Рет қаралды 1,160
Uzinduzi wa Jengo la Utawala la MATI SUPER BRANDS LTD HQ Babati-Manyara, pamoja na Kinywaji cha Tanzanite Premium Vodka. Uzinduzi huo ulifanywa na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara MH. Exaud Silaoneka Kigahe, pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali, TCCIA na Vyuo.
#JengoJipya#Mati#Tanzanite#Premium#