MAULIDI YALIANZISWA NA ALLAH MWENYEWE,SIO MASHIA MBONA ASHURA MNAFUATA KWA MAYAHUDI, MWINYIBABA

  Рет қаралды 5,363

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Пікірлер: 172
@MuhdharMohamed-j3h
@MuhdharMohamed-j3h 18 күн бұрын
Shukran sana Sheikh Wetu ALLAH Akupe Umri Mrefu Na Maisha Mazuri hapa Duniani Na Kesho Akhera Hata Mtumi MUHAMMAD SAW Alipingwa
@KhadijaKihago
@KhadijaKihago 25 күн бұрын
Allah atuwekee shekh wetu
@Abdulrahman.84
@Abdulrahman.84 11 күн бұрын
Masha Allah Shukran wajazallah kheir
@binhemed7517
@binhemed7517 Ай бұрын
SubhanaAllah. Hiyo ni kufru ya hali ya juu
@hakeemprince6868
@hakeemprince6868 Ай бұрын
: لا يزال الناس بخير ما أخذوا العلم عن أكابرهم, وعن علمائهم وأمنائهم, فإذا أخذوه من صغارهم وشرارهم هلكوا... جزاكم الله خيرا
@isihakamshare3396
@isihakamshare3396 Ай бұрын
@@hakeemprince6868 جىد
@naasibabuu
@naasibabuu Ай бұрын
unapoamua kufanya ujinga basi fanya kivyako usikubali kumsingizia ALLAH SUBHAANAHU WATA'ALA uongo
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Ай бұрын
SubhaanaAllah Kufru za wazi kabisa
@SadickMussa-g6h
@SadickMussa-g6h Ай бұрын
Mashekhe wakizushi wamekusanyika kuendeleza uzushi wao
@ATICKLUNKO
@ATICKLUNKO Ай бұрын
Hawajalingan,, kwa kula wamelingana kwa ,, kumswalia mtume kupean mauidhwa,, inshalah wew fung,
@YahayaNyuha
@YahayaNyuha 29 күн бұрын
Kila mmoja ataulizwa siku ya Qiyama kwa maneno aliyo yaandika ayatolee ushahidi,sasa nyinyi mawahabi tukaneni tu masheikh mtajua siku ya kufa لمن عقبي الدار
@abasimwinyibovu3090
@abasimwinyibovu3090 Ай бұрын
Allahumma swalliy wasallim alayh
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Ww mzee mche Allah acha urongo umri wako uhurumie
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Ndio maana imaam Shafy alisema mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika adhuhuri atakuwa mpumbavu
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
Huo ukweli wako hujausema wala hujauonyesha sasa mwenzako katoa ushahidi wake Wewe ni maneno matupu tukuamini Wewe mtupu au yeye?
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@abdullahmasakata170 Ushahidi upi alioutoa???
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
@@bagalucha Ww kwani umesinzia wakati anaongea? Kama hukuona ushahidi wowote Wa aliyo ongea leta ukweli wako na sio malalamiko tu na kuishia kukomenti kama ulivyo fanya ndio ushahidi sahihi?
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@abdullahmasakata170 hiyo evidence na fact zipo wapi hapo,nitungo zilizokosa elimu,nielimishe wewe katika ulivyovisikia kilichokuwa na evidence na fact,nipe references authentic katika aliyoyasema kama yana ukweli,nakupa 100% challenge kwa hilo,hayo aliyoyasema hutoyakuta katika ushahidi classification za elimu ya Mustlah al hadeeth au usool al hadeeth,hayakubaliki kabisa na wanavyuooni ,hizo ni tungo zisizo na ushahidi ni hadithi Maudoo,ni hadith za kutengeneza,ni hadith za tungo,mazungumzo ya paukwa Pakawa,sikutaka nifike hapa,lete ushahidi kuyapinga niliyoeleza.
