Sehemu 2 || Munaqasha baina ya Muhammad Bachu na Sheikh Kidawa // Taqsiimu tawhiid

  Рет қаралды 14,977

Haji Upepo Online tv

Haji Upepo Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 348
@bakarimpita8515
@bakarimpita8515 2 сағат бұрын
Sheh kidawa mungu akupe taufik inshaallah
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 3 күн бұрын
bachu bachuuu asante kwakukunali ufundishwe ndomana ukaamua kumpa shekhe kidawa mudawako uliona kbs hunajambo pongezi kwashekh kidawa Allah akuongoze na akulinde namakafir wakiwahabi inshallah
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 2 күн бұрын
AMIN AMIN AMIN
@HarunaArmani
@HarunaArmani 4 сағат бұрын
Yeyeyeyeeeeeeeeeeee Leo Bachu kashenyetwaaa😂
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 2 күн бұрын
Allah akujaze kheri sheikh KIDAWA
@Zanzibarherbs
@Zanzibarherbs Күн бұрын
Mashaallah sheikh kidawa.hana laptop Wala majitabu lkn kanyooka kila nukta hiyo ndio tofaut ya walio kaa darasn na wao wa elmu za mitandano.
@SelemanMohamedi-s6x
@SelemanMohamedi-s6x Күн бұрын
Allah akuhifadhi sheh kidawa
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 2 күн бұрын
Sheikh kidawa anatoa ilmu Alhamdulillah ❤. Tusomeni jamaa.
@KassimHussein-b7f
@KassimHussein-b7f 2 күн бұрын
Tuelewe msingi mwenye kiti wa bachu asema Qur'an Hadith swahaba na tabiin wengine hamna Sasa bachu aingia wapi Kwa hao wengine Vitabu kibao shekh kidawa atoa dawa mwenye kiti wa bachu amekorogeka
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Күн бұрын
Mashaallah shekh kidawa umepewa quran
@ArafaSuleiman-db9pw
@ArafaSuleiman-db9pw 3 сағат бұрын
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi shekh kidawa kw Elim yenye manufaah mfunze hyo kijna
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 күн бұрын
SHEIKH KIDAWA UNAELEWEKA SANA WALLAHI , UNACHEZA NA AYA NA HADITHI TU ILA BACHU BALBALA
@MohamedHassan-eq9os
@MohamedHassan-eq9os Күн бұрын
Shekh wangu mohamed bachu kama alijiwaisha hivi katika maswala ya kujivika kelemba
@MusaRamadhani-wj2dw
@MusaRamadhani-wj2dw 2 күн бұрын
Hapa kusema kweli bachu kashindwa kama tutawacha ushabiki na tukaangali hoja nzito bachu Chali Kidawa juuuiijii
@DhaharaniJongo-gt2un
@DhaharaniJongo-gt2un Күн бұрын
Ni kwel kbsa
@KhamisiOmari-yo7jx
@KhamisiOmari-yo7jx 22 сағат бұрын
Sheikh kidawa pazaliwe watu wenye elmu yako milioni Moja insha ALLAH.na ALLAH akupe umri mrefu sheikh wetu..
@bagalucha
@bagalucha 3 күн бұрын
Wallah Sheikh Muhammad Nassor Bachu,Allah kamjaalia fahamu na hekima,juu ya kwamba kuna majahili wapo katika kutaka kumuhujumu,ambapo kwake yeye hizo ni kelele za mlango,kinachopendeza,bado yeye kasimama katika elimu,na hawa jamaa wapo katika ile ile tabia Yao ya jazba na chuki,na hapa ndio upotoshaji wao,ndipo unapoanzia,Allah amrehemu Sheikh Muhammad Bachu ,amlinde na kila aina ya ubaya,tuko pamoja,haki mwisho we itasimama,
@shabihiayubu6857
@shabihiayubu6857 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂 kurundika vitabu na kuvielewa na ufafanuzi wa mambo ni vitu vinavyotofautiana Haya semeni sasa aya nazo zitilewe takhatiji maama kuelewa ni kipengele
@shabihiayubu6857
@shabihiayubu6857 3 күн бұрын
Kama wewe ni mkweli kwa mujibu wa msimamo wako wa tauhidi tatu Taarifi ya bidaa inafungika katika jambo ambalo limetoka nje ya karne tatu za mwanzi Sasa towa aya au hadithi au athari ya hawa watu wa karne tatu juu ya ugavi wenu wa tauhid
@bagalucha
@bagalucha 3 күн бұрын
@@shabihiayubu6857 Tawheed ipo kabla ya kuumbwa binaadamu,huo ni utukufu wake Allah Subhana wataalla,utakapolizungumzia suala hili,uwe makini,tena uwe tahadhari,mkifikia kuupinga utukufu wa Allah,hiyo itakuwa laana sasa.
