CHEMCHEMI ZA UZIMA

  Рет қаралды 97,726

CGen Pro

CGen Pro

Ай бұрын

Karibu upate kutafakari na Kwaya ya Mt. Aloyce Gonzaga, Chuo Cha Mipango Dodoma.
Wimbo: CHEMCHEMI ZA UZIMA
Waimbaji: KWAYA YA MT. ALOYCE GONZAGA
Mtunzi: F.M. SHIMANYI
Sound Eng: DUKE & SHIMANYI
Organist: DUKE
Video Director: SHIMANYI
Studio: CGen Pro
Mawasiliano: +255765449914

Пікірлер: 187
@PeterParsimei
@PeterParsimei 5 күн бұрын
Hongereni zaidi 🎉🎉sauti nzuri na tamu Sana ❤❤❤hakika kwa bwana zatoka chemichemi za uzima❤❤
@melodicchoir
@melodicchoir 4 күн бұрын
ongereni sana kweli chemichemi za uzima
@jaxmkada6797
@jaxmkada6797 Ай бұрын
Kazi nzuriii na Mungu awabariki⛪👋👋👋
@malaikajabali-oj2fh
@malaikajabali-oj2fh Ай бұрын
Asanteni mwapendeza. Sending hugs and kisses from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@ZachariaKidiga
@ZachariaKidiga Ай бұрын
Kaz nzuri. Ashukuriwe mungu
@lizziemutuku4761
@lizziemutuku4761 Ай бұрын
Nyimbo tamu ✨✨💙
@leahnyongesa8545
@leahnyongesa8545 Ай бұрын
Moyo wangu..hakika mmeniwacha nikiwa bado natafakari..kazi safiii❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amina
@MartiniAxwesso
@MartiniAxwesso Ай бұрын
Wimbo mzuri sana mbarikiwe sana mtunzi na wanakwaya
@geraldokothKE
@geraldokothKE Ай бұрын
Kazi safi F. Shimanyi.❤
@petrochundu9702
@petrochundu9702 Ай бұрын
Baba unaya nimwingi sana hakika kazi imekamilika kikamilifu Mungu awabarika washiliki wote ❤❤❤
@user-us1rg1tk8n
@user-us1rg1tk8n Ай бұрын
This is a hot one, shukrani Shimanyi
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Thanks
@roseleaf7285
@roseleaf7285 Ай бұрын
Amazing ❤❤
@kalenge
@kalenge Ай бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri.❤
@TheodoreAthanas
@TheodoreAthanas Ай бұрын
AWeeeh mtunzi........mungu akubariki🎊....weh unatisha bana...waimbaji 💥
@donathathobias6819
@donathathobias6819 Ай бұрын
kaz nzuri, Mbarikiwe sana❤🎉
@JohnsonIphompa-qh3hn
@JohnsonIphompa-qh3hn Ай бұрын
Kazi nzuri,,,hongereni kwa utume na tafakari nzuri.
@susanvaati2213
@susanvaati2213 Ай бұрын
video quality🔥kazi safi👏👏
@DicksonKimbe
@DicksonKimbe Ай бұрын
Kaka yohane mbavu unanikumbusha . Alfagerms kaka maua yenu❤❤❤❤
@victormaisiba8237
@victormaisiba8237 Ай бұрын
Wow. Amazing! God bless you.
