Namwona Magufuli kwa mbaliii akitabasamu jmn yule mzee jmn dahhhh alikuwa mtu wa pekee sijawahi kuona china ya hii jua. Apumzike kwa amani. Amen.
@samsonmweta50405 ай бұрын
Mungu ni mwema, tuliobaki duniani tunashuhudia uthubutu wake Rip Mr president
@Hussein-gx4qu5 ай бұрын
Hongera hayati magufuri
@ramadhanramadhan36985 ай бұрын
Hongera TRC, Kazi njema sana, hakika mmezikonga roho za watanzania, kongole pia kwa upangaji wa bei ambazo wanyonge wanazimudu, jitahidini sana kudhibiti mifumo ili mapato yasivuje, jizatitini sana ktk ulinzi na usalama kwani huo ni mradi mkakati. Mungu atutangulie ktk majukumu yetu.
@Worldunite5 ай бұрын
JPM oyeee, rip hayati JPM
@jacksonelieza1605 ай бұрын
Asante jpm
@AliBakar-sx7lu5 ай бұрын
A sleeping lion is now slowly walking. Hongera mama samia ila kuwa makini na hao majizi wa fedha za umma
@NassoroHaji-i8k5 ай бұрын
Maashaallah very fantastic TANZANIA one Allah bless My country
@alfredkalaba16145 ай бұрын
JPM na Samia wamewatendea Haki Watanzania analolianzisha mtangulizi inabidi anayekuja akamilishe....imekaa vizuri sanaaa!!!! Maendeleo ni ya Watanzania woteee!!!
@webirowasira79205 ай бұрын
MBONA HAMTOI UPDATE ZA LOCATION NYINGINE AU UJENZI UMESIMAMA?? Singida to mwanza or Kigoma
@ebenezermachange-zp4es5 ай бұрын
Sawa kabisa .Glory to God
@yustomwaisomania25875 ай бұрын
RIP JPM 😭😭
@desiderichuwa2635 ай бұрын
Shida kubwa ya mashirika ya serikali ni: WILL YOU MAINTAIN THE STANDARDS 😅
@salumabdallah29905 ай бұрын
Hizi treni naziona mbali sana naaamini treni ya mizigo ndio italeta maendeleo zaidi sana
@tanzcanmediatv44735 ай бұрын
Open access wameuaa itatufanya uchumi ukue na barabara zitakuwa nzuri
@ochu_man76825 ай бұрын
Mungu anijalie uzima tu, mwaka hauishi huu sijapanda
@MrLanga855 ай бұрын
The best news this year so far
@Mercy-rb2sf5 ай бұрын
Bado TRAIN ya kwenda kaskazini ni muhimu sana pia na kumalizia bwawa la umeme la Mwl.NYERERE
@Kabwela7765 ай бұрын
Kituo cha Morogoro cha SGR kiwekwe lami ni mavumbi kutoka stesheni ya SGR Hadi barabarani hivi hamuoni hilo ???
@joelulomi57535 ай бұрын
Kituo cha Morogoro ni aibu! These people ate not serious.
@fredducaunt5 ай бұрын
Kituo cha Moro lami iwekwe sasa watu wanatoka stesheni wanalishwa vumbi kwenye pikipiki hadi barabarani tunaamka kesho yake na mafua makali
@Kabwela7765 ай бұрын
Mngetafuta waandishi wa habari warushe malalamiko Hadi uonekane huo uozo ndio wataweka lami, ni maajabu sana mkuu wa mkoa amepita hiyo barabara Na ameona ila hamna kitu Na wala hawazungumzii hilo vumbi
@brightonshakila64065 ай бұрын
Vumbi kuu
@hassshoban82065 ай бұрын
Muweke train kila baada ya masaa mawili. 😊
@Brilliant-k2k5 ай бұрын
Wanaweka kulingana na idadi ya abiria
@hassshoban82065 ай бұрын
@@Brilliant-k2k Abiria wengi wameachwa mkuu 😊
@chumaramadhani.75814 ай бұрын
Kuna lugha inayojengeka hivi sawa ya kuita Treni ya kisasa au mwendo kasi kuitwa SGR, ni vyema Sasa tukatafuta jina sahihi la Treni hiyo badala ya kuitwa SGR, Kwa kuwa, kwa ufahamu wangu mdogo SGR ni njia ya hiyo inamopita na siyo jina la hiyo treini. Maana ile zamani nayo ingeitwa Mettergarge. Tuwafunze watoto wetu lugha sahihi ya hiyo Treini. Ni mtazamo wangu binafsi huu.
