Jamaa ameni inspire sana Asante sana brother Millard kwakutufanya vijana kujifunza kupitia hawa waliofanikiwa Ubarikiwe sana kaka
@peterjohnbahhi15659 ай бұрын
Jamaa namfaha..so humble afu hana wenge pamoja na hela alizonazo
@amoskagika88849 ай бұрын
Millard Hongera kwa kazi nzuri. Nimependa hiyo ya kuficha namba za usajili za magari ya muhusika kwa ajili ya usalama. That’s professionalism ❤
@millardayoTZA9 ай бұрын
ASANTE SANA AMOS.
@josamwilliam41059 ай бұрын
Kitambo sana jamaa uwa yko vzr rejea maojiano yake na mmiliki wa diamond bar mwanza . Ndyo maana tunatofautisha ayo na wengine
@amoskagika88849 ай бұрын
@@millardayoTZA pamoja sana brother. Mwambie Boss Mulokozi kama kuna kazi yoyote ya kumfanyia China nipo tayari bila malipo atalipia nauli tu ya mji anaotaka niende nikafanye kazi. Nipo huku kimasomo.
@FayeezAlbahassaney9 ай бұрын
@@millardayoTZA kaka
@AgnesPalaga9 ай бұрын
Same to I nakupongeza ila ongeza umakini zaidi my bro coz hapo Kuna muda umejisahau namba zikaonekana ila tupo pamoja siku zote pia kama hautojali naomba uongeze au uanzishe inspiration series maana vijana wengi tunao jitafuta tunapenda kusikia positive ways za mafanikio kutoka kwa walio fanikiwa #code@@millardayoTZA
@graceandrew39889 ай бұрын
Hongera pia kwa kuwa kijana msomi asiye n majivuno,watu wamekariri wasomi hawawezi kuwa matajiri you are the living testimony,big up sana.Endelea kuwainspire vijana wa Kitanzania na EA❤
@sir_ENOCKMACHA9 ай бұрын
Utakuwa msomi asiyetajiri endapo utauona usomi pekee ndio muujiza ila utakuwa tajiri utapoamua kufanya kazi kwa nguvu na bidii
@potentinusdidas90559 ай бұрын
Ongera kakangu Mulokozi, Ila ingependeza Sanaa tena Sanaa, kama ukitenga hata chumba kimoja kwaajiri yakumtukuza Mungu, kwan kakujalia utajiri mkubwa. Kama utaona ujumbe wangu naomba umtukuze Mungu kwakumpa nafas ktk nyumba yako🙏🙏
@siaammo11049 ай бұрын
Hata miniliwaza hivyo hivyo
@DulllyfkMsafi9 ай бұрын
Kaka your the best tunakuelewa vizur Sana mirlad uko vzury aisee uyo ndugu Hana Mambo mengi Sana ana hela Yan Yuko comftable kweny Mal zake big up broo watanzania Kama hawa awaongelewi sanaaaa lakn wapo❤❤❤❤❤
@WitnessNsigazi9 ай бұрын
Ongera sana kaka mlokozi, kwa bidii za kazi zako. Jumba Zuri sana umepambana, Mungu azidi kukuinua viwango vingine nasi tunapata nguvu ya kupambana kuona tunafikia malengo yetu na tumejifunza k2 barikiwa sana kaka mlokozi.
@RoseKaiza-g2j8 ай бұрын
Dah! Mungu nijalie na mimi nipate ambae sina hata baiskeli bariki uzao wa tumbo langu amen!
@Supershopdubai-ck8td9 ай бұрын
Niliisubili kwaham kubwa part 2 naichunga part3 asanteni from 🇧🇮🙏
@donkaloza69859 ай бұрын
As Long Us Bado Napumua Na Mimi IPO Siku ntakua Kama Mlokozi Namuomba MUNGU anijaalie Afya njema na Uhai Mrefu Amina🙏🏽🙏🏽
@HakizimanaFiston9 ай бұрын
Amiin 🤲🏻
@justinmbangukira70342 ай бұрын
Amin
@KS-iw7qv9 ай бұрын
Tajiri kawaida hana mambo mengi wala dharau..... 😂😂😂 gari sio kitu cha maana...... Big up Brother kuna watu wanapenda saana vitu hivi
@elizabethjakobo2799 ай бұрын
Uyo mtu ako na malisana Mungu amsaidie pya awasaidie nawale wasiyo jiweza atazidi kupata. Thawabu Kwa mung Wake ❤❤
@loishiyekitwana25899 ай бұрын
Aendelee kubarikiwa sana mwenye nayo wacha apewe tu...hongera mlcz..
@MRPRESIDENT-w4l9 ай бұрын
AISEE WATANZANIA TUNAWEZA SANA SANAA 💪 🇹🇿 let's keep it up
@barakasamwel81748 ай бұрын
Mungu akubariki father nasii mola atuvushe dubai ndo ndoto yangu siku zote tukawekeze uki nasisi mola akijalia n kutuvusha pakuishi nimemisi san kukaa ufaransa pamoj kuishi angalau pamoja n wote wenye ndoto ya mafanikio mungu watangulie amina ee menyezi mungu nikumbuke namimi n wote wakupendao amina🎉🎉🎉🎉
@malikzafarani1729 ай бұрын
Hammer ni gari yakuendea shamba daah mwamba kanimaliza 🙌, big up sn Ayo umetisha saana 👊🇶🇦.
@katabaroonlinetv96889 ай бұрын
😀😀😀yupo sahihi hummer gari ya kazi
@emmalyanga37269 ай бұрын
Ndio maana ikaitwa nyundo😅@@katabaroonlinetv9688
@AnordErio9 ай бұрын
Yuko sahihi hummer gari ya kazi saaaana
@frankngoloka25899 ай бұрын
Gari ya kazi hiyo kanda ziwa watu wa migodi gari yenu hiyo inaingia popote achana na kurruger
@justinemagige14399 ай бұрын
Halafu jamaa haringi wala nini✌
@chrissowino21459 ай бұрын
Total inspirations
@graceandrew39889 ай бұрын
Najiambatanisha na mafanikio yako kaka Mulokozi its just a matter of time,we believe in one living God❤
@AnordRubanga9 ай бұрын
hongera big brother kwa kaz kubwa unayonya, nimependa jinsi unavo muoji bwana mulokozi
@furahamtweve42229 ай бұрын
Mungu mwenyezi akubariki kaka Millard kazi yako ni njema sana mimi huwa unanimotivate sana kupitia interview zako
@JamalYahaya-xv7mu9 ай бұрын
Mungu ampe maisha malef
@abasiyahya91988 ай бұрын
Hammer ni gari ya kwendea shamba 😮
@shyfettymtunda46199 ай бұрын
Ni hatariiiiiiiiii, ogopaaaaa🎉
@SimonSamson-me2bo9 ай бұрын
Nimekua inspired a lot, thank Millard.
@abuuquudaamah39399 ай бұрын
Nimeipenda sana hii ya kuinua vipaji vya Mafundi na ya kuanzisha simu au software za kitanzania itakuwa excellent kwa hili tupo pamoja kwa maombi
Kumbe Kuna wanaume wa hivi,?! Ambao uleta shobo kisa mali
@smartonlinetv51449 ай бұрын
Kaka Millard hongera Kwa mahojiano mazuri yenye kuleta tija kwa vijana. Pia muombe atoe contact zake ili vijana waweze kuzipata na kujifunza mengi Zaid kutoka kwake. Hongera kwake kaka David kwa hatua ya kimaisha.
@GeofreyMtensa9 ай бұрын
Jamani mmeskia ...Hammer ni gari ya kuendea shamba, sio ya kulia bata
@mbachoclassic78189 ай бұрын
Hatari kaka. Hummer ya kuendea shamba🙈
@michaelndilima62109 ай бұрын
Mungu baba namuomba akubariki sana katika maisha yako.
@jumannehussein66169 ай бұрын
Nenda na kwa chief godlove
@muhibukesh71219 ай бұрын
Hana pesa huyo 😂
@desolz38099 ай бұрын
😂😂😂
@johnsonenock37739 ай бұрын
😂😂😂
@davielubuyih-yh7sx9 ай бұрын
hahahaha anazingua tu
@hashimmziray74169 ай бұрын
excellent
@nassirabdallah-y4b9 ай бұрын
watanzania mukisikia bilionea ndio huyo hana majigambo nimependa anaongea vizuri sana tena mm amenifuza kitu Mungu amjalie uzimauyo namm pia Mungu anipe anipe pesa zakunitowa kwenye umasikini ami amiiiii
@naelijwanaelijwamdee-jw7cx9 ай бұрын
Hongera kwa kupambana uko vzr
@michaelndilima62109 ай бұрын
Watanznia wote tungekuwa kama huyu kijana Tanzania 🇹🇿 ♥️ ingendelea sana
@nyakatongongo42929 ай бұрын
Kaka kweli una utu na ni unaelewa hauna mambo ya kujiinua jua uko tu kawaida safi sana Elimu au pesa visikubadilishe endelea hivohivo Mungu atazidi kukuinua ila Mulokozi kumbuka uwasaidie wenye uitaji maisha haya ni maguma
@MatokeoJoseph.Fonkol9 ай бұрын
nakuku bari brother mloko navyo kuerewa gari kwako si chochote na wara wewe si rimbukeni wa magari heshima kwako brother
@missdija49599 ай бұрын
Millard napendekeza uwe unahoji sana hawa wajasiriamali wenye mafanikio makubwa tunapata madini sana kutoka kwao 🔥🔥
@gracemima52344 ай бұрын
Serikali za Afrika wawamulike hawa wezi wanaitumia bibilia kudanganya wasioelewa. Huwezi kuwa mtumishi wa Mungu huwezi ku
Millad for sure tunahitaji interview kama hizi nyingi sana....hizi ndio interview zenye faida sana kutoka kwa watu waliofanikiwa tena watanzania wenzetu... pls pls pls Ayo tunaomba interview za hivi huyu jamaa ameni-inspire sana
@francomwacha22629 ай бұрын
Millard natamani pia cku ufanye mahojiano na Davis mosha nae anaonekana ana ukwasi mkubwa.. walau tutajifunza sana kwa Hawa watu
@SekelaBraison9 ай бұрын
Hongera sana kwa mafanikio na wala sio mjivuni.
