GOD will never forget you MAN of GOD 🙏 the world 🌍 needs more of you 🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mbarikiwaisack71802 жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU MUNGU akubariki sana,,, mana leo YESU amenikumbuka na kutolewa kwenye vifungo vya giza
@emmamwanamtwa20472 жыл бұрын
Asante Kwa somo zuri
@MariaEnock4 ай бұрын
Namshukuru Mungu sana kwa mafundisho haya
@dorisigalusi46702 жыл бұрын
Asante Bwana yesu🙏
@emmymatigula48702 жыл бұрын
Naamini ukoo wangu tunaenda kuwekwa huru kupitia mimi Hatua kwa hatua nakamata Kwa Jina la YESU KRISTU ALIYEHAI,mtumishi Kyando Ubarikiwe mono na mtumishi Sembatwa,hukuhuku USA vinanifikiaaa 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@francinemseke75282 жыл бұрын
Kwakweli ufunuo huo si kwanguvu za mwanadamu bali Baba aliye juu ndo anawafunulia. It’s a 🔥🔥🔥🔥
@magdalenajuma62292 жыл бұрын
Sina lakumwambia Mungu zaidi yakumshukuru nimefunguliwa leo nnaushuhuda huu ushuhuda kunasiku ntakuja nikanyage dar niutoe nimeandika nakwenye notebook yangu huu ushuhuda nimewekwa huru asante mtumishi waMungu
@salomepangani79692 жыл бұрын
Yaani mtumishi unanizungumzia mimi kabisaaa
@magrethmvwango26822 жыл бұрын
Kwaimani mungu niponye magojwa yote mwilini mwangu mungu kwaimani nakataa mikosi yote mwilini mwangu, kwaimani mungu niponye Mimi mwanao magreth laston nakataa uchawi unao tendeka mwilini mwangu ameni, kwaimani Emanueli mnyogele arudi kwenye mikono yangu Ameni
@aishaaisha6127 Жыл бұрын
Amina
@estherrajabu57642 жыл бұрын
Naamini kuipitia mafundisho haya mume wangu atabadilika ameni
@magrethmvwango26822 жыл бұрын
Mungu kwaimani napokea uponyaji kwenye maisha yangu mungu natakaa loho ya madeni ameni
@marynjeri3702 жыл бұрын
Following from Kenya
@vashtyoddoh48272 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi🕊️🙏🙏 hakika sijabaki Kama nilivyo jina la bwana lihimidiwe.
@sophiamwita74852 жыл бұрын
Ubarkiwe mno mtumishi wa Mungu nmekuwa nikifuatilia mafundisho yako yananibariki Sana!!
@blessedtumaini5162 жыл бұрын
Asante Mungu Baba kushughulikia pembe nne hazitaniweza tena kwa kuwa Wewe ndiwe ukuta wa moto kunizunguka
@nyanjilaneke49312 жыл бұрын
Mungu anao watumishi wake,hakika unanipa chance ya kuzidi kukua kiroho ubarikiwe
@deboraanyandwile80072 жыл бұрын
Mungu ninaomba unifungue Mimi na familia yangu ,, Asante watumishi wa Mungu
@kayitarecharles69932 жыл бұрын
Amen nimepokea kufunguliwa kwa jina la YESU 🇬🇦👏🙏👏🇬🇦
@dorisfaida35892 жыл бұрын
Powerful. and Real life teachings, be blessed man of God
@wilsondalalijunior22012 жыл бұрын
Namtukuza Mungu kwaajili ya familia reality church kwa ujumla nawe pia mtumishi wa Mungu Sunbella Mungu azidi kukutumia zaidi
@neemamchau28402 жыл бұрын
Haya maombi yamenifungua, Mungu ni mwema, Asanteni watumishi, may God continue to use you as His mouth peace to help His children!
@dorcasmakori81012 жыл бұрын
I know am going somewhere spiritually through this teachings 🙏 God bless you man of God 🙏
@vicentkilonzo924 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏 o
@bennamuchau64872 жыл бұрын
Naamini tunaelekea kufunguliwa katika jamii yangu kwa jina la Yesu Kristo Mwana Mungu aliye hai. Asante mtumishi wa Mungu Sunbella... 🇰🇪
@magreth79812 жыл бұрын
Xåkc¹¹som vi ¹oc¹h ¹
@PaschalPeter-qm2sjАй бұрын
Mtumishi umehubiri kitu ambacho kimenipa mwanga sana kwamaana nimepambana sana maishani mwangu nimepata mafanikio nikasema huu ndio muda wa kula matunda lakini ugonjwa umeibuka ambao unamaliza pesa zote na hali haiko sawa kabisa
@kakadkarima24482 жыл бұрын
Jamani Mungu akubariki sana mwalimu Sunbella somo makini sana
@Mariah_12932 жыл бұрын
ASANTE MUNGU KWA KUNIKOMBOA MIMI NA FAMILIA YANGU TUTAKUTUMAINI DAIMA🙏
@hwenys Жыл бұрын
ASANTE YESU
@adeckmuganda2 жыл бұрын
Nimefatilia series hii ya Mateso ya Familia siku 4 baada ya kuwekwa hapa lakini nguvu ya neno la Mungu kupitia kwa nabii wake na mtumishi wake nguvu hiyo hiyo imeng’oa minyororo yote iliokuwa imetushikilia kwenye familia yetu, nimepiga chafya mbili kali na kuona kila mmoja akitabasamu ndani ya familia katika jina la Yesu, Bwana akubariki baba 🙏🏾
@fadhilimodest62252 жыл бұрын
amen mtumishi naamini nimekombolewa kutoka mateso ya familia , Jina la Bwana libarikiwe
@francinemseke75282 жыл бұрын
Amen amen thank you Lord, Asante Mungu wangu mwenye Neema na Rehema kwa kukomboa familia yangu. Bwana wetu Yesu Kristo awape Neema na Baraka kwa kazi munayo itenda kwa waliiko 🇹🇿 na kwetu sisi walioko mbali 🇺🇸.
