No video

MAUAJI ya WATU 5 DODOMA, WATUHUMIWA 17 WAKAMATWA, SIMU YA MAREHEMU PIA YAKAMATWA...

  Рет қаралды 34,762

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

MAUAJI ya WATU 5 DODOMA, WATUHUMIWA 17 WAKAMATWA, SIMU YA MAREHEMU PIA YAKAMATWA...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 47
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 жыл бұрын
Asante jeshi Mungu awape macho ya rohoni mtawagundua tuu
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 2 жыл бұрын
Yaani kwakweli mungu apishe mbali.huku usukumani wangetengenezewa dawa ya kuwamalizaa wote.,pokeni ndugu wa marehemu wote.ilaaa
@joramkimario9321
@joramkimario9321 2 жыл бұрын
Hakuna kuumiza kichwa.hao walokutwa na cm ndo kielelezo chenyewe
@salomeemanuel1718
@salomeemanuel1718 2 жыл бұрын
Wauawe Kama walivyowauwa ndugu zetu nahao pia nao wauawe
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunz quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl
@ndiwelamwashambwa4702
@ndiwelamwashambwa4702 2 жыл бұрын
Mhh poleni sana
@rhodamwakaje4907
@rhodamwakaje4907 2 жыл бұрын
Mkuu onesmo uko vzr jitihada Zak mungu akubariki
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Familia hasa ndy wamehusika au wanajua chanzo cha mauaji hayo haiwezekani ndugu wameuawa alafu wao hawajui hadi masaa hayo 48.
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Asante jeshi la Polisi
@KaskasTHEfinderCLIP
@KaskasTHEfinderCLIP 2 жыл бұрын
Ninavyajua polisi wa tanzania walivyo washenzi,wezi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliwajaa,hpo kuna watu watabambikiwa kesi tu
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
Damu ya mtu ni mbaya sana
@halimajamaniamekuwamndeme9617
@halimajamaniamekuwamndeme9617 2 жыл бұрын
Majirani jamani siku moja hujamuona Jirani yako na familia yske unashindwa kwenda kuuliza kulikoni,,?? Jamani majirani maraa 48 siku mbili hukamuona Jirani ako!
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 2 жыл бұрын
Heko, heko kwa jeshi letu la polisi. Kumbe mkiamua mnaweza?
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Jamani kunawalio kubwa apo kuweni makini waliousika ndio waazibiwe azwa uyo mwenye cm jamani poke kwa kz ngu mungu awepe jicho la 3 mtende aki wausau ndo wapewe azabu
@stevenngakonda6483
@stevenngakonda6483 2 жыл бұрын
Mm sijaelewa kwamba wote 17 walihusika na mauaji au au wengine ni mbuz wa kafala?
@daudilfrans996
@daudilfrans996 2 жыл бұрын
Ila watu 17 naona kuna wengine wamekamatwa kimakosa inamaana watu wote hao ndio wauaji
@hamidakondo1283
@hamidakondo1283 Жыл бұрын
Yani mm nawapa.hongera jeshi la.police daresalam na mikowa yake
@petermando917
@petermando917 2 жыл бұрын
Watu mnapenda kuingilia kazi yapolice sasa mnataka wasifanye uchunguz ili baadae mseme police hawana kazi achane wafanye kazi yao hata wakiwa watyu 200 lazma ukwel utapatkana tyuuu hasaa hao wenye smu hao
@emmanuelmichael3842
@emmanuelmichael3842 2 жыл бұрын
Piga kaz kamanda wanyooke kama magaid wa kibiti
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
Hongereni polis kwa kazinzuli nisheria tu ila ilitakiwa nao wauawe
@denniswoiso4439
@denniswoiso4439 2 жыл бұрын
Sijaelewa kwa kweli
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 2 жыл бұрын
Kamata wote laana hapo, na hao wapigwe kitanzi tu shenzi typeeee
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Mkisikia Azana mnyamaze
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 2 жыл бұрын
Chinjaaaaaa kama walivyochinja Ile familia
@saididodi3988
@saididodi3988 2 жыл бұрын
Hamna kuwafunga azabu nikuwamuonga
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
hawa wanawake wanaoshirikiana na majambazi hadi kuuwa inakuwajee?
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
nao ni majambazi tu.uhalifu hauangalii jinsia
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Police wametengeneza assumptions zao na wamekamata makundi ya washukiwa na bado wanaomba msaada wa raia wazidi kukamata watu zaidi ! Ni nchi za ajabu kama Tz ndio unaweza kukurupuka kama police na kukamata watuhumiwa ovyo ovyo tu na kuwaweka rumande jinsi wanavyotaka
@teenbamazaga9973
@teenbamazaga9973 2 жыл бұрын
Ndo maana kamanda amesema ni watuhumiwa na sio washatikiwa kwahy yaweza kuwa ndio au sio...
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 2 жыл бұрын
Mali nzuri Kati ya 17 niHuyo aliepatikana na cm
@agnessmunisi6668
@agnessmunisi6668 2 жыл бұрын
Kwel inauma jaman hawo majirani hawakuwa wanaishi vizur watoto jaman uwiii
@ibrahimyuka3503
@ibrahimyuka3503 2 жыл бұрын
Sasa si mtakamata hata wale wa kusali na marehemu
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 2 жыл бұрын
Mtangazaji unaongea sana
@rukaiyaahmadsuleiman3951
@rukaiyaahmadsuleiman3951 2 жыл бұрын
Uyo alokamatwa na simu ya marehemu abanwe awataje wauwaji wenzake itakua kazi rahisi kabisa
@mdl6463
@mdl6463 2 жыл бұрын
Report yako hairidhishi kabisa
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 2 жыл бұрын
Usikuyeniwale waliobakia kibiti
@frankmnale1900
@frankmnale1900 2 жыл бұрын
Asingeenda makamu wa rais hakuna ambachokingeendelea Hama kweli.....
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Mmmh... Hio ndio Polisi tulionayo 😭😭
@agneswilbard9059
@agneswilbard9059 2 жыл бұрын
Tanzania ya Samia hiyo ni amani tupu mmmmmh
@hassanally511
@hassanally511 2 жыл бұрын
Hii ndo imepunguwa maana miaka 5iliyopita kila siku beach watu kwenye viroba yani
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
etiiii aman aman ya matako
@hassanally511
@hassanally511 2 жыл бұрын
@@heyumi2340 tembea bro utaelewa
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
@@hassanally511 😂😂😂😂😂mie co bro
@hassanally511
@hassanally511 2 жыл бұрын
@@heyumi2340 ok
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Wafatilie kwanza kunawalio kubwa umo ila wakisha pata ushaidi wanyogwe iwefundisho damu ya mtu kariii
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 52 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН
CHEMCHEMI ZA UZIMA
4:40
CGen Pro
Рет қаралды 184 М.
Full interview: Trump speaks at Black journalists conference
48:56
WTKR News 3
Рет қаралды 102 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН