Asilimia 💯 mawahabi wamesomea kubishana naona mara hii sharif anawafundisha waelewe ukiwa na elimu hutukani mtu humvunjii heshima mtu Bali unamwelimisha mashaallah.
@graflow4714 Жыл бұрын
una hakika watu wanaenda kusomea kubishana
@fakihmohammed39232 жыл бұрын
Daaah! Moyo wangu unaumia Nikiona waislamu wenyew kwa wenyew wanashindwa kuelewana na kuchukiana, subuhanallah. Allah atuongoze
@hamisisalimu69082 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah, Takbeer
@yussufali88832 жыл бұрын
Inna lilahi wainaailyrajiui kivipi un asema mtume ametufundisha bidaa sheh wakt amesema kulu bidaatu dhwalala
@braqutourssafaris46722 жыл бұрын
Mashaallah mashallah raha kwa kweli.🤲🏻🤲🏻
@HamadHamad-wn9hu2 жыл бұрын
Subuhana Allah kusoma si kuelewa
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Sheikh wangu zungumza na utuelimishe sisi tunaotaka ekimu yako in shaa Allah na tunakufahamu vyeeeema.
@BIGBOSS-hl3bu2 жыл бұрын
Anaepinga dufu moja Kwa moja hajitambui ,na anaelipenda dufu kiasi Cha kumfanya afundishe watoto wetu dufu muda mwingi zaidi badala ya kufundisha watoto mambo ya umuhimu zaidi ,huyo nae hajielewi ,maana Kuna mambo mengi sana Kwa Dunia ya Sasa yanahitaji elimu ,ya QURANI ,HADITHI,UMEME ,HESABU,SAYANSI,NA MASOMO YA TECHNOLOGY ZAIDI
@anikulislam48512 жыл бұрын
Alhadulillah hak hak hak your Allah my Allah our Allah,all things Allah controller, hujur Pak sallallahu alayhi wasallam also Allah,s feverite, inshallah Allah bless his nabi karim sallallahu alayhi wasallam,but some person no understand, because it is mind problem assalamu alaykum WA rahmatullahi WA barakatuh
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Tena hao watu wanaojiita watu wa sunna ndio hao wanaokhalifu sunna za Mtume Muhammad(SAW).
@yussufali88832 жыл бұрын
Je unauhakika na unachokisema?
@hijazhija3162 жыл бұрын
Wanaojiita?
@arqamibnarqam.71852 жыл бұрын
Allah akubaariki na akuhifadhi shaikhiy
@arqamibnarqam.71852 жыл бұрын
Amiina yaa Rabbiy 🤲🏽
@SalehSaleh-re1ud2 жыл бұрын
Mtume Sallallahu Alayhi Wasallam hajasema tufuge nywele wala hajasema tufunge vilemba lakini amesema tufuge ndevu, isbali haifai, kakataza bidàh.
@barackhaamidu78412 жыл бұрын
Mtumi kakwtazw bidàh sawa Je we uko na hadithi ya mtumi Isemayo isemayo tumieni whit defint
@SalehSaleh-re1ud2 жыл бұрын
@@barackhaamidu7841 Assalaam aleykum, akhui sijakuelewa . Muhimu shika qaedah hii 'Jambo lolote katika ibadah ni haraam isipokua yale aliyokuja nayo Mtume Sallallahu Alayhi Wasallam au waliyafanya maswahaba na yeye akayaridhia, na jambo lolote lile ambalo si katika ibaadah ni halali isipokua yale yaliyoharamishwa'. In sha hii itakusaodia. Allah atuongoze katikanjia ya haqi.
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Mawahabbi wapo katika Dunia na wanajuilikana na wao wenyewe wanajijua.
@mohamedahmed-yj5rq2 жыл бұрын
Mashaallah
@binbaya9232 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@jumannekambi2322 жыл бұрын
Maşallah
@SalehSaleh-re1ud2 жыл бұрын
Hata hiyo hadithi ya samai kama kweli ipo, basi aisubirie peponi. Kwani peponi kuna mengi ambayo hapa duniani hayapo mfano khamr (tembo). Hii dini ya Allah na itahidhiwa na waja wa Allah ambao hawafanyi jambo au hawaachi jambo ila liwe thimethibiti kwenye Quran na Sunnah. Ama hao wanaofanya mambo halafu baadae ndiyo wanatafutia dalili za kuunganisha ilimradi tu wahalalishe wayatakayo.
@ahmaduun65232 жыл бұрын
kwani mtume s.a.w. alipoulizwa peponi kuna samai? ilikuwa yamaanisha samai ya kupuliza qasba na kupiga dufu? watu wa twariqa waichukulia hii dini mchezo mchezo tu ili mradi yao yapate kuwaendea tu?
@chuggaboy98772 жыл бұрын
Kazi sana kwa mashekhe zetu kama hawa
@tamashamagoma29412 жыл бұрын
Shekh hii ni dini! acha kutafuta sifaa! Kila kitu kinanukuliwa!
@مبغضالبدع-ع9ص2 жыл бұрын
Sijui tuskitike ama tucheke haswa hadithi ya samai, ameitunga hapo aliposimama! Na ikiwa huamini muulize iko wapi???!! Utaskia jawabu, ikiwa huyu ndio msomi kwenu je wale wasojua wakoje jamani?! Duh kuna kazi kweli, Allah awafanyie sahali mashekhe wa sunna kufahamisha watu dini ya sawa, ama haya ya hawa yameshinda ujinga kupita maelezo.
@yahyarashid80382 жыл бұрын
Amin
@omarymakange84492 жыл бұрын
Hapana pahala sheikh amekosea.. Mawahabi wapo mana alieanzisha mengi wanayoyafanya na kuyakataa wameyakata kwa sheikh lao muhammad bin Abdulwahabbi.. Halafu msimvamie mtu bali vamieni hojaa.. Pia jaribu kusikiliza ili muelewe sio ili mbishanee.. Dini inataka wasomi sio watu wenye jazba, yapo mengi mtumi hakuyafanya tukitaka kuifanya hiyo ndo hoja basi yapo mengi tutayakosa.. Kila ambalo lipo ndani ya mipaka ya dini basi linafaa hata kama mtumi na swahana hakulifanya.. Turudi madrassa..
@aboubilal39262 жыл бұрын
Sheikh Muhammad bin AbdulWahab ameanzisha mengi ya wanayoyafanya na kuyakataa? Unaweza kutaja moja tu ambalo limeanzishwa na sheikh Muhammad bin AbdulWahab ambalo wanalifanya na moja tu wanalikataa?
@mahengomwenyewe42042 жыл бұрын
Unahisi unamkomoa nani ?? Kwafikra alizokuruzuku Allah tuache mambo ya kielim maana hauna je fikra alizonazo nani unamkomoa ?
@tawheedmotivationalspeech2023.2 жыл бұрын
Nothing kabsaa elmu ipii sasa
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Sheikh huyu mtihani,,,,
@binmiraji21682 жыл бұрын
Mtihani kivipi mtu atoa maneno ya vitabuni we wasema mtihani
@abdallahmkomboz26792 жыл бұрын
Watu wamepoteza umri kusoma na kusomesha dini...niwazi wameona vtu ambavyo hao mashekh vjana wapingaji hawajaviona Bado!!
@jumakapilima72952 жыл бұрын
@@binmiraji2168hata kitabu cha Aya za shetani (satanic verses) nacho pia ni kitabu,,,,,
@jumakapilima72952 жыл бұрын
@@abdallahmkomboz2679 unaifahamu vizuri falsafa ya masheikh vijana hususan kuhusu suala zima la uzushi katika dini?
@kijohohaji69262 жыл бұрын
Weee mzee salaaleh aljariiru tabrii hivyo ndivyo linavyo somwa jina Hilo ww Al jariiru attwabariy sio tabri umeipata wapi
@25duller2 жыл бұрын
Sisi twauliza tu huyu mzee salamaaaaaaaa?? na nyinyi mnao msikiliza mko salamaaaaaaaa??
@ahmaduun65232 жыл бұрын
wote hawako salama ndugu, ni sawa na bubu kuwahutubia viziwi! kwani shekhe mwenyewe ajuwa wazi anayo ongea si ya kweli bali kujipa masifa na kuvutia ushabiki kwa dalili za uwongo na za kutunga, kuwa wao wataingia na matwari peponi na pia peponi kutakuwa na samai ya kupuliza qasba na kupiga dufu na mengine meeengi tu ya uwongo. Na wasikilizaji nao wamekaa wakicheka na kuushabikia huu upuzi unaozungumzwa. Sisemi yote ni ya upuuzi bali yale ya uwongo na yasiokuwa na dalili zozote za kidini. Ndio maana nikasema wote hawako salaaaaaama!
@omaratik18392 жыл бұрын
Nyie bila kujielewa ni Wafuasi wa Paulo hatuwakatazi tu tunawakhofia Kesho mutatumbukia Ibada za Makanisani maana ngoma zipo Makanisani kwa Uzushi maana sasa Nadhani mumezidi tena Mtume bid'aa ndio kazua Ameanzisha na Mtume ??????
@hamisisalimu69082 жыл бұрын
Tatizo lenu mawahabi ni elimu ndogo na hasira
@aboubilal39262 жыл бұрын
Fatwa hutolewa katika jambo lenye utata. Suala la kuchanganya swala bila kupunguza lipo wazi kabisa katika hadithi sahihi iliyotolewa na Imam Muslim kuwa mtume salaahu alayhi wasallam alifanya hivyo. Ilikuwaje sheikh msomi akawapeleka watu kwenye fatwa za ulamaa wake huku akiiruka hadithi ya mtume? Hapo simuelewi . Halafu msomi hawezi kupitwa na hadithi inayotakana tuitane kwa majina tunayoyapenda. Vipo anawaita watu mawahabi wakati hajulikani yoyote katika uso wa ardhi anayejiita Muwahabi. Mche Allah sheikh.
@abdulabuu74282 жыл бұрын
Mawahabi vile vishani wanavyovaa kumbe Ni vazi la mawahabi wa saudia
@salehmohammedsalum20542 жыл бұрын
BABDEO huyu apa mlomtuma kaongea utumbo tu hahaaha
@mohammedlipindula54152 жыл бұрын
Mzee mbona wazungumza kama vile umetumwa na watu fulani hii dini sio yamtu ni ya allah usilete ushabiki ktk dini coz umri wako nakauli zako haziendani
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Hata kwetu sisi pia huwaita Mawahabbi ingawa wenyewe wanachukia.
@alhamdulillahalhamdulillah75292 жыл бұрын
Wanakua wakali sijui kwanini
@yussufali88832 жыл бұрын
Na nyiee mumeburuzwa kwa kuambia kuna mawahabi hebu someni historia ndio mujue
@aboubilal39262 жыл бұрын
Kwa hiyo unaikhaalifu hadithi ya mtume salaahu alayhi wasallam kuwa umwite ndugu yako kwa majina anayo yapenda !
@aboubilal39262 жыл бұрын
Kwani ni nini maana ya Mawahabi au Uwahabi? Binafsi sijawahi kumuona mtu yoyote yule anayejiita Muwahabi. Je, wewe kuna yoyote yule unayemjua kuwa anajiita Muwahabi?
