Tonya anaweza akawa ana Mistakes zake za kibinadamu ila Jamaa ana busara nyingi sana Heshima yake aisee 🙌🙌🙌🙌🙌
@Ostica..Omie..junior11 ай бұрын
Matonya ni muongo sana..anapenda kuigiza maisha..arafu nyimbo nyingi ameandikiwa na watu tofauti..nyimbo zote zilizofanya vizuri aleandikiwa..sume lee..tunda man..na wengi wengi tu..wamemwandikia nyimbo
@MsafirLeuna-zz6rw11 ай бұрын
Dunia mapito kaandika Father P
@victaboy727311 ай бұрын
Lakini aliimba yeye, so ni sawa tu.
@nabillsuede146510 ай бұрын
Nankubali sana toya teme
@eddsonjeremiah666911 ай бұрын
Maturity
@PendoAbasi7 ай бұрын
Matonya😂😂😂
@leonsmpili934211 ай бұрын
Tonya mulitolosha simu wew na fazili mshikaj wako mukanipa kes mkoan