibali-f8d 3 ай бұрын
Heri wewe japo CCM kwa ujumla mnatuchosha sana. Uchaguzi unakuja mhakikishe mnabaki madarakani wkt hata kusimamia mambo ya nchi mmeshachoka!
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 3 ай бұрын
Hawawezi kutumia mfumo wa magufuli sababu hao wote ni wezi , huyo rais samia hajifunzi tu .huyo mwigulu hafai kabisa hana ufahamu
@SuleimanSalim-ql3ny
@SuleimanSalim-ql3ny 3 ай бұрын
Nataman ata ungekuwa na mfano wako km 10 tu mkamsaidia shangazi yangu ktk hili jukumu la kulinda na kuheshim jasho la wa tz
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 3 ай бұрын
samahani ehuu niambie kuwa nyumba za serikali walichukua pia zonadeni lolipototea lokuwawapi holo deni kivopi mheshomiwa
@rahimhamza557
@rahimhamza557 3 ай бұрын
Naomba niulize, kwan mm mwenyewe ndiyo nashangaa Shabiby anachaguliwa kuwa mbunge? 😢
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 ай бұрын
Bibi kashindwa kazi hoi kabisaa
@rashidyshemkande8099
@rashidyshemkande8099 3 ай бұрын
Waashaanza kumkumbuka magu;😅😅😅😅😅😅😅
@georgesindato5237
@georgesindato5237 3 ай бұрын
Katika wakati wa udanganyifu kusema ukweli ni kitendo cha unamapinduzi hongera sana mheshimiwa ubarikiwe tanzania inahitaji viongozi wa aina yako
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 3 ай бұрын
Tumerudi kinyume nyume baada ya JPM kufariki
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 3 ай бұрын
Nchi imekuwa shamba la bibi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 ай бұрын
Mama Samia atupishe ameshindwa kafeli kabisa
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 ай бұрын
TRA Iondolewe ni ya mwigulu lakin sio ya serikali haya jumaatatu tunagoma sasa wahudumie hao wateja tunao wahudumia sisi kama unaweza
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 3 ай бұрын
Yani hapo kwenye huo mfumo wa kuwarudishia wakusanye Kodi halmashauri na manispas ndo umezidi kutuumiza warudishe TU control Moja ya serikali Hela zote na faini zote zije serikali kuu
@FurahaMwajeka
@FurahaMwajeka 3 ай бұрын
Kiukweli tanapa ijiendeshe, alafu itoe gawio cjakuelewa huyu mkuu... Najua makusanyo yalikuwa yanaenda mfuko mkuu wa serikali then ndo wanatoa bajet wanapewa na bajet ikaguliwe vitu hewa vitoke then wapewe sasa kuikusanya wao na na kupanga bajet wao sio sawa kama alivyosema shabibi... Hatuhitaji kusherekea na bilioni 4... Ilipatikana ngapi na kwa ufasaha upiii...
@danielshauri6390
@danielshauri6390 3 ай бұрын
KILA GOTI LITAPIGWA KWA JPM
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 3 ай бұрын
Itoshe kusema kazi zake (JPM) zitalindwa,kuendelezwa kwa wivu mkubwa,kukumbukwa kwa moyo...n.k. LAKINI kuhusu KILA GOTI KUPIGWA hapo hata JPM asingekuunga mkono. Yeye (JPM) alikuwa Muumini Mkristo Mkatoliki Mzuri sana na angekuambia kwamba NENO TAKATIFU LA MUNGU linasema Kila goti litapigwa kwa Yesu Kristo Mwana wa Mungu.
