MAUZA UAZA - SIMULIZI MPYA

  Рет қаралды 33,173

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

4 ай бұрын

Magadula Wayo ama kwa jina la kiswaga zaidi unaweza kumwita Dullah Wayo, anakutana na binti mmoja aitwaye Lamia kwenye simu baada ya kukosea namba.

Пікірлер: 304
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748
Hatuitaki twataka lisa au mwasaje wana anko j
@Shadia544
@Shadia544
Haya MAUZAUZA tujuwe hayo MAUZAUZA wangapi WAMEBOEKA kumkosa LISA LIKE 10 KUBOEKA TU ✌️✌️✌️✌️
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544
Wakwanzaaaa wangapi tumemiss lissa😢😢😢
@merycevictor1885
@merycevictor1885
Mbn unatufanyia kuxudi Lissa mbn utuletei😭😭😭
@ghanimamohammed5305
@ghanimamohammed5305
@ANKOJAY 😭sio Sawa hv unavyo fanya unatutesa kwa kuto kutuleteya binti Lisa please🙏🙏 @ANKOJAY tuletee hata km sasa hv wenzio hatupati usingizi
@user-ej5rg4yp3t
@user-ej5rg4yp3t
Daah sisikilizi mpaka mwana Sheria wangu aje Alvin kimaro na Lissa Jonas massawe najua hawajawahi kupoteza kesi😂😂 hiyo mauza uza hapana bana ank jay
@user-ch2jy9ig5b
@user-ch2jy9ig5b
Nashangaa simlizi inaitwa mauza uza lakini amejaa lissa tu je kuna lissa ndani ya mauza uza 😂😂😂🙌ata ivo anko j so poa bhn unavyo tufanyia😢
@user-jt5tm6dl1g
@user-jt5tm6dl1g
❤️❤️❤️🎉🎉🎉 Tunaomba Lisa ep 50 tumeimic sanaaa
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650
KZbin ikikosa Ankojay inakosa ladhaa nikama maombolezo vile🥺🥺🥺🥺.ĺakini sasa tunataka LISA KWANZA😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@user-cp5fp8gx8c
@user-cp5fp8gx8c
Sasa jambo wajo Lossa kakushinda umeamua kutupeleka kwa Mauza uza 🤦😳😳🤣🤣 tuletee lisa bwana. Nimeona jomba wajo nikajua umeweka picha ya baba yake Alvin na mama Lissa wakiwa vijana kumbe mauza uza 😂😂😂😂 Acha hizo leta lesa hapa. Anko jy tutakumeza 😳😳
@victorwesamba2520
@victorwesamba2520
😂😂😂😂😂tulio olewa na simulizi kuna mukutano tent ya blue ❤️❤️❤️❤️❤️
@JamilaFarijala
@JamilaFarijala
Unafanya mpaka tunarudia simulizi jmn tuletee Lisa Kila saa nakuja kuchungulia kama imetoka😂Ankojay wetu tunakupenda😘
@emilyadhiambo4540
@emilyadhiambo4540
Anko Jay Asante sana kwa simulizi mpya ila tunaomba mwendelezo wa binti Lisa tafadhali tafadhali Anko Jay 🙏🙏
@user-xq8kq2us3o
@user-xq8kq2us3o
Mbna binti lissah huleti😢 au imeisha nijue kila time nachungulia notification za anko j lakin wapi 😪😪😭we anko j mpka nikatamani Niku DM😂🤣ila sijaelewa nakupatia wapi hebu plz help us 😩🧐tunaweweseka kukosa binti lissah 🥲😌
@user-dr8np4oh9h
@user-dr8np4oh9h
Tumetuacha na kimhemko Cha Lisa watu tunakesha kuchungulia ,mungu akupe uzima na afya siku zote uendelee kutuletea burudani
@victoriangasa
@victoriangasa
Daaah nmekuwa wa mwisho jmn bas tuungane pamoj kuisikiliza hii simulizi ya mauza uza ila sis tunataka binti lisa kama na wew upo unay taka lisa bas usipite bila kulike😂😂😂❤❤🎉🎉🎉
@MatuaminiNgloriya-qm9jp
@MatuaminiNgloriya-qm9jp
Wakwanza jamani.pole Sana ankojay wetu Mungu ni mwema kipenzi❤
@FdcJbg
@FdcJbg
Habari yk kk Anko Jey pole na
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc
Ila anko sisi wakungojea viporo vipi bado hutufikirii kweli tuwahitaji Alvilisa kuwajulia hali
@zawadimsigala
@zawadimsigala
hivi anko lisa mbona hatusikiii au Sara kamuuua nn wadau sasa wanao mpenda lisa watqkavo paniki hahahahah
BINTI AMAYA - SIMULIZI MPYA
2:06:32
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 43 М.
SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA. APPLE
2:32:04
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 16 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 11 МЛН
SIMULIZI FUPI: MAPITO YA FLORA, By Anko Jay
1:32:10
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 36 М.
MUUZA NDIZI
3:26:32
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 60 М.
SIRI (MALAIKA) 3
9:49
SIMULIZI HOUSE
Рет қаралды 152
BINTI KIZIWI | SIMULIZI MPYA
2:02:56
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 28 М.
SIMULIZI MPYA: PENZI LA MTOTO WA TAJIRI
2:34:07
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 61 М.
JABALI : SIMULIZI YA SAUTI.
1:32:59
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 14 М.
CATHY | SIMULIZI FUPI
2:16:15
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 9 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22