@Kabwela7769 ай бұрын
Kweli maisha daima ni katili sana kuna wengi hawajui kesho watakula nini Na familia zao
@MRPRESIDENT-w4l9 ай бұрын
HAYA WALE WANAOSEMA DIAMOND Ana ELA sijui HARMONIZE Ana ELA NJOONI huku muone Watu wanaenda na HAMMER shambani
@FaridaRamadhan-de1ys9 ай бұрын
Ongeza saut nyuma hawasikii huko
@binti_chiraka9 ай бұрын
Inshaallah hata sisi tutatoboa naombeni 1k subs
@Ndegejrtz9 ай бұрын
Hama chuma ya shambani😂😂kwako brother😅kipanya
@ngusamalegi45779 ай бұрын
Kati ya gari nitakalokuja kumiliki ni hiyo hummer naipenda sana sema mungu anijalie afya njema na mafanikio lukuki. 🙏🙏
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI9 ай бұрын
Na hata haringi au kutamba😊😊😊
@ashachitemo78169 ай бұрын
Hii hummer ni gari yangu ya kuendea shamba kulima😅😅😅
@millardayoTZA9 ай бұрын
HAHAHHA NOMA SANA
@adkajisi45369 ай бұрын
@@millardayoTZA Naomba umtembelee huyu jamaa
@bakirsammaa57779 ай бұрын
Nimefurahishwa na millard kuitambua mark x katika maongezibyake.😊
@komboarts71109 ай бұрын
Me only happy maana comments zenu ndugu zangu zinatosha kile ningesema. Ila nimependa jamaa Mmoja anasema anawaza kumpita jamaa Kipato hii imenifurahi❤
@frankvianey24389 ай бұрын
Brother yupo vizur sana
@ClalensiMlelwa9 ай бұрын
Nimefulahi sana maongezi mazuli sana
@kbdmsafi_tz80949 ай бұрын
Hahahahaha Watu Wa Babati Manyara Wana Dharau Anaendea Shambani
@sawackoswald93229 ай бұрын
Nikweli hiyo hama Mimi binafisi nilimuona nayo toka 2014 nahapo ndio nilimfaham nasijajua alikua nayo toka miaka mingapi kabla so kwa kauli hiyo sishangai kabisa
@augustuss45039 ай бұрын
Ni kweli kwa watu ambao wameish nje humer zinatumika kwa kazi ngumu, ni vizuri kuwa na gari , lakin kama unajielewa gari sio kitu muhimu sana katika maisha .
@kbdmsafi_tz80949 ай бұрын
Ast Imenishinda Sasa Wacha Nikae Kimya Tuu
@millardayoTZA9 ай бұрын
HAHAHHA TUTAFUTE HELA MKUU
@kbdmsafi_tz80949 ай бұрын
@@millardayoTZA Hamna Namna Kwakweli
@ZulayfaSalum-ws2rj9 ай бұрын
Kaka Millard Ayo mwambie atusaidie vijanaa mtajii maana daah 😅
@ustawiwetu9 ай бұрын
Ninyi wa kusaidiwa mitaji huwa hamfiki mbali, pambana mwenyewe kama Yakobo
@warakawayohana28969 ай бұрын
Bilionea hana Bwebwe kabisa❤
@theleague42179 ай бұрын
bwebwe hana, bwingi
@razackaigarula22919 ай бұрын
Kama umeona pickup ya Benz like hapa
@DavalsonMarlony9 ай бұрын
kwel nomaa sanaa 🔥🔥🔥
@jumarajab53169 ай бұрын
masoud kipanya anasumbua na hammer we unaendea shambani
@suleimanamani64139 ай бұрын
Kaka Blue boy full interview unaiachia lini aisee
@eliezerwamungu46149 ай бұрын
Hiy V8 nyeusi daaah
@officialmahiri9 ай бұрын
7:47 ningependa kufahamu amefanya biashara vipi mpaka kufikia hapo pia.
@MaldyMaldwex2 ай бұрын
Mbn amesema mzee...anabiashara nje ila pia ana viwanda na biashara zengine na CEO
@kondoatown87659 ай бұрын
Kwann? Sitaki kuwa bilionea niwe tu na maisha ya kawaida kumudu bills mbalimbali nk yaani hivyo tu .
@kondoatown87659 ай бұрын
@vallencymacdonalds4176 kundi LA maskini mm sipo
@KelvinMasoud9 ай бұрын
Ndo maana upo hivyo
@tzcruiseralteza20399 ай бұрын
same bro hata mm kuishi simple tu make uwezo wa kua tajiri mkubwa labda kwa miujiza
@poulnyamgoncho21529 ай бұрын
umeamua kunyosha mikono
@mosescharles19219 ай бұрын
Mimi stamani kua tajiri wa kawaida
@YouTuuuuuuube9 ай бұрын
Katika vitu Matajiri wetu wanafeli sana ni swala la INTERIOR and EXTERIOR of their houses ,, Alafu kingine ni Uchafu wa Mali zao. Unakuta Magari machafu kha
@kanankirannko61749 ай бұрын
Umepatia kuna gari hadi zimeviziwa na watu kwa siri zinaandikwa nioshe,utafikiri zinalima
@PatrickNathan-u5c9 ай бұрын
Naomba nikumbuke mh tajiri hata kwa gari moja by REV Manchu arusha
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur9 ай бұрын
Unajua alivozipata izo gari? Acha tamaa eti nikumbuke utafumuliwa luako au utajikuta tu msukule mnapenda vya kupewa pewa utaolewa na kufanywa vibaya
@franklukazula9 ай бұрын
From 🇲🇼 🏠 🇧🇮
@shomaryramadhan2009 ай бұрын
Me naomba bro anambie ninjia Gani sahh amabayo unaweza kumake pesa na kwa mtaji mdgo kama 1million nibiashara Gani naeza Fanya nakuweza kubiga hatua kimaisha
@happinesstesha70619 ай бұрын
Duh hadi magari mengine unagawa, naomba apo😊
@MakokeHassan3 ай бұрын
Dah
@hassanomar10419 ай бұрын
Utaona watu watamfananisha na Mondi kisa magari. Lakini mukumbuke huyu sio msanii, kwa msanii ni lazma show off ndio maana huyu watu hawamjui lakini wanamjua mondi global.
@landiismollel40758 ай бұрын
Chief Godlove typing and delete his comment 😂😂. Hii ni baada ya kumuona tajiri wa kweli kweli akiwa hana kelele
@amonywilliams9 ай бұрын
Kaka hata me ni bilionea ninayekuja ayo tv mtakuja kunihoji to
@fahadfaraj64749 ай бұрын
Simamia unachoomini utakua mzee
@kennethbenjamin2759 ай бұрын
Ayo TV wao watakuja kukuhoji tu wao kazi yao kuwahoji mabilionea mzee so usijali😂
@darkplatnum90069 ай бұрын
Usikute na wew una chimba pi maana mnavyo jiamini
@johnshango56519 ай бұрын
@@darkplatnum9006😂😂😂watu pi network wanajiamini balaa
@hasanselekilongoji26699 ай бұрын
Mashaallah kaka mlokoz
@aklanhassan29179 ай бұрын
Hiki chakula cha leo kina mchanganyiko wa majigambo, upuuzi, mapepe, papara na mawenge mengi 🍲🥙
@mohamedlegacy2559 ай бұрын
Ila mulokozi umetuheshimisha wahaya jamani.. tena wajina wangu nimekupenda bure🤣🤣🤣
@ClalensiMlelwa9 ай бұрын
Bosi naomba unisaidie pesa ili niweze kulima mahindi samahani Kwa kukusumbua 7:46
@bilid41289 ай бұрын
Part 3 lini?
@millardayoTZA9 ай бұрын
KESHO ASUBUHI MAPEMA BILI !
@STKMwihomeke9 ай бұрын
Ayo hui interview ya Mulokozi bado hujatupatia alipoanzia...na turning points zake za maisha ..itatusaidia badala yakuona matokeo bila kujua hatua alizopita...hicho kipande mhimu sana
@robertoguda44439 ай бұрын
Huyu mulokozi ni zaidi ya sonko wa kenya,aswa upande wa mjengo wake.