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 3 күн бұрын
Huyo NI Jaahil hivo vitabu havielewi pia
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 3 күн бұрын
Wewe kweli ni kimburi kutetea ujinga kkkkj kipi hufa hamu hapo?
@NURUDINIATHUMANI
@NURUDINIATHUMANI 3 күн бұрын
KWEL MASUF TUNA ELIMU NA HIFDHWI YA HALI YA JUU MNO
@MohamedHassan-eq9os
@MohamedHassan-eq9os Күн бұрын
Usijilazimishe kufuata mambo usiyokuwa na elimu nayo
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 3 күн бұрын
Kila Siku Mkiambiwa Jambo Mwasema Lau Ingekua Ni Kheri Angelifanya Mtume Na Maswahaba Zake...Sasa Na Nyie Semeni Wapi Mtume Na Swahaba Zake Waligawa Tawhiiiiiid?
@IsmailSanga
@IsmailSanga 2 күн бұрын
Hawa mawahabi hawajielewi
@SaidMadai
@SaidMadai 3 күн бұрын
Sheh kidawa mashallah barakaallah ukweli m2pu co balbala kutoka ktk kitabu n sunna n tabiin hukuna ugavi w tauhid ss jamaa karuka ruka n tahswis zk y hawaa nafc iwe mashiko ktk dini bachu m2pu
@MohamefMullah
@MohamefMullah Күн бұрын
Hayo matabu ya kiwahabi ni pori la kujificha Tunajua hamna kitu kichwani enyi mawahabi kubalini ukweli tauhid ni moja tu, mumeshikwa pabaya yuhuuuu haooooo
@idrisjames9392
@idrisjames9392 2 күн бұрын
Mashaallah huyu ndio bachu like Father like son wape watu elimu
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 3 күн бұрын
Bachu Anatetea Bidaa Ya Vigawo Vya Tauhiid 😂😂😂😂 Mawahabi Mwatia Huruma
@saidimpako5186
@saidimpako5186 3 күн бұрын
leo wanakimbilia kwa mashekhe kuliko mtume
@MohamefMullah
@MohamefMullah Күн бұрын
Wallahi Mawahabi hawajielewi wala hawatafahamu hata wakieleweshwa, na bado wanatokea vichwa maji vichwani mwao badala ya ubongo kuna matope wanakomet ujinga na kuelezea mauzauza, kweli ukiitwa Wahabi umeumbuka, Sasa Tauhid 3 hakuzisema au kuzifundisha, wala masahaba, nyinyi mawahabi hizo ni juhud munaungana na mayahud na manaswara, huo ndio utatu, Tauhid ni moja, elewen mawahabi
@shakoshahamdu7273
@shakoshahamdu7273 3 күн бұрын
Mzee Hana Khabar na matabu,kila kitu kipo kichwani.mwengine amekuja na matabu kumtisha mzee wake,lakini mzee hababaiki,wafike pahala mashekhe waheshimiane elimu ni Pana kama bahari kila Moja aogelee Kwa kiasi chake.wote watapatia.
@MkwizuMkufya
@MkwizuMkufya 2 күн бұрын
😁😁😁😁😁
@MkwizuMkufya
@MkwizuMkufya 2 күн бұрын
Umenifurahisha ndugu umeweza fanya uchunguzi wa dhati
@yakoubayoub8958
@yakoubayoub8958 2 күн бұрын
😂😂😂
@AbdillahiMselem-ig2dm
@AbdillahiMselem-ig2dm 3 күн бұрын
Sheikhe kidawa mashallha
@hasani-mq6ei
@hasani-mq6ei 3 сағат бұрын
Sisi waisilamu ambao hatuna elimu ya kutosha tutoe ushabiki mbali kwa sababu kundi moja lipo sawa lingine halipo sawa Mungu atuongoze kwenye kundi lililo sawa inshaallah.
@sadamuhamis4468
@sadamuhamis4468 2 күн бұрын
Mashallah shekh umehifadh had rah Hana hoja huyo
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 Күн бұрын
Nimegundua bachu anatumia laptop kugoogle majibu na kusaidiw kujibu na uluuhiya wnzake wanaosikiliza live. Kidawa anatoa vitu live live
@husseinmbarouk
@husseinmbarouk 2 күн бұрын
Allahu warasul A'alam
@ShabaniKhamis-z7c
@ShabaniKhamis-z7c 3 күн бұрын
Nakupa asilimia 99 shekhe wangu ao answali wanawapoteza watu sana Yani umiongea adi nimimkumbuka shehe wangu marehemu shekhe irunga alikua anawapasua sana maanswali
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 3 күн бұрын
We umesoma kwani.? Naona ni bora utenge muda usome kuliko ushabiki mbumbumbu
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 3 күн бұрын
Wenyeviti wote kama sanamu tu hawajui kuongoza kikao,Sheikh kidawa hakupaswa hata kuzungumza,ilitakwa bachu alete dalali ya kuigawa tawheed,bure kabisa wenyeviti.
@omarsharif9192
@omarsharif9192 3 күн бұрын
​@@sadofaraji5999si asha toa aya ama
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 3 күн бұрын
Ni mashetaji waliojificha kwenye kivuli cha sunna
@othmankhamis6657
@othmankhamis6657 2 күн бұрын
Ukifatilia hivi vitu huwezi kupata elimu turudini kwa mtume tutfute madarsa tukasome
@saidimpako5186
@saidimpako5186 3 күн бұрын
ربي الله
@AllyKiduka
@AllyKiduka 2 күн бұрын
Wallahi bachu ni ujanja tu kama sungura anacheza na majukwaa tu
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 2 күн бұрын
Mwenye Macho Haambiwi Tazama
@SaliminSwalehe
@SaliminSwalehe 3 күн бұрын
Huyo kijana bachu mtihani hanaelim
@alisharifsalim
@alisharifsalim 2 күн бұрын
Turumbeta ya mawahabi mtoto wa bachu 😂😂😂😂😂😂
@fadhiliharuna3934
@fadhiliharuna3934 3 күн бұрын
Upepo kweli anaonyesha ana Chuki Sana na Bachu kama upo vizuri omba mnaqasha nawewe
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 2 күн бұрын
JITAMBUWE USIWE MFATA MKUMBO WA UTATU KAMA MANASWARA
@bagalucha
@bagalucha 2 күн бұрын
@@fadhiliharuna3934 Upepo hana elimu,ana uhasidi tu huyu.
@IsmailSanga
@IsmailSanga 2 күн бұрын
Kinacho takiwa hapa niwapi Mtume alifundisha tawhed imegawanyika Mara 3 ?
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 2 күн бұрын
Tena anachuki binafsii.....yani naomba sikumoja Akalishwe kwa meza nayeye,,,kama hatatokwa na machoz
@saidali9255
@saidali9255 2 күн бұрын
Sheikh jazaka Allah kulla kher! Kazi nzuri sana kupambana na kusafisha Dini ya Allah! Allah akulinde insha Allah pia!
@AbdyHemedy
@AbdyHemedy 3 күн бұрын
Anllah atufanyie wepesi
@sharaful-anaam138
@sharaful-anaam138 2 күн бұрын
Tarumbeta la mawahabi linaaibika yaani hapo anakiporomosha kikundi chao 😂😂😂 anajionesha hasaa km hamna kitu
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 3 күн бұрын
Watu Wa mijadala ikhlasw Hamna nmemfuatilia Chanel ya Bachu kichwa cha Khabar imeandikwa kishabik nmemfuatilia Chanel ya Haji upepo imeandikwa kishabik Yan Wa gundua ikhlasw Hamna ushabiki Umejaa Walim mmekaa kimya kuridhia upuuz Wa waandish wenu Mcheni Allaah
@solomomadej
@solomomadej 3 күн бұрын
Yaan haya mambo mi naona sijui kama yanafanyika kwa ikhilasw maana dah
@NuryaMusa
@NuryaMusa 2 күн бұрын
Qaasim mafuta na Dedes nao sio mjadala ni Nini. Nijibu. Kama kweli. Ww. Ni mkweli
@HarunaArmani
@HarunaArmani 4 сағат бұрын
Sasa ndio uone Bachu kaandika kwenye chaneli yake mwenyewe kalini chaneli hii sio masheikh kidawa
@HarunaArmani
@HarunaArmani 4 сағат бұрын
​@@solomomadej Acha wafundishwe mana hako kabachu kamezidi sana kuwadhalilisha masheikh Nayeye leo aoneshwe
@HarunaArmani
@HarunaArmani 4 сағат бұрын
Sheikh kidawa umetisha babaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 2 күн бұрын
Hana la kusema imebaki kutowa sadak bwanbachu. Yeye aliambiwa na Said aseme sijuwi akakataa Ati anasema yeye sasa
@hajihamadi3525
@hajihamadi3525 2 күн бұрын
Tokeya unaazna shekh bachu huna salamu vp
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 Күн бұрын
Hana Sunna ndogo za adabu ataweza hio kubwa ya salamu
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 2 күн бұрын
Wewe umekosa akili kabsaa bachu
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 күн бұрын
Hailazimishi lazima iwe vile vile alivosema mtume ,kauli iyo ya bachu ndo ilomuangusha
@kharoubomar3828
@kharoubomar3828 2 күн бұрын
Exactly banchu kaaangusha wanawe😂😂
@MkwizuMkufya
@MkwizuMkufya 2 күн бұрын
Muhammed bhacho kabeba matabu kibao sijui kayakodishia bot lakini sh kidawa vitu vipo ki chwani
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 2 күн бұрын
MAWAHABI NI MAYAHUDI KAZIYAO NI FITINA NA KUUWA WAISLAM NA KUJIFANYA WAO NDIYO WATEULE WA MUNGU KUMBE NI WATEULE WA SHETANI ANAYE TUFITINISHA WAISLAM SISI KWA SISI TUMUOMBENI ALLAH ATUHIFADHI NA FITINA ZA MAWAHABI NA MAYAHUDI AMIN AMIN AMIN
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy 2 күн бұрын
Sehem ya3
@KhamisBakar-ge4sp
@KhamisBakar-ge4sp 2 күн бұрын
Mimi nimulize bachu hoa maulamaa ni Mawahabi tu Mbona Maulamaa wengine na wanasimama kwenye hizo aya kutoa dalili na hamukubali ?
@timermedia3509
@timermedia3509 2 сағат бұрын
Kweli nimeamini mawahabi hawana ufahamu leo wanakubali shekh akisema sio mpaka mtume aseme
@SaId-y1y
@SaId-y1y Күн бұрын
Wallah makwata wamewakalia vibaya mawahab, naombeni na mimi nipeni ugawanyo wa tohidi kupitia Qur,an na sunna au swahab?
@aminaaidarus2387
@aminaaidarus2387 13 сағат бұрын
Shida ya bachu aipigwa saba bila na said kwa kukosa kusema sijui sasa ataka kumletea shekh kidawa hilo. Watu wamekuja kuleta hoja za takhsimu tawheed yeye ataka kutafsiriwa aya akiruka huku na kule. Mi nashindwa wenye kupoteza wakati wao kwa kuhojiana na huyu hana alonalo debe tupu.
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 6 сағат бұрын
Nyinyi bakini na hoja zenu zisizo eleweka uku makafiri wanasonga mbele tena unakuta wapo mashekhe wengi lakini wapo kiushabiki kila mmoja yupo upande wake endeleeni ala Nyinyi wote niwazushi hayo mambo mtume aliyafanya wapi kubishania dini?
@AnubakarAli
@AnubakarAli 3 күн бұрын
Huyo bachu hafahamu unampitishatuu kazoea neno kwaneno
@rashidkusema2803
@rashidkusema2803 3 күн бұрын
Wallah naapa kwa mola wangu mlezi kwamba haya mambo mnayobishana kwayo, nyie fuateni mienendo yenu lkn kile kinachonihunisha ni vile watu wanvyofikia kuwaita Wana wa chuoni eti ni majahil kwa kutofautiana katika Rai na ufahamu. Inna Lillah WA inna illah rajiun
@NURUDINIATHUMANI
@NURUDINIATHUMANI 3 күн бұрын
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 3 күн бұрын
Huyu Kwanza Kashajua Kuwa Hadithi Munkar Si Hadithi Chafu Hahaha
@SelemanMohamedi-s6x
@SelemanMohamedi-s6x Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SurprisedCurling-si9yr
@SurprisedCurling-si9yr 2 күн бұрын
Muhammad bachu alikua sawa kabisaaaa
@IsmailSanga
@IsmailSanga 2 күн бұрын
Alikua sawa wapi? Swali je niwapi Mtume alifundisha tawhid imegawanyika Mara 3?
@abdullah-eq3lt
@abdullah-eq3lt 3 күн бұрын
sheikh Shahrani Mashallah
@AliAliyan-ib3sr
@AliAliyan-ib3sr Күн бұрын
Jamani musipoteze wakati na munaqasha na bachu...bachu mpelekeni akafanye minaqasha na wafagaji miskiti na madrassa
@FadhiliAlly-fy2tx
@FadhiliAlly-fy2tx 22 сағат бұрын
Shekh kidawa upo juu huna vitabu wala laptop umesimama na hoja yako haijajibiwa kwa dalili; na bachu ni msomi mzuri lakn asitake mijadala ya kielim badala yake azidi kutafuta elimu zaid bado unanafas; umri unarusu.