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
Haifai kuzungumza mambo kwa hawaa zetu,si vizuri kupinga,lakini kuna mengine mmezidi,mnatema tuu,na kila jambo mnalifanya dini zinavyotaka nafsi zenu,hata Allah mwenye ulimwengu wake tunamuweka upande,dhima dhima dhima.tumuogope Allah,hakuna aliyemkamilifu,lakini kwa haya mnayazidisha kupita.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
Toa elimu sio koment yako na malalamiko tu with no evidence and fact.
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@abdullahmasakata170 hiyo evidence na fact zipo wapi hapo,nitungo zilizokosa elimu,nielimishe wewe katika ulivyovisikia kilichokuwa na evidence na fact,nipe references authentic katika aliyoyasema kama yana ukweli,nakupa 100% challenge kwa hilo,hayo aliyoyasema hutoyakuta katika ushahidi classification za elimu ya Mustlah al hadeeth au usool al hadeeth,hayakubaliki kabisa na wanavyuooni ,hizo ni tungo zisizo na ushahidi ni hadithi Maudoo,ni hadith za kutengeneza,ni hadith za tungo,mazungumzo ya paukwa Pakawa,sikutaka nifike hapa,lete ushahidi kuyapinga niliyoeleza.
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@abdullahmasakata170 Bismillah Rahman Rahim Sehemu ya kwanza Naanza kuyachambua kwa aliyoyasema Sheikh kwa nia ya kuelimishana sio kwa nia ya ushindani,au kuvunjiana heshima. Alianza kwa aya Al Israa 85 ( Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.)akaipa heshima yake aya hii,kwa kusema na sisi wanadamu hatuna chochote,papo papo akaibadili maana hafla,kwa kusema lakini tunacho chochote,akaipinga aya kwa haraka kiubabaishaji ,akaichang’anya na kuiunganisha katika sifa iliyokosesha maana yake halisi,ati ni mantiki,kwa kubabaisha akasema “Na yeye mwenyewe akisema ya kwamba,hao watatu waliotangulia kuhutubia wamemchanganya hata asijue analolisema”,akijua wenye kumsikiliza na kufahamu awababaishe kwa hilo,akaendelea ya kwamba hatotoboa siri,lakini atatoboa airefushe kwa sababu chakula bado,lakini hafla akaambiwa chakula tayari,kwa hiyo hajui afanye nini?.Udhaifu upo wapi hapo??,kabla ya kuendelea na uchambuzi tufikie hapa,inaendelea hatua kwa hatua!!!
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
Bismillah Rahman Rahim Sehemu ya kwanza Naanza kuyachambua kwa aliyoyasema Sheikh kwa nia ya kuelimishana sio kwa nia ya ushindani,au kuvunjiana heshima. Alianza kwa aya Al Israa 85 ( Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.)akaipa heshima yake aya hii,kwa kusema na sisi wanadamu hatuna chochote,papo papo akaibadili maana hafla,kwa kusema lakini tunacho chochote,akaipinga aya kwa haraka kiubabaishaji ,akaichang’anya na kuiunganisha katika sifa iliyokosesha maana yake halisi,ati ni mantiki,kwa kubabaisha akasema “Na yeye mwenyewe akisema ya kwamba,hao watatu waliotangulia kuhutubia wamemchanganya hata asijue analolisema”,akijua wenye kumsikiliza na kufahamu awababaishe kwa hilo,akaendelea ya kwamba hatotoboa siri,lakini atatoboa airefushe kwa sababu chakula bado,lakini hafla akaambiwa chakula tayari,kwa hiyo hajui afanye nini?.Udhaifu upo wapi hapo??,kabla ya kuendelea na uchambuzi tufikie hapa,inaendelea hatua kwa hatua!!!
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
@@bagalucha Wewe ndio hujui kabisa kutoa elimu wala kukosoa huwezi maana ndio unazidisha makosa zaidi. Unapokosoa hakikisha umesoma fani zote na uwe hodari kwa fani hizo sio hizi paukwa pakawa zenu. Hayo ni maelezo yako na uelewa wako mdogo. Rudi darasani kijana still you are nothing. Unajidharirisha wakati elimu huna na unataka kukosoa walio kuzidi elimu nyingi na hekima.
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 Ай бұрын
Akili ndogo za masufi. Msiba mkubwa.
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Ikiwa Mtume alifunga ww unakula jee umelingana na mtume
@mehbooballarakha6530
@mehbooballarakha6530 9 күн бұрын
🌹☀️💎💙💎MASHA ALLAH MILAD UN NABI EXSITANCE WITH ALLAH SHUBANA WA TALLA LET THERE BE LIGHT DIVINE LIGHT AHMAD S.A.W WAS MADE RABI UL AWAL MASHA ALLAH IN THIS WORLD BORN 12 RABI UL AWAL MILAD UN NABI MASHA ALLAH PAST AWAY 12 RABI UL AWAL IN THE WAY OF ALLAH SUBHANA WA TALLA, ALLAH SHUBANA WA TALLA SAY'S THOSE WHO PASS AWAY IN ALLAH S.W.T WAY'S DON'T SAY THEY ARE DEAD,THEY ARE ALIVE, MASHA ALLAH PROPHET MUHAMMAD S A.W MILAD UN NABI TO CELEBRATE IT'S SUNNA MASHA ALLAH ALL SUNNI CELEBRATE'S ,BUT WHY? ISLAMIC UNITED STATE'S CELEBRATED DURING TIME'S OF PROPHET MUHAMMAD S.A.W THERE WAS NO SACT'S,INSHA ALLAH GIVE HIDDAYA COME BACK TO ISLAMIC UNITED STATE'S MASHA ALLAH 🌹☀️💎💙💎💎💙💎💎💙🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️💙💙💙💙💙💙💙💙💎💎💎💎💎💎💎💎💎🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️💎☀️☀️☀️☀️☀️☀️☀️☀️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Hawa ni mashia pt 2
@MohamedOmari-r6e
@MohamedOmari-r6e Ай бұрын
Mtu mzima mmoja wakati anakaribia kufariki darsa yake ya mwisho akiwa ametoka kwenye upasuaji alisema kuchukiwa ni desturi, kutotakikana ni desturi anakufa mtu anazaliwa mtu. Nanukuu.
@mohamedchande813
@mohamedchande813 Ай бұрын
Mashaallah, maneno mazito sana haya
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Kwa sababu hawajawataja maswahaba ambao wameuongoza uislamu baada za mtume
@abasimwinyibovu3090
@abasimwinyibovu3090 Ай бұрын
Wenye asili ya najidi ndio mafatani wakubwa wengine mnapinga hata ndoa za wazazi wenu hazikuswii halafu mnagombea mirathi wakifa pumbavu zenu. Huyu shekhe si saizi yenu amewaacha mbali kiilimu Allah atuwekee ampe umri mrefu ummwa kiislamu upate kufaidika
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@abasimwinyibovu3090 Bismillah Rahman Rahim Sehemu ya kwanza Naanza kuyachambua kwa aliyoyasema Sheikh kwa nia ya kuelimishana sio kwa nia ya ushindani,au kuvunjiana heshima. Alianza kwa aya Al Israa 85 ( Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.)akaipa heshima yake aya hii,kwa kusema na sisi wanadamu hatuna chochote,papo papo akaibadili maana hafla,kwa kusema lakini tunacho chochote,akaipinga aya kwa haraka kiubabaishaji ,akaichang’anya na kuiunganisha katika sifa iliyokosesha maana yake halisi,ati ni mantiki,kwa kubabaisha akasema “Na yeye mwenyewe akisema ya kwamba,hao watatu waliotangulia kuhutubia wamemchanganya hata asijue analolisema”,akijua wenye kumsikiliza na kufahamu awababaishe kwa hilo,akaendelea ya kwamba hatotoboa siri,lakini atatoboa airefushe kwa sababu chakula bado,lakini hafla akaambiwa chakula tayari,kwa hiyo hajui afanye nini?.Udhaifu upo wapi hapo??,kabla ya kuendelea na uchambuzi tufikie hapa,inaendelea hatua kwa hatua!!!
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Maana ukiskiliza kwa makini na kwa akili bc utajuwa kuwa hawa ni mashia bila shaka
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Wee mzee mbona hujihurumii hivi siku utakayo simamishwa mbele ya Mola wako utasema kama hivi unavyo sema sasa
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 Ай бұрын
Ashuraa alifunga Musa hao mayahudi wao ndio walifwata kwa Musa na watu wake wee mzee unaota ndoto ya asubuhi wakati wa chai
@saifancal1629
@saifancal1629 Ай бұрын
Alokua hataki hatukulazimishi
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 Ай бұрын
Sifa 6 ya usharifu mojabo hawaongeii uongo , hawa wanajifanya sharifu ni wajombwa ya watoto sayidana Huasein Bin Ali
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
Bismillah Rahman Rahim Sehemu ya kwanza Naanza kuyachambua kwa aliyoyasema Sheikh kwa nia ya kuelimishana sio kwa nia ya ushindani,au kuvunjiana heshima. Alianza kwa aya Al Israa 85 ( Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.)akaipa heshima yake aya hii,kwa kusema na sisi wanadamu hatuna chochote,papo papo akaibadili maana hafla,kwa kusema lakini tunacho chochote,akaipinga aya kwa haraka kiubabaishaji ,akaichang’anya na kuiunganisha katika sifa iliyokosesha maana yake halisi,ati ni mantiki,kwa kubabaisha akasema “Na yeye mwenyewe akisema ya kwamba,hao watatu waliotangulia kuhutubia wamemchanganya hata asijue analolisema”,akijua wenye kumsikiliza na kufahamu awababaishe kwa hilo,akaendelea ya kwamba hatotoboa siri,lakini atatoboa airefushe kwa sababu chakula bado,lakini hafla akaambiwa chakula tayari,kwa hiyo hajui afanye nini?.Udhaifu upo wapi hapo??,kabla ya kuendelea na uchambuzi tufikie hapa,inaendelea hatua kwa hatua!!!
@tigerroar3545
@tigerroar3545 Ай бұрын
Kama mwampenda mtume fuateni sunna zake,mfano fugeni ndevu
@mpatelisuma1836
@mpatelisuma1836 Ай бұрын
Kwahiyo ndevu ndio Sunna pekee aliyoifanya mtumie sio
@tigerroar3545
@tigerroar3545 Ай бұрын
@@mpatelisuma1836 nimesema mfano,
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Tunajuwa kuwa Fatma bint rasuulu llah yy na mama yake bi Khadija kuwa ni wanawake watukufu ila hawa sio maimamu wetu
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 Ай бұрын
Elewa anacho kizungumzaa
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Haya unayoyasema yote ni ya urongo halafu nyinyi masufu mbona wapuuzi sana yaani hamuelewi
@SaidiBakari-kl1gu
@SaidiBakari-kl1gu Ай бұрын
PAMBA UPAMBAVYO, NAKSHI UNAKSHIVYO, TUZOWEE TUZOWEAVYO.. HIZO SIYO DALILI...
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
Toa dalili zako na fundisha ukweli unaoujua watu waelimike sio kulaumu na kuishia kutoa koment tu bila elimu.
@godsservantrimo9844
@godsservantrimo9844 Ай бұрын
Ashura tunafuata Mtume Musa sio mayahudi...piga dufu kwa raha zko tu
@shamissalim3685
@shamissalim3685 Ай бұрын
Kishindo kipevu
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Ай бұрын
MASHEKH WA KISUFI MUOGOPENI ALLAH NA HUO UZUSHI WENU!!!