@frbm1729
@frbm1729 3 ай бұрын
Aitwe Kamati ya maadili huyuuuu😂😂😂😂😂😂😂
@nongollohsuleyman9734
@nongollohsuleyman9734 3 ай бұрын
Tena na maic aandaliwe
@sundaynurdin2864
@sundaynurdin2864 3 ай бұрын
Ukiwa na pesa unaeza ongea chochote man
@GeofreySenka
@GeofreySenka 3 ай бұрын
Zambia inapiga minada wazi Tanganyika yetu shamba la bibi hasa wakati huu Kila mmoja anajipigia halafu kiongozi wa juu anazibwa kwa kusifiwa kwamba nchi inaenda vizuri uwizi umekidhili
@ce-08
@ce-08 3 ай бұрын
Tanganyika ndiyo nchi gani hyo sema Tanzania
@MzeeMkoloni
@MzeeMkoloni 2 ай бұрын
Baba shabiby hii nchi tuna Viongozi wanafiki sana wanachumia matumbo yao na familia zao
@lucasbatano333
@lucasbatano333 3 ай бұрын
Hongera kwa mchango mzuri
@timothsanga3086
@timothsanga3086 3 ай бұрын
Jamaa hana njaa anapita kwenye bajeti kiukweli,ubariiwe sana mh mbunge Nimekupenda bure brother
@johngibson3089
@johngibson3089 3 ай бұрын
Asante Shabiby. Imewaingia na majority hawapigii makofi hoja zako kwasababu ya njaaa. Wanaogopa
@Worldunite
@Worldunite 3 ай бұрын
Hawana njaa hawa, wana tamaa😂
@AletiusPaschal
@AletiusPaschal 3 ай бұрын
Mbunge wangu wa muda wote 5 more shabiby😊😊😊
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 ай бұрын
Hongera sana mh Shabiby, wewe ni mzalendo sana.👏
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 3 ай бұрын
Tbc mnapata views chache kwasababu ya kuletea bunge
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 3 ай бұрын
wanajiuzia weyewevkwasababu kuwa wegineo ni umasikini
@hamismabula9934
@hamismabula9934 3 ай бұрын
TRA 🤣🤣🤣
@mmarandu2417
@mmarandu2417 3 ай бұрын
Tunapoteza mapato kila mahali: 1) Magari ya kifahari, 2) Yanayouzwa kiholela au kuoza, 3)Kutotumia gas na umeme zaidi badala ya disel, 4) Rushwa kila mahali, 5) Mikataba ya umeme wa upepo na jua iliharakishwa na kutetewa sana wakati umeme wa Nyerere Dam ukikaribia kukamilika sijui kwa faida ya nani na sasa hatuutumii wote, nk.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 ай бұрын
Mm nashauri YRA iondolewe kuwekwe utaratibu ambao sie walipa kodi tutalipa na jela iyende moja kwa moja hazina sio kupita kwa wezi wnazinunulia mabasi na kuanzisha timu zao za mipira wezi wakubwa
@omariabeid3291
@omariabeid3291 3 ай бұрын
Hamna kazi hapo,mahari yanaharibika kitu kidogo tuu then inakaa na kuuzwa pesa kduchu. CCM hamna jipya na serikali yenu hakika
@HappyatHome-bn8wm
@HappyatHome-bn8wm 2 ай бұрын
huyu jamaa hoja zake huwa zito ila wanampuuza
@Patriotism-x3v
@Patriotism-x3v 2 ай бұрын
Asantee Shabiby, wapigaji ni wengi
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 ай бұрын
Haliwezekani Hilo mpaka watanzania wafimie kununua wenyewe kuwa utawala unatoka kwetu Kodi Kila Kona watanzania wanalia Kila Kona lakini chaajabu Zambia Haina bahari Uganda Malawi wanatetemshia mizigo hapo kwetu lakini Kodi zao ziko chini kwetu wapigaji watupu na muwaafanya watanzania watumwa ktk taifa lao
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 3 ай бұрын
Ongera ili Taifa atakae linisuru kwa KWA MAJIZI ni Watanzania wazalendo na wenye uchungu najua CHAMA CHA CCM nikizuri lakini wanao kiongoza baadhi ndiyo wabaya wanaolitafuna Taifa hili kwa kulindana ila Mwenyezi Mungu si wao ni wawote atawajibu na watanyooka kwa fedhea.
@PropKibali-f8d
@PropKibali-f8d 3 ай бұрын
awamu ya 5 oyeee
@sanaanimaisha4072
@sanaanimaisha4072 3 ай бұрын
Ukweli mtupu
@allymganga3223
@allymganga3223 3 ай бұрын
Sarikali itangalie yanayo tokea Kwa majirani zetu kenya na kwetu yatafika manake wananchi wako ohi na kama unavyo sema muheshimiwa shabby wapigaji wamekuwa wengi na amna atuwa yoyote wanazo chukuliwa mikataba mingi ya kiini macho aina msimamizi msimamizi mwenye uchungu na pesa za serikali
@LilianMbele
@LilianMbele 3 ай бұрын
mh!,sema Baba
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE 3 ай бұрын
Sielewi mbona wabunge wamekua kimyaa kwa mchango mzuri wa shabibi Kama wanapokea taarifa ya msiba.