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 2 күн бұрын
Eweeee upepo we unaskiliza vip kwn mbn bachu kanyooka
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 2 күн бұрын
Huyo bachu kanyooka kivipi jamanini acheni taasub zenu hino ni dini fikra hapo hakuna tauhid tatu ni bidaa mbaya sana
@alybinmana6197
@alybinmana6197 2 күн бұрын
Upepo Veep Tena mbna unatuonesha jinsi sheikh wako alivyo anguka
@IsmailSanga
@IsmailSanga 2 күн бұрын
​@@alybinmana6197Leteni Hadith ya Mtume inayosema Mtume amefundisha tawhid imegawanyika Mara 3
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 2 күн бұрын
Shekh angejibu swali simpl aya inasemaje mbn haijib anazunguka tu Balblair kibao sema aya imetaj nn na nn hajibu analeta mamb ya rabb na ilahi
@sama-_8368
@sama-_8368 2 күн бұрын
​@@dullahbatuf9223Nani mfasiri wa Quran ndugu?
@minaziparasu9074
@minaziparasu9074 2 күн бұрын
Bachuuuu unabachukaaa tuuu kilaupande ukitia pua watu wanakupiga zauso
@KhamisiOmari-yo7jx
@KhamisiOmari-yo7jx 22 сағат бұрын
Mawahabi wamen,gan,gania miungu mitatu jamani hawataki kuiacha kabisa ni wajeuri kama mazayuni do.
@zakariasuleiman4113
@zakariasuleiman4113 2 күн бұрын
Mwajua kwanini shekh kidawa mezani kwake hapana vitabu na kwa bachu kuna mrundo wa vitabu sheikh kidawa lake ni swali moja tu wapi mtume kagawanya tahweed tatu bachu afungue vitabu ajibu apiga janja janja tu toa dalili ya adith wapi mtume kagawa tawhed tatu
@Bombwejr18
@Bombwejr18 2 күн бұрын
Wap? Mtume kagawanya nguzo za swala?
@MkwizuMkufya
@MkwizuMkufya 2 күн бұрын
Bacho jibu swali nimwana chuoni gani aliitumia aya hiyo kugawa Tauhid?
@MohammedAli-ud8so
@MohammedAli-ud8so 2 күн бұрын
Hhhhhh bachuu huna jambo dah mbwe mbwe
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 2 күн бұрын
😂😂😂 mbwe mbwe kidogo
@ChikuIbrahim-ly1zz
@ChikuIbrahim-ly1zz 3 күн бұрын
Upepo punguza chuki kwa nduguyo
@MursalKhamisi-fx5hh
@MursalKhamisi-fx5hh 3 күн бұрын
Kwahiyo bachu akiboronga aachwe kisa ni nduguye? Acha ujinga hii ni dini sio siasa.
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 3 күн бұрын
Kwa mimi ninavyo ona kulingana na kichwa cha mada shekhe kidawa maelezo yake yamenyooka
@AliBadru-r2f
@AliBadru-r2f 3 күн бұрын
Sheikh Kidawa MASHAA ALLAH umafafunua
@BinAli-m8e
@BinAli-m8e 3 күн бұрын
لا اله الا الله Hakuna zaidi ya hilo
@AhmedAlharithiy-sg5cq
@AhmedAlharithiy-sg5cq 3 күн бұрын
Hakuna tauhidi tatu isipokuwa huo ni unasara mtu wetu alituambia tutawafuata mayahudi na manasara shibri kwa shibri (vigawanyo vya tauhidi ni Katika unasara) semeni mashekhe wa kisalafi wameteleza katika hilo
@hamisingolilo4149
@hamisingolilo4149 3 күн бұрын
Muogope Allaah kwa maneno yako elewa utaulizwa kwa hayo
@shabansaid2323
@shabansaid2323 3 күн бұрын
​@@hamisingolilo4149lete ushahidi kuwa tawhiid zipo 3
@IbraFareed
@IbraFareed 2 күн бұрын
@@hamisingolilo4149 Lau kama ni kheri maswahaba wangefanya Kugawanya tawheed 3 kama ni kheri Wangefanya maswahaba 😂 Kama ni mafunzo ya MTUME MUHAMMAD ﷺ tupeni dalili Na kama sio bidah hayo meyatoa wap Naa kama navosemaga وَكُلَّ بِدْعَةٍ ضَلَالَةٌ leo kisu kimegusa mfupa sheikh Acha lawana tunataka dalili