@martinmwenda893
@martinmwenda893 Ай бұрын
From Kenya. Very inspiring, congratulations
@irenemwikali1694
@irenemwikali1694 23 күн бұрын
Wimbo mtamu sana wenye hekima....my daily anthem 🎉
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Be blessed
@festombunda2855
@festombunda2855 29 күн бұрын
Kazi nzur sanaa.. ongereni sanaa
@user-sx1cw8co2k
@user-sx1cw8co2k Ай бұрын
Hongera nyingii😢😢😢 umeupiga mwingi mno❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@egbertelisa51
@egbertelisa51 Ай бұрын
What a song🙌🙌🙏🤩🤩
@eusabia7082
@eusabia7082 Ай бұрын
Chemi Chemi za uzima in bass oh my laaarwd made me increase volume Kwa system keep it up
@credokanyabuhura7876
@credokanyabuhura7876 Ай бұрын
Unyamaaaaaa ni mwiiiingiiii mnoooooooooo
@Adips12128
@Adips12128 Ай бұрын
Waaaah😂😂😂 sijawai ona utunzi mtamu kama huu ❤❤❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amen
@agnetaachieng5020
@agnetaachieng5020 Ай бұрын
Good job Cgen♥️♥️♥️👌 I'm in love with the song👌🙏
@ChristinaSuzo
@ChristinaSuzo Ай бұрын
Shimanyi nakukubali kama kitimoto vile😂😂 na wanakwaya wamefanya vema. Mungu awabariki sana jomoni wanachuo wetu. Na mkirudi mtaani muendeleze utume wa uimbaji isiishie tu huko chuoni🎉🎉
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amina
@conybebkadaz1339
@conybebkadaz1339 Ай бұрын
Moyo wangu nipe tabasamu 🙌🙏🔥
@user-ej7uf9bd4o
@user-ej7uf9bd4o Ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri ya utume
@agnesnelima2861
@agnesnelima2861 Ай бұрын
Eeeeeeeyyyyyyy🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥sina maoni hata.. I'm in loveeeee🔥❤️❤️❤️❤️ Shimanyi jameni 🥹🥹
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Karibuu
@hermanbonitus866
@hermanbonitus866 Ай бұрын
Asante sana shimanyi, Uniqueness katika utunzi, ubinifu akiiii nabarikiwa sana. Au basi tufanye mbinguni niwe mwanakwaya wako
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
😂😂😂
@FlorentinJoseph-qj7fj
@FlorentinJoseph-qj7fj Ай бұрын
Waoooo! Mithali 4:23 🔥🔥🔥🥂inabariki sanaaa
@user-em3jz8pq4t
@user-em3jz8pq4t Ай бұрын
Hongereni sana
@agatonngailo6632
@agatonngailo6632 28 күн бұрын
Honger kwa utunz wa wimbo mzur fm nyimanyi
@jemimaatieno203
@jemimaatieno203 Ай бұрын
kazi n safi❤❤❤
@user-zu7zs3fe7k
@user-zu7zs3fe7k Ай бұрын
Shimanyi umeshimanya moyo wangu hongera Kwa utunzi wa wimbo mardadi kabisa mungu akupe maarifa zaidi amina
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amina
@user-tp7lw8nl7y
@user-tp7lw8nl7y 14 күн бұрын
Mungu,ni,mkubwa,hongera,kwa,kwaya,tuipendazo🎉😢😮😅😅❤❤❤❤❤😢😢😢❤😢❤😢
@cgenpro175
@cgenpro175 11 күн бұрын
Amina
@DicksonKimbe
@DicksonKimbe Ай бұрын
Kaka shimanyi FM nimekuwa nikikufuatilia sanaa.. Kazi zako ziko pouwa kwakweliiii❤❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Asante karibu
@paulnjage7115
@paulnjage7115 27 күн бұрын
Kazi safi
@RenatussaimonBurugu
@RenatussaimonBurugu Ай бұрын
Mungu awabriki sana
@paskaliakonaay01
@paskaliakonaay01 Ай бұрын
As usual Shimanyi FM kaz nzur,,congrats sana kwa ujumbe mzur🎉🎉
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Thanks
@NaomiKuria-md9po
@NaomiKuria-md9po Ай бұрын
Kazi kuntu. Kongole kwa mtunzi Mwalimu na hata waimbaji . Sitosheki kuuitizama huu wimbo ❤❤❤❤❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amina
@veronicanyangwilamalindila
@veronicanyangwilamalindila Ай бұрын
Chemichemi za uzim🎉🎉🎉 Hongereni sana waimbaji
@user-zu7zs3fe7k
@user-zu7zs3fe7k Ай бұрын
Kazi ni nzur sana mmeshain vizur sana hngeren sana
@PascalKoba-ve1zi
@PascalKoba-ve1zi Ай бұрын
Kazi nzuri hongereni sana
@user-je8jl9bm2b
@user-je8jl9bm2b Ай бұрын
Amina kazi nzuri
@benadethacreophace2433
@benadethacreophace2433 Ай бұрын
Wimbo ni mzuri Sana,na ujumbe mzuri.hongera sana
@eurotv4000
@eurotv4000 Ай бұрын
Good work ❤
@magotianuro
@magotianuro Ай бұрын
NYIMBO NZUR SANA HONGERA KWA KUMWIMBIA MUNGU ❤❤❤❤❤
@martinimatutuli5575
@martinimatutuli5575 Ай бұрын
Shimanyi + Duke 🙌
@JohnThomas-mq5fw
@JohnThomas-mq5fw 4 күн бұрын
Hongereni saana 🎉❤❤❤
@kenanmwakifwamba528
@kenanmwakifwamba528 Ай бұрын
nice one keep it up
@MussaIsengwa
@MussaIsengwa Ай бұрын
ASeee Kazi mzuri Sana Daaah Hongera Sana mtunzi na Wainaku Pamoja na director
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Asante
@mabogocharles6824
@mabogocharles6824 Ай бұрын
Kaka unyama ni mwingi sanaa hongera kwa kazi nzuri cgen on 🔥
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Asante sana
@SaimonDavid-li5yq
@SaimonDavid-li5yq Ай бұрын
Hakika MUNGU awabariki wote milele
@perpetuaqamunga566
@perpetuaqamunga566 27 күн бұрын
Awesome 💯❤
@Mc_Kibonge_Mwepesi
@Mc_Kibonge_Mwepesi Ай бұрын
Nimepigwa na butwaa mpaka nimechelewa kucomment hii Ina nguvu ya kusogeza mbingu karibu❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Barikiwa sana kaka
@askolaaweda5827
@askolaaweda5827 Ай бұрын
Kwa kweli wimbo upo poa saaana,japo mfupi saana ila una content za kutosha
@justinenzagi1641
@justinenzagi1641 Ай бұрын
Shimanyi tafadhar naomba nota
@johackimmbeyale90
@johackimmbeyale90 19 күн бұрын
Mungu aibariki kazi zamikono yako shimanyi wewe ni balaaa
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Barikiwa
@moeselinus111
@moeselinus111 Ай бұрын
Kongole kwako mtunzi hii ni kazi njema mno
@kayroserey1678
@kayroserey1678 Ай бұрын
Greetings from Oklahoma city, Oklahoma USA. Lovely.
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
You are warmly welcome
@askolaaweda5827
@askolaaweda5827 Ай бұрын
Kwa kweli huyu mtunzi na waimbaji wabatikiwe mnoo
@VenasLujinya22
@VenasLujinya22 Ай бұрын
Hongereni sana kazi nzuri sana.
@DEOGRATIASJUMA-kq7ud
@DEOGRATIASJUMA-kq7ud Ай бұрын
Nzurii sana hongerenii sana
@agustinobinamungu669
@agustinobinamungu669 Ай бұрын
hongereni kazi nzuri sana
@MathewMbovu-dx5tx
@MathewMbovu-dx5tx Күн бұрын
It's heart touching 💜❤️❤️❤️❤️ I love it
@HeniryKifikilo
@HeniryKifikilo 9 күн бұрын
Kwakweliii ndoo nilizamiahwaa Kwanzaa ,
@JosephPeter-fw1sw
@JosephPeter-fw1sw Ай бұрын
Hongereni mko vizuri
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amina
@winfredwavinya4602
@winfredwavinya4602 Ай бұрын
I love it ....❤
@nurmanmaginga9555
@nurmanmaginga9555 Ай бұрын
Ila nyie huyu shimanyi ni mtu wa kawaida au ni nan mmmh maana sio kwa madini hayaa❤❤❤❤❤
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Ha ha ha 😂😂 ni mtu wa kawaida tu
@nurmanmaginga9555
@nurmanmaginga9555 10 күн бұрын
aaa we jamaa hapana nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu tuinjilike zaid kupitia nyimbo zako,,kuna songi moja linaitwa NI BWANA KAFUFUKA ebwana🙌🙌
@PauloBatholomayo
@PauloBatholomayo Ай бұрын
Kazi nzuri sana mbarikiwe🙏
@JosephJoseph-sm2be
@JosephJoseph-sm2be Ай бұрын
Melody ❤
@LaudisLiveti
@LaudisLiveti Ай бұрын
Hongeren xana
@thadeopius5803
@thadeopius5803 Ай бұрын
Kaka umeinyoosha cyo poaa😂
@sylivianamutosi9264
@sylivianamutosi9264 Ай бұрын
Good song god 🙏🙏 bless you all
@emmanuelekombe4651
@emmanuelekombe4651 Ай бұрын
Wow, kubwa hiiii❤🔥
@HOTGOSPELSONGS-gy9ug
@HOTGOSPELSONGS-gy9ug Ай бұрын
Shimanyi ni kijana wa Hovyo sana khaaaaa nini hiki unauambia moyo💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓 cna cha kusema zaidi ya kongole
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Ha ha ha asante
@Arati896
@Arati896 Ай бұрын
Safi ❤🎉
@juliusfortunatus9555
@juliusfortunatus9555 21 күн бұрын
Nice song pia mtuzi yupo vizur Namuona lucy 🎉
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Asante
@josephineamandi766
@josephineamandi766 Ай бұрын
❤❤❤I love it
@upendowamungugroup
@upendowamungugroup Ай бұрын
Shimanyi naomba namba zako baba
@mariangaida6584
@mariangaida6584 Ай бұрын
Waaaoh 🎉🎉🎉🎉
@georgeomondi217
@georgeomondi217 Ай бұрын
Shimanyi FM mwenyewe.....🎉
@veridianakimario7383
@veridianakimario7383 Ай бұрын
Fm ni motooo
@TadeoSaleje
@TadeoSaleje Ай бұрын
Mwalimu /mtunzi hujawahi kufeli napenda sana nyimbo zako kati ya watunzi wote ww kwangu no 1
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amen
@JoenHarry-jw3zu
@JoenHarry-jw3zu Ай бұрын
Shimanyi wewe ni moto wa kuotea mbali❤❤❤❤🎉
@anastaciamuema
@anastaciamuema Ай бұрын
Shimanyi nimekuita mara ngapi?😅 Maua yako pokea kaka❤🫶🙌🙌🙌
@magogobonyonte2633
@magogobonyonte2633 Ай бұрын
Enyewe anahitaji maua, nyimbo zake nzuri kweli
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Nimeitika mara zote na maua nimepokea dada
@franciskironjo9369
@franciskironjo9369 Ай бұрын
Ever following huyu mwalimu.... good music 🎵🎶🎶 254 we lov u
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Thanks
@MaggyMuthoki
@MaggyMuthoki 19 күн бұрын
Wimbo mtamu sana,,,,my morning anthem
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amen
@waromokello
@waromokello Ай бұрын
This is seriously wonderful
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amen
@mapendoglory16
@mapendoglory16 Ай бұрын
Ooooooooo!!!!!!! Moyo wangu. Watu Wa Mungu mpooooo???? Semeni Amina. Hongereni Sana waimbaji Na mtunzi.
@NaomiKuria-md9po
@NaomiKuria-md9po Ай бұрын
Amina
@alphonselikana
@alphonselikana 20 күн бұрын
Congratulations
@michaellokwaare6586
@michaellokwaare6586 Ай бұрын
Shimanyi mambo yote. Wimbo huu naye ni mtamu sana
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amen
@petermaranya7004
@petermaranya7004 Ай бұрын
God did ,nakubali kaka
@MeshackAudax-bv5xu
@MeshackAudax-bv5xu Ай бұрын
Kaka shimanyi hongera Sana kazi nzuri Sana 🔥🙏🙏
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amina
@StivinSapi-eg7kr
@StivinSapi-eg7kr 15 күн бұрын
Hakika huu ndiyo uinjilishaji MUNGU awabariki
@fortuneshimanyi2064
@fortuneshimanyi2064 11 күн бұрын
Amina
@linetnangati346
@linetnangati346 Ай бұрын
Tamu sana❤❤❤🎉
SHUHUDA ZA KWELI (Official Video)
4:06
CGen Pro
Рет қаралды 70 М.
TUNAPASWA KUSHUKURU
5:50
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 7 МЛН
I’m just a kid 🥹🥰 LeoNata family #shorts
00:12
LeoNata Family
Рет қаралды 17 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Stupid Barry Find Mellstroy in Escape From Prison Challenge
00:29
Garri Creative
Рет қаралды 21 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 462 М.
BWANA NI NURU YANGU - Blessed Singers Mtunzi :  Deo Mhumbira
4:21
KITINGI ONLINE TV
Рет қаралды 607
MAJI YA UZIMA | Fortune Shimanyi | (Official Video)
5:03
St. Paul's Students Choir University of Nairobi
Рет қаралды 720 М.
TOP TOP (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
5:34
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
Twende Nyumbani Mwa Bwana - Melodic Harmony Chorale ft Lawrence Kameja
6:47
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 59 М.
TUSONGE MBELE | 2023👉2024💥🎉💫
8:30
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 205 М.
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 177 М.
ToRung short film: 😭i'm not blind😢
0:58
ToRung
Рет қаралды 38 МЛН
Щенок Нашёл Маму 🥹❤️
0:31
ДоброShorts
Рет қаралды 4,9 МЛН
Средний палец и собака 🤯
0:25
FATA MORGANA
Рет қаралды 3,6 МЛН
1 or 2?🐄
0:12
Kan Andrey
Рет қаралды 19 МЛН