@EliwazaEmnuel19 күн бұрын
Ticket za kesho zipo
@StillHope_music5 ай бұрын
TRAIN HII INGEPENDEZA ZAIDI LANGI ZINGEPAKWA ZA BENDERA YA TANZANIA. IMAGINE THAT - blue , green, black , yellow. Wow! Napendekeza
@NassoroHaji-i8k5 ай бұрын
Upo sahihi kabisa
@Robert-p7c1k5 ай бұрын
Mwamba✔️💯%
@EliasCosmas-l3f5 ай бұрын
Ivi ni kwanini kweny shughuri za maendekei Mwanza huwa mnaifanya kuwa ya mwisho sana jaman sio feir kabisa hata update hamtoi
@tanzcanmediatv44735 ай бұрын
Jpm🎉🎉🎉🎉🎉❤
@deogratiasmagayane16155 ай бұрын
safi sana
@ilynpayne74915 ай бұрын
Safi sana magufuli
@Ranaimuye5 ай бұрын
Huo mradi si wa Magufuli bali kaurdhi. Shahidi - Kikwete.
@bonvivant37044 ай бұрын
@@Ranaimuyesasa huyo kikwete mbona hakutekeleza🙄
@badrimanu24685 ай бұрын
Waw Tiongkok/China in Tanzania
@h.alshidhani89715 ай бұрын
Kama Trains zote zimejaa,,, na hii ndio siku ya kwanza..... Tusubiri kuona vipi itakuwa
@bilid41285 ай бұрын
😂😂😂nyumba ndogo kama kichuguu alafu ndani anakaa mtu 😅😅😅
@beaugosseadam68315 ай бұрын
Hili lishoga Mwidjaku huwa mnakosa wengine wakuzungumza nao!!!
@filamupictures93495 ай бұрын
haitwi, huwa anafika mwenyewe, na wanampenda kwasababu jambo akilishika yeye linakuwa maarufu ni mchangamshaji mzuri wa matukio
@temuemanuel46715 ай бұрын
@@filamupictures9349umemjibu vizuri
@nestorykimario93845 ай бұрын
usimwite mtu shoga bhana iyo ni wivu mkubwa
@philemonmagesa55485 ай бұрын
Yani ikifika mwanza itakuwa jambo kubwa zaidi
@domtv5185 ай бұрын
Watu tuliochelewa train ikatuacha hakuna reservation
@vintagemusicgroup92365 ай бұрын
Huo mkataba wa ushirikiano tunaomba kuuona
@Ranaimuye5 ай бұрын
Zama hizi kipa umbele si mwanzo/mwsho wa usafiri bali shughuli za maendeleo pembezoni (Corridor) mwa huo manzoni mwisho. Ieleweke hivyo.
@nyambegamatoro68175 ай бұрын
Ko abiria 900 ni sawa na mabasi 15 yameongozana , du inafurahisha!!!
@Brilliant-k2k5 ай бұрын
Hiyo chuma inasomba vichwa vya kutosha boss
@frankmapera675 ай бұрын
Tunaokaa moro na tunataka kwenda Dodoma utaratibu upoje na nauli je?
@fctlinesfactlines28175 ай бұрын
Muda gani njiani..?