@sadrupandu5948
@sadrupandu5948 Ай бұрын
Muogope wewe pia usiejua unalolifanya
@sadrupandu5948
@sadrupandu5948 Ай бұрын
Kajmbe ukalala
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Ай бұрын
@@sadrupandu5948 SOMENI ACHENI KUBURUZWA KIZEZETA NA MASUFI
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
@@TwahirBurhan Ww mwenye elimu mbona hujafundisha zaidi ya koment yako au koment yako ndio elimu?
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Ай бұрын
@@abdullahmasakata170 Siwezi kukoment kwenye upuuzi wa bidaa!
@abdulkarimbenagasper3180
@abdulkarimbenagasper3180 Ай бұрын
Allaah akuhifadhi. Muft
@ZainamavooMavoo
@ZainamavooMavoo Ай бұрын
Mawahabi mtake msitake nyinyi niwachache kilimu
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 Ай бұрын
Ina maana ile haya wameshushiwa MAWAHABI si ndy kiongozi
@yuhm504
@yuhm504 Ай бұрын
Wewe kenge tuu ujue masufi Ni punda wa mashia
@zureashomari2408
@zureashomari2408 Ай бұрын
Na nyie ni wenye elm lkn akili ndo shida.... Kuna tofauti kati ya kuelimika na kua na akili.... Lazma mpigie hadithi za abunuwasi basmati iive mle basi....
@mustafaibrahim5200
@mustafaibrahim5200 Ай бұрын
Uongo
@saidmohd2491
@saidmohd2491 Ай бұрын
Yani hiii mijitu ya bidaaa ni mirongooo
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
Tutayasikia Mengi,watu wanasema wanavyotaka kwa matamanio yao nafsi????.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
Elimu yako ni muhimu kuliko kukomenti tu na kulalamika
@ahmedabry293
@ahmedabry293 Ай бұрын
Mtume Muhammad amani ziwe juu yake alisema nimekuachieni vitu viwili mkishikamana navo hamtapotea.. kitabu chá Allah(qur an) na sunna zangu(hadith).. je maswahaba radhi ziwe juu yao hawakuona hii mnayoiita kheri?? Swahaba gani kafanya au khalifa gani amefanya hii kitu?? Kwani tukifanya yale waliofanya waliopita tutakuwa tumepungua katika uislamu wetu?? Ya rabbi shuhudia kuwa tumefikisha..
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
Kwa elimu yako na ufahamu wako unataka kutwambia kuwa kila unacho kifanya na kukifuata sasa kilifanywa na maswahaba? Toka enzi hizo?
@ahmedabry293
@ahmedabry293 Ай бұрын
@@abdullahmasakata170 Twabaan.. hadithi zipo aya zipo na qauli Za wanazuoni zipo.. Nani kafanya maulidi mbona hamseni ni sahaba gani au taabiin gani walifanya.. Fanya ulilofundishwa kupitia mtume na maswahaba na wanazuoni wenye ufahamu wa wema waliopita..
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
@@ahmedabry293 Hukujibu swali langu au ni rudie kuuliza uelewe swali?
@ahmedabry293
@ahmedabry293 Ай бұрын
@@abdullahmasakata170 Mimi sijui haya lijibu wewe hilo swali Ili nipate faida
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
@@ahmedabry293 Mfano tu mdogo ni swahaba gani alie kuwa anatumia mitandao ya kijamii katika dini kama unavyo fanya wewe sasa hivi? Nitajie mitandao mitatu ambayo waliwahi kuitumia kutangaza uislam na Quran kuhifadhiwa na harakati mawaidha kurekodiwa na kutoleana radi kwa sauti na video. Naomba nisaidie kujua hayo.