@magrethmwalongo63312 жыл бұрын
Umelituma neno lako nipone Yesu
@lilianaliasi87322 жыл бұрын
Amen in Jesus Christ name
@bahatizuberi92652 жыл бұрын
Bwana Yesu Asifiwe. Ubarikiwe mwalimu. Nimesikiliza nikiwa ofisini ningali naendelea na kazi. Kufika maombi nimepat usingizi mkali na uchovu mzito.
@marywelch5386 Жыл бұрын
Mchungaji omba nami napitia matokeo mabaya mno ya familia. Nimechoka
@nickymushigo56882 жыл бұрын
Mungu akuongezeye mafuta mutumishi wa Mungu, nimebarikiwa sana tenasana
@heriethkitururu44012 жыл бұрын
Asante Yesu
@jackietony95662 жыл бұрын
Napokea kwajina layesu kristo
@magdalenajuma62292 жыл бұрын
Nnaushuhuda kwakilichonipata jana na somo hili sina kakusema nikwa Yesu ni ushuhuda mkuuu Bwana amenifungua
@jackietony95662 жыл бұрын
Amen 🙏
@annkauri74062 жыл бұрын
May God bless you Father,umebadilisha maisha yangu completely,nilikuwa nimekata tamaa but through mafuzo yako am ok.Thank
@mhamdahmd77582 жыл бұрын
Amen naamini kupitoa maombi haya nimefunguliwa mm na familia yangu....Mungu awabariki sana watumishi
@romanaalbin58852 жыл бұрын
Amen from cape town
@leunathanyangachi30332 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@carolinemwugusi89452 жыл бұрын
Amen powerful teachings 🇰🇪
@josephinevicent10102 жыл бұрын
Baba nisaidie na mimi.naiwe kama mchungaji atakavyo tanka kwa jana la yesu
@janettheis37492 жыл бұрын
Mimi na Familia yangu tutasongea mbele katika Jina la yesu christo aliyehai🙏
@ellyjaliamabiki45852 жыл бұрын
Amen! Amen!
@happyjohn19752 жыл бұрын
Huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako
@lwanjiedna52332 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi,somo zuri
@miriamloserian85452 жыл бұрын
🙏my God, this is my year
@evangelist_gaitani2 жыл бұрын
Ameen baba natamani Sana kuonana na wewe
@benardinemwavali34862 жыл бұрын
This is what a passing through now but i will have to know how to overcome it be blessed so much nice teaching
@muhoozidavid99222 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@eliasjohn47822 жыл бұрын
Napokea uponyaji
@wilsondalalijunior22012 жыл бұрын
Naamini nimekombolewa toka kwenye pembe zilizokabili famia kwenye maisha duni, natumai Sikh moja nitafika hapo
@janettheis37492 жыл бұрын
Amen
@wandedalushi29842 жыл бұрын
Mateso ninayopitia Ni matokeo nimerudishwa na kuona family ya upande wa baba yangu jamani hakuna kuvuka, Mungu nivushe, nitoe nakata mawasiliano ya laana za ukoo
@monicaeden89952 жыл бұрын
I connect
@jeremiaisowe44432 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏✅✅✅✅✅
@ndamugobaivan12 жыл бұрын
Hiyo spirit inaitwa ALMOST THERE BUT NEVER THERE. Pia nyingine inayofanana na hiyo inaitwa DISAPPOINTMENT AT THE EDGE OF BREAKTHROUGH.
@vailetheanyambilile97492 жыл бұрын
AMEN AND AMEN 🤣😂😂👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🙋♀️🙋♀️
@patrickmwenda3822 жыл бұрын
🇰🇪amen
@annkauri74062 жыл бұрын
Amen.Father may You live long.Since last yr you have really changed,i thank God for.Familia yetu imetezeka sana sana na kupitia mafuzo yako i realised there is a problem but mimi kuani i will stand for the sake of my family and our family.Father as you remember my family.Familia yetu inapitia haja- 1.ULEVI USIOKUA WA KAWAIDA 2.UMASKINI MKUBWA SANA KILA MTU ANAPOINUUKA ANAANGUKA CHINI MARA DUFU 3.CHUKI KWA FAMILIA 4.MAGONJWA YASIYOKUWA NA DAWA REMEMBER US MY FATHER. ANN .KENYA 1.U 1.u
@josephinevicent10102 жыл бұрын
Naitwa josephine vicent maendaenda kila pembe zilizoinuka just ya uzao wangu leo ni mwisho
@annastaziaemmanuel86642 жыл бұрын
Me naona kwetu pembe hizo zote zipo, kabisaa,unapiga hatua 2 mbele unarudi 10 nyuma
@shirleenlime97382 жыл бұрын
Matatizo ya familia
@nickymushigo56882 жыл бұрын
Mungu akuongezeye mafuta mutumishi wa Mungu, nimebarikiwa sana tenasana