Eeh Mungu nitetee family yangu mambo wanayo pitia naomba baba pigana na kivita ya ukoo wetu wote kila vita inavyo pita mpk nakwako kuzuia mpk sasa sija pata ndoa baba naomba kila misingi yote iliyo nena vibaya kwangu baba naomba vikateketeze kwa jina la yesu alie hai🙏🙏🙏
@mauwashomari81602 жыл бұрын
Eh Mungu wewe usiye shindwa na kuja kwako utuondoleye mateso ya familia yetu kwajina layesu christo amen
@josephmuhindo7393 Жыл бұрын
Ameen🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@EmmaroseJoseph2 ай бұрын
Ee BWANA YESU nami nakuomba utuponye na mateso ya familia
@magrethassenga86252 жыл бұрын
Mafundisho yamenubariki . Asante Sana mtumishi wa mungu!
@magrethassenga86252 жыл бұрын
Mafundisho yamenibariki . Asante Sana Mtumishi wa Mungu.
@bennamuchau64872 жыл бұрын
I love your teachings pastor Sunbella. Taratibu na inaeleweka🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you.
@marynjeri3702 жыл бұрын
These are teachings that are full of the Holy spirit of God, they have transformed my life since I started listening to this great man of God, Pastor Sanbella kyando, on November last year 2021.
@magdalenekarugi29142 жыл бұрын
Gggg
@MMg471 Жыл бұрын
Sure they are really a blessing to our lives 🙏
@RebecaGodfrey9 ай бұрын
Ni kwel kabsa Mtumishi unachosema izo roho zinasumbua Mungu atusaidie.
@jeanbaptiste55122 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji kwa neema ya MUNGU iliyo ndani yako na kutoyificha, wanyonge tukabarikiwa MUNGU Akupe maisha marefu kabisa na kumaliza safari salama.
@shirleenlime97382 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu naomba msaada Hela hazikai mikononi Mwangu na nywele zangu hudondoka hata napoishika Inanipa uoga sana I totally need Deliverance. I'm tired of hardship LIFE and struggle after struggle 🇰🇪🇸🇦 wish to hear from you Sir.
@jescaemmanuel1002 жыл бұрын
May The almighty God see you through this seminar and deliver u in Jesus name
@jescaemmanuel1002 жыл бұрын
Make sure ibada ya mwanzo ya hii seminar jumapili hukosi
@gracedamas5883 Жыл бұрын
Nafunguliwa kwa jina la Yesu Ubarikiwe Sana Daddy
@ndimwagashitindi43992 жыл бұрын
Asante sana mtumish somo nimelielewa sana.Tunahitaji neema ya Mungu ituvushe
@zawadikitalika14122 жыл бұрын
Amen Mtumishi umenena kweli tunapitia mengi hata Mimi naiona hii spirit. Mungu wa baba zangu na baby zang Mungu wa Yakobo fanya jambojuu ya maisha yangu na naweka fullstop kwa wangu🙏🙏🇹🇿🇹🇿
@maryandason18152 жыл бұрын
Jamni sijui nifanyje il niweze kukuona Bishop Sanbella 🙏.
@agneskyando32412 жыл бұрын
Napenda sana mafundisho yako kaka hakika Mungu anakutumia sana!
@carolinemwugusi89452 жыл бұрын
Powerful message am blessed yaani unasema ukweli mtumishi wa Mungu haya mafundisho ni mazuri sana
@saadamdaki39792 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana kwa sababu umefanyika baraka kwangu
@georgekalisa9 ай бұрын
Oh lord save our family Amen🙏
@lululifa99082 жыл бұрын
Somo hili nzuri na litavusha uzao wangu
@emmasidi94462 жыл бұрын
ooh yesu 🙏🙏🤲🤲🤲😭😭😭niokoe mimi mwanao umesema kweli mtumishi wa mungu
@blessedtumaini5162 жыл бұрын
Mungu Baba nina kushukuru sana uliletaye neno kwa wakati na unalitazama ili ulitimize na unalihimiza kwa wakati wake sawasawa na ISAYA 60:22 YEREMIA 1:12. Mtu wa Mungu umenena kweli.
@marynjeri3702 жыл бұрын
I desire that one-day, this man of God comes to Kenya My country.
@leahwamwangi66332 жыл бұрын
I pray to
@florahmwasaru23102 жыл бұрын
Somo hili ni langu kabisa mungu akubariki kwa kutufunza na kutoka saudia mm ni mkenya
@jacquelinesamson2 жыл бұрын
Oh Lord have mercy 🥺 in my Msola'sfamily Tree 🌳 Blood lines in the mighty name of Jesus Christ Forgive us oh Lord and Deliver my family from all Family Generation curses because our help comes from Jehovah God the maker of the Heaven and earth and no weapon formed against us will be able to prosper Because God is with us and no body can against us and all things are possible with God in the mighty name of Jesus Christ Amen and Amen Hallelujah Glory be to God 🙏
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Holy Spirit 🔥🙏
@editatairo96672 жыл бұрын
Hakika nimepata kuelewa kuhusu somo hili. Barikiwa mtumishi
@sarahwawuda51642 жыл бұрын
Namshukuru Mungu amenijalia kuona somo hili limenigusa,Mungu azidi kukubariki mtumishi
@pascalmuzuri42 жыл бұрын
Somo nzuri sana kabisa. Mungu akutie nguvu Baba. Ni Pascal Muzuri kutoka Congo Goma.
@elishasoka66922 жыл бұрын
Kupitia ww Mtu wa Mungu nimejifunza Vingi sana
@dianaobadia61072 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana 🙏
@evakoka3002 жыл бұрын
Naamini Mungu atatusaidia.