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 3 ай бұрын
Aliye kuwa mchungu kwa ajiri ya Watanzania wanyonge,alitukanwa saana,...mpaka kifo chake watu wafurahia.....mpaka wengine wanasema wenye roho mbaya wamekufa.Haya bana ...🙏🙏🙏🙏
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 ай бұрын
Wapigaji95%
@alfrednyalandu4141
@alfrednyalandu4141 3 ай бұрын
Very strong argument with facts
@FurahaMwajeka
@FurahaMwajeka 3 ай бұрын
Uko vzr
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 3 ай бұрын
Mwanamke hawezi kuwa rais
@gasperaroni5751
@gasperaroni5751 3 ай бұрын
Angalia usiitwe kamati ya maadili na spika acha kusema ukweli shauri yako mimi sipo
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 3 ай бұрын
Uongozi ume mshinda
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 3 ай бұрын
Uko sawa
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 3 ай бұрын
Wabunge wote ni wa awamu ya 5 lakini hawaelewi. Ngoja wapigwe 2025 watajua
@edwardpastory812
@edwardpastory812 3 ай бұрын
Huyu ni aboud au shabiby?
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 3 ай бұрын
Safii sana mbunge shabby
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx 2 ай бұрын
Duuuuuu haya haya sasa
@kassimmasoud3711
@kassimmasoud3711 2 ай бұрын
Karibu nchi huru hiii
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 3 ай бұрын
mheshimiwa iko nmb ukicheza uyakuwa mshangiliji
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 2 ай бұрын
awamu ya tano oyeee
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 3 ай бұрын
Kabisa ni hatari
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 3 ай бұрын
Inapendeza kuwa mkwel ata kama utaitwa katika kamati ya maadili!
@OswardMadege-gd7yo
@OswardMadege-gd7yo 3 ай бұрын
Umesrma sawa
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 3 ай бұрын
Mbunge Shabiby limbo lolote unafiti
@Cryptocurrency_Tanzania
@Cryptocurrency_Tanzania 3 ай бұрын
Dhumuni jamaa kaliweka wezi, anataka nafasi.
@MathewAlphonce
@MathewAlphonce 3 ай бұрын
Bora useme baba 2naonewa masikini
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 2 ай бұрын
big point
@RobertMgore
@RobertMgore 2 ай бұрын
Point
@mangelazaro1762
@mangelazaro1762 3 ай бұрын
Sesema malunde😂
@TuntufyeBrayson
@TuntufyeBrayson 3 ай бұрын
Mpigo mpigoni
@HamidaJuma-i3y
@HamidaJuma-i3y 3 ай бұрын
Mweshimiwa mpempe huyo nimwizi
@lovemusicnoreen9185
@lovemusicnoreen9185 2 ай бұрын
MPINA VS SHABIBY BEST MP EVER
@euvassammy8537
@euvassammy8537 3 ай бұрын
Raha ya ela. Unasema ukweli na hata huhofii kurisk ugali wako. Good job kaka.
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 3 ай бұрын
Abudi kuna saa nakuelewa
@saidiabdul1635
@saidiabdul1635 3 ай бұрын
Abod anauwo muda wa kuongea toka aingie bungeni ushawai muona anaongea
@AnordErio
@AnordErio 3 ай бұрын
Mpo wachache sana tanganyika
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 3 ай бұрын
Hongera sana mh shabibi
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 3 ай бұрын
Hapo umesema ukweli mtupu.
@leninkazoba6534
@leninkazoba6534 3 ай бұрын
Shabby anapoint ya msingi sana
@hamismabula9934
@hamismabula9934 3 ай бұрын
Mama anaupiga mwingi🤣🤣🤣
@olsolasindila694
@olsolasindila694 3 ай бұрын
100%.
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Yamekaa kimia kama hayamo😢
@emmanueldavid9506
@emmanueldavid9506 3 ай бұрын
Hatuna viongozi
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Mnajitekenya
@OswardMadege-gd7yo
@OswardMadege-gd7yo 3 ай бұрын
Dhambi sana
@eneszakaria2073
@eneszakaria2073 3 ай бұрын
Very strong
@DismasSeleman-o9q
@DismasSeleman-o9q 3 ай бұрын
💯
@silasmsekela5622
@silasmsekela5622 3 ай бұрын
Hongera mh abood
@binseif2216
@binseif2216 3 ай бұрын
Shabiby sio aboud
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,9 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,4 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44