@mvunge71085 ай бұрын
Hataweza kuendelleza wizi mwingi bila akili
@CasmirKiwale5 ай бұрын
Si wapande miti huko duh
@juliusmagoti56505 ай бұрын
Cjajua kama mwijaku yuko hapo jama abiria au ni sehemu ya matangazo ya uhamasishaji kibiashara. Nashauri TRC wapate watu wenye heshima ambao wanaweza kutumika kama sehemu ya business promotion. Mwijaku hana Business credibility. Ni msema hovyo tu
@festokemibala58325 ай бұрын
Umenena, hata hajui kuchagua maneno ya kibiashara! Huwezi kukandia usafiri wa mabasi kwamba huko hawawezi kuona tunnel. Huko ni kuua biashara za wwngine ambazo ndo zimetufikisha hapa. Kuna mabasi vvip choo ndani hivyo wapongezwe nao
@nyambegamatoro68175 ай бұрын
Du, Kanda ya ziwa itafika lini??? Labda2050hivi??
@philemonmagesa55485 ай бұрын
Namm naona hvyo aisee
@selemankishema57805 ай бұрын
Yaani toka mwanzo mnaowahoji wapumbavu wapumbavu hebu leteni watu wamaana
@filamupictures93495 ай бұрын
clip zipo nyingi sana za tukio hili, sio hii tu ungezitazama na nyengine
@askarikanzu10545 ай бұрын
Una maanisha Kadogosa aliyehojiwa naye ni mpumbavu? Basi wangekuhoji wewe😂😂
@nzigeprofilelives62595 ай бұрын
Hamjatuambia imetumi muda gani kufika Dom mliosafiri tuabalisheni basi
@festokemibala58325 ай бұрын
Inafika saa 3.25 asubuhi hivyo kokotoa mwenyeww huo muda
@superdupaproducer42945 ай бұрын
Iliondoka saa ngapi@@festokemibala5832
@nguruwekikwete16355 ай бұрын
Kwa ndani train ya mchongoko ni duni kuliko hii ...kuna kosa sehemu
@bekabakari73945 ай бұрын
Mabehewa ni yale yale Mchongo na sio mchongo Ni engin (machine)
@nguruwekikwete16355 ай бұрын
@@bekabakari7394 kakudanganya nani hivyo mchongoko ni EMU vina vichwa viwili mbele na nyuma na vina mabehewa yake tofauti kabisa na haya tunayo tumia sasa. Pia mabehewa ya gorofa ya yana vichwa vyake ila kwa yale ya gorofa unaweza kutumia vichwa vya kawaida ila siyo hizi EMU
@modenasayi5 ай бұрын
Mchongoko uko wapi ?
@salumabdallah29905 ай бұрын
Karibuni hio
@modenasayi5 ай бұрын
@@salumabdallah2990 ndiyo nini hiyo 😅 train za mchongoko zimekuja March hadi leo eti kutest kutest nini sasa
@osoromageta33815 ай бұрын
mwijaku hapitwi
@gideonmwanjila86165 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@jamalimussa49285 ай бұрын
Jitahidi kutotumia ticket xa makaratasi kulinda mapato na mazingira pia,
@jumamabu36505 ай бұрын
Imetumia muda gani !?
@victormkini27085 ай бұрын
Muda imekuwa Siri
@festokemibala58325 ай бұрын
@@victormkini2708wamefika saa 3.25 asb
@zolongOne5 ай бұрын
4
@worldtechlab5 ай бұрын
Mchongoko uko wapi mnaboa hata hamjibu watu fyoko
@ernestsinje97005 ай бұрын
Mchongoko upoo babu wa ukweli speed km200/h
@ernestsinje97005 ай бұрын
Dodoma masaa matatu na nusu tuu
@worldtechlab5 ай бұрын
@@ernestsinje9700uko wapi mbona hamna safari ya Leo iliyotumia mchongoko na wewe muongo
@festokemibala58325 ай бұрын
Bado ktk majaribio, tuliza ball pia kauli
@worldtechlab5 ай бұрын
@@festokemibala5832 majaribio Gani yasiyoisha train imekuja tangu march