@joycenuhu15662 жыл бұрын
Ooh! Somo hili limenigusa Mimi kabisa , Mungu naomba uniokoe
@angeljoseph46662 жыл бұрын
Asante Mungu,kwa uwepo wako Mtumishi,Mungu akubariki sn
@maryandason18152 жыл бұрын
Amen 🙏🙏 barikiwa Sana Bishop Sanbella 🙏🙏 ..nafunguliwa ufahamu wangu zaidi.. NENO il limekuja kwa wakati wangu sahihi.... Asante Sana pastor Sanbella 🙏 kunifundisha NENO il
@dianjubernadette86702 жыл бұрын
Nasaidiwa Sana ,Mungu tufunguwe navivungo vya familiya
@janethfwamba85612 жыл бұрын
Ee mungu ninaomba unirehem
@petermunuo16572 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@joshuamutua37272 жыл бұрын
God bless you You can't imaine how you bless me here.....
@linetmakungu19702 жыл бұрын
Listening from Nairobi , more blessing ,I've learned what I didn't knew.
Very deep and deeper expressions. Strong ministry started listening as from yestaday.
@magrethmwalongo63312 жыл бұрын
Yesu iponye familia yangu
@neemakiria44162 жыл бұрын
Mungu hili somo ni lafamiliya yetu kabisaa naomba msaada wako Mungu usiyeshindwa kunamahali tunakwama natunamateso makali sana nyoosha mkono wako baba maana hakuna msaada mahali pengine
@liliandaniel8822 жыл бұрын
Ameen Mtumishi wa Mungu.
@hedwigaolomi38322 жыл бұрын
Mtumishi Asante kwa maarifa tunaangamiaaaa
@grolyqueen58332 жыл бұрын
Ahsante Mungu
@evangelisteclaudine60622 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@odiliarevocatus372 жыл бұрын
Mungu akubariki na mubir yako mazur
@happinessakim26792 жыл бұрын
BE BLESSED MY DADDY,,,,,,🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@zaitunnanjira60782 жыл бұрын
😭😭😭😭 deliver my family Lord Jesus
@louisendunguru71062 жыл бұрын
Holy spirit thank you🙏
@jacintasyombua75122 жыл бұрын
You are saying the truth mtumishi wa mungu be blessed pastor 🙏🙏
@danstonecool17342 жыл бұрын
the teaching was a blessing to me
@emaesthermuchiri2142 жыл бұрын
Hallelujah Somo nzuri Sana Kwa kweli...may God bless you man of God 🙏🙏
@marckkish3304 Жыл бұрын
Following
@jordanasadjah84512 жыл бұрын
So powerful
@nicorauskashosi97722 жыл бұрын
Good preachings
@janetjanet86692 жыл бұрын
Amen 🕊️🕊️
@eddyjuniortz22342 жыл бұрын
Amen Pastor nakuelewa sana
@fanuelemmanuel65662 жыл бұрын
Mtumishi omba kipindi kwenye tv uwe unafundisa live lakini kufuatilia mafunzo kwenye simu tatizo ni bando napenda mafunzo yako sana ubarikiwe na BWANA
@wandedalushi29842 жыл бұрын
Haleluya Mwendelezo. Wa hiii neno naipataje jamani naiona family yangu na ninayopitia naomba isiendelee kwa uzao wangu kwa Jina la Yesu Ni mateso
@jescaemmanuel1002 жыл бұрын
Jumapili hii,, subscribe ili akiwa live upate notification.
@Miriam84Akizimana2 жыл бұрын
Glory of God 🙏
@eunicemund44542 жыл бұрын
Somo zuri sana
@enithaelias85582 жыл бұрын
thanks man of GOD your preachings keep souring my heart👌
@veronicanyalinga28452 жыл бұрын
🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️👏🏻
@bettyuside60792 жыл бұрын
Ningependa sana mchungaji kuomba nami nitampata vipi?
@alphoncekahindi53832 жыл бұрын
More grace sir ..hili somo limeniinua sanaaaaa sanaaa ..il make sure nimejiconnect kwa maombezi
@jescaemmanuel1002 жыл бұрын
Then don miss it jumapili hii
@christinesavai8842 жыл бұрын
Amen
@josephnganga23342 жыл бұрын
Powerful message I'm blessed
@zawadijuma5394 Жыл бұрын
Asante pastor kwa mafundisho yako
@joycebruno89122 жыл бұрын
Hili kanisa lipo mkoa gani? Sehemu gani?
@jeanbaptiste55122 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@dionisiadaro2 жыл бұрын
Pastor kiukweli somo limenigusa mno
@luciapaul1866 Жыл бұрын
Naomba kujaa kanisa liko wapi na ratiba za ibaada, please 🙏
@realityofchristchurch Жыл бұрын
Kabisa lipo Dar es salaam Sinza Mori mkabala na Tamwa, Dodoma nyuma Capital city Mall na Arusha ni Eden garden Njiro. Ratiba ni Jumapili saa 3 asubuhi,Jumatano na Ijumaa saa 11 Jioni
@mercykihahi78362 жыл бұрын
Duu wenzetu walishiriki na kula meza ya ndama wa dhahabu!
@aminajames88982 жыл бұрын
Nikikusikiliza naisi kuwa Hulu na amani
@happinessmwenda27732 жыл бұрын
ANACHOFUNDISHA MTUMISHI WA HUYU NDICHO ALICHONIFUNDISHA MCH WANGU.JINA LA BWANA LIBARIKIWE
@AkisaWilson Жыл бұрын
😢
@brysonuronu58622 жыл бұрын
Hakika
@sirpleasureb2 жыл бұрын
HII NDIO INJILI
@heriethkitururu44012 жыл бұрын
Sijuhi chakusema nimesikiliza hiki kipindi nimejifunza mengi