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 2 күн бұрын
​@@hamisingolilo4149Leta dalili ya hayo unayodai kupitia Qur'an na Sunnah 😮
@abdulrahmanbakar5416
@abdulrahmanbakar5416 Күн бұрын
Hapo bachu iyo aya ulitakikana ww uieleze mtume au maswahaba waliitafsiri vp. Sio kumtaka mtu akutafsirie
@mchakhamis-fr5nc
@mchakhamis-fr5nc 3 күн бұрын
Bachu hapa nondo kama Kenya wembe ni ulele acha kujumpu
@HemedSerious
@HemedSerious 3 күн бұрын
Mm naona ni zaidi ya Kenya
@HemedSerious
@HemedSerious 3 күн бұрын
Mm naona ni zaidi ya Kenya
@HemedSerious
@HemedSerious 3 күн бұрын
Mm naona ni zaidi ya Kenya
@IbraFareed
@IbraFareed 2 күн бұрын
@@HemedSerioushata mimi naona hapo ni zaidi KENYA
@ZaituniMkwamba
@ZaituniMkwamba Күн бұрын
Bachu amekuwa mchungaji ndacha anapapatika tuu
@AbdullahiHussein-ik4eo
@AbdullahiHussein-ik4eo 3 күн бұрын
Upepo n mwenzako kweli mnamuskia bachu amamunamufahamu mm si mtz wala mkenya lkn nmeona bachu ako kwa haki kma kwaida bachu n msomi nyee pia mrudi mkasomi is wapate yali wapta kabala yenu kma sheikh said n ndgy y dowani yote bachu aliwalagza baada musikose kutoa ata ayaa moja kma sheikh said ama museme hapotu
@IbraFareed
@IbraFareed 2 күн бұрын
Sawa tuambie AYA au HADITH inayosema TAWHEED 3 kwenye UISLAM hakuna kumuulumia mpotoshaji TOA HOJA
@mchakhamis-fr5nc
@mchakhamis-fr5nc 3 күн бұрын
Millioni 100 zako kajenge kanisa
@selemanishabani4749
@selemanishabani4749 3 күн бұрын
Chuki binafsi
@HemedSerious
@HemedSerious 3 күн бұрын
Kuja na vitabu ndio elimu?
@danialsuleiman9706
@danialsuleiman9706 2 күн бұрын
mbn unarusha mambo ya watu fanya yko utime
@MwalimJecha
@MwalimJecha 3 күн бұрын
Kweli bachu kachemsha tena.
@IbraFareed
@IbraFareed 2 күн бұрын
Kaka hapo yupo kwenye corner Hatoki mtu mpaka kengere ilie atolewe na refa
@taurehassan7399
@taurehassan7399 3 күн бұрын
Ww unalazisha hyo aya iwe na tawheed tatu,km ndo ushahid wako tuthibitishie tfsri hyo umetoa wapi?
@sama-_8368
@sama-_8368 2 күн бұрын
NAKUUNGA MKONO KWA HAYO KAKA KAMA HIVI: Kwani sheikh kidawa ndiye mfasiri wa Quran? Hujasikia pale alipo jibu kuwa HAKUNA ALIYETAFSIRI QURAN aliyefasiri hiyo aya kuwa pana vigawanyo vya tawhid???? Hukusikia alivyo jibu pale??? Ulitaka atafasri yeye??? Bachu alitakiwa alete ni mfasiri gani wa Quran aliyesema kuwa katika aya hiyo pana ugawanyo wa tawhid 😂😂😂
@maase2023
@maase2023 4 сағат бұрын
Basi huyu kila siku kubishana yeye tu mmmhhh hapo ukiona hivi ilmu hana
@BinAli-m8e
@BinAli-m8e 3 күн бұрын
Hakuna Tauhidi 3 tauhid ni moja t ilio fundishwa na mitume yoote Ilio pita
@yazidurashidi8443
@yazidurashidi8443 3 күн бұрын
Niipi hiyo ndugu
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 2 күн бұрын
Naam Endelea kuchambua
@AnubakarAli
@AnubakarAli 3 күн бұрын
Ilimu hio shekh kidawa bachu haisikii ilimu yandanihio hakufahamu mpeleke darasani
@TRIPLE.3Rs
@TRIPLE.3Rs Күн бұрын
Jahil ni wewe ma mwalimu wenu...ana kwepa maswali.