@jumabeja956
@jumabeja956 Ай бұрын
ربنا ظلمنا أنفسنا ...dua ya toba kwa adamu na hawa
@jumabeja956
@jumabeja956 Ай бұрын
Shekh aliye pembeni anashangaa hadi anakunja uso kuwa anayo ongea sharifu si kweli
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Ай бұрын
WAAMMA WEWE NI MWEHU KABISAA HEBU JICHANGANYE UWAKABILI KIHOJA JITOKEZE AU VIPELEKE HIVYO VIJIBWA VYAKO UNAVYOVIITA VISHEIKH UONE.
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb Ай бұрын
Atikisa kichwa maan anae zungumza ni shekh wa ma shekh hio ni Bahar sio wahab mliojaw na husda
@shabanihassan8678
@shabanihassan8678 Ай бұрын
Hivi nyinyi mna nini ? Hamkosi kuzuwa kila siku Juzi mmekuja na #usiku wa maulidi ni bora kuliko lailatul Qadr Leo mnakuja na lipya u just spk without prof Ayo maneno yawalokole kwa yesu wao msalabani
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
@@shabanihassan8678 Fundisha elimu sio uishie kukomenti tu bila ushahidi au hoja za kielimu.
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Halafu nyinyi masufu munapenda kubadilisha maana ya hadithi na ww umebadilisha matni ya hadithi mtume alipo ulizwa na maswahaba kuwa kwanini wafunga sk ya ijumaa3 akasema ni siku aliyo zaliwa na wala hakusema kuwa ni sk aloumbwa rekebisha matni yako hiyo
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@yahyasalum5833 Bismillah Rahman Rahim Sehemu ya kwanza Naanza kuyachambua kwa aliyoyasema Sheikh kwa nia ya kuelimishana sio kwa nia ya ushindani,au kuvunjiana heshima. Alianza kwa aya Al Israa 85 ( Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.)akaipa heshima yake aya hii,kwa kusema na sisi wanadamu hatuna chochote,papo papo akaibadili maana hafla,kwa kusema lakini tunacho chochote,akaipinga aya kwa haraka kiubabaishaji ,akaichang’anya na kuiunganisha katika sifa iliyokosesha maana yake halisi,ati ni mantiki,kwa kubabaisha akasema “Na yeye mwenyewe akisema ya kwamba,hao watatu waliotangulia kuhutubia wamemchanganya hata asijue analolisema”,akijua wenye kumsikiliza na kufahamu awababaishe kwa hilo,akaendelea ya kwamba hatotoboa siri,lakini atatoboa airefushe kwa sababu chakula bado,lakini hafla akaambiwa chakula tayari,kwa hiyo hajui afanye nini?.Udhaifu upo wapi hapo??,kabla ya kuendelea na uchambuzi tufikie hapa,inaendelea hatua kwa hatua!!!
@isihakamshare3396
@isihakamshare3396 Ай бұрын
HILI NDIO TATIZO LA KUWA NA MASHEKHE VILAZA, SWAUM YA ASHURA ALIYEFUNDISHA NI MTUME SIYO MAYAHUDI.
@lamarTaz-nu8yz
@lamarTaz-nu8yz Ай бұрын
Cheki ulivo mjinga. Vile iyo swaumu ya Ashura Mtume alikuta kina nan wanaishikilia
@isihakamshare3396
@isihakamshare3396 Ай бұрын
@@lamarTaz-nu8yz Ndio aliwakuta lakini hakuamrisha tuifanye kwa kuwaiga wao, Bali alisema sisi tuna haki zaidi kwa Mussa kuliko wao.
@lamarTaz-nu8yz
@lamarTaz-nu8yz Ай бұрын
Wazungumzia tendo ama Wazungumzia kuiga sheikh langu
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Masufi acheni upumbavu, hivi inaingia akilini kitu kianzishwe na Allah halafu Mtume asikifanye? Mtume saw kwa kauli yake anasema hakuna alilobakisha au aliloicha katika ibada.
@DossaAbuzufaila
@DossaAbuzufaila Ай бұрын
sie hatuchukui ashuraa kwa mayahud we bidaa zimekulevya sie twachukua kwa mtume swala na salam ziwe juu yake huo ni uongo na utakwenda kujibu hilo
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p Ай бұрын
Kwani ashura mtume aliijuliwa kwa kina nani?
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 Ай бұрын
​@@YaziduIddy-u7p Saumu ya ashura imethibiti kuwa mtume ameifunga hiyo siku, lakini la sherehe ya maulid mtume hakulifanya
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p Ай бұрын
@@abuuaisha6110 lakini kaipata wapi
@karimuchande3659
@karimuchande3659 Ай бұрын
​@@YaziduIddy-u7p swaumu ya ashuraa aliifunga nabii musa kumshukuru Allah baada ya kumuokoa kutoka kwa fir'aun. Hivyo baada ya nabii musa kufariki bado mayahudi wakaendelea kufunga kama alivyofunga nabii musa. Hivyo basi funga ya ashuraa mtume ameichukua kutoka kwa nabii musa na sio mayahudi maana aliyeanza kuifunga ni nabii musa na sio mayahudi. Kwahiyo mtume akasema sisi tunahaki zaidi kwa musa kuliko nyinyi (mayahudi), akafunga mtume sala na salamu ziwe juu yake na akaamrisha kuifunga kwake. Allahu Almusta'an
@yuhm504
@yuhm504 Ай бұрын
​@@YaziduIddy-u7pswali lako ovyo hujielewi
@SadaKassm
@SadaKassm Ай бұрын
MAWAHABI kazi Yao kuwaingiza wenzao motoni tu , ukifanya kitu kwao wanakwita mushrik n. K. JE , tuwaulize wao hasa wanataka nini ? Mbona hawaeleweki
@wahabishabani9100
@wahabishabani9100 Ай бұрын
Huyu Dossa abuzufaila nataka nifanye nae munaqasha aache kutukana mashekhe zetu,, aje kwangu nimtoe ujinga
@hamisimkulu6571
@hamisimkulu6571 Ай бұрын
Mawahabi hawataki kusoma wanasoma mukararaat uanamkuta mtu anajamia lakini nisawa na saadis ibtidaaii
@hamisimkulu6571
@hamisimkulu6571 Ай бұрын
Nimesoma namawahab ilikua nawaburuza hawana kitu Qasim mafuta anakosea nahau ya khaamis ibtidaaii
@HdMshighaty
@HdMshighaty Ай бұрын
Mawahabi.bwan.hawana.elimu.subutu.wanaweza.kuongea.na.huyu.hata.robo.hawan.wanatukana.masheh.alafu.wamesom.kwa.masufi.mawahabi.nawatu.wenye.tawarui.nimasufi.natabia.nzuri.watak.wasitak.ndo.ukweli
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@HdMshighaty Bismillah Rahman Rahim Sehemu ya kwanza Naanza kuyachambua kwa aliyoyasema Sheikh kwa nia ya kuelimishana sio kwa nia ya ushindani,au kuvunjiana heshima. Alianza kwa aya Al Israa 85 ( Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.)akaipa heshima yake aya hii,kwa kusema na sisi wanadamu hatuna chochote,papo papo akaibadili maana hafla,kwa kusema lakini tunacho chochote,akaipinga aya kwa haraka kiubabaishaji ,akaichang’anya na kuiunganisha katika sifa iliyokosesha maana yake halisi,ati ni mantiki,kwa kubabaisha akasema “Na yeye mwenyewe akisema ya kwamba,hao watatu waliotangulia kuhutubia wamemchanganya hata asijue analolisema”,akijua wenye kumsikiliza na kufahamu awababaishe kwa hilo,akaendelea ya kwamba hatotoboa siri,lakini atatoboa airefushe kwa sababu chakula bado,lakini hafla akaambiwa chakula tayari,kwa hiyo hajui afanye nini?.Udhaifu upo wapi hapo??,kabla ya kuendelea na uchambuzi tufikie hapa,inaendelea hatua kwa hatua!!!