@yussufali88832 жыл бұрын
@@aboubilal3926 unaposikiaa muwahabi ni hivi Kuna mwanachuoni alitokea katika zama izo jina lake linaanzia muhammad ibn wahabi ambae amekuja kwa kutia nguvu sunna za mtume na kukemea ushirikina Hivo anaeonekanwa anapinga maulid anaitwa wahabi
@jumaagandi17282 жыл бұрын
j
@hijazhija3162 жыл бұрын
Bid'a
@abdulabuu74282 жыл бұрын
Mawahabi wananyoa kipara hahahhhhahaha
@abdulabuu74282 жыл бұрын
Ukitaka uwe chizi mento kbsa uwe muhabi Ni majuha
@ramadhankheir47932 жыл бұрын
Kwaiyo watu wasimfuate mtume ndio maana yako
@maryamalli90902 жыл бұрын
Hapa ndipo uislam ulipofikia kazi kupashana tuuu kilasheikh anajua yeye
@hamzakimaro37642 жыл бұрын
DANGANYA WAJINGA! WENYE AKILI HUWA HAWANAITAFUTA DINI YAO HAYO MNENO YA MASHARIF NI YA KIJINGA MNO!NANYI MWAYASHANGILIA! MCHE MOLA WENU!!
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Hapana mtihani kwa sheikh bali anatufahamisha mimi na wewe ambao ni wajinga ila hatutaki kumfahamu kwa sababu ya tawassubi zetu.
@aboubilal39262 жыл бұрын
Kaa naye mbali huyu sheikh. Kama angekuwa anajua sunnah ni nini asingeleta hadithi ya Bilal baada ya kutawadha. Sunnah ni kile alichokisema mtume salallaahu alayhi wasallam, alichokifanya au alichokithibitisha (hata alichokinyamazia wakati kikifanywa mbele yake). Haya niambie,hivi huyu kuna anachoweza kukifanya mbele ya mtume salaahu alayhi wasallam na mtume salallaahu alayhi wasallam akakithibitisha?!
@khamisabdillah82212 жыл бұрын
Hili zee ni jaahil
@HamadHamad-wn9hu2 жыл бұрын
Hatari waislam kumsikiliza mpotoshaji kama huyu
@aboubilal39262 жыл бұрын
Kuhusu Uthman bin Affan kuanzisha adhana ya pili sheikh amepotosha. Mtume salaahu alayhi wasallam anasema ni juu yenu kwa sunnah zangu na sunnah za Khulafaau rrashiduun (Abubakar,Umar, Uthman na Ally). Sasa huyu sheikh naye ni katika Khulafaau rrashiduun hata afuatwe kwa bidaa anazozizusha?
@aboubilal39262 жыл бұрын
Eti "sisi kule kwetu tunawaita Mawahabi" sasa sisi tukufanye nini? Roho inamuuma kuwa Tanzania wanaitwa Answar sunnah (wenye kunusuru sunnah). Yale yale ya kihistoria: Wakati watu wa bidaa waliposhindwa na hoja za Sheikh Muhammad bin AbdulWahab wakaamua wawatafutie jina baya wanafunzi na wanaofuata hoja za Sheikh Kwanza wakasema tuwaite Muhammadiyah kwa sababu sheikh Muhammad bin AbdulWahab anaitwa Muhammad. Wakajirudi na kusema kuwa tukiwaita Muhammadiyah itakuwa ni sifa nzuri kwao kwani watasema ndiyo sisi ni Muhammadiyah tunamfuata mtume Muhammad salla laahu alayhi wasallam. Ndipo wakabadilisha na kusema kuwa tuwapachikeni jina la Mawahabi. Hiyo ndiyo hulka yao
@JabirBakar-ys8dw Жыл бұрын
wanaitwa na nani hapa tanzania mawahabi kwa uongo
@JabirBakar-ys8dw Жыл бұрын
hebu mtaje anayekuita ansari sunna
@tamashamagoma29412 жыл бұрын
Shekh hii ni dini! acha kutafuta sifaa! Kila kitu kinanukuliwa!
@abdallahibrahim37032 жыл бұрын
Pole sana
@abdallhiiddi72802 жыл бұрын
Ww ni bahau na akili yako haifanyi kazi,. Hujaona hata hadith maarufu duniani inayokataza uzushi nenda kwenye kitabu cha nawawi katika hadithi 40 nenda hadithi ya tano uone kama ww sio mwendawazimu