@KashthuriKashthuri-n7u
@KashthuriKashthuri-n7u Күн бұрын
Watu wanaritadishwa na makafiri, nyinyi kazi yenu kushindana tu. Ivi huyo Mtume na maswahaba ndio iliyokuwa kazi yao kama iyo yenu. Acheni upuuzi wenu huo
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 3 күн бұрын
Wenyeviti wote wabovu,bachu alikuwa anatakiwa alete ushahidi,sheikh kidawa akisema ni bidaa basi ujue halina dalili
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 3 күн бұрын
Hahaha Bacho hapo lazima alivaa pampers asijikojolee
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 күн бұрын
Ukiona anaenjoy nawewe vaa sheikh hata ped
@AbdinuurSaid-fr8dx
@AbdinuurSaid-fr8dx 2 күн бұрын
😂😂😂😂
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 2 күн бұрын
Huyu haji upepo hata sijui alisomea wapi,,,ama niwale wa mafuta yaupako hawa,,nadhani
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu 3 күн бұрын
Bachu anaungua kielimu
@NassoroAlly-pp7gr
@NassoroAlly-pp7gr 3 күн бұрын
Bachu nibalabala
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 3 күн бұрын
Yani ww bachu mpuuzi sn unarukaruka kama chura unakera
@Athmandeo-kn7ri
@Athmandeo-kn7ri 2 күн бұрын
Masufi mutawacha shiriki lini hakuna anaye Pinga tawhiid ispokuwa nimushirki pia nyinyi mutashindwa kama walivyo shindwa makuraishi mbele ya mtume wa Allah shida muko navyichwa vikubwa visivyo na akili kama huu muzee na hajji mugaga upepo wasio juwa tawhiid
@ZaituniMkwamba
@ZaituniMkwamba Күн бұрын
Bachu wewe ni mwehu vitabu ruundo kichwani box
@Captainome
@Captainome 3 күн бұрын
Hahaha SHEKH KIDAWA kapata DOZII LEO kumbe mtupu hivi kelele nyingi kijasho chakutoka cha pua,wacha neni na bachuu atawaumbua huyoo.
@HemedSerious
@HemedSerious 3 күн бұрын
Wewe kweli kipofu ndugu
@Captainome
@Captainome 3 күн бұрын
@@HemedSerious hakuna cha upofu kaka mtu mzima shekh unashindwa kutetea hoja zalo bana anashidwa ukui chambua ayaa imezungumza nn juu ya Allah then wataka tuwafwata.hayaa kina buswira wanitambua aksamul tauhid pia amewakataa hahaha pumba kweli
@tumainizaidu7095
@tumainizaidu7095 3 күн бұрын
hawa bachu uliowataja ni mtume? maswahaba? ni tabiina? je ni mufasirina wakutegemewa?. vp jambo utalifungamanisha na sunna na halipo kwenye ngazi hizo
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb 3 күн бұрын
Acha ushabiki ww hujui chochot bachu hajielew kaulizwa hajui chakujib
@karimdaud3993
@karimdaud3993 3 күн бұрын
Huyu ana muuiga kiboko yake ati kubaki na siendelei hahahaa
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 3 күн бұрын
Bachu ataka kulipiza kma alivyo fanya na Sheikh Said bali yeye hajujibu ila hapa yuajibiwa anachanganyikiwa hajatoa dalili bachu
@mkhandihealthcare5106
@mkhandihealthcare5106 3 күн бұрын
الله المستعان... AMA KWELI WATU WA BIDA'A NI WAJINGA KWELI KWELI, YAANI HAKUNA HOJA ZA KIELIMU ZAIDI TU YA KURUSHA RUSHA!!
@AliBadru-r2f
@AliBadru-r2f 3 күн бұрын
Mfano wamkristo ukionesha pewupe yeye huona Giza tu
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 3 күн бұрын
Kataja Quran halafu unasema hamna dalili,unataka nini baada ya Quran
@johnpepe980
@johnpepe980 3 күн бұрын
Ahsante sheikhe kidawa Unaonekana kuwa unaelimu kiukwel Bachu hakufiki kabisa ila shida inakuja huna uzoefu tu wa minakasha lkn Upo vizuri xana xana kwa sisi tulio soma Vichwa maji watabaki na Ushabiki tu lkn Elim kubwa na upo vizuri mno Masha Allah Bachu kasome
@johnpepe980
@johnpepe980 3 күн бұрын
Tatizo linakuja wenye viti wabovu pia lkn Bachu Angelikufa patupu Mana kashaaambiwa Bidaaaa yye Alikuwa Athibitishe kuwa sio Bi daaaa
@tumainizaidu7095
@tumainizaidu7095 3 күн бұрын
hawa bachu uliowataja ni mtume? maswahaba? ni tabiina? je ni mufasirina wakutegemewa?. vp jambo utalifungamanisha na sunna na halipo kwenye ngazi hizo
@bagalucha
@bagalucha 3 күн бұрын
Sheikih Kidawa mtupu kumbe,ati anajitetea vitabu vyenu tunavyo,lakinihavionekani,hili ndio tatizo Lao,husema jambo,wakakosa ushahidi,sasa hiyo kesi utaihukumu vipi,ushahidi huna,Aya unazitafsiri unavyopenda mwenyewe,mtihani huu.
