#SAUTDIGITAL l #HABARI l #RadioSAUTFm l #sautdigitalupdates l #ukrainerussiaconflict
Пікірлер: 3
@BenPeter-vp2cy13 күн бұрын
Acha waendelee kufa tu mpak ifike tamati manake sjui zelesk anafikiria kupitia ubongo au matako😂.. na ile misaada ilianza bilion, milion 900 ikaja 800 , 200 imefikia 100 😂😂 sasa tunasubir mpaka ziishe tuone marekan watakuja na mpya ipi
@melkizedck13 күн бұрын
Uwongo mtupu. Hata ukraine na wanapata mafanikio makubwa ktk vita
@nizarrama22513 күн бұрын
siyo kweli, Urusi inazidi kuchukua maeneo nakuwarudisha nyuma Askari wa Marekani na NATO waliovalia magwanda ya Ukraine nchini Ukraine! Wanavyokuonyesha wameshambulia Urusi nikwamba hawawashambulii Askari wa Urusi bali wanashambulia raia, ndiomana unaona hawajaweza kuzuia kusonga mbele kwa jeshi la Urusi! 😂