@ShuaibuMsofe
@ShuaibuMsofe Ай бұрын
Mawahab tulieni dawa ipenye
@HdMshighaty
@HdMshighaty Ай бұрын
kaswid.zipo.za.kwataja.maswaha.zipo.nyingi.bidaa.bidaa.wameacha.mengi.mtum.alo.yafanya.meng.mwaon.maulid
@hashimkale3215
@hashimkale3215 Ай бұрын
Mwenye kumuita muislamu mwenzake kuwa kafir basi ukafiri wamrudia eye.
@Zafarmohamedy
@Zafarmohamedy Ай бұрын
Drop hadith
@hashimkale3215
@hashimkale3215 Ай бұрын
Kuna watu hapa wamkosoa sheikh ambapo wao hata qurani kuisoma ni tatizo kama siushabiki ni nini.Tusomeni
@hajjisanga789
@hajjisanga789 Ай бұрын
Elimu imetolewa kila mtu kasikiliz kama hujui nenda ukasome vitabu vipo 'na ktk vitabu wapo waimbbaji wa mtume pia walio kua wanaimba kasida sasa nyinyi mnao pinga vp hamzioni hadithi au maakusuudi kukusanyika kwa umma ktk maulid sio uwongo wala bidaa ni suna
@yuhm504
@yuhm504 Ай бұрын
Ssunnah hiyo iko wapi lete ushahidi
@yahyasalum5833
@yahyasalum5833 Ай бұрын
Kwa sababu hawajawataja maswahaba ambao wameuongoza uislamu baada za mtume
@abdulkarimbenagasper3180
@abdulkarimbenagasper3180 Ай бұрын
Allaah akuhifadhi. Muft
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
@@abdulkarimbenagasper3180 Bismillah Rahman Rahim Sehemu ya kwanza Naanza kuyachambua kwa aliyoyasema Sheikh kwa nia ya kuelimishana sio kwa nia ya ushindani,au kuvunjiana heshima. Alianza kwa aya Al Israa 85 ( Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.)akaipa heshima yake aya hii,kwa kusema na sisi wanadamu hatuna chochote,papo papo akaibadili maana hafla,kwa kusema lakini tunacho chochote,akaipinga aya kwa haraka kiubabaishaji ,akaichang’anya na kuiunganisha katika sifa iliyokosesha maana yake halisi,ati ni mantiki,kwa kubabaisha akasema “Na yeye mwenyewe akisema ya kwamba,hao watatu waliotangulia kuhutubia wamemchanganya hata asijue analolisema”,akijua wenye kumsikiliza na kufahamu awababaishe kwa hilo,akaendelea ya kwamba hatotoboa siri,lakini atatoboa airefushe kwa sababu chakula bado,lakini hafla akaambiwa chakula tayari,kwa hiyo hajui afanye nini?.Udhaifu upo wapi hapo??,kabla ya kuendelea na uchambuzi tufikie hapa,inaendelea hatua kwa hatua!!!
@abdulkarimbenagasper3180
@abdulkarimbenagasper3180 Ай бұрын
Allaah akuhifadhi. Muft
MJUE SWAHABA MYAHUDI KUTOKA KWA BINGWA WA HISTORIA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:07:16
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
Молодой боец приземлил легенду!
01:02
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 2,1 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:45:26
CARA MEMBERSIHKAN HATI HANYALAH DZIKRULLAH - BUYA ARRAZY HASYIM
3:50:40
ATTHARIQ ALFARISI
Рет қаралды 934 М.
MUNAQASHA ULIOWAFUNGUA WATU MACHO- SHEIKH. MUHAMMAD BACHU MOMBASA 24/9/2023
2:54:48
KISA CHA MKE WA MTUME MWENYE MKONO MREFU //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:07:12
arkas online tv
Рет қаралды 62 М.