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 3 күн бұрын
Kichwa chake ni kitabu tosha hapo unaona tafauti ya msomi na mbabaishaji Mwambie Alte Aya Aya Hadithi Inayogawa Tauhidi Mpaka Qiyama BACHU Haleti kupiga Kelele Ndio Kuonekana Shehe Haha Bacho Mzee Wa Hadithi Munkar Hadithi Chafu
@AliBadru-r2f
@AliBadru-r2f 3 күн бұрын
Ahsanta umefafunua wazi kabisa
@OmmariJuma
@OmmariJuma 2 күн бұрын
Wamatemwe muwepole kamahuyu ndie shekhewenu muwepole kwahalihi
@mussamahmoud2376
@mussamahmoud2376 2 күн бұрын
Alhmdulila wamatemwe tupovizuri kiilimu allah azidi kutubark
@ibrahimjumbe8121
@ibrahimjumbe8121 3 күн бұрын
Bachu inaonekana mjadala wa mombasa ulimuingia kweli kweli naona hapo anajitahidi apite kwenye njia za Ustadh said ila tatizo lake ndio maarifa madogo maskini
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 күн бұрын
Sema Dj hakuna ustadhi mjinga wa kupiga gitaa
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 3 күн бұрын
BACHU Anatia Huruma Yeye Aliwatukana Wanawachuoni Mpka Kutupa Vitabu Vyao Leo Kaja Na Al ulamau Warathatul Anboliyai Hahahaha Bacho Mzee Tahaqqaqa Swidqahu Hahaha
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 күн бұрын
@@hafidhseif1686 Umeambiwa ulamaa kuzungumza jambo lenye asili ya qur an na Sunna haina shida sasa wewewataka kuleta habari za maulidi ambayo waanzilishi ni makafiri.Tawheed ipo katika qur an na Sunna au haipo? Kama ipo imetajwa ulamaa wakichambua inakua bidaa? Vipi kuhusu nguzo za swala zimetajwa wapi?
@IbraFareed
@IbraFareed 2 күн бұрын
@@Hamis-ks1sy Lau kama ni kheri maswahaba wangefanya Kugawanya tawheed 3 kama ni kheri Wangefanya maswahaba 😂 Kama ni mafunzo ya MTUME MUHAMMAD ﷺ tupeni dalili Na kama sio bidah hayo meyatoa wap Na kama navosemaga وَكُلَّ بِدْعَةٍ ضَلَالَةٌ leo kisu kimegusa mfupa sheikh Acha lawana tunataka dalili
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 2 күн бұрын
@@Hamis-ks1sy Aliekuambia Kujitahidi Kwenye Usuuli Ddiin Inafaa Nani? Hakuna Ijtihaad Katika Tawhiid Wapi Mtume Na Swahaba Waligawa Tawhiidi? Hilo Swali Mpaka Qiyama Halina Jibu Wazee Kumbe Bidaa Inafaa ee?
@ZahranJuma-ye2gr
@ZahranJuma-ye2gr 3 күн бұрын
Namkubali shehe kidawa ila bachu kaenda kielimu zaidi tuwe wakweli tusiwe mashabiki wenye kfata mkumbo.
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 3 күн бұрын
kaenda kielimu zaidi au kisifazaidi shekh kidawa bado yopo kwenyekitabu Cha mwenyez Mungu bachu kinarukaruka2
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 3 күн бұрын
Si Alete Dalili Ya Kwenye Kitabu Na Sunna Wapi Wamegawa Tauhidi Tuone Hio Elimu Mnayaodai Maskini Anaaibika Kula Kukicha Si Akasome Kwanza
@sama-_8368
@sama-_8368 2 күн бұрын
Ki elim ipi akhy?
MUNAQASHA BAINA YA MUHAMMAD BACHU NA SHEIKH KIDAWA || SEHEMU 3
38:11
Haji Upepo Online tv
Рет қаралды 12 М.
Taarifa ya Munaaqasha na majibu yangu kwa Muhammad Bachu
14:17
Haji Upepo Online tv
Рет қаралды 5 М.
Colorful Pasta Painting for Fun Times! 🍝 🎨
00:29
La La Learn
Рет қаралды 308 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 129 МЛН
HUYU HAPA MWAMBA SHEKHE MUHAMMAD AYUBU TAFSIRI YA QURUAN
26:42
NEEMA YA UISLAMU TV
Рет қаралды 13 М.
SHEIKH KIPOZEO AELEZEA HALI HALISI YA BINAADAMU WALIVYO
1:03:25
Al Kheri Online Tv
Рет